Nakumbuka mwaka wa 90 Dustan Maboya alikuja Musoma,akafanya mkutano katika, kiwanja cha.shule ya msingi mkendo wakati akiombea wagonjwa kulikuwa na,kundi la watoto wakicheza Mpira walianguka wote kiwanjani ikawa,kazi ya kuwaombea ili wazinduke wote waliamka mpira ukaishia hapo wakarudi makwao ulikuwa muujiza wangu wa kwanza machoni pangu kuona:
BARIKIWA SANA MTUMISHI.NAKUPENDA DAIMA.NAKUKUBARI SANAA .UMEKUWA MNYENYEKEVU DAIMA .DUMU HIVYOHIVYO BABA.WEWE NI MFANO WA KUIGWA.UKO SAWA. I LOVE U BIG.MUCH RESPECT TO YOU AP.
mungu ni anaakili kuloko wanadamu kumbka unapolima mashamba mengi utavuna sana au bishara nyingi utafanikiwa sana ndivyo ilivyo mungu atavuna mavuno mengi
Mungu ndani ya mtumishi wake D.Maboya.ndugu yangu mimi namkubali sana huyu mtumishi.hana dharau hata kidogo ukipiga unampata na takuhudumia.Mungu ambariki sana .
Matukio mengi yanapata nchi bcoz kanisa limekuwa dhaifu mno, halisimami ktk zamu yake ili Mungu aponye nchi.....ni kweli baba, the church is the hand of God which give him access to act in the world
Andiko la msingi hapo ni Ayubu 31:1 "Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani" Tamaa haiji kwa kuona (kutupia jicho) bali huja kutazama (kukodolea jicho). Askofu anasema tazama kokote, (iwe chini, juu, pembeni) lakini sio msichana anayekutamanisha. Yesu amesema; "amtazamaye mwanamke kwa kumtamani huyo amezini." Matayo 5:28
Apostle Maboya kweli Mungu amekusimisha uinuwe kazi yake. Nakupenda sana unaubaliki moyo wangu sana na Mungu anisaidiye siku moja macho yakuone🙏
Ubalikiwe sana maboya
Umenikumbusha mbali Sana mtumishi wa mungu. Mungu akubariki
My Dady, you are so humble indeed, ni mtu Wa watu, anajichanganya na watu Wa chini kabisa regardless of your HIGH RANK......WE LOVE YOU
Ubalikiwe asikofu by pstr philipo
Nakumbuka mwaka wa 90 Dustan Maboya alikuja
Musoma,akafanya mkutano katika, kiwanja cha.shule ya msingi mkendo
wakati akiombea wagonjwa kulikuwa na,kundi la watoto wakicheza
Mpira walianguka wote kiwanjani ikawa,kazi ya kuwaombea ili wazinduke wote waliamka mpira ukaishia hapo wakarudi makwao ulikuwa muujiza wangu
wa kwanza machoni pangu kuona:
nimeipenda hii bishop(walikuwa hawampingi Yesu ila walikuwa wananipinga mimi) huu ni unyenyekevu wa hali ya juu,
Baba Apostle Maboya wewe ni mbaraka kwawengi na shukuru Mungu kwenema amekupa you are a blessing to me powerful teaching nashukuru sana
Mafunzo mazuri thevtwo Generals of Faith. Apostle francis musili and Apostle Dunston Maboya.
Apostle Maboya una moyo imara na uelewa mkuu.. ndio maana nakupenda mzee wangu.. blessed be you Man of God..
