SPIKA DKT. TULIA ATOA TAMKO ZITO SAKATA LA USHOGA, AIPA MAAGIZO SERIKALI"LIMESHAELEWEKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 193

  • @ramadhanisaidi6955
    @ramadhanisaidi6955 ปีที่แล้ว +33

    Serikali yetu mko vizuri sana ila kwahili la ushoga wanainchi hatulikubali kabsa japo nyinyi mnalichukulia mzaha sana , japo sijasoma ila mnashangaza sana eti mpaka mjue tatizo nikubwa kiasi gani ndoo mtunge sheria ,kwakati munatunga sheria mtu akiiba afungwe miaka kazaa mlipitia wizi uko kiasi gani au mnatudanganya sisi ili muendelee kufanyanya yenu ,tunga sheria ipite anaefikiria kufanya aache aogope nasio kusema mpaka mkatasimini tatizo kubwa kiasi gani ,kumbukeni watanzania ipo siku watachukia afu mtajua sio wapole hivo mnavyo fikiria ,

    • @sospatrongallaba3252
      @sospatrongallaba3252 ปีที่แล้ว

      ICAP, SHEDEFA, ( mza). Japaigo Shinyanga na Mza

    • @johnycavishe5207
      @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว +2

      Serkal inazinguwa alaf kwanza tz inapenda misaada Sana ndo Mana rais wetu yupo kmyaa ad sasa Kwan ukuskia wakubwa fanyen waachen watoto hapo unawaza nn tayar rais kashakbal mbn ushoga tz

    • @jamesjkatimbo5549
      @jamesjkatimbo5549 ปีที่แล้ว +1

      Awa wamekula eka za wazungu waende wenyewe wakazilipe au wapeleke watoto wao wakaliwe nyuma

  • @ransonlema3916
    @ransonlema3916 ปีที่แล้ว +1

    Ngoja Mungu atakaposhusha ghadhabu ya ukame, matetemeko, mafuriko na vimbunga, njaa ndo mtajua Mungu ni wa kuogopwa kuliko wazungu, tumtegemee Mungu peke yake, tuvune rasilimali zetu kwa ustadi, tufannye kazi kwa bidii, tukataei mikataba yenyee laana hizi, tumhofu Mungu

  • @gasperedward
    @gasperedward ปีที่แล้ว +23

    R.I.P JPM Mungu akufanyie wepesi huko uliko Mkuu wetu ungekuwepo upumbavu huu usingekuwepo katika hii Nchi

    • @onelovetz7935
      @onelovetz7935 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mzalendo msema kweli JPM asingekubali ujinga

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 ปีที่แล้ว

      we chizi kwani wakati wa Magu hawakuwepo mashoga? Mashoga wauwawe

    • @nahashuaka4979
      @nahashuaka4979 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @shamaidal6407
      @shamaidal6407 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @gasperedward
      @gasperedward ปีที่แล้ว

      @@mohamedturanardan8871 tumia akili we zwazwa msimamo wa kiongozi mkuu upo wapi hakuwa akiruhusu mambo ya kishenzi kama haya uelewe tabolalasa.

  • @mustafakimalio9129
    @mustafakimalio9129 ปีที่แล้ว +6

    Utafiti ? Wa nn ,,,sema lini Sheria ije,,huu utafiti hadi lini au ndio kuwanyamazisha wasiendelee kuongea kwa kusubiri utafiti duh

  • @abdallahmbeten
    @abdallahmbeten ปีที่แล้ว +2

    Tulia
    Uko vizuri sana nashukuru kwa jibu lako nimelidhika ❤❤❤❤❤ sina swali naomba Mungu akujarie kwa kila jambo,,,, inshallah

  • @salimkaka1050
    @salimkaka1050 ปีที่แล้ว +2

    Kwel tanznia hatuna viongoz imara 😢 yaani mnasubie tatizo likue kwa asilimia 80 ndio mjue kuw limekua au kubwa au 😢😢 kwa ilivyo kwa vile hili suala ni tishio kwa jamii zetu linahitaj kauli moja tu hata kma liwe linaanza sasa , nyiny mmejadil sku zote hizo alaf mmeshindwa kuja na jibu la kuelewek kwel dah inasikitisha san hii 😢😢😢

  • @maase2023
    @maase2023 ปีที่แล้ว +4

    Kwanza huyo joti afungiwe kabisa maana yy anatoa mfano wa vitendo vya wazi kuharibu jamii

