Ajuza apokonywa ardhi Kisii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Ajuza mmoja na mumewe wanalilia haki baada ya familia moja kuchukua stakabadhi zao za shamba la ekari 20 kwa kushindwa kulipa deni la shilingi elfu 2,000. Ajuza huyo na mumewe walikopeshwa deni hilo mnamo mwaka wa 1986 mume huyo alipokua akiugua

ความคิดเห็น • 36

  • @perrybenson7188
    @perrybenson7188 5 ปีที่แล้ว +3

    Matiangi fanya kazi

  • @nanimkenya1015
    @nanimkenya1015 5 ปีที่แล้ว

    si ata angewajengea iliaje kusema alijenga nyumba, Mungu amlibishe kizazi

  • @sophiemayiedanny2001
    @sophiemayiedanny2001 5 ปีที่แล้ว +1

    Ooh my God 🙆,si hawa watu na wajua, gakii mosocho. Obeeee onyonga saidia Hawa watu.hyu Bibi ya zachayo. Gakii

  • @mercychris2742
    @mercychris2742 5 ปีที่แล้ว +2

    2000 only......20 acres of land😥😥😥😥.......People are wicked...

  • @pensevnyos3845
    @pensevnyos3845 5 ปีที่แล้ว

    Lakini utu ulienda wapi in some people

  • @beatricenjunge1808
    @beatricenjunge1808 5 ปีที่แล้ว +1

    Matiang'i ingilia hii kesi

  • @godfirst7452
    @godfirst7452 5 ปีที่แล้ว

    Accrued interest, beware those with debts you will receive the same shocker

  • @antonyndirangu8613
    @antonyndirangu8613 5 ปีที่แล้ว +1

    Matian'gi uko wapi

  • @agnesmutuku6659
    @agnesmutuku6659 5 ปีที่แล้ว +1

    plz tuma pay bill

  • @kelvinonyango1897
    @kelvinonyango1897 5 ปีที่แล้ว +1

    Only 2000? Shame on those pple. How can 2000 be valued to 20 acres of land are those guys crazy?

    • @evansomondi5235
      @evansomondi5235 5 ปีที่แล้ว

      Omera,jogo onge loo nasomo eigi,jogi wakonyo korgi sana.

  • @kingpharaoh6981
    @kingpharaoh6981 5 ปีที่แล้ว

    Why do we even have m it minister of lands

  • @emmahsabby3375
    @emmahsabby3375 5 ปีที่แล้ว

    kweli wanyonge hawana haki kenya, may God punish them for taking what does not belong to them more so especially from these old people who can't even feed themselves. God is watching you don't forget

  • @evansomondi5235
    @evansomondi5235 5 ปีที่แล้ว

    Wahindi wananyakua Mashamba na hakuna kelele viongozi wamenyamazi tu na kama ni waafrika kwa waafrika serikali ingilia kati.

  • @annamuendo56
    @annamuendo56 5 ปีที่แล้ว

    matajiri Kama mnataka maisha marefu dunia hii tafadhari heshimuni masikini

  • @King-Jack-ryan
    @King-Jack-ryan 5 ปีที่แล้ว

    Kenya niyamatajiri kweli 😭😭😭

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 5 ปีที่แล้ว +2

    Sad.shame on them

  • @suzysuzie3882
    @suzysuzie3882 5 ปีที่แล้ว

    Elfu mbili pekee walete namba niwatumie hizo peza watu wengine hawana utu.

  • @mwasjohn58
    @mwasjohn58 5 ปีที่แล้ว

    You guys dont get it.2000 shillings during those days is almost 200k for now.But all in all it's wrong.Tupewe paybill number tutatoa hizo pesa

  • @princeamoz2270
    @princeamoz2270 5 ปีที่แล้ว

    it's unfortunate that still people are in need of land !!

  • @jakiejack2421
    @jakiejack2421 5 ปีที่แล้ว

    Only 2,000? Shame on those cons. Peana number watasaidika

  • @marymariah8747
    @marymariah8747 5 ปีที่แล้ว

    2000!!!!!! Their number please.

  • @calisterbosibori151
    @calisterbosibori151 5 ปีที่แล้ว

    2000? And I like feeding people using my money? Aki yawah!watu hawana utu

  • @maggynowak3555
    @maggynowak3555 5 ปีที่แล้ว

    Cancer itatumaliza tusipo tubu hizi dhambi na tuheshimu wenzetu jamani. Mshahara wa dhambi ni mauti

  • @veronicakeribo2962
    @veronicakeribo2962 5 ปีที่แล้ว

    Haki wazazi wetu wamo taabani. Hata kama hiyo pesa ime accumulate vipi hiyo shamba ni kubwa. Haki Kwa wadogo.

  • @metrinearivia5787
    @metrinearivia5787 5 ปีที่แล้ว

    Mum na uko na watoto . the kids this is kulaniwa somebody send me number Yao niwatumia

  • @sizmaggymaggy5677
    @sizmaggymaggy5677 5 ปีที่แล้ว

    Selekali aki ingiliyeni kama makufuri filre ana shugulikiya mazikini wa tz

    • @luis9286
      @luis9286 5 ปีที่แล้ว +1

      😂 hiyo Kiswahili

    • @popod177
      @popod177 5 ปีที่แล้ว

      @@luis9286 😂

  • @fauzishma8033
    @fauzishma8033 5 ปีที่แล้ว

    2000 kwa ekari 20 huu ni mchezo hao watu wachukuliwe hatua

  • @omanhuawei5974
    @omanhuawei5974 5 ปีที่แล้ว

    Sorry 😭