Nyinyi wa kristo mnapenda sana miujiza ndiyo sababu mnatumia uchawi ili mfanye miujiza ili wachungaji wapate kondoo wengi.ndiyo sababu mnakuwa na makanisa mengi
@@PhilipoBonifes Mbona Shaiytwan/Mapepo huingia Kanisani na Kiti Cha Enzi Cha Shaiytwan/Ibilisi Kipo Kanisani kama Kanisa ni Nyumba ya Mungu/huabudiwa Mungu?!
Msaidieni Kujibu Swali Dogo tu (Yesu alipstaje iwe Utume/Unabii?) Awache Porojo na Kurukaruka tu Kwa Kutowa Maelezo Marefuuu ambayo hayajibu Swali Bali anapiga Chenga Swali kashindwa Kujibu !!🙌 Je na hao Manabii/Mitume (Walomtamgulia Yesu/Wasiokuwa Wanafunzi wa Yesu) Walipewa Unabii/Utume na Yesu?!
Mbona Mwamlazimisha Utume Wakati Yeye Mwenyewe Ameukataa Hadi Aka Kana Kwa Kufuta Kwa Mkono Wake Mwenyewe😢 Hapa AkiYako Iko Sawa Kweli🎉Mhamad Mwenyewe Kakataa Sio Mtume Mwenyewe Sio Kusingziwa
TWAONA PIA YESU ANADAIWA KUWATUMA MITUME NA MANABII KWENYE HII HII AGANO JIPYA: Mathayo 23:34. 34. Kwa sababu hiyo, angalieni, mimi natuma kwenu manabii na wenye hekima na waandishi; na wengine wao ninyi mtawaua na kuwasulibisha, na wengine wao mtawapiga katika masinagogi yenu, na kuwafukuza mji kwa mji; DANIELI NENDA UKASOME KWANZA! NILIKWAMBIA HATUKUPELEKI HATA NAIROBI,MAANA ULIDAI TUKUPELEKE AL HAZAR (MISRI) NA MADINA..! KWA UDHAIFU WAKO HUU WA KIELIMU UTAISHIA HAPO HAPO DAR KWA USTDHI BOGO AKUFUNDISHE..!
Sheikh mbogo jibu swali,wapi mutume muhamadi kachaguliwa na mungu?mwalimu daniel ametoa aya kwenye kurani 7:144 mungu alimuchagua musa awe mtume,wapi muhadi kachaguliwa na mungu ? ili awe mtume wa mungu? Hoja ya mwalimu daniel sheikh mbogo ameshindwa kujibu
Mpango wa kulazimisha kumwita Yesu ni Mungu au Mwana wa Mungu ulipangwa Mwaka 325 katika mkutano wa mapadre ulioitwa MTAGUSO WA KWANZA WA NISEA. hata hivyo baadhi yao waliendelea kupinga mpango huo dhalimu. Hizi historia zipo hata kwenye Encyclopedia na viongozi wa Kikristo wanajua lkn hawawafundishi Kondoo wao Kwa kuogopa kuangusha Imani.
@@PaschalPaul-d9r : siyo Mimi ndg niliyesema,mi nimemnukuu tu mwl daniel.yeye ndiye kajibu hoja kuwa nabii anayezungumziwa hapo ni Yesu.ama wewe unampinga kwa kuungana na mbogo kuwa andiko hilo halimuhusu Yesu?.kazi ni kwako; ukubaliane na Daniel kuwa ni Yesu(nabii),au ukubaliane na mbogo(ili Yesu asiwe nabii)
@@hemedbamja3197 Yesu ana vyeo vyoote.. Nabii mkuu,Mwalimu,Mwana wa Mungu n.k.. Ndo mana hakna nabii mkuu bada yake. Anejiita hvo,tambua n tapel.. Ndo mana ukfatilia saana wanaojiita manabii wa sasa,matunda ya roho zao,n machafu ktokana na roho mchafu alie ndan yao.. NB.. Mungu muumba wa mbingu na nch n wa wa2 wote,alm2ma Yesu kwa ajili ya kuwaokoa wa2 woote,ila hamlazmish m2 kmfuata! Ili umjue Yesu n nan,tafakar sana Pendo la Mungu kwe2,kisha amua kwa busara! Mungu akbarik!
Nilichogundua sheh mbogo ukiisoma aya itolee ufafanuzi ilishushwa kwa malengo gani na ilikuaje adi ikashushwa haya hiyo au sura ilishushwa kwa malengo gani ufafanuzi ukiwa mfupi sana awataelewa
Mamlaka yote ya Mungu iko ndani ya Yesu nguvu zote za Mungu ziko ndani ya Yesu utimilifu wote wa Mungu uko ndani ya Yesu kwa mantiki hiyo wenye ufaham wa Rohoni ndio wamefunuliwa siri hii YESU NI MUNGU NA NDIO MWENYE MBINGU amesema naenda kuwaandalia makao nilipo mimi lazima na ninyi muwepo.