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 ปีที่แล้ว +8

    Sipika maelezo mengi toa tamko

    • @sarahkimu1351
      @sarahkimu1351 ปีที่แล้ว

      Eee mungu kwann uliruhusu magufuli afeee

  • @chrisbertludovick8908
    @chrisbertludovick8908 ปีที่แล้ว +4

    Hapa amna kitu kikubwa ni sheria kali nyinyi wa bunge akuna kitu mlicho jadili lolote inahitajika sheria iwe kali mpaka dunia ishtuke mkisema speka kasema amna lolote hapo usanii tuu sheria tunazijua bhana

  • @muhammadfadhil9442
    @muhammadfadhil9442 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hichi kitu si cha kujadili ni kuchukuwa hatuwa madhubuti tu

  • @haidaringugi2734
    @haidaringugi2734 3 หลายเดือนก่อน

    Allah atulinde dhidi ya janga hili la ushoga na adhabu yake

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว +1

    Naomba pitisheni sheria hii. Kwenye mtaa kijiji kitongoji akijulikana ni shoga au msagaji. Wananchi waue wachome moto. Polisi waje wachukue mzoga ndio itakua komesha. Hata bibilia inasema mtu atakae muingilia mwanamume mwenzake mwanamke mwenzake. Kinyume cha maumbile anatakiwa auwawe sio aperekwe mahakamani

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 ปีที่แล้ว +13

    Mna mungunya maneno sema kauri mojatu kama uganda apa nihapanatu basi

  • @ransonlema3916
    @ransonlema3916 ปีที่แล้ว

    Tunapenda kuheshimiwa na kuheshimiana sana, je Tunamheshimu Mungu ktk janga hili la ndoa za jinsia moja? Mbona dawa ni NO, basi!!!

  • @paskaligwangway2597
    @paskaligwangway2597 ปีที่แล้ว

    Inapendeza sana nchi yetu kukutaa uchafu wa ushoga na kusagana , mungu atulinde sote.

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 ปีที่แล้ว +5

    Unataka ijulikane ukubwa wake ili iweje,semenitu kuwa hili Jambo halina maana,kwenu,lakini niwaambie ukweli wabunge nyinyi mnaotumia Kodi zetu msipo kazana kulisema Jambo Hilo Mungu wa mbingu nanchi atalisema Yeye halafu tuta ona mtakimbilia wapi.

    • @evelyneabdul2785
      @evelyneabdul2785 ปีที่แล้ว +1

      tutafanywa kama bazil

    • @geofreykashililika9704
      @geofreykashililika9704 ปีที่แล้ว

      Ht spka anamung'unya tu maneno hamna lolote hamna lolote

    • @geofreykashililika9704
      @geofreykashililika9704 ปีที่แล้ว

      Ko spika unataka upate mda gan had liwe kubwa et hujui Kama hili Ni janga..kmbk linaweza ht kukugusa mwenyewe ww una ndg na jamaa ujue

  • @hilalymaamar6644
    @hilalymaamar6644 ปีที่แล้ว +1

    Sisi sahv viongozi hakuna ni hiyo laana tuu hakuna kiongozi mwanamke kiongozi mwanamke mwanamme kakaa nyumbani anakuna ndevu subhanallah ni msiba mkubwa inna lillah wainna ilayhi raajiuun

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 ปีที่แล้ว +10

    Ukimsikilza huyu mdada unaona kabisa hamna kitu🙄😏😏

  • @barikiringo6311
    @barikiringo6311 ปีที่แล้ว +6

    Unafanyaje utafiti angali mnafanya kazi kwa maneno bila vitendo,

    • @starfourbed8341
      @starfourbed8341 ปีที่แล้ว +1

      Ujinga hauwez ondoaujingamwingine. tunajisahausana ktk kuchaguaviongoz.madharayake ndiohaya

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 ปีที่แล้ว +10

    kwahiyo kama watu wanafirana kwa asilimia ndogo waachwe ? du nchi hii tunapigwa pesa kilakukicha na watu wafirwe ?

