Mtoto mchanga wa miezi mitatu aibwa viungani mwa mji wa Kisii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Maafisa wa DCI mjini Kisii wanamtafuta mwanamke mmoja anayedaiwa kuiba mtoto mchanga wa miezi mitatu eneo la Nyankongo viungani mwa mji wa Kisii. Mshukiwa ambaye anatambulika kwa jina la Ruth Obare anadaiwa kutoroka na mtoto huyo wakati mamake akiwa mtoni. Mzazi wa mtoto aliyeibwa alikuwa amewaacha watoto watatu nyumba alipoenda kuchota maji.

ความคิดเห็น • 17

  • @nancykemunto2899
    @nancykemunto2899 3 ปีที่แล้ว +2

    Poleni Sana wacha tuwe na Imani atapatikana

  • @damaclinemoraa5529
    @damaclinemoraa5529 3 ปีที่แล้ว +1

    May God keep my lil cousin safe 🙏

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 3 ปีที่แล้ว +2

    Uzuri anajulikana atatoa mtoto mahali alipeleka

  • @justineabarasa672
    @justineabarasa672 3 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana Bora asimwue

  • @peninahkadogo4131
    @peninahkadogo4131 3 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana lakini tuombe mtu awe hai

  • @dorcasmogaka5479
    @dorcasmogaka5479 3 ปีที่แล้ว

    Mungu aingie wapate mtoto

  • @brightkalan346
    @brightkalan346 3 ปีที่แล้ว

    Waaaa Kenyan my people what's wrong with our country

  • @nancykemunto2899
    @nancykemunto2899 3 ปีที่แล้ว

    Huyo itaingia tanzania

  • @lenaosore6710
    @lenaosore6710 3 ปีที่แล้ว

    Siku hizi kama ujui mtu akuna kukalibishwa kwa area yaani mpaka mashambani wezi watoto wameingia

  • @mufush
    @mufush 3 ปีที่แล้ว

    She is well in Jesus name

  • @joshuawadhier
    @joshuawadhier 3 ปีที่แล้ว

    Kwa, hii duniya hakuna kuamini mtu, ni heri huwe na roho ya mnyama

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 3 ปีที่แล้ว

    Kweli dunia inaisha na hii Tabia iko kote duniani hadi mauaji

  • @onyangomelly5367
    @onyangomelly5367 3 ปีที่แล้ว

    Wololo rudisha mtoto

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 3 ปีที่แล้ว

    Tena jameni?

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 3 ปีที่แล้ว

    Ngai woi jesu

  • @millicentwangari5711
    @millicentwangari5711 3 ปีที่แล้ว

    Mwathani