LIVE: MAOMBI YA USIKU YA KUMKUMBUSHA MUNGU // MWAMBIE UTAKACHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Isaya 43:26
    Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 78

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu najiunganisha na maombi haya nipate kibali Cha kumpata mweza wa maisha yangu

  • @AntinHawile-rw9fj
    @AntinHawile-rw9fj 5 วันที่ผ่านมา

    mungu wangu najiunga na maombi haya leo naomba kibali chakuku amin mungu wangu nipe uvumilivu katika shida zangu hata kama kuna meng yanatokea lakn ipo sikutu nitaimba nyimbo ya shukran kwako baba angu naomba niokowe kwa aibu hii babaangu naomba niponyee magonjwa yangu pia naomba mshumba wangu mpe moyo wauvumilivu asinishoke na visingizio vyangu bali aaminitu kwamba ipo siku tutakuwa pamoja tu baba naomba usiniaibishe kwamana tegemeo langu li mkoni mwako baba nisaidie

  • @KALUNDAELIE
    @KALUNDAELIE 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kwamafudisho Yako nasikiya nafajirika sana 🙏 mimi naomba mungu atusamehe dhambi zetu 😢

  • @BerthaHumbe-ub8tr
    @BerthaHumbe-ub8tr 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu najiungamanisha na maombi haya naomba umrudishe mume wangu ulisema utatenda nakungoja baba unitendee baba amen

  • @doricejoel7228
    @doricejoel7228 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nikumbuke Baba yangu na Mungu wangu hata kama vyote vinaonekana kufika mwisho ila wewe waweza mambo yote ondoa aibu yangu Baba

  • @MagrethChinyele
    @MagrethChinyele หลายเดือนก่อน +1

    Munguuu nakushukuruuuu sanaaaaaa kwa yoteeee na naweka nadhirii sintaacha kukutafutaaa ww na hatas nikitendewaaa Bado nitakutafuta we

  • @user-rf3zz1lb6l
    @user-rf3zz1lb6l 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Yesu kwa haya mafundisho tunashukuru sana kwa mtumishi wako mtumie ikupasavyo. Bariki maombi yetu na mafundisho ya Siri za bibilia. Amen Amen Amen ❤

  • @user-no5hk4px7u
    @user-no5hk4px7u 4 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu wangu usikubari niaibike mbele ya Adui zangu nikumbuke Ee Mungu wangu🙏🙏

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba toba kwa ajili ya wazazi walipokea waganga na ardhi ikalaaniwa baraka za Mungu zikaondoka Baba rejesha baraka zako kwa familia yangu na nyumba yangu damu ya Yesu katakase

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba toba kwa ajili ya mzaliwa wangu wa kwanza Baba kafanye malango wazi baraka za familia zipitie kwako Yesu

  • @happynessmulyalya3428
    @happynessmulyalya3428 19 วันที่ผ่านมา

    Eeh , Mungu ulisema maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele zako naomba nifanye kuwa mpya......unikumbuke katika hitaji la moyo wng........eeh Mungu wewe uliyemuumba Eva awe msaidizi wa Adam.....nakuomba bwana nipatie nami Adam wng.....Mungu nakukumbusha kwa habari ya mahusiano yatakayopelekea kwenye ndoa

  • @JacklineGabrielSumbizi
    @JacklineGabrielSumbizi 4 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha namaombi ya usikuhuu mungu naomba unipe aja ya moyo wangu niww baba unanijua vema

  • @MarcelBlessing-ef7rz
    @MarcelBlessing-ef7rz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anikumbuke kwa kunibarikia kazi kupitia mtumishi wa Siri za bibilia . Amen ❤

  • @Baraka-jm4lx
    @Baraka-jm4lx 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu aniponye, aokowe maisha yangu na familiya yangu !!! Anipe ndowa ya amani na furaha

  • @annnjeri4121
    @annnjeri4121 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wangu sijasahau uliniahidi utanitendea ninakongoja bado ni kiamini ahadi zako ni za milele na Amen in the name of the Farther the Son and the Holy spirit

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Baba fanyika baraka kwa mkwe wangu ktk biashara zake Jehova ondoa dhana ya umaskini ktk familia yangu wote tuweke pale juu tunashukuru kwa yote mfalme

  • @ElizabethSalama-pg1bq
    @ElizabethSalama-pg1bq 5 หลายเดือนก่อน

    Amen,Mungu naomba uzidi kupigania familia yangu pamoja na kazi yangu ,pia nipate Amani ya moyo

  • @loemaangelo8779
    @loemaangelo8779 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu nitendeee wewe ndiyo utanikomboa najiungamanisha na maombi haya ya leo bwana nibariki mbariki na mtumishi anayetulisha neno lako

  • @DoraTemba
    @DoraTemba 24 วันที่ผ่านมา

    Mungu kumbuka maombi yangu kuhusu biashara yangu

  • @AnnastaciaKarabu
    @AnnastaciaKarabu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekwama kwa ndoa...nahitaji ndoa nahitaji amani ndoa yangu itimie kwa jina la Yesu...