    • @Hasnspop
      @Hasnspop ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 tumepigwa aiseee kufirana wanaona poa tu

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 ปีที่แล้ว

      Wanafiriana wapi. Kama ni kwa maficho wako wengi na ni haki yao kama wameelewana na ni watu wazima.
      Kama wanafiriana hadharani,wanapelekwa jela

    • @user-wp5pu1zs8i
      @user-wp5pu1zs8i 4 หลายเดือนก่อน

      😂 nakweli waachwe mtu kama kataka mwenyewe

  • @HermanSasuri-tu6we
    @HermanSasuri-tu6we ปีที่แล้ว +5

    Hapo mheshimiwa spika sijakuelewa, yaani watoto unaowasemea hapo ndo haohao wanaofundishwa mashuleni, kwa hiyo wakati mwingine tungeni sheria za kuweza kulisaidia taifa letu kwa masrahi ya Leo na baadae ,maana tunataka kuishi kwenye nchi ambayo kila kitu kinafanyika hovyo kwa sababu sheria bado hazina nguvu.

    • @nellychamba1507
      @nellychamba1507 ปีที่แล้ว +1

      Sipika sikia, kuhusu hathali ni kubwa, ukubwa unatokana na kurejea kwa aibu na watu kupuuza Sheria, Jambo la msingi Sheria itungwe kwa haraka au kuboresha Sheria kwa haraka, tunasubiri msimamo wa sherikali Kisha Mambo yatakaa sawa, hatupendi ushoga Tanzania.

    • @edchrisbeatz8976
      @edchrisbeatz8976 ปีที่แล้ว

      nelly chamba..hapo sheria itatungwa baada ya miezi 3..yani kwanza wachumguze pili itoke bajeti afu ndo itungwe ..asee tanzagiza..huu ushetani utaendele kuwepo na utakuwa zaidi kwa sababu hii nchi inaviongoz.. wendawazmu

    • @lightnessmushi8137
      @lightnessmushi8137 ปีที่แล้ว +1

      Ina maana mpaka serikali ichungunguze tatizo ni kubwa kiasi ani km sio kubwa!

    • @lightnessmushi8137
      @lightnessmushi8137 ปีที่แล้ว

      Km sio kubwa waendelee mpaka litakapokuwa kubwa?!!!sasa watoto zimewatia shule kwa sababu ya kufundishwa hayo mambo ,bado sio kubwa!!! Ushahidi wa mwakyembena wengine bado sio kubwa,nimungupeke yake aingiliejambohili.hasira ya Mungu haijawahi kuiwakia Tanzania lakini kwa hili itawaka,na hiihasira itahusu hata sisi wote tusiokuwemo,Mungu ni mtakatifu,hawezi kulivumilia hili jambo,angetuacha km hatujui lakini tunafanya tukijua ni kosa,hasira yake itakomesha viungo vyote vitakuwa majivu,zitakosa vyote ni boratukajirekebisha tujaribu atatusamehe,maana yuko tayari kusamehe km tutatubu kwa moyo wa dhati,huo ni ushauri wangu kwa watanzania.

  • @amibeamibe7261
    @amibeamibe7261 ปีที่แล้ว +2

    SIJAPENDA KAULI YA NENO " KIASI GANI" NDO MAANA HATA KTK MAOFISI UFISADI UNAONGEZEKA KISA AMEONEKANA MMOJA NDANI YA WATUMISHI 500. BILA KUJUA KWAMBA NI HATARI KWA TAIFA.

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 ปีที่แล้ว

      Duh hamna kitu hapo Kwa kauli Yako spika hapana inaonekana mlisaini waziwazi kabisa yaani hamna nguvu ya kulikataa kwanini iwe kiasi?

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda 3 หลายเดือนก่อน

    Hatahili unalilionea aibu Kuta
    Mka?ogopeni laana Toka Kwa mungu,kemeeni dhambi achana na siasa

  • @neemapeter4572
    @neemapeter4572 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂sheria zitaletwa.....

  • @emmanuelchiza7733
    @emmanuelchiza7733 ปีที่แล้ว +1

    Napata wasiwasi Hawa viongozi pia watakuwa wanakanyagana sio bure, helmets za ushoga ni kubwa sana miongoni mwao 😎😎

  • @seifomar1477
    @seifomar1477 ปีที่แล้ว

    UNGE TOWA TAMKO KAMA WW KUWA UNALITAKA AU HULITAKI MAANA HIVYO UNAJIBU KISOMI KUWA WW HUNA KAULI NALO

  • @eizerbitz6715
    @eizerbitz6715 ปีที่แล้ว +1

    Tumesahaulishwa mabiloni ya CAG. Hii nchi ni hatari watu wameseti agenda tumesahau kufatilia PESA

    • @salmaalkarousi8764
      @salmaalkarousi8764 ปีที่แล้ว

      Bora tufe njaa kuliko kuuachia ushoga uenee Tanzania

  • @paulhando6286
    @paulhando6286 ปีที่แล้ว +5

    Labda likifikia 50% ndo sheria itungwe? Makonda Makonda yuko wapi? Tuliona anavunja haki za binadamu..Sasa yaliyowajuta Dodoma na gomora yamekaribia hats jwetu.

