KIMENUKA; MCHUNGAJI IPM AGEUKA MBOGO KWA MBARIKIWA KISA PASTOR TONY AFICHUA YOTE YANAYOSEMWA ILI....

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 21

  • @GeorgeJohn-c5e
    @GeorgeJohn-c5e 11 วันที่ผ่านมา

    Good,

  • @LeahMuganyizi
    @LeahMuganyizi 24 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akutunze kaka hakika umeongea ukweli wanadamu unafiki ndo mwingi kazi yao kuchunguza hatua za wengne wanasindwa kujua mtu kufka alipo Alianzia wapi!!SEMA BABA WAJINGA WAELEWE

  • @GeorgeJohn-c5e
    @GeorgeJohn-c5e 11 วันที่ผ่านมา

    Sauti uliowekewa itumie dunia ijue sema kweli my brother.

  • @IbrahimunyandaDanieli
    @IbrahimunyandaDanieli 24 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona nawewe upo kwenye 📷 unasema wenzio nakumsifia kapola unatafuta kiki nawewe nyamaza kama unakifua kweli

  • @emmanuelathuman896
    @emmanuelathuman896 22 วันที่ผ่านมา

    Tapel razima amtetee mwenzake

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 23 วันที่ผ่านมา

    Matapeli wanajua kuteteana😅😅😅

  • @emmanuelathuman896
    @emmanuelathuman896 22 วันที่ผ่านมา

    Unataka mkifanya makosa watu wasiseme???

  • @Frosita
    @Frosita 23 วันที่ผ่านมา

    Huwezi kuwasifia kina Paulo ama Thimotheo lakini unatumia biblia kuhubiri..

  • @eliaspaulmarwa8076
    @eliaspaulmarwa8076 24 วันที่ผ่านมา

    2 Wakorintho 6
    14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?

  • @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
    @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 24 วันที่ผ่านมา

    Weee!! Paulo hakumwambia petro kuwa umestahili makofi. Hakua mtumishi wenzie? zaidi ya hayo nyie si wenzie wa mbarikiwa wala hamuwezi kufanana na mbarikiwa.

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 19 วันที่ผ่านมา

    Mbona hata wewe kusema hivyo bado unashughulikia mambo ya watu wengine broooo

  • @chaco1466
    @chaco1466 24 วันที่ผ่านมา +1

    uyu bro naye ata potosha watu Biblia ina Ruhusu watu kuonyana waho kwa waho wakienda Kinyume ….NURU na GIZA aviwezi Patana Bro acha kuchochea Makosa…..

  • @sweetlisious
    @sweetlisious 23 วันที่ผ่านมา

    Akibarikiwa MWAMPOSA mnamuita free mason mnampaka madoa, ila nyie mkibarikiwa mnataka tuwasifiwe, yani watumishi wa Mungu hapa Tanzania wengi ni wanafiki sanaaa wanapenda kuongeleana vibaya wamejaawa chuki tu ili kuwaangusha wenzao. yani acheni unafiki nyie watumishi mnaongoza kwa unafiki sijui mkojeeee?

  • @EdmundTemba-pz8ui
    @EdmundTemba-pz8ui 24 วันที่ผ่านมา

    Ipm tapeli

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 24 วันที่ผ่านมา

    WAJINGA NDIO WALIWAO