ACHA KUFUNDISHA CHUKI WAMBIE WATU UKWELI-USTADH SHAFII AZIDI KUMPA DARASA LA UISILAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 84

  • @myaudimazarahu3532
    @myaudimazarahu3532 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu ana mtume Muhammad

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 6 วันที่ผ่านมา +2

    جزاك الله خيرا استاذ شافع

  • @IddyIbrahim-h5r
    @IddyIbrahim-h5r 6 วันที่ผ่านมา +1

    Manshallah Allah akupe wepesi Ust shafi

  • @AbduliAshiru
    @AbduliAshiru 6 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Shekhe Shafi Allah akulipe khery sana Shekhe Duniani mpk Akhera na waadhili wote.

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 6 วันที่ผ่านมา +2

    ALFU MABROOK USTADH SHAFFY ❤

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah ❤❤❤

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar 6 วันที่ผ่านมา

    Shekh shafi allah akuifadh akupe umri mrefu uzidi kufundisha na ikifika wakt Mollah akujalie pepo ya fridauss inshallah Amin

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 5 วันที่ผ่านมา

    Hiyo aya inawalenga wakristo. Wakati wa Yesu walikua wakiabudu kwa Masinagogi Yesu alipoondoka walitegwa na Masinagogi kwa kuletewa makanisa.na hiivi ndivyo alivyokua anamanisha Yesu.

  • @adinanimzimbiri
    @adinanimzimbiri 6 วันที่ผ่านมา +1

    Shehe upo sahihi

  • @mutuaissa4815
    @mutuaissa4815 5 วันที่ผ่านมา

    Ustath hufai kujibizana Na Hawa wendawazimu ,wafanya wawe maarufu

  • @FaridMaganga
    @FaridMaganga 6 วันที่ผ่านมา

    حفزهلله شفي معلم

  • @mussamohammedy8014
    @mussamohammedy8014 6 วันที่ผ่านมา

    ostadh shafii mungu akuzidishie tatizo la huyo bwana hakuna ajuacho huwa anakurupuka tuu anajua et qur an ni sawa na bibilia kapungukiwa sana na akili yaani wakusanyane watu tena wa kutoka italy na siyo huko alikotoka yesu mwenyewe waandike kitabu kisha wakiite kitukufu aisee wanahitaji kusaidiwa haswa chuki za watu weupe zidi ya waarabu wanaziingiza katika dini!!!!

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 6 วันที่ผ่านมา

    Hv hiz salam lzm usem kiarqbu,huy allah wenu anachagua lugha😅😅😅