Tatizo la wakristo kila kitu Yesu Yesu utamsikia mtu anasema mimi naishi na yesu Yesu ni nani kwa wakristo mbona Yesu hawajui wakristo mnajipendekeza kwa Yesu bila kujitambua
hata kumsikiliza danieli inakadirisha , kupasia mwezi ,muujiza huu ulishuudiaa na watu wengi ktk inchi za kiarabu kulikia na mualiko ,,kufungua watu ,Jambo dogo Sana wachawi Wana fanya Hal ya Leo hii wanaweza Sana
Huyu mbogo ni chizi anatufaya sisi atujui Kiswahili, mpaka anaitwa jina inamana kaisha tailiwa ndomana akapewa jina. Anjifanya mjuaji kwa kupindisha maneno.
tazama mwl danieli anajibu kwa ustadi hapo ni roho wa Mungu anaongea .mbogo alisahau kabisa kwamba wanatakiwa waislam watuulize sisi wakiristo tulio na vitabu na majibu YESU KRISTO ni jibu
HII AYA WAULIZENI WENYE KUMBUKUMBU IKIWA NINYI HAMJUI, Wakristo husema kuwa Aya hii inawahusu Mayahudi na Wakristo, si kweli. HIVI KWELI TUWAULIZE MAYAHUDI WATUELEZE KUWA YESU NA BABA YAKE YUSUFU WALIIBA MBAO? Yesu ni Mtakatifu, Yupo mahali Patakatifu.
Wewe Daniel makafiri wenzio walikuepo tangu zamani kizazi na kizazi na wewe ni wale wale na wanaokuunga mono mko pamoja.Hivyo hatuwashangai mtaendelea kuwepo ila hua kua makazi yenu ni manor wa calfonia.
Yaani jua ya kua makazi yenu baadae nikama calfonia Los Angelas ya sasa.maana hatuwashangai tangu zamani makafiri walikuepo kizazi na kizazi.sjui mnaona fahari gani?unakuja kifua mbeele wakati unaongea ukafiri tu.
@@BabasahdSahd niamkee niende wapiiii?? Kwenye dini ya Muhammad?? Nimuache YESU KRISTO njia ya kwelii na uzima niende kwa Muhammad??? Kuna mengii ya kuelezea yaliyomo Kwenye vitabu vyenu sema Tunaogopagaa kukatwaa vichwaa.
UNAMPENDA YESU HATA KAMA NI MOTONI UENDE Kauli kama hii aliwahi iliwahi kuzungumzwa jamaa fulani kauli mbili fulani hivi:~ 1/ Dah! Siwezi kuendelea kusoma Kitabu hiki, nikiendelea nitakuwa SHIA 2/ Hata kama nimeona Ukweli, lakini siwezi kuwa SHIA mimi. Vyovyote itakavyo kuwa, na iwe hivyo. KUFURU KABISA KUZUNGUMZA MANENO KAMA HAYA, NI BORA KUKAA KIMYA
Luka sio injili ya yesu wakati bwana yesu alipotuma wanafunzi wake wakaiubiri injili ulimwenguni Luka na Paulo awakuwepo, Kwaiyo injili ya Luka inapasa kutolewa ndani ya bibilia.
Tatizo waisram wako mwilini , mambo ya rohoni kwao ni ziro hawajui lolote ndio maana wakivaaa kanzu nyeupe na kuvua viatu na kunawa hadi kwenye makwapa wakiwa anaenda kumuabudu huyo mungu wao basi wanaamini ndio utakatifu ni kama makaburi tu nje yanang'aa kwa kujengewa na kupakwa rangi lakini ndani ni mifupa mitupu ni waandishi na mafarisayo 100%
Wakristo wamedanganywa sana kuusu mambo ya roho kila kitu roho mtakatifu ukisoma biblia lazima uwe na roho mtakatifu ndiyo ujue maandiko ya biblia hayo ni mafundisho ya uongo tumieni akili alizowapa Mungu
Mpango wa kulazimisha kumwita Yesu ni Mungu au Mwana wa Mungu ulipangwa Mwaka 325 katika mkutano wa mapadre ulioitwa MTAGUSO WA KWANZA WA NISEA. hata hivyo baadhi yao waliendelea kupinga mpango huo dhalimu. Hizi historia zipo hata kwenye Encyclopedia na viongozi wa Kikristo wanajua lkn hawawafundishi Kondoo wao Kwa kuogopa kuangusha Imani. Tusome sources mbalimbali ili tuelewe. Tusikaririshwe.
Acha uongo waliokaa mwaka wa 325 walikua wanabadiri siku ya kusali iliyopangwa na Mungu na kuitangaza Roma kwa amri ya mfakme Constantine! Sio kumwita yesu mwana! Na kuhusu mwana soma quran 4:171 ujue yesu ni Nani na usiisome kishabiki na marko1:11
Tatizo Daniel usitumie quran kujenga hoja kwani hayo ayesemayo ktk quran wewe umesema hauamini,sasa nakushangaa unaposema mtume huchaguliwa huku hoja hiyo unaitoa ndani ya quran..jenga hoja kutoka sehemu nyingine toka sehemu nyingine ili tukuelewe Daniel
Daniel mweupe pepepe😂😂😂 sisi wa Islam ni Mwenyenzi Mungu peke ndo anatuma mitume na wa Nabii ...ila kwenu yesu ndo anachaguwa mitume ...sasa tuonyeshe miujazi gani hao mitume wenu wa fasi wa yesu walifanya ??? Wewe Daniel unasema Mtume Mohammed hana miujiza sasa ao wa fasi wa yesu manabii wenu miujiza gani wamefanya???
