MAOMBI YA KUFUNGUA MBINGU // OMBA MPAKA MBINGU ZISEME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 153

  • @maureennaliaka8936
    @maureennaliaka8936 3 หลายเดือนก่อน +2

    Baba naungama dhambi zangu mbele za mm mwenye dhambi mno tazana nakosea Ila wanirehemu na kunipa pumzi Tena eee bwana nikumbuke usinwache naomba unisafishe unitakase maana maovu yangu yanafanya uwe mbali nami baba nirejelee bwana usiwacha baba nami nibariki nikapate kukomboa familia yangu katika umasikini nijalie katika kazi yangu nitia nguvu baba nashukuru kwa kila wakati na katika kila majira zadi kuwa nami baba 🙏🙏🙏😘

  • @hailethandrea5862
    @hailethandrea5862 3 หลายเดือนก่อน +7

    najiunganisha na maombi haya kwa jina la Yesu Kristo naomba Mungu wa mbinguni achilia kibali kinachosubiriwa kazini ili tuweze kuanza. kazi. ni wew pekee Mungu unaweza kufanya njia pasipo njia kuondoa ugumu na makwazo yote usiku wa leo, Mungu jitwalie utukufu katika hili na kipatikane hicho kibali kwa jina la mwanao Yesu lenye nguvu. nimeomba na kuamini

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sylvia Asante mungu wa mbinguni hakuna mwengine kama wewe,baba naomba uzidi kunitetea maana kama siwewe bwana mm haki singekuwa hai.nashukuru mungu kwa kuwa umenishikilia kwa mkono wako wa kuume wenye nguvu🙏🙏🙏♥️♥️❤️🙌

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 3 หลายเดือนก่อน +5

    Amen Mungu kumbuka watoto wangu wakujue Baba yetu aliye juu mbinguni na inchi mponye mamangu pia Baba mzazi naomba amani kwetu

  • @janethkahenza9809
    @janethkahenza9809 3 หลายเดือนก่อน

    Asante BWANA YESU kwa wema wako hata SASA umetusaidia nashukuru kwa jina lako takatifu🙏🙏

  • @Benetiwillibard
    @Benetiwillibard หลายเดือนก่อน

    Ee bwana yesu mikonon mwako ninaiweka loho yangu naomba unisamehe makosa yangu nahitaji nikupate baba uliye mbinguni ukaongezeke kwenye maisha yangu

  • @janepherodouri3393
    @janepherodouri3393 3 หลายเดือนก่อน

    Amen unisamehe kwa yote ambayo nimetenda kwa ukumbavu na pasipo kujua Bali uniongoze kwa njia zako🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌takatifu amina

  • @DalilaSaid-e1n
    @DalilaSaid-e1n 3 หลายเดือนก่อน

    Anza NAMI BABA..Nakushukuru YESU kwa Afya na uzima me na family yng.Tunaomba kibali chako

  • @ellyp.p2237
    @ellyp.p2237 3 หลายเดือนก่อน

    Ehh Baba tazama mimi nimwenye dhambi naomba huruma yako iwe juu yangu,nakuomba ukanifungue vifungo vyote nibariki namimi niweze kuitwa mama kama watu wengine naomba na kuamini amina

  • @PeninaDeo-sg4hh
    @PeninaDeo-sg4hh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu kwa mwezi mwingine tena,Mungu naomba kashughulike na maisha yangu,familia yangu,elimu yangu pamoja na mahusiano yangu bwana ukaonekane🙏

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu asante sana hata sasa umenisaidia sikusitahili haya yote lakin wewe umenistahilisha sina cha kukulipa zaidi ya kusema asante.Umekuwa na mimi na wote ambao nilikuwa nawaombea kwenye mfungo toka tarehe moja mwezi wa sabab hadi sasa mwezi wa nane 😭😭ni wengi tulioanza nao safari lakin hawakufika mimi ni nani Bwana 😭😭nimefika leo .Nakoswa kitu cha kukulipa zaidia ya neno asante😭🙏🙏🙏

  • @laulenceakisigiro
    @laulenceakisigiro 3 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu asante mungu wangu Niko hapa mm mwenye dhamani shuka juu yangu sasa😢

  • @condradanyoni6556
    @condradanyoni6556 3 หลายเดือนก่อน

    Aza nami mwenzi huu ,naomba hekima katika maisha yangu yesu nisaidie

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu tawala maombi nyangu ambayo nimaomba m2zimzima mungu tawala kw Kwa jina laYesu amen

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante roho wa mungu kwa KIBALI HIKI CHA ibada hii 🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾AMEN AMEN 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @graceneema9934
    @graceneema9934 3 หลายเดือนก่อน

