KUAMURU KUTOLEWA NJE YA BUNGE KIONGOZI WA UPINZANI KWAIBUA TAFRANI BUNGENI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 56

  • @aishadevid5463
    @aishadevid5463 5 ปีที่แล้ว

    Wanalipwa hela nyingi sana bila sababu za msingi na huku hawasaidii hata ombaomba wilayani kwao, me napendekeza Wawe wanalipwa laki tatu kwa mwezi zinzwatosha

  • @fmdmtewele1697
    @fmdmtewele1697 8 ปีที่แล้ว +1

    wabunge Wa upinzani si sehemu ya kutetea maslahi ya vyama vyao km walivo wabunge Wa chama tawala ,ni Lazima wasimame imala kuikosoa serikari pale inapokosea hilo wrote tunalijua.so wakati Wa kusema Ndio kwa kila kitu.

  • @Msonjo
    @Msonjo 7 ปีที่แล้ว

    sijui kiswahili Na sitaki kujifunza

  • @ramsobeca9578
    @ramsobeca9578 7 ปีที่แล้ว +1

    speak nimamlukiii katumwaaaaa

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666
    @fadhilikyandofadhilikyando5666 ปีที่แล้ว

    Ndugai hajuii kuongoza bunge

  • @dainesszuberyguii6040
    @dainesszuberyguii6040 7 ปีที่แล้ว

    mhuuu!!!!khaaaaa kazi ipooooo mbona mambo yanakuwaaaaa hiviiii mnatufundisha nini wananchi wenuuuu....

  • @merryjonasani3452
    @merryjonasani3452 6 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiiiiiiiiiiii dunia simama nishukeeeee

  • @agatherlusepo1627
    @agatherlusepo1627 6 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀bunge l tz sawa n maigzo ya itv 😁😁😁😁

  • @aidannzowa5502
    @aidannzowa5502 6 ปีที่แล้ว +1

    Mfumo w chama kimoja kwa kivuli!

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 6 ปีที่แล้ว

    hivi jamani mie napenda kujua, bunge LA nyerere mkapa na mwinyi lilikuwaje labda litanifariji Mimi mbona mtandaoni kama siyaoni

  • @simonkilonzi2575
    @simonkilonzi2575 5 ปีที่แล้ว

    watz kwn hko mumekwa kama huku kenya

  • @florencemgoyo9273
    @florencemgoyo9273 5 ปีที่แล้ว

    injiniaaa somaaaa hiyooooo nasema webinjinia somaaaaa

  • @tiktoktdmdynamo3100
    @tiktoktdmdynamo3100 4 ปีที่แล้ว

    Nimeona anasoma kitu kwenye simu kwa kuibia ibia ... kuna nn apo..... tutumie maji tiririka tu

  • @hafidhisuleiman2177
    @hafidhisuleiman2177 7 ปีที่แล้ว +1

    msiba

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 5 ปีที่แล้ว

    Wapinzan mtakaaaa hvo hvo tyuuuu hamuwez kupata nje

  • @marychacha825
    @marychacha825 7 ปีที่แล้ว

    waongee ccm tu haaaa nchii hii itabadlika upinzani wakiongoza

  • @rafaelighambi2605
    @rafaelighambi2605 5 ปีที่แล้ว

    No longer at is

  • @dicksonmrema7584
    @dicksonmrema7584 5 ปีที่แล้ว

    Ubabe unatawala lazima hoja zisikilizwe watu sio wapumbavu kupinga kitu

  • @rajabseleman1708
    @rajabseleman1708 6 ปีที่แล้ว

    wabunge hawa hawafai kabisa nini mana yakupelekwa bungeni sioni mana ya upinzani

  • @shahibuswalehe5101
    @shahibuswalehe5101 6 ปีที่แล้ว

    kiukweli wapinzani mnakela utafikiri watoto bhnaaaa mnafanya mambo ya ajabu,tatizo mnakosea kitu kimoja madaraka hayaji kwa makelele

  • @allyngogomi8611
    @allyngogomi8611 5 ปีที่แล้ว

    huyo nikukwanyua nahakokaguu kengine

  • @antonyvallerian1718
    @antonyvallerian1718 7 ปีที่แล้ว

    muandishi jipange uyu sio naibu spika........swaini

  • @norbertluanda351
    @norbertluanda351 5 ปีที่แล้ว

    Mnatupeleka wapi sasa mnakua kama drs la kwanza

  • @kibasiwakibasi5070
    @kibasiwakibasi5070 7 ปีที่แล้ว

    Haiseee kama bungeni kupo hivyo ,mtaani je kupoje? wabunge badilikeni bwana aaah.

  • @xmjengi4838
    @xmjengi4838 5 ปีที่แล้ว

    Wanaofanya hv hawatakii mema familia zao wajiheshimu tu

  • @mathiaseckon6581
    @mathiaseckon6581 8 ปีที่แล้ว

    Bunge 2016

  • @hamisichuma3270
    @hamisichuma3270 5 ปีที่แล้ว

    hili bunge au uwanja wa fujo

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 7 ปีที่แล้ว +1

    sasa mmenda kufanya fujo jamani mbona mnatia aibu watu wazima ovyo

  • @noelsanga6853
    @noelsanga6853 7 ปีที่แล้ว

    wa uongooo huyo

  • @rajabukashsf3157
    @rajabukashsf3157 5 ปีที่แล้ว

    hatar

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Toka hapo amemvua nani asheni mambo yenu ya hupuhuzi

  • @mrsmrshassan7473
    @mrsmrshassan7473 7 ปีที่แล้ว

    Aibuuu Waheshimiwa hivyooo

  • @fanuelotto7031
    @fanuelotto7031 11 ปีที่แล้ว

    wabunge wa upinzani wanashindwa kutumia nafasi kujitetea na kuionyesha nchi ni namna gani wanavyoweza kuisaidia. Badale yake wanatetea ugomvi. Bunge is not a War ground.Wabunge Jipangeni

    • @user-wc9zg6hk5s
      @user-wc9zg6hk5s 7 ปีที่แล้ว

      Sasa wee unae sema wanao tetea ccm wanakurudisha nyuma unataka upae au fanya Kazi acha mambo weye

  • @charoharrison2077
    @charoharrison2077 5 ปีที่แล้ว

    Unaletaje mambo ya hijab kwenye tafrani ,aibu zako

  • @namanhurumael1806
    @namanhurumael1806 8 ปีที่แล้ว +2

    wanaoishabkia ccm wanaturdisha kwenye utumwa

  • @jacksondaudi853
    @jacksondaudi853 7 ปีที่แล้ว +1

    Tz hakuna bunge kuna waigizaji tu hawo sio wabunge buana

  • @patrickjeremiah8905
    @patrickjeremiah8905 9 ปีที่แล้ว

    Balaaaaaaaaa

  • @alphoncegeorge7382
    @alphoncegeorge7382 7 ปีที่แล้ว +1

    avuliwe tu kama nyie ndo watetezi wa majimbo na maendeleo yake hafu mnabisha hivi si bora tusiwe na bunge au mkapige ....... yuotube

  • @ramadhanmohamed8851
    @ramadhanmohamed8851 5 ปีที่แล้ว

    Makuma kweli hawa makelele mnatufundisha nini tuliowachagua fuck of

  • @tukeimalinga1548
    @tukeimalinga1548 7 ปีที่แล้ว

    wapiga jani kuingia bungeni ndo madhara yake