  • @fatmahussein2146
    @fatmahussein2146 4 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na maombi haya mungu baba mrejeshe mume wangu vicent kwangu mtoe ktk kifungo Cha Giza alichofungwa nampenda na kumhitaji Sana mungu nakuomba uniguse Sasa

  • @edinamtemela9214
    @edinamtemela9214 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nakukumbusha kwa habari ya kupata ndoa sahihi nakukumbusha kwa habari ya kuondokana na umaskini kwangu nakukumbusha kwa habari ya afya yangu

  • @Damaalll
    @Damaalll 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu najiunganisha na maombi haya nipate kibali kumpata mwenza wa maisha yangu

  • @agnesssoka395
    @agnesssoka395 2 หลายเดือนก่อน

    nashukuru Mungu kwa kuwa tayar umenirejeshea hashima na kuniondolea roho ya madeni sasa, nikienda sawasawa na neno la mungu kutoka isaya43;26

  • @NaumiBaya
    @NaumiBaya 5 หลายเดือนก่อน

    Unapozuru wengine usinipite jinsi ulipoanza na mimi naomba umalize na mimi in Jesus name I pray.

  • @arsenelucas
    @arsenelucas 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nimekuja kwa imani pia maombi ya siku ya leo unikumbuke namimi kwama itaji zangu zote ata kama nimechelewa bado najuwa kama baraka zangu ziko apa nanitapokea majibu ya maombi yangu kwa imani Amen🙏🏽🙏🏽

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na.madhabahu hii MUNGU nikumbuke mimi na familia yangu Baba

  • @GlorySumaye
    @GlorySumaye หลายเดือนก่อน

    Emungu mwenyezininajikabizi katika mabhabahu hii ninakuomba ucnipite mwokozi wangu umkumbuke mtoto wangu bahati

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Baba nakukumbusha kuhusu kijana wangu muweke ktk wito wake uliomuitia Baba maana amekwama hana ajira biashara wala mahusiano Jehova

  • @GlorySumaye
    @GlorySumaye หลายเดือนก่อน

    Emungu mkumbuke mtoto wangu bahati pamoja naanjela bariki biashara yangu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Baba kumbukua biashara yetu Jehova fungua milango wateja waonekane Baba Mungu

  • @furahamkonda5112
    @furahamkonda5112 วันที่ผ่านมา

    MUNGU NAJIUNGANISHA NA MAOMBI HAYA NISAMEHE MAOVU YANGU NIPATE KAZI SERIKALINI, WAZO ZURI LA BIASHARA, UFUNGUE MILANGO YA KIFEDHA KWA RAFIKI YANG YUSUPH, ULINZI KWENYE FAMILIA YANGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA.

  • @JamilaKusiluka
    @JamilaKusiluka 5 หลายเดือนก่อน

    Re Mungu nipo hapa mwanao nakukumbusha nipatie uzao tena niiniu kibishara mpe toto wangu husna mume wakufanana Nae Na kazi pia

  • @JamilaKusiluka
    @JamilaKusiluka 5 หลายเดือนก่อน

    Muinue Mwangi Juma kielimu ajekua daktar au hakimu Na Mwanangu husna muinulie kazi Mungu ninaomba Mungu type Maisha malefu Na mzazi wangu watoto wangu wadogo zangu Mimi Na mume wangu pia

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 5 หลายเดือนก่อน

    Amen eeee mungu wangu ukasikie kilio chako

  • @Judith-mw4ys
    @Judith-mw4ys 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu kumbuka nyumba yangu🛐

  • @PascaliaKalekye
    @PascaliaKalekye 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu unajua Yule dada amekuwa akinipa machozi Kwa ndoa yangu kila saa anatumia mume wangu sms ili wakae wakiniumiza moyo wangu baba naomba ukanyamazishi Kwa Jina la yesu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Baba ulisema kwenye isaya 43:26 neno lako ni ukweli na uzima changamoto zote ktk maisha ya watoto wangu mkwe mimi na wajukuu baba tazama deadline za mahangaiko yetu Jehova

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu kumbuka ile kesi simama Baba unitetee nishinde nipate stahiki zangu Baba

  • @aggyandrew9506
    @aggyandrew9506 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu hakika wewe jua haja na kiu ya moyo wangu

  • @EdwardKadala-fp2js
    @EdwardKadala-fp2js 4 หลายเดือนก่อน

    Nakukumbusha sawa saw naisaya 43 juu ya biashara yangu baba Niko mbele zako nahitaji nguvu zako