  • @frankmayaya367
    @frankmayaya367 ปีที่แล้ว +1

    Natamani kuckia mchango kutoka Kwa Tundu lissu kuhusu mada ya USHOGA!

  • @alvinsanga2428
    @alvinsanga2428 ปีที่แล้ว

    JAMBO GANI MBONA UNAZINGUKA ZUNGUKA HATUTAKI USHOGA

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 ปีที่แล้ว +1

    Uyu nae anavimelea vya kuunga mkono ushoga yn ww kama kiongozi ungetakiwa kuwa mkali xx ww unakuwa km huelewi kinacho endelea tz

  • @BalkisMakame-kg4nr
    @BalkisMakame-kg4nr ปีที่แล้ว

    kumbukeni mumebeba dhamna na uta kwenda kulixwa jipnge n mjbu ya kwenda kujibu

  • @shukurumgimba4884
    @shukurumgimba4884 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu sio kila kitu kinataka kufuata protocol, vitu vingine in dharura na inabidi kutatuliwa kidharura hivyohivyo,

  • @neemakwanama3370
    @neemakwanama3370 ปีที่แล้ว

    EE YESU WETU NJOO UTUTETE TUMEISHA BABA

  • @user-lj7ke5zy7e
    @user-lj7ke5zy7e ปีที่แล้ว

    Safi mwamba Mbunge Mh Noa

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki viongozi wetu.i think hata na malaika wanapiga makofi juu ya swala hili kule mbinguni ,wakiona wanadamu wakijaribu kupinga hila za shetani kutaka kuwalag'ai wanadamu juu ya swala hili.

    • @edchrisbeatz8976
      @edchrisbeatz8976 ปีที่แล้ว

      but kwa serikari hii ..aseee hatutoboi.

  • @alvinsanga2428
    @alvinsanga2428 ปีที่แล้ว

    HAKUNA CHA SHARIA JIBU NI MOJA HATUTAKI USHOGA

  • @sibomanasamary7486
    @sibomanasamary7486 ปีที่แล้ว +7

    muda mwingine tuwe naakili makumu wa raisi wamalekani alifata nini tz mbona hakwenda uganda au rwanda tuweni na akili

  • @aleckmwakibete8952
    @aleckmwakibete8952 ปีที่แล้ว +7

    kweli Tanzania tumeingiliwa viongozi hatuna 😢😢😢

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 ปีที่แล้ว +1

      Alisema lakini matanikumbuka na mtanikumbuka kwa mema yangu zaidi.

    • @geofreykashililika9704
      @geofreykashililika9704 ปีที่แล้ว

      Wote wameoza..Mungu atusaidie

  • @saumjengi8184
    @saumjengi8184 ปีที่แล้ว

    Namkumbuka Magufuli sna alikuwa hakwepeshi maamuzi

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 ปีที่แล้ว

    Mungu atuepushe na mambo hayo

  • @allyikuta7572
    @allyikuta7572 ปีที่แล้ว

    Hakuna budi bunge Kutoa msimamo wake kuhusu mashogo, wasagaji mabasha

  • @user-ex3cj8yp4p
    @user-ex3cj8yp4p 7 หลายเดือนก่อน

    jamn kuna mtu anishi ungereza ananitaka kimapez je selekali munaniangaliaje

  • @adildewji
    @adildewji ปีที่แล้ว

    I hope this is done ASAP.

  • @stephensengo6877
    @stephensengo6877 ปีที่แล้ว

    Ninyi ni watunga Sheria so mwogopeni Mungu okoeni Taifa kwa kutunga Sheria zinazoeleweka

  • @abbas.h.saydy.3991
    @abbas.h.saydy.3991 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hapo Mheshimiwa Spika umesema jambo muhimu katika utekelezaji, hakika umechukua hatua kali labda upande wa serikali yetu wawe kinyume na maagizo ulio wapa!!

