#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Ujumbe: Maombi ya kipindi kigumu kwako
    Andiko: Zaburi 13:1-6
    Pastor: Innocent Mashauri
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 44

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 2 หลายเดือนก่อน +5

    Maombi ya leo siwezi elezea Mungu anaju Mungu akubariki mtumishi.
    Shalom shalom.
    Ameen.

  • @collethageorge512
    @collethageorge512 2 หลายเดือนก่อน +6

    Huku network uko vibaya lkn nimeomba na naamin bwana amefanya barikiwa mtumishi shalom shalom

  • @UwizeraGabby
    @UwizeraGabby 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana yesu asifiwe Mimi Gabby uwizera mucungaji nimimi nirikuwa natumika kampala Uganda Kisha natumika kweri najiangariria na mutoto wangu jumimi niko senga Mazda nikosawa kabisa family yangu irikuwa hainijari nanduguzangu Sasa mwahahu mwezi wa 5 bakafanyaa Baraza Mimi sijuwe bakanambia Mimi niace kazi nirudie kutunza mama mugojwa nikasikiya kweri narudia nyuma kweri kimayisha ju Mimi nayikara situmiketena kweri umesema nikasikiya iyineno niyangu kweri niwombeye mungu anishimamiye kwawukweri🙏🙏🙏😭😭😭

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba umuombee mdogoangu Allen anaumwamikono

  • @SYDEYLINET
    @SYDEYLINET 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ibada ya Leo kweli wale unao amini ndo wasaliti MUNGU anisaidie BWANA mapenzi yako yatendeke kwa kila jambo barikiwa sana mtumishi

  • @Francisca-l3v
    @Francisca-l3v 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu mukumbuke musichana wangu ametavuta kazi myaka 4 appati kazi kupitia maombi haya naomba baba ukamkumbuke kwa jina la Jesu Amen 🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuomba Mungu univushe kwenye hili.swala.gumu Mpaka mwanangu anarudia mwaka nisaidie Yesuuu Yesuuu

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 2 หลายเดือนก่อน +1

    Usinipite yesu ! I need you Lord

  • @Princesscareen
    @Princesscareen 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani omani network mbaya sana nabaatisha maombi ikifika kwenye neno haishiki tena ila naimani mungu upo pamoja nasi sote ambao tunamtafuta kwa Imani hata kama mtandao unasumbua ila katusikia naamini atajibu ubalikiwe mtumishi wa mungu

  • @Rosenyamweya
    @Rosenyamweya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba uniombee kwa ndoa natalachia kuingia mungu atangulie

  • @JosephinaLeonard
    @JosephinaLeonard 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu wangu🙏

  • @Lucy-t7n
    @Lucy-t7n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mungu ni mwema siku zote

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina 2 หลายเดือนก่อน +1

    MAPENZI YA MUNGU YATIMIZWE KWANGU KWA JINA LA YESU

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante YESU

  • @florencenduwimana9148
    @florencenduwimana9148 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mutumishi 1:27:02

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina ❤

  • @mauriciozecaakashimba5601
    @mauriciozecaakashimba5601 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mungu anibaliki

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli Mtumishi hayo yote kama umeingia katika maisha yangu naomba uniombee Asante Mtumishi wa mungu

  • @TatuOmar001
    @TatuOmar001 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom mtumishi wamungu muombee mtoto wangu amezingiwra na madeni naamini atapona 🙏

  • @BateguziFlorance
    @BateguziFlorance 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom shalo mutumishi w Amungu akubariki namimi nachukuru Mungu kwayote ametenda mwa iyimasaha anaponyesha mutotowangu kurunguria munyumba gaze inarunguza nyumba namuchukuru sanaaaa

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina 2 หลายเดือนก่อน +1

    NNAKUSHURU MNO MUNGU WANGU

  • @neemamlelwa8288
    @neemamlelwa8288 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu naomba wateja wawe wengi mpaka wanazidie🙏

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 หลายเดือนก่อน

    Thank you Father .
    I receive the power to speak in your Holy Language with POWER

  • @SalomeNdoromziriwa
    @SalomeNdoromziriwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom mtumishi wamungu mi naomba kma utaisoma h naomba maombi maalum kwa ajili ya familia yangu si ukosef WA kaz then magonjwa kakaangu anaumwa sana anashida ya kukojowa angalia s mchana Wala usiku amepimwa kibof but ugonjwa hauonekan

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 2 หลายเดือนก่อน

    Naminajiunganisha katika maomba hayo nipo kwenye nyakati ngumu sana madeni na afya yangu

  • @florencenduwimana9148
    @florencenduwimana9148 2 หลายเดือนก่อน +2

    1:27:20 1:27:22

  • @carolinekageha1884
    @carolinekageha1884 21 วันที่ผ่านมา

    Kupitia Kwa hii mafundiyo pastor hakika nikama umenena tu kwangu mungu na nionekanie katika mawazo yangu Mimi nilisalishwa watoto Wa nne Na Mme mmoja Na akaniacha nimecharibu hata naingia mausiano Na watu lkn tunaachana kabla tukutane Baba wambinguni nireemu nimelia majosi ya uzuni Kwa muda sipati jibu pastor simama Na Mimi usiniache

  • @SaraMpozi-nf1yk
    @SaraMpozi-nf1yk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu usimpite mwanangu john aweze kuongea baba

  • @saracharles1498
    @saracharles1498 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niombe nipate kazi

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina 2 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU WANGU ❤

  • @florencenduwimana9148
    @florencenduwimana9148 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante😊

  • @Hilaria-hm5dt
    @Hilaria-hm5dt 2 หลายเดือนก่อน

    Neema ya Bwana inanitosha🎉

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen , I receive Jesus

  • @florencenduwimana9148
    @florencenduwimana9148 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameneee😊

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaa

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni mara ya tatu nasikiza haya maombi na mafundisho ju ndani yangu niliona haya ni ya kwangu 😢nimezunguka place moja hadi sijui niseme nn aki Mungu tusaidie

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Mtumishi kwa hayo

  • @farijiedward7338
    @farijiedward7338 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeen .

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nina Ndoto kama tano hivi nitakutumia mt.

  • @Rosenyamweya
    @Rosenyamweya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba uniombee kwa ndoa natalachia kuingia mungu atangulie