Biblia haikusema chochote kuhusu Ismael na Babake Ubrahimu kwenda Macca au kuishi Macca, imeandika Kuhusu watoto 12 wa Usmael na wote hakuna aliyekuwa na jina la Kiarabu. Jama Biblia Haina story hiyo ya Ismael na Babake Macca hakuna jinsi Qitani ilipata story hiyo kwani mambo yote ya kale na Manabii Quran ilikopi kutoka kwenye Biblia.
AYA INASEMA TUKAWEKA KATIKA KIZAZI CHAKE UNABII. JE KIZAZI CHAKE NANI? DANIELI HAELEWI. HICHO NI KIZAZI CHAKEYAANI KIZAZI CHA IBRAHI NA MUHAMMAD ANATOKANA NA IBRAHIM
NA HUU NI MSIBA MZITO KUSIKIA KWAMBA MTUME YESU NAYE ANAWATUMA MITUME WAITWAO WANAFUNZI! MITUME WA ALLAH TANGU LINI WAKAITWA WANAFUNZI KAMA SI UZUSHI HUO HUO WA KIKRISTO? NA WAPI AYA MUNGU AKIMPA YESU AMRI AWATUME WATU WENGINE,BADALA YAKE MWENYEWE..? Yohana 5:30. 30. Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka. HUU NI UKOSEFU WA ADAMU WA YESU! FIKIRIA UMTUME MWANAO KISHA NAYE AMTUME MWENGINE BILA YA IDHINI YAKO HUONI AMEKUZARAU??? 😂😂😂😂
Daniel, ni vigumu sana kufanya mtu asiyetaka kuelewa jambo akakuelewa hata kama ataujua ukweli wa jambo lenyewe, atatafuta hoja tu ili alidhoofishe, mfano amesoma hata ilipofika siku ya 8 ya kutahiriwa, amesema siku Ile hakutahiriwa bila kujua hii ni Mila na desturi ya kiyahudi sasa kama hajatahiriwa siku hiyo yeye aoneshe alitahiriwa lini?
ukafiri ukiristo nimzigo mkubwa Sana ktk mwili wa binadam,, wamelipwa chapana shetani wameshikwa ,hawajijui ,huyo mkilisto Hana hoja ya kupinga kurani , Ila kapigwa muhuri na shetani ,, Paulo Wana mfanya mtume , hakutokana na kizazi Cha yakubu ,, Paulo mrumi ,kasema ktk baibo ,akiwa na baridi akimiminwa ,akiingiliwa , alikua shoga mtume gani , choko
Labda utuambie ukwel wako kama quran imemkataaa Muhammad tuthibitihie Aya gan Katka Qur an imesema Muhammad sio Mtume Wa Mungu sio waropoka tu kwa chuki zako binafs zipo Aya nying ndan ya Qur an Allaah anathibitisha ametuma Muhammad wewe watuambia Qur an imemkataaa wapi hiyo Aya ilomkataaa Muhamd sio Mtume
@@ngerejaboniface2596 2:97,98 Sema :Anaemfanyia ushinde Jibril kwakuwa ndie aliemletea Utume Nabii Muhammad (s.a.w)asiwapelekee Mayahudi ni bure hana kisa Jibril hakika yeye ameteremsha Qur-ani nyoyoni mwako kwa idhini ya Mlmungu
Muhammad hawezi kufanana na musa ni mbingu na ardhi yanina mtu alierogwa unamfananisha na mtu ambae waganga na wachawi wa misri wote walimshindwa ivyoivyo na yesu hakuna mganga wala mchawi aliye muweza ndugu zako wa kijini walipomuwona walilia na kutetemeka wewe mbogo acha uwo ujinga
Uyo jamaa hajielewi kabsaa,eti msukuma anaweza akazaa mgogo? Kwani msukuma mwanamke akiolewa na mgogo,mtoto atakua kabila gani?😂Huyo mchungaji hajielewi na shule hajaenda amekurupuka tu.Eti DNA zinakubaki,m ona uku nje watu wanaona mdogo,mkikuyu,mgogo,msukuma wanaona wanazaa watoto tofauti tofauti na DNA zinakubali,hao jamaa wanalipwa kupitosha watu hawana lolote wanachosha hoja zao
Kwahy unaesema kuruan haina makosa uliiandika ww hicho kitabu xi ndicho kinacho yes musa Ibrahim na manabii wengne walikuwa waislam huo x uwoongo wa ajabu hy sio mapungufu ya kuruan
Achana na kufanya mdahalo ma Daniel sisi tunamuona ni mnafiki na liongo la kutupwa hatu hawahubiriwi ivo wala waislam sio wajinga ukawapeleke ktk iman ya kishirikina ya kuwabidu watu
Unamkataa mtume Muhammad swalallahu alywaasalam alafu unanukuu kitabu Cha Quran Kama we siyo kafiri alafu unaleta mambo ya mahakama kazi hiyo mahamahakama ya kazi imetokea wapi unaacha kujibu maswali ya msingi ACHA chuku za kijinga
hahaha shida ya baadhi ya walimu wa kiislam kama wakibanwa na hoja wanakua kama wanahasira ona mbogo alivo . hizi hoja za daniel ni kiboko nzuri zinaeleweka na ni elimu tosha kabisa sawa sawa na vitabu vinazungumza sasa jukumu lako wewe muislam kutafakari Mungu halisi anaepaswa kufuatwa
Ukisema Mtume alisikia visa akaviandika sasa kwanini Visa vyote vya ndani ya Qurani viko sahihi hakuna makosa tofauti na bibilia ina makosa hata ya kihistoria, lakin pia Mtume hakusoma kama tunavyojua sasa imekuwaje akaweza kuandika mambo ya kisayansi kabla ya science yenyewe ni yako sahihi????