  • @blesshani8380
    @blesshani8380 ปีที่แล้ว

    What!!!? Nonsense answer ever

  • @siporajemes773
    @siporajemes773 ปีที่แล้ว

    Inamaana km litakua ndogo utariacja liendelee?? Mbona mama sijakuelewa nahisi hijawai kuumwa uchingu na hauna vijana wadg

  • @ThomasMsemwa-ob9im
    @ThomasMsemwa-ob9im ปีที่แล้ว +2

    usiongee habar za hoja ya bajet wakat sisi tunataka ilo swala lichukuliwe hatua fasta si mfanye kam mlivyofanya panya rodi tuu ukiona shoga kamata piga shaba wataishaa tuu iyo tume tumee yenyew kama wapo umoumo wadau mwanaume angekuepo magu mngeelewaa tuu

  • @farajimazengo7332
    @farajimazengo7332 ปีที่แล้ว

    Hakika tatizo laushoga nikubwa halina kukaa chini mutunge sheria sisi tutawaona mnafanya kazi tulizo watuma kama mnatusikiliza vizuri wananchi tuio watuma

  • @FabiaHassaan-wh3lp
    @FabiaHassaan-wh3lp ปีที่แล้ว

    Uko sahihi mana Muna mambo mengi ya kuwasimamia kuliko kupoteza mda mwingi kujadili jambo Moja

  • @hamidusibye5241
    @hamidusibye5241 ปีที่แล้ว

    IMEBAKIA TU MUKTADHA MUKTADHA......BILA YA KUWEKA SHERIA KALI PASI NA KUZINGATIA UKUBWA AU UDOGO WA JAMBO HUSIKA KIUENEVU,,,,,,,,,KEMEA JAMBO HARAKA KWA UAMUZI WA KUWEKA SHERIA PAPO HAPO..

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 ปีที่แล้ว

    America imetoka million 66 tz na Ghana ili kulinda ushoga juzi ndio maana hawawezi kupitisha sheria ya kuzuia ushoga sasa. Rejesheni pesa iyoo acheni tamaa

  • @HawaHemed-xb4io
    @HawaHemed-xb4io ปีที่แล้ว

    Wabunge kumbukeni na MABASHA NAO HATARI NDIO WAHARIBIFU WASAKWE MBONA HAMULITAJI KUNDI HILO LA WAFANYAJI WA WENZAOOO

  • @sarahmgalama3503
    @sarahmgalama3503 ปีที่แล้ว

    Kwann mnalinyamazia hili?

  • @TamimuLuhende-mk1pm
    @TamimuLuhende-mk1pm ปีที่แล้ว

    ko mnataka ili tatizo liwekubwa ndo mtunge shelia acha usiasa linda tamaduni zetu

  • @gisdenga7740
    @gisdenga7740 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 Raisi amesema wafanye wakubwa tu

  • @yohanasafari2526
    @yohanasafari2526 ปีที่แล้ว

    Sheria Kali iwekwe na bunge ipitishe haraka sana

  • @ShabaniChande-kn9yl
    @ShabaniChande-kn9yl ปีที่แล้ว

    Acheni kuuma meno nyie ni wazazi pia tumieni fursa mlizopea na Mungu vizuri

  • @yustahyera4288
    @yustahyera4288 ปีที่แล้ว

    Serikali fanyeni kazi swala la ushoga linaathiri sana watoto na vijana wetyu

  • @paulinamoshi8141
    @paulinamoshi8141 ปีที่แล้ว

    Why linaendelea?

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 ปีที่แล้ว

    Tunajuwa bunge la rangi moja mshakula manoti ndio maana mnapata kigugumiz kuweka sheria kali za kuuangamiza ushoga imeshindkana

  • @habibarashdi2250
    @habibarashdi2250 ปีที่แล้ว

    Tunataka tuone Sheria ichukue mkondo wake,ili mtutoe hofu sababu tunajua kunaviongozi huko juu ndo wanasimamia ushoga nando walawiti wakubwa

  • @onelovetz7935
    @onelovetz7935 ปีที่แล้ว

    Tatizo kukopakopa mikopo yenye mashaliti ya ushogashoga halafu munasema mtajifikilia wangeanzia kwake aliyekopa yeye asilete laana hapa Tz

  • @ramadhanmakwinya2280
    @ramadhanmakwinya2280 ปีที่แล้ว

    Kauli ni ya mzee wetu Magufuli hakuna ushoga apa wepeleke kwao ukouko Nchi yetu hatutaki mambo ayo yakifiraun

