Nyie mitume mnaichanganya dunia na watu,mara mafuta ya upako,chumvi za upako,chupi za upako,maepo,zabibu,nywele,nguo,maji,kucha,na viambatanishi vingine vya upako,hubilini wokovu hacha kupotosha watu kwa masilahi zenu.
Nabii mkuu kama ni rafiki Yako mtume Maboya Ili nikuelewe mwambie ukweli kwamba aache kumchanganya MUNGU na mashetani kwa kucheza na kuwasifia watu wanaomtumikia shetani na kazi zake kwa kucheza mziki usiomtukuza MUNGU aliye hai. Umwambia nabiiimkuu kama anavyojiita, kuwa hai watu anaowanunua ahakikishe wanafika mbinguni la!!!??!!?
MABOYA NI MTU MZURI SANA❤❤❤❤
I know this man he is really graced
Manabii na mitume ndio chumvi ya dunia, amen 🙏🏻 🙏🏻🙏🏻💕💕
miguu ya shetani duniani,"shtuka wew!!!
Nyie mitume mnaichanganya dunia na watu,mara mafuta ya upako,chumvi za upako,chupi za upako,maepo,zabibu,nywele,nguo,maji,kucha,na viambatanishi vingine vya upako,hubilini wokovu hacha kupotosha watu kwa masilahi zenu.
Umenena vema maana hawa manabii na mitume wengi wao wamejaa upotoshaji wa kila namna katika masuala ya Injili ya Kweli ya Yesu Kristo.
Soma mandiko, utumie kama rula Kwa faida Yako.
Hahahaaa usanii huu bwanaaa Massimo ambaye anabwabwajaaaass hamna kanisa mchongO
Bendera ya Israel nini zile...uboya uboya flani ..sababu ya kutosoma books of knowledge
Uyo haskali anaenda Congo alivaa mizigo uchafu au halshabab
uchafu tu wa kuzimu
@@mariamswedi1140 😂😂😂😂😂😂 hatri
Kuna namna kwa uyu mashimo kichwan
Siasatu akuna INJILI hapa
Nabii mkuu kama ni rafiki Yako mtume Maboya Ili nikuelewe mwambie ukweli kwamba aache kumchanganya MUNGU na mashetani kwa kucheza na kuwasifia watu wanaomtumikia shetani na kazi zake kwa kucheza mziki usiomtukuza MUNGU aliye hai. Umwambia nabiiimkuu kama anavyojiita, kuwa hai watu anaowanunua ahakikishe wanafika mbinguni la!!!??!!?
Uyu mashimo ukweli anaaibisha ukristo tunaonekana machozi, ukweli ni kwamba mchungaji wa la kweli awezi kumwalika uyo mashimo ni ushuhuda mbovu
Kunakanisa lakwenda mbinguni kunakanisa linalobaki diniani
Duu kama una macho soma sana Biblia.
Amen
Tunayo hajayakumjua Mungusanaa
Hahaha
Huu ni upumbavu sasa nani kamchana nani ama kweli wa Tanzania bado sana inasikitisha sana
Wachungaji was mishahar tubuni siku in kuja mta juta
MNA KAMILISHA UNABII WA SIKU ZA MWISHO,HOFU YANGA NI JUU YA WANAO WAFWATA BADALA YA KULIFWATA NENO LA MUNGU.
Ujuha mtupu
na huyo askari aliyejichorachora usoni naye vp?
Unajua kila kitu na Radha yake
Huyo ni komandoo siunajua dunia ilivyotamu hasa kama hauna kristo
Mh
Na wewe mchungaji umepotea