Sheikh Mbogo Allah akupe nguvu zaidi hoja zako kama majabali lakini Diniel hataki
Nyinyi wa kristo mnapenda sana miujiza ndiyo sababu mnatumia uchawi ili mfanye miujiza ili wachungaji wapate kondoo wengi.ndiyo sababu mnakuwa na makanisa mengi
Shetan kaingiaje Ndan ya mtume kama ni wamungu
@@PhilipoBonifes
Mbona Shaiytwan/Mapepo huingia Kanisani na Kiti Cha Enzi Cha Shaiytwan/Ibilisi Kipo Kanisani kama Kanisa ni Nyumba ya Mungu/huabudiwa Mungu?!
Swali Dogo tu (Yesu alipstaje Utume/Unabii?) Anashindwa Kujibu anarukaruka tu Kwa Kupiga Porojo za Maelezo Mengiiii 🙌
🤣🤣🤣🤣
Allah amuingize Daniali katika njia iliyo sawa
Allahumma Aaamin
Takbiriiii💪 ustadh mbogo allah akupe afya njema na akuzidishie ilimuu
Mwalimu danie tumekuelewa vizuri mungu akupe maisha marefu hawa waislamu niwanafunzi tu hawjui chochote
Msaidieni Kujibu Swali Dogo tu (Yesu alipstaje iwe Utume/Unabii?) Awache Porojo na Kurukaruka tu Kwa Kutowa Maelezo Marefuuu ambayo hayajibu Swali Bali anapiga Chenga Swali kashindwa Kujibu !!🙌
Je na hao Manabii/Mitume (Walomtamgulia Yesu/Wasiokuwa Wanafunzi wa Yesu) Walipewa Unabii/Utume na Yesu?!
Sheikh Mbogo Mwenyezimungu akujalie maisha marefu na yenye kheri. Umempa dozi anatamani kupiga ngumi badala ya maandiko😅
Mungu akubariki mwalimu
Mwalimu mbongo nakuelewa sana rehma za mungu ziwe juu yako mzazi wangu waelimishe
Daniel uelewa wako upo chin sanaaaaa sanaaaaa wapotosha watu
Mbona Mwamlazimisha Utume Wakati Yeye Mwenyewe Ameukataa Hadi Aka Kana Kwa Kufuta Kwa Mkono Wake Mwenyewe😢 Hapa AkiYako Iko Sawa Kweli🎉Mhamad Mwenyewe Kakataa Sio Mtume Mwenyewe Sio Kusingziwa
Kwa Andiko gani?!
Nimekubali hoja za Ustadhi, zinaingia katika akili salama ya mtu aliye salimika.
Shekh mbongo unatisha
Mashaallah
TWAONA PIA YESU ANADAIWA KUWATUMA MITUME NA MANABII KWENYE HII HII AGANO JIPYA:
Mathayo 23:34.
34. Kwa sababu hiyo, angalieni, mimi natuma kwenu manabii na wenye hekima na waandishi; na wengine wao ninyi mtawaua na kuwasulibisha, na wengine wao mtawapiga katika masinagogi yenu, na kuwafukuza mji kwa mji;
DANIELI NENDA UKASOME KWANZA!
NILIKWAMBIA HATUKUPELEKI HATA NAIROBI,MAANA ULIDAI TUKUPELEKE AL HAZAR (MISRI) NA MADINA..!
KWA UDHAIFU WAKO HUU WA KIELIMU UTAISHIA HAPO HAPO DAR KWA USTDHI BOGO AKUFUNDISHE..!
Swali Kama Kweli Ni Mtume Wa Mwenyezi MUNGU Kwa Nini Kakataa Hadarani Istoshe Akafuta Utume Wa Mungu Mnao Daisha Katumwa Nao😢
Mbogo huna nidhamu kwenye
mdahalo tutaacha kukufuatili a from Mozambique 🇲🇿
Wewe unayo ikowapi. Ss tutamfuatilia
Ukiwaadhi usiwaadhi hawakuwa wenye kuamini.qurani
Unatutisha na inch maskin kama hyo sis huku tutamfatilia mpka mskitin
Kwan ww ni nani katka uislam
Wewe ndo huna Nidhamu.
Kwa Kigegezo/Vigezo gani?