  • @OmaryBarua-te7jg
    @OmaryBarua-te7jg ปีที่แล้ว

    TUSHIRIKIANE KUWAONDOA VIONGOZI WANAOBARIKI USHOGA AFRIKA

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo ni kubwa, mtaani mashoga wanapeta waziwazi

  • @benarddickson1326
    @benarddickson1326 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU ANAKUONA, UTAFITI WA NINI NI JAMBO LINALOKEMEWA HATA NA MUNGU !! WABUNGE MTAJIBU KWA MUNGU

  • @salmaalkarousi8764
    @salmaalkarousi8764 ปีที่แล้ว

    Huyu spika hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi,, yaan dah mtihani

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 ปีที่แล้ว

    Wnaopiga makofi ninawasiwasi nao,
    Maana hapo naona kama spika anaupooza moto waliouwasha wabunge

  • @VeneReji-mu1yy
    @VeneReji-mu1yy ปีที่แล้ว

    Dawnload

  • @calistusmahombo-ty8ni
    @calistusmahombo-ty8ni ปีที่แล้ว +1

    Kàbla Bunge halijamalizika(Pakuanzia wamuone Mheshimiwa Mwakyembe,wapite mashuleni tangu shule za chekechea mpaka vyuo vya juu,mabaa,nightclubs wafungue forum ya Maombi kwenye mitandao nk nk

  • @zainabusadi6469
    @zainabusadi6469 ปีที่แล้ว

    Yaani tanzania hatuna viongozi kabisa!😢mungu tusamie

  • @JamesSteven-vd7vw
    @JamesSteven-vd7vw ปีที่แล้ว +3

    asee viongozi wetu hatuwaelewi ata kidogo suala la ushoga na usagaji ni makosa ya jinai hayatakiwi kufumbiwa macho linatakiwa kujibiwa hapo hapo na muda huo huo.. toeni kauli moja yakutetea watanzania kuondokana na ukiritimba wa akili maana tunarudishwa nyuma sana hatujui, yani tunategemea misaahada how about misahada kila siku ni muda wakujiweka wazi tujitegemee kivyetu vyetu bahati nzuri rasili mali tunazo zakutosha,tunaonekana wadhaifu sababu ya vitu vya kipuuzi kama hivi aisee raisi atoe kauli yenye nguvu kuteketeza mambo ya kipuuzi kama haya tusitawaliwe na kila kitu bhn

  • @hambobeats-ce3zd
    @hambobeats-ce3zd ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @hilalymaamar6644
    @hilalymaamar6644 ปีที่แล้ว

    Naona mnatubabaisha tuu sisi tunaumiya ni maasi makubwa na tuna watoto wetu kila sku mnajivunga au nanyi mnayajuwa haya

  • @Nusubeipromo-pj2yn
    @Nusubeipromo-pj2yn ปีที่แล้ว

    Uganda wamekuwa mfano, nasi tusione aibu kuwa kama wao maana ushoga sio mpka msubili kumkamata mtu anaeingiliwa, kamateni mtu kwa dalili zake nasio kusubili mshuhudie,,

  • @abubakarymwagange
    @abubakarymwagange ปีที่แล้ว

    Tutapamban Hadi ushoga usitawale jaman

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 ปีที่แล้ว

    Tatizo lipo ndani ndomana wanasuasua wanaogopa kutiana aibu

  • @sophyodago5062
    @sophyodago5062 ปีที่แล้ว

    Hatuna spika

  • @stamaelkept7606
    @stamaelkept7606 ปีที่แล้ว

    Natamani mutangaze kama alivyofanya makonda wakat wake kuwa watajwe wasagaji na hao wanaume wanaoliwa nahisi Kama itasaidia kiasi flan kwakua watu hao wanafahamika na wanaishi kwenye jamii zinazotuzunguuka

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 ปีที่แล้ว

    Kifupi kutakuwa nakubaazi yaviongozi washalibika ndomana kunaugum wamamuzi

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 ปีที่แล้ว

    😢

  • @MuddyGuy-gy9eb
    @MuddyGuy-gy9eb ปีที่แล้ว

    Akumbukwe Magufuli kamanda

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 ปีที่แล้ว

    Spika uja wahi kumungunya maneno lakin leo vp unacho kiongea aki elewek au ndio au bas au lakin bas