    Ee mwenyezi mungu ondoa vikwazo vinavyozuia viza yangu kwa jina la yesu

  • @sonboy2023
    @sonboy2023 3 หลายเดือนก่อน

    Eee MUNGU Wangu gusa Malang ya Moyo wangu...niinue Baba❤🙏

  • @ZaifathAhmadnapokea
    @ZaifathAhmadnapokea 3 หลายเดือนก่อน

    Baba wambinguni wewe ndo kimbilio langu wewe wanijua kuliko ninavyojijua naomba unifanikishie maitaji yangu yanayonisumbua naomba nikiamini Ameeen

  • @leonardobulalu
    @leonardobulalu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Yesu Kristo Anza na mimi maombi ya mwezi huu usiache Bwana

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Bwana nko hapa madhabahuni pako nkumbuke katika mahitaji yangu

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 3 หลายเดือนก่อน

    Anza nani Bwana Yesu mwez huu katika damu ya Yesu Kristo

  • @laulenceakisigiro
    @laulenceakisigiro 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante yesu kwa mwezi mwingine nineema Yako najiunganisha madhabahu hii kwa jina la yesu❤

  • @eveabasi2469
    @eveabasi2469 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana baba wa mbinguni Kwa kunitia nguvu kipindi chote cha mfungo naimani kila kitu kimekwisha naanza mwezi mwingine wa August kwa ushindi

  • @BellahAmira-n9k
    @BellahAmira-n9k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Mungu 🙏,Kwa Wema Na Rehema Zako,Naomba Uanze Nami ...Unapozuru Wengine Usinipite..

  • @joycemwari2069
    @joycemwari2069 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu unisaindie mwezi huu huwe mwezi wa Baraka kwangu na Familia nyangu amen aeeeee Jesus mighty name

  • @JamilaKusiluka
    @JamilaKusiluka 3 หลายเดือนก่อน

    Na Mimi mungu nimechelewa maombi yangu Mungu naomba uya pokee nimekua nime Kua mzito Sana Mungu sijui Nini kipo kwenye Mili Wangu kinacho nipa uzito Mungu kiondoke kisitoe uweponi Pako niseme Nini Mungu kweli akili yangu imefika mwisho nisaidie bwana

  • @beatusdaniel
    @beatusdaniel 3 หลายเดือนก่อน

    Asanteeee San mtumishi wa mungu Yale maombi uliyoyaomb yalikuwa yananihusu mm ninaamin mung akubariki San

  • @EstherBitengo
    @EstherBitengo 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana Yesu umekua mwama kwangu,Kwa Neema yako nimekamilisha mfungo huu Baba 🤲 ninakushukuru na kulisifu Jina lako,Baba ANSA NA MM MWEZI HUU WA 8UWEPO WAKO UONGEZEKE SIKU ZOTE AMINA 🙏🙏🙏

  • @Njeriblessings-v9b
    @Njeriblessings-v9b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah Hallelujah 👏

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU nipe ushuhuda mahali wanadamu waliposema hakuna njia hapo NDIPO nataka ujidhihirishe MUNGU wangu

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika wewe ni Bwana! Hakuna mwingine kama wewe Yesu. Asante kwa kujibu kwa moto! Nakuamini kwa asilimia mia Yesu wangu.

  • @AnnambisseSikoyo
    @AnnambisseSikoyo 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa uweza wako na Kigali cha kuingia mwez mwngne 🙏

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu naomba baraka mimi na watoto wangu Baba

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 3 หลายเดือนก่อน

    Asante. Yesu kumaliliza mfungo wetu salama kwajinala. Yesu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 3 หลายเดือนก่อน

    Roho ya adui anaeleta uzito ktk mipango yote ya tarehe 31.8 aondoke kwa kua ni lango la majira mapya ktk jina la Yesu

  • @JulianaDomu
    @JulianaDomu 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unipe kibali cha kusonga mbele changamoto zote ninazopitia nionyeshe njia ya kutokea nakuamini amen

  • @NannyNanny-fo9yh
    @NannyNanny-fo9yh 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏 nimefuatilia mafundisho Yako mtandaoni nimebarikiwa sana t

  • @eptz2020
    @eptz2020 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anza nami Bwana Yesu akili yangu imefika mwisho anza nami eeeh Bwana.