Thanks daddy
BARIKIWA SANA MTUMISHI.NAKUPENDA DAIMA.NAKUKUBARI SANAA .UMEKUWA MNYENYEKEVU DAIMA .DUMU HIVYOHIVYO BABA.WEWE NI MFANO WA KUIGWA.UKO SAWA. I LOVE U BIG.MUCH RESPECT TO YOU AP.
mungu ni anaakili kuloko wanadamu kumbka unapolima mashamba mengi utavuna sana au bishara nyingi utafanikiwa sana ndivyo ilivyo mungu atavuna mavuno mengi
Wow! Askofu wangu. Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi wako🙇.
umeona ehee my Dada
Kazi ya Serikali ni kukusanya Kodi
Huyu Apostle namkubari sana Mungu ambariki sana
Mungu akulinde sana nafurahi mafundisho yake
mhubirin yesu anaokoa nakuponya iyo sawa achen wivu
Be blessed
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂baba jamaniiiiiiii kah
Sio kwa majina yangu ! sema kwa jina langu ,mtanzania jua kiswahili
Ni jina zaidi ya Moja Kaka hicho ndio Kiswahili fasaha
Kwa kweli uwa unanibariki sana ktk mahubili yakoMungu azidi kukuinua.
ukizingatia wote ni wachungaji mnawaonea wivu wenzenu je mnaenda mungu ipi mnadanganya
Asante baba
Inspiration🙏
Barikiwa sana askofu wangu kweli umenena
Habar dada
God bless you
Badala ya Kumkubali Yesu,mnamsifia mwanadam,Give glory to God
Lameck Josephat usipomkubali mtumishi wa mungu pia na mungu haumtambui
kivipi
Mungu ndani ya mtumishi wake D.Maboya.ndugu yangu mimi namkubali sana huyu mtumishi.hana dharau hata kidogo ukipiga unampata na takuhudumia.Mungu ambariki sana .
'Ufunuo mpya unapokuja upinzani unakuwa mkali sana' I have noted..
Nakukubari mtumishi Maboya
Mungu akupe nguvu ktk uhamisho
Mungu akubariki Sana.
ameeennn preachhh man of Godddd
Namkubali sana huyu mchungajii
Why to say New revelation
Mungu azidi kunitumia ktk Mafunuo
mungu azidi kukubariki
Sura kama radi job 12:12
Thank you
That's what i wanted to hear
hakika
umenijenga
mzee
jah
bless
man
Naombaa number zakee plz
"Kumuhubiri mtu mwingine badala ya kumuhubiri Kristo ni kufilisika kimawazo"😊.
Matukio mengi yanapata nchi bcoz kanisa limekuwa dhaifu mno, halisimami ktk zamu yake ili Mungu aponye nchi.....ni kweli baba, the church is the hand of God which give him access to act in the world
hahahaha very interesting.
Mzee wetu hakika una NENO LA baraka@nmebarikiwa sana
tuna barikiwa na mahubiri kutoka kwa mutumishi wake
safi
Hahaha😅, nimecheka kwenye unabii wa kutoroka kufufua mtu
Hiyo kali injili naomba andiko la ukimwona mwanamke angalia chini.
Andiko la msingi hapo ni Ayubu 31:1 "Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani"
Tamaa haiji kwa kuona (kutupia jicho) bali huja kutazama (kukodolea jicho).
Askofu anasema tazama kokote, (iwe chini, juu, pembeni) lakini sio msichana anayekutamanisha.
Yesu amesema; "amtazamaye mwanamke kwa kumtamani huyo amezini." Matayo 5:28
Nakupataje?
Nimekuelewa mkuu Asante Sana Mungu aendelee kukulinda na kuku bariki siku zote za maisha yako
Daah jamaa anaongea sana huyu
KAMA TUMETUMWA WOTE NA MUNGU TUSIZALAULIANE
YOTE NI KWELI UNAYO NENA TUNAITAJI WAZEE KAMA HAWA
siku zote huwa namuelewa sana huyu mtume maboaya
Barikiwa sana
Fortunata Mfinanga Mungu akubariki
I love the apostle dastan maboya ministry i am a good follower of his work i do wish him along life and iwelcome him at korogwe tanzania
Umekuwa juu na haukuwa na taamaa yapesa hauna ubaguzi umeshika amri ya Yesu kristo yaupendo kwa watu woto endelea mtume
Dastan asnte
Kweli wewe nimkweli utakiwi kuo muongo