Sheikh mbogo jibu swali,wapi mutume muhamadi kachaguliwa na mungu?mwalimu daniel ametoa aya kwenye kurani 7:144 mungu alimuchagua musa awe mtume,wapi muhadi kachaguliwa na mungu ? ili awe mtume wa mungu? Hoja ya mwalimu daniel sheikh mbogo ameshindwa kujibu
Ww kuwa na akili izo aya zote kasem muhammad kwaiy unaamn hay maneno yak
Hawezi toa hilo
Kumbe Yesu ni nabii.sasa huwa mnamgeuzaje kuwa Mungu?!!
@@hemedbamja3197 ukubali ukatae haibadilishi kitu, unyamaze usinyamaze ,upinge usipinge haipunguzi kitu YESU ni MUNGU 100%
@@PaschalPaul-d9rMpuuz ww subr ukionana na mungu mwenyew akunyooshe
Mpango wa kulazimisha kumwita Yesu ni Mungu au Mwana wa Mungu ulipangwa Mwaka 325 katika mkutano wa mapadre ulioitwa MTAGUSO WA KWANZA WA NISEA. hata hivyo baadhi yao waliendelea kupinga mpango huo dhalimu. Hizi historia zipo hata kwenye Encyclopedia na viongozi wa Kikristo wanajua lkn hawawafundishi Kondoo wao Kwa kuogopa kuangusha Imani.
@@PaschalPaul-d9r : siyo Mimi ndg niliyesema,mi nimemnukuu tu mwl daniel.yeye ndiye kajibu hoja kuwa nabii anayezungumziwa hapo ni Yesu.ama wewe unampinga kwa kuungana na mbogo kuwa andiko hilo halimuhusu Yesu?.kazi ni kwako; ukubaliane na Daniel kuwa ni Yesu(nabii),au ukubaliane na mbogo(ili Yesu asiwe nabii)
@@hemedbamja3197 Yesu ana vyeo vyoote.. Nabii mkuu,Mwalimu,Mwana wa Mungu n.k.. Ndo mana hakna nabii mkuu bada yake. Anejiita hvo,tambua n tapel.. Ndo mana ukfatilia saana wanaojiita manabii wa sasa,matunda ya roho zao,n machafu ktokana na roho mchafu alie ndan yao.. NB.. Mungu muumba wa mbingu na nch n wa wa2 wote,alm2ma Yesu kwa ajili ya kuwaokoa wa2 woote,ila hamlazmish m2 kmfuata! Ili umjue Yesu n nan,tafakar sana Pendo la Mungu kwe2,kisha amua kwa busara! Mungu akbarik!
Yesi siotu nabii bari nimash na nimwana wamungu
Bahazi ya machristo wengi ni wabishi na awajui kufafanua maneno ya mungu.wamebaki kulalamika tu
Mbogo unatupa raha sana
Mbogo umepata hivyo vitabu
Nilichogundua sheh mbogo ukiisoma aya itolee ufafanuzi ilishushwa kwa malengo gani na ilikuaje adi ikashushwa haya hiyo au sura ilishushwa kwa malengo gani ufafanuzi ukiwa mfupi sana awataelewa
Desturi za Kiyahudi hutahiri siku ya 8, sio Desturi za Mungu tena?
Nampenda sn YESU hata kama ni motoni niende
Mamlaka yote ya Mungu iko ndani ya Yesu nguvu zote za Mungu ziko ndani ya Yesu utimilifu wote wa Mungu uko ndani ya Yesu kwa mantiki hiyo wenye ufaham wa Rohoni ndio wamefunuliwa siri hii YESU NI MUNGU NA NDIO MWENYE MBINGU amesema naenda kuwaandalia makao nilipo mimi lazima na ninyi muwepo.
We humpendi ila hujijui kama humpendi. Ungempenda husingemsingizia Mungu.
Hata mimi nampenda sana Yesu ila namuabudia Mlmungu mmoja pekee yake ambae ni Allah subhana wataala
@KhalfaniFarisy-c3w unasemea issa au YESU
@ZayyanaBamuni ww unampenda issa
Astakafilullah kwa kusema Muhammad mfano wa Musa 😮😮
Mchungaji Daniel hoiiiiii masikini jamanii
@ Daniel amlete Abubakar (X-Mchungaji Dominic) atuthibitishie kweli amerudi ktk Ukristo wake?!
Daniel alituongopea eti Abubakar (X-Mchungaji Dominic) amerejea ktk Ukristo wake, mbona hamleti tumsikie mwenye athibitishe kama kweli amerudi ktk Ukristo?!
.
Daniel wacha Uwongo 🙌
Mwalimu Daniel huwezi kufundisha mpaka ufoke?au uongo haunogi mpaka uweke msisitizo
Manenoyote yaliomo kwenye Qur'an alieyasema ni Mtume Muhammad.ukikubali chochote kwenye QRU'AN Utakua umemkubali Muhammad.