  • @madamtedyjoseph9175
    @madamtedyjoseph9175 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu nikumbuke baba naomba mtoto kwenye ndoa yangu

  • @maimukanabora8751
    @maimukanabora8751 5 หลายเดือนก่อน

    Ee Yesu usinipite umponye mama yangu koo Aifoo

  • @arsenelucas
    @arsenelucas 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu wangu wa mbinguni

  • @EdwardKadala-fp2js
    @EdwardKadala-fp2js 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu kumbuka Sina kosa ingilia kati unajua napitia Nini ktk haya mahusiano. Nikumbuke

  • @ApiaTweve
    @ApiaTweve 4 หลายเดือนก่อน

    Naumba mungu anikumbuke kupitia madhabahu hii

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in 5 หลายเดือนก่อน

    Nakukumbusha Mungu unipe mume sahihi kuanzia leo

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 5 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen Asante MUNGU 🙏🏼🙏🏼❤️

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Mipango yote ya ndoa kwa binti yangu naiacha mikononi mwako Baba kile ulichokianzisha ukakamilishe Mfamle wa amani

  • @bithwangi1008
    @bithwangi1008 5 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu

  • @frolamussa9862
    @frolamussa9862 5 หลายเดือนก่อน

    Yesu nikumbuke nipate ajira na mchumbs

  • @EdwardKadala-fp2js
    @EdwardKadala-fp2js 4 หลายเดือนก่อน

    Bila mungu nisinge Toboa mungu naajua unaskia sijamsingizia mtu nimeiona Kwa macho yangu lakini naonekana mjinga

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    BABA KOMBOA ARDHI YA NYUMBA NA FAMILIA YANGU DAMU YA YESU IKANENE MEMA KATIKATI YA MAISHA YANGU NA WATOTO NA WAJUKUU KTK DAMU YA YESU

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 5 หลายเดือนก่อน

    Baba nitunzie ajira ya mtoto wangu aendelee kua kioo apandishwe cheo na masomo ya masters Baba kampiganie umweke patakatifu patakatifu Baba

  • @evelynenduwimana-rt8it
    @evelynenduwimana-rt8it 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Ameeen

  • @GlorySumaye
    @GlorySumaye หลายเดือนก่อน

    Emungumwenyezi ninakuomba unijibu maombi yangu ebwana

  • @NovatusSweetbert
    @NovatusSweetbert 5 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @AngellaSalim-kc6tc
    @AngellaSalim-kc6tc 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nakiunganisha maomb

  • @monicajackisoni5865
    @monicajackisoni5865 5 หลายเดือนก่อน

    Ee Bwana wewe wajua hitaji la moyo wangu usinipite usiku wa leo amen

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 5 หลายเดือนก่อน

    Ukasikie kilio changu🤲🤲🤲🤲🤲

  • @christinajoseph261
    @christinajoseph261 5 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu Baba Kwa jina la Yesu nakukumbusha nahitaji ndoa, kazi nyingine, afya njema

  • @LucyIwsy
    @LucyIwsy 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu kubuka family nyangu

  • @AngellaSalim-kc6tc
    @AngellaSalim-kc6tc 5 หลายเดือนก่อน

    Simama nasi eebwana ktlk maombi haya

  • @GiftMusa-bt1ns
    @GiftMusa-bt1ns 2 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu nikumbuke mtoto wako

  • @EdwardKadala-fp2js
    @EdwardKadala-fp2js 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nikumbukuke

  • @AaAa-ue5di
    @AaAa-ue5di 3 หลายเดือนก่อน

    Amen👏👏

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin 5 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @StevenRobert-v4x
    @StevenRobert-v4x 2 หลายเดือนก่อน

    Amen stay blessed 🙏

  • @bithwangi1008
    @bithwangi1008 5 หลายเดือนก่อน

    Ndio bwana

  • @carolinep.maziku2922
    @carolinep.maziku2922 5 หลายเดือนก่อน

    Rekooo Kanda ya mandi' hii ni lugha gn tafadhar na ikiwaa na maana gn

  • @BerthaHumbe-ub8tr
    @BerthaHumbe-ub8tr 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu najiungamanisha na maombi haya naomba umrudishe mume wangu ulisema utatenda nakungoja baba unitendee baba amen

  • @Damaalll
    @Damaalll 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @nicki1885
    @nicki1885 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu

  • @ElephinaWalengamina
    @ElephinaWalengamina 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Dinah-o3r
    @Dinah-o3r 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @alicebitanga-t7z
    @alicebitanga-t7z 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @SandraFatuma-r4y
    @SandraFatuma-r4y 5 หลายเดือนก่อน

    Amen