  • @JaneSimon-w2j
    @JaneSimon-w2j 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba ukumbuke watoto wangu milanngo yaajira ifunguke na mahitaki yao yatimie

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 3 หลายเดือนก่อน

    Amen waanguke mbele yangu kwa jina la YESU

  • @JoshuaMaganigani
    @JoshuaMaganigani 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana fungua moyo wangu NAMI nipokee, milango yangu NAMI ifinguke😂

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 3 หลายเดือนก่อน

    Eee sikiza maombi yangu simama na familia yangu otoa usingixi kwenye macho yangu nipate kusikia neno lako na maombi ya hii madhabau simama na mtumishi wako ibada ya hapa yote naikabithi wewe bwana amen

  • @ELIYAMWANA
    @ELIYAMWANA 3 หลายเดือนก่อน

    Fungua Milango kwangu baba huu mwezi ❤😂😢

  • @amisakiza1538
    @amisakiza1538 3 หลายเดือนก่อน +1

    Neema yakoyatosha kwetu Yesu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 3 หลายเดือนก่อน

    Baba nakukabidhi shughuli yetu tarehe 31.8 ktk jina la Yesu amani utulivu furaha shangwe vitawale anga lote pale ukumbuni

  • @ellyp.p2237
    @ellyp.p2237 3 หลายเดือนก่อน

    Ehhh Mungu tazama wewe pekee ndounajua nini nakipitia katika kutafuta uzazi miaka tisa ni mingi baba naomba unibariki na mimi nihisi furaha kama wazazi wengine wanavyo hisa🤲🤲🤲🙏🙏

  • @evelynmbeyu8309
    @evelynmbeyu8309 3 หลายเดือนก่อน

    ASANTE BWANA YESU KRISTO KWAKUNIWEZESHA NA KUNIFANIKISHA

  • @laulenceakisigiro
    @laulenceakisigiro 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mungu unaye weza kwangu kwajina la yesu

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana ni wewe uliye niwezeshe Bwana 🙏

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 3 หลายเดือนก่อน

    Asente yesu kwaku maliza mfungo ingawapo nilikutanana na vikwazo lakini ulinishindiya

  • @edwinyevodius854
    @edwinyevodius854 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Yesu kwa kunionekania katika maisha.
    Naomba Yesu wangu kwa kibali iki ulicho nipatia na rehema zako na kuniwezesha kuona mwezi huu wa 8 Akika matendo yako hayachunguziki

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu mkono wako usitoke Kwa maisha yangu

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i หลายเดือนก่อน

    Ak mungu anasababu kwa kunikutanisha na madha haya ya Siri ya biblia

  • @NeemaEdimond
    @NeemaEdimond 3 หลายเดือนก่อน

    Asante MWENYEZI MUNGU Kwa kunipa Neema ya kufika mwezi mwingine Tena, UTUKUFU Kwa YESU

  • @Nani-ww8yg
    @Nani-ww8yg 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Thank you lord for everything in my life protect me and my children .

  • @laurentndowa2304
    @laurentndowa2304 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante MUNGU, Ahsante YESU 🙏

  • @heltrudahbruno2068
    @heltrudahbruno2068 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana YESU asifiwe wapendwa,, tafadhali Kwa yeyote anaejua Majina ya nyimbo mbili hizi za mwazo aniambie tafadhali🙏🙏

    • @deoelias841
      @deoelias841 3 หลายเดือนก่อน

      Sijui jina la wimbo lakini ninajua jina la muimbaji, ni mwana wa Aaron kama sijakosea

    • @deoelias841
      @deoelias841 3 หลายเดือนก่อน

      Victor Mwana wa Aaron

  • @BellahAmira-n9k
    @BellahAmira-n9k 3 หลายเดือนก่อน

    Iko Sawa Saa Hizi , Ahsante Yesu 🙏

  • @amarulabishop1754
    @amarulabishop1754 3 หลายเดือนก่อน +1

    namunganisha promise munene na hii maombi mungu mukumbuke usiku wa leo jevoha

  • @MoseemliyRamadhani
    @MoseemliyRamadhani 3 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu asete kwa kunivukjusha mwezi mwingine

  • @JamilaKusiluka
    @JamilaKusiluka 3 หลายเดือนก่อน

    Nakosa hata lakusema mbele yako Mungu lakini wewe wanijua Sana Mungu shuhulika Na Mimi bwana familia yangu yote Na ikabizi kwako watoto wangu mume mama yangu wadogo zangu Mimi mwenyewe wote tuna jinyenye keza kwako shuhulika Na magumu yangu yote bwana nikisema niyaandike nimengi Sana lakini wewe wayajua yote Mungu Wangu Nina omba msaada wako amina

  • @emimahillary7789
    @emimahillary7789 3 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo kaimba nani
    Anza nami eeh Yesu

  • @HappinessPhilipo
    @HappinessPhilipo 3 หลายเดือนก่อน

    Naona nguvu kubwa ya ROHO MTAKATIFU ikitembea

  • @SarhKinia
    @SarhKinia 3 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha ibada hii eee mungu usinipite bwana