Tatizo la wakristo kila kitu Yesu Yesu utamsikia mtu anasema mimi naishi na yesu Yesu ni nani kwa wakristo mbona Yesu hawajui wakristo mnajipendekeza kwa Yesu bila kujitambua
Je, Manabii walokuwa si Wanafunzi wa Yesu/kabla ya Yesu walichaguliwaje Mabii?
hata kumsikiliza danieli inakadirisha , kupasia mwezi ,muujiza huu ulishuudiaa na watu wengi ktk inchi za kiarabu kulikia na mualiko ,,kufungua watu ,Jambo dogo Sana wachawi Wana fanya Hal
ya Leo hii wanaweza Sana
Huyu mbogo ni chizi anatufaya sisi atujui Kiswahili, mpaka anaitwa jina inamana kaisha tailiwa ndomana akapewa jina. Anjifanya mjuaji kwa kupindisha maneno.
NI KWELI KISWAHILI HAMJUI!! BADALA YA WEWE KUANDIKA KUTAHIRIWA.WEWE UNAANDIKA KUTAILIWA.BADO TU HUAMINI KAMA KISWAHILI KINAWAPA SHIDA?!!
tazama mwl danieli anajibu kwa ustadi hapo ni roho wa Mungu anaongea .mbogo alisahau kabisa kwamba wanatakiwa waislam watuulize sisi wakiristo tulio na vitabu na majibu YESU KRISTO ni jibu
HII AYA WAULIZENI WENYE KUMBUKUMBU IKIWA NINYI HAMJUI,
Wakristo husema kuwa Aya hii inawahusu Mayahudi na Wakristo, si kweli. HIVI KWELI TUWAULIZE MAYAHUDI WATUELEZE KUWA YESU NA BABA YAKE YUSUFU WALIIBA MBAO?
Yesu ni Mtakatifu, Yupo mahali Patakatifu.
sisi wa kristo hatmkubal mud kwa sababu ni muongo na sifa zake hafanani na nabii wa Mungu w kweli
Mkeli ni yule ansebariki mashoga
@@saidsuleiman9018 ye mud wanatofaut gan
@@davidbarnabas-e8fila nabii tito unamuamini 😂😂😂😂😂😂😂😂
@@TheAlman hiyo ni akili yako
@@davidbarnabas-e8f same thing we as Muslim fill when you talk about Muhammad
Sasa Yesu kachagua mitume wake au wa MUNGU???
Wewe Daniel makafiri wenzio walikuepo tangu zamani kizazi na kizazi na wewe ni wale wale na wanaokuunga mono mko pamoja.Hivyo hatuwashangai mtaendelea kuwepo ila hua kua makazi yenu ni manor wa calfonia.
Yaani jua ya kua makazi yenu baadae nikama calfonia Los Angelas ya sasa.maana hatuwashangai tangu zamani makafiri walikuepo kizazi na kizazi.sjui mnaona fahari gani?unakuja kifua mbeele wakati unaongea ukafiri tu.
Kumtahili maana yake nini Mbogo 😅😅
Huyu mbogoo hamna kituu kabisaaa😂😂😂😂
Obadia amka my g skujuh Wala unijuh hla umelala Sana nenda kasome Quran sura Al Maida
Na daniel hewa kabisaa
@@BabasahdSahd niamkee niende wapiiii?? Kwenye dini ya Muhammad?? Nimuache YESU KRISTO njia ya kwelii na uzima niende kwa Muhammad??? Kuna mengii ya kuelezea yaliyomo Kwenye vitabu vyenu sema Tunaogopagaa kukatwaa vichwaa.
HATA MIUNGU YOTE YA
MAKAFIRI
HAWAKUTAHIRIWA
1) Mungu wa Wakiristo Yesu alitahiriwa?
2) Sijui gariba alomtahiri Mungu wenu ni nani?
UNAMPENDA YESU HATA KAMA NI MOTONI UENDE
Kauli kama hii aliwahi iliwahi kuzungumzwa jamaa fulani kauli mbili fulani hivi:~
1/ Dah! Siwezi kuendelea kusoma Kitabu hiki, nikiendelea nitakuwa SHIA
2/ Hata kama nimeona Ukweli, lakini siwezi kuwa SHIA mimi. Vyovyote itakavyo kuwa, na iwe hivyo.
KUFURU KABISA KUZUNGUMZA MANENO KAMA HAYA, NI BORA KUKAA KIMYA
Luka sio injili ya yesu wakati bwana yesu alipotuma wanafunzi wake wakaiubiri injili ulimwenguni Luka na Paulo awakuwepo, Kwaiyo injili ya Luka inapasa kutolewa ndani ya bibilia.
