Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/5

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @rashikasid2105
    @rashikasid2105 3 ปีที่แล้ว +2

    Kila ukimsikiza shekh ilunga kila siku tena kwa mada moja hiyo hiyo, utajifunza kitu kipya.
    Kwa sharti uwe mwanaharakati unayejua lengo la kuletwa mtume Muhammadi s, a, w.
    Allah amghufirie na amrehemu shekh na mwalimu wetu na amuweke mahala pema peponi pamoja na wacha Mungu.

  • @soudsanga6119
    @soudsanga6119 10 ปีที่แล้ว +3

    Sh ilunga umekua na jasir ktk kutetea Islam Allah akurehem na cc uliotuacha tutazid kuendleza harakat zk inshaallah

    • @aliandrew3537
      @aliandrew3537 6 ปีที่แล้ว +1

      Soud Sanga hawa ndo mashehe ndo tunataka waliobaki hawafai na kuondoka kwa ILUNGA NA ABOUD ROGO hili ni kubwa na mtihani kwa mashehe walio baki waendeleze waliokua wanatufunza wasiogope kufa wamwogope ALLAH sasa mashehe hatutaki mawaidha mengine zaidi ya kujua njia yakukomboa usilamu na kuupa uislam utawale duniani

    • @suleimanbakari400
      @suleimanbakari400 5 ปีที่แล้ว +1

      Soud Sanga cjiu kama atakuja tokea sheikh kama huyu, allahu makfilahu.