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi mheshimiwa Spika,mimi naona hakuna ushoga Tanzania ila kuna wahuni wengi wanapotosha wananchi.
    Wako wapi hawa mashoga na wasagaji au ni upuuzi tu

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 ปีที่แล้ว

      Wewe sio bure utakuwa miongoni meso😎😎

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelchiza7733 Watanzania badala ya kujadili mambo muhimu ya maendeleo wanajadili uhuni. Hawazungumzii maji,barabara na umeme. Hata namna ya kupata chakula chao cha kila siku.
      Wakizungumzia ushoga utadhani bomu ya nyuklia au uko kwenye nyuso za watu. Hebu endeleeni kubweka ushoga,usagaji na huku watu wanakufa kwa ajili ya njaa na maradhi lukuki.

  • @daudimbofu6670
    @daudimbofu6670 ปีที่แล้ว

    sema Moja kwa Moja usimumunye maneno

    • @alfredmwasandele6922
      @alfredmwasandele6922 ปีที่แล้ว

      Wewe hujuwi spika unataka lijulikaneje sasa ssitume watuma tungeni sheliya kali kutokomeza mambo hayo yaushoga watoto wetu wata halibika tusisubili wakati ni sasa

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 ปีที่แล้ว

    Hamfai kuongoza nchi hii hata dakika moja

  • @FaridaJames
    @FaridaJames ปีที่แล้ว

    Hatuna rais hapo muacheni aupige mwingi

  • @jimmy-qk4sj
    @jimmy-qk4sj ปีที่แล้ว

    Dr Tulia tume ya ninii sheria ni moja ukithibitika ni kifo tu

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 ปีที่แล้ว

    sijaelewa yani mpaka jambo liwe kubwa ndipo litungiwe sheria uo ni utani kabisa.

  • @AbubakarYusuph-wk7tp
    @AbubakarYusuph-wk7tp ปีที่แล้ว

    Asnth tulia

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 ปีที่แล้ว

    Achen porojo kama ni wakweli tungen sheria kama niwakwel I hamuungi mkono ushoga

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 ปีที่แล้ว

    Mjue ukubwa wake ili iweje acheni kutafuna bigijii semeni tu jambo Hilo hatutaki watu wakijihusisha ni kunyongwa tu

  • @suleimanbakar7249
    @suleimanbakar7249 ปีที่แล้ว

    Naiomba iyo tume ya katiba na sheria itapokaa na kujadili marekebisho kuhusu USHOGA basi naiomba tume hiyo iweke mkazo juu ya MABASHA. Endapo kutawekwa sheria yoyote ile basi kwa MABASHA iwe ×2 dhidi ya MASHOGA

  • @alvinsanga2428
    @alvinsanga2428 ปีที่แล้ว

    Jambo gani tumeelewana dada sema mashoga hatutaki

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว

    Kwann wabunge wanateseka kuhusu ushoga wakati rais yupo? Tunaomba bunge limshinikize Rais atoe tamko kupinga ukimwi?

  • @ELIPHAZAMON-ex9zc
    @ELIPHAZAMON-ex9zc ปีที่แล้ว

    Maneno mengi suluhu zero maguful alikuwa anapasua hata wanyama huo mchezo hawakosei nyie maneno mengi pont hamna ni pumba tupu

  • @fatmamlama-le6oz
    @fatmamlama-le6oz ปีที่แล้ว

    Mm Apo naona viongoz ndo utumbo kwann mnapenda sana kuiga vitu kutoka marekani???swal mbona magufuli alivyokuwa hai hatukuwahi kusikia et wazuri wa marekan anakuja Tz???? Mnatakiwe muwe Na iman jamon mnaendeshwa hovyo tu Na apa Tz kuna mtu ndo anajifanya anamamlaka sana tena ndo mtu m.baya kbsa kakaa pembeni Na miwani yake

  • @prosperkisama655
    @prosperkisama655 ปีที่แล้ว

    KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MTAULIZWA TUU KWA KADIRI YA MAMLAKA MLIZOPEWA. MTU ASIPO FANYA WAJIBU WAKE KTK HILI NI HERI ASINGALIZALIWA. SINGIZIA TUU UTAFITI CHEZA NA MAISHA YA WATU KAMA ULIVYO ZOEA ILA HAPO MNAMGUSA MUNGU MOJA KWA MOJA KUPIMA HASIRA YAKE PIGENI SANA MAKOFI....