Kwahio mwezi ulipasuka😂😂 ukawa miujiza?
ukilistoni msiba mkubwa Sana
Tatizo waisram wako mwilini , mambo ya rohoni kwao ni ziro hawajui lolote ndio maana wakivaaa kanzu nyeupe na kuvua viatu na kunawa hadi kwenye makwapa wakiwa anaenda kumuabudu huyo mungu wao basi wanaamini ndio utakatifu ni kama makaburi tu nje yanang'aa kwa kujengewa na kupakwa rangi lakini ndani ni mifupa mitupu ni waandishi na mafarisayo 100%
Bola ukae kmya
Wakristo wamedanganywa sana kuusu mambo ya roho kila kitu roho mtakatifu ukisoma biblia lazima uwe na roho mtakatifu ndiyo ujue maandiko ya biblia hayo ni mafundisho ya uongo tumieni akili alizowapa Mungu
Wakiristo hawaelewi ayo wanamshobokeya yesu wakat yesu hawahusu
Mpango wa kulazimisha kumwita Yesu ni Mungu au Mwana wa Mungu ulipangwa Mwaka 325 katika mkutano wa mapadre ulioitwa MTAGUSO WA KWANZA WA NISEA. hata hivyo baadhi yao waliendelea kupinga mpango huo dhalimu. Hizi historia zipo hata kwenye Encyclopedia na viongozi wa Kikristo wanajua lkn hawawafundishi Kondoo wao Kwa kuogopa kuangusha Imani. Tusome sources mbalimbali ili tuelewe. Tusikaririshwe.
Acha uongo waliokaa mwaka wa 325 walikua wanabadiri siku ya kusali iliyopangwa na Mungu na kuitangaza Roma kwa amri ya mfakme Constantine! Sio kumwita yesu mwana! Na kuhusu mwana soma quran 4:171 ujue yesu ni Nani na usiisome kishabiki na marko1:11
Ww mbogo kitabu maana yake ni bibilia sio quran tafuasili maana yake ni msaafu Acha uongo!
Tatizo Daniel usitumie quran kujenga hoja kwani hayo ayesemayo ktk quran wewe umesema hauamini,sasa nakushangaa unaposema mtume huchaguliwa huku hoja hiyo unaitoa ndani ya quran..jenga hoja kutoka sehemu nyingine toka sehemu nyingine ili tukuelewe Daniel
Lazima akubane kwenye kitabu chako maana hata vitabu vingine ninyi hamta viamini kwa hivyo kazi mnayo
Mbona nyinyi mwajitetea kwa bibilia
Kumbukumbi 18:18 ni yesu hata ukisoma Yohana17:8 na 8:28 na 4:25
Mchungaji Daniel hamna kitu na mbishi
Daniel
kwanza kwa kumuona tu uongeaji wake ni CHUKI TU NA UISLAM
MUHAMMAD SWA ( He showed the miracle)
unadanganya
Daniel mweupe pepepe😂😂😂 sisi wa Islam ni Mwenyenzi Mungu peke ndo anatuma mitume na wa Nabii ...ila kwenu yesu ndo anachaguwa mitume ...sasa tuonyeshe miujazi gani hao mitume wenu wa fasi wa yesu walifanya ??? Wewe Daniel unasema Mtume Mohammed hana miujiza sasa ao wa fasi wa yesu manabii wenu miujiza gani wamefanya???
Hapo hiyo Aya ya Qura'an imetaja Manabii wachache tu.
Je inamaana Manabi (Kabla ya Ibrahim)i ambao hawakutajwa ktk hiyo Aya si Manabii ?!
Wewe danieli umetahiriwa? Siku ya ngapi?ili ufanane na yesu?kutahiriwa ni kutahiriwa tu.
Sheikh mbogo hoja ilikuwa umbane huyo Mchungaji kuwa mungu atawaondolea nabii kutoka kwa ndugu zao wana Islael, je ndugu za waislaeli ni kina nani?
Danieli.huna historia.acha.kujiaibisha.histaria.yako.ya.dini..yako.imeanzia..kwa.paulo
Biblia haikusema chochote kuhusu Ismael na Babake Ubrahimu kwenda Macca au kuishi Macca, imeandika Kuhusu watoto 12 wa Usmael na wote hakuna aliyekuwa na jina la Kiarabu. Jama Biblia Haina story hiyo ya Ismael na Babake Macca hakuna jinsi Qitani ilipata story hiyo kwani mambo yote ya kale na Manabii Quran ilikopi kutoka kwenye Biblia.
AYA INASEMA TUKAWEKA KATIKA KIZAZI CHAKE UNABII. JE KIZAZI CHAKE NANI? DANIELI HAELEWI. HICHO NI KIZAZI CHAKEYAANI KIZAZI CHA IBRAHI NA MUHAMMAD ANATOKANA NA IBRAHIM
NA HUU NI MSIBA MZITO KUSIKIA KWAMBA MTUME YESU NAYE ANAWATUMA MITUME WAITWAO WANAFUNZI!
MITUME WA ALLAH TANGU LINI WAKAITWA WANAFUNZI KAMA SI UZUSHI HUO HUO WA KIKRISTO?
NA WAPI AYA MUNGU AKIMPA YESU AMRI AWATUME WATU WENGINE,BADALA YAKE MWENYEWE..?
Yohana 5:30.
30. Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.
HUU NI UKOSEFU WA ADAMU WA YESU!
FIKIRIA UMTUME MWANAO KISHA NAYE AMTUME MWENGINE BILA YA IDHINI YAKO HUONI AMEKUZARAU???
😂😂😂😂
Daniel, ni vigumu sana kufanya mtu asiyetaka kuelewa jambo akakuelewa hata kama ataujua ukweli wa jambo lenyewe, atatafuta hoja tu ili alidhoofishe, mfano amesoma hata ilipofika siku ya 8 ya kutahiriwa, amesema siku Ile hakutahiriwa bila kujua hii ni Mila na desturi ya kiyahudi sasa kama hajatahiriwa siku hiyo yeye aoneshe alitahiriwa lini?