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 3 หลายเดือนก่อน

    Anza na Mimi Yesu,,, ahsante Kwa kumaliza mwezi wa July Kwa usalama,,,ahsante Kwa ukuu wako tazama Leo nimeiona August si Kwa uwezo wangu bwana Bali ni wewe,,, ahsante Kwa wanangu, wajukuu,ukoo wa baba yangu na mama yangu jina lako lihimidiwe🙏🙏🙏🙏🙏

  • @justicemollel4928
    @justicemollel4928 3 หลายเดือนก่อน

    AMEN!! nami nimejiungamanisha na maombi haya ya kutoka madhabahu ya Siri za Biblia katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo ili na mimi Justice L. Raphael niweze kupokea yale makusudi ya KIMUNGU aliyoyakusudia juu yangu na juu ya familia yangu , ndoa yangu , huduma na utumishi wangu , biahara yangu na kazi yangu ya udaktari wa mifugo kwa ngazi ya seneor livestock field officer 1. Ee Mungu usikiaye maombi ya watu waki wenye haki naomba Mungu sikia maombi haya tuliyojiungamanisha nayo ukajibu Mungu wetu Mkuu. AMEN!!

    • @justicemollel4928
      @justicemollel4928 3 หลายเดือนก่อน

      Pastor Innocent Mashauri Mungu wa mbinguni akubariki akutunze na akulinde pia akuhifadhi kwa sababu ya kile ambacho Mungu amekubebesha ndani yako.

  • @ErikiKilenga
    @ErikiKilenga 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kwajili ya neema yako❤❤ MUNGU

  • @JovitaBuberwa-zh1gl
    @JovitaBuberwa-zh1gl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Asante yesu

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 3 หลายเดือนก่อน

    roho ya bwana fanya kazi mbele yangu

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu, unikumbuka Bwana

  • @JacklineKwamboka-j9j
    @JacklineKwamboka-j9j 3 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu Asante yesu kwa mOmbi haya

  • @SimoniZakayo-pc6ew
    @SimoniZakayo-pc6ew 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba usinipite

  • @VeronicaMartine-gs5wk
    @VeronicaMartine-gs5wk 3 หลายเดือนก่อน

    Ee bwana
    Hambo hili kwangu ni mlima tamalaki mungu mwenye nguvu

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i หลายเดือนก่อน

    Ak mm nashukuru mungu sana kwa uzima na neno lake

  • @frolencinahenry2407
    @frolencinahenry2407 3 หลายเดือนก่อน

    Rehema zako ziwe juu yangu

  • @roselynemutimba8191
    @roselynemutimba8191 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Bwana Yesu kristo 🙏

  • @MaseaKerry
    @MaseaKerry 3 หลายเดือนก่อน

    ❤Asante sana Yesu Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙌

  • @innocentpatrick5086
    @innocentpatrick5086 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @SarhKinia
    @SarhKinia 3 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana kwa NEMA yako kwa siku ya leo

  • @bumiabsalom851
    @bumiabsalom851 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu wangu kwaajili ya siku hii

  • @SarhKinia
    @SarhKinia 3 หลายเดือนก่อน

    Tawala maisha yangu bwana

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 3 หลายเดือนก่อน

    Nakushuku Mungu naomba usinipingukie Baba nikumbuke mimi na familia yangu Baba mwema

  • @ErikiKilenga
    @ErikiKilenga 3 หลายเดือนก่อน

    ASANTEEE MUNGU KWA IBADAA HIIII YA KUKAMILISHA MMFUNGO HAKIKA NIMEUONA UKUU WAKO

  • @innocentpatrick5086
    @innocentpatrick5086 3 หลายเดือนก่อน

    ASANTE LUGHA YA USHINDI🙏,

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 3 หลายเดือนก่อน

    Haleluyaaaaaa! Asante Yesu

  • @FaridaMselele
    @FaridaMselele 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Mimi nateswa na madeni Sina amani , niombee, nakosa usingizi nateseka

  • @LindaAmani-qq3ps
    @LindaAmani-qq3ps 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba ukumbuke,maisha,yangu

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 3 หลายเดือนก่อน

    Asante MUNGU Asante YESU

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 3 หลายเดือนก่อน +1

    AMEEEN

  • @amisakiza1538
    @amisakiza1538 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kwaneema yako hisiyo punguwa

  • @mumnicole
    @mumnicole 3 หลายเดือนก่อน

    Umeinuliwa juu mfalme

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu asante Yesu

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i หลายเดือนก่อน

    Asifiwe yesu mutumishi

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana mungu asante

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana Yesu kwa mwezi July na kuuona mwezi August 2024 Baba

  • @ellyp.p2237
    @ellyp.p2237 3 หลายเดือนก่อน

    Anza na mimi Baba

  • @ezekielmwau7320
    @ezekielmwau7320 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏

  • @SarhKinia
    @SarhKinia 3 หลายเดือนก่อน

    Nena nami bwana

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu wa.majeshi