Christian Prince should come & join this, someone would be debunked 😁
Mbona Sisi east Africa tunaongea kiswahili na Bado shule tunajifunza kiswahili? Hawa jamaa hua akili zao sjui,nashindwa kuwaelewa kabsaa...
ukafiri ukiristo nimzigo mkubwa Sana ktk mwili wa binadam,, wamelipwa chapana shetani wameshikwa ,hawajijui ,huyo mkilisto Hana hoja ya kupinga kurani , Ila kapigwa muhuri na shetani ,, Paulo Wana mfanya mtume , hakutokana na kizazi Cha yakubu ,, Paulo mrumi ,kasema ktk baibo ,akiwa na baridi akimiminwa ,akiingiliwa , alikua shoga mtume gani , choko
Mohammed ni mjumbe wa shetani quran 2:97,98 waisilam wote mnamwabudu shetani na kihama kinawahusu wanangu tolokeni mapema!
Labda utuambie ukwel wako kama quran imemkataaa Muhammad tuthibitihie Aya gan Katka Qur an imesema Muhammad sio Mtume Wa Mungu sio waropoka tu kwa chuki zako binafs zipo Aya nying ndan ya Qur an Allaah anathibitisha ametuma Muhammad wewe watuambia Qur an imemkataaa wapi hiyo Aya ilomkataaa Muhamd sio Mtume
Kwani biblia ni kitabu cha mtume nani
Splitting of what, moon? Comon be serious, 😂😂😂
Quran ilishushwa na adui wa Mungu na gbrii na mikael ambaye ni shetani hivyo Mohamed ni mjumbe wa Shetani quran2:97,98
Weee,unaitafsiri Qur-ani wakati umekunywa divai
Matako yako tafsiri vizuri
@@ngerejaboniface2596 2:97,98
Sema :Anaemfanyia ushinde Jibril kwakuwa ndie aliemletea Utume Nabii Muhammad (s.a.w)asiwapelekee Mayahudi ni bure hana kisa Jibril hakika yeye ameteremsha Qur-ani nyoyoni mwako kwa idhini ya Mlmungu
Muhammad hawezi kufanana na musa ni mbingu na ardhi yanina mtu alierogwa unamfananisha na mtu ambae waganga na wachawi wa misri wote walimshindwa ivyoivyo na yesu hakuna mganga wala mchawi aliye muweza ndugu zako wa kijini walipomuwona walilia na kutetemeka wewe mbogo acha uwo ujinga
Wewe moto wa huko unaujua? Huyo yesu wako yeye mtu wa peponi wewe unakurishwa useme mungu utachomwa kweli
Uyo jamaa hajielewi kabsaa,eti msukuma anaweza akazaa mgogo? Kwani msukuma mwanamke akiolewa na mgogo,mtoto atakua kabila gani?😂Huyo mchungaji hajielewi na shule hajaenda amekurupuka tu.Eti DNA zinakubaki,m ona uku nje watu wanaona mdogo,mkikuyu,mgogo,msukuma wanaona wanazaa watoto tofauti tofauti na DNA zinakubali,hao jamaa wanalipwa kupitosha watu hawana lolote wanachosha hoja zao
Daniel ushindani wa nini!!!!
Danieli ushafanana na uso wa punda kwa kufuru na kumkana Mungu
Daniel wewe kafiri mkubwa kama abuzaari
Kwahy unaesema kuruan haina makosa uliiandika ww hicho kitabu xi ndicho kinacho yes musa Ibrahim na manabii wengne walikuwa waislam huo x uwoongo wa ajabu hy sio mapungufu ya kuruan
Mbogo hamnamo KItu hapo
Achana na kufanya mdahalo ma Daniel sisi tunamuona ni mnafiki na liongo la kutupwa hatu hawahubiriwi ivo wala waislam sio wajinga ukawapeleke ktk iman ya kishirikina ya kuwabidu watu
Unamkataa mtume Muhammad swalallahu alywaasalam alafu unanukuu kitabu Cha Quran
Kama we siyo kafiri alafu unaleta mambo ya mahakama kazi hiyo mahamahakama ya kazi imetokea wapi unaacha kujibu maswali ya msingi ACHA chuku za kijinga
hahaha shida ya baadhi ya walimu wa kiislam kama wakibanwa na hoja wanakua kama wanahasira ona mbogo alivo . hizi hoja za daniel ni kiboko nzuri zinaeleweka na ni elimu tosha kabisa sawa sawa na vitabu vinazungumza sasa jukumu lako wewe muislam kutafakari Mungu halisi anaepaswa kufuatwa
Ukisema Mtume alisikia visa akaviandika sasa kwanini Visa vyote vya ndani ya Qurani viko sahihi hakuna makosa tofauti na bibilia ina makosa hata ya kihistoria, lakin pia Mtume hakusoma kama tunavyojua sasa imekuwaje akaweza kuandika mambo ya kisayansi kabla ya science yenyewe ni yako sahihi????
Mohamed n mtume wa mwenyez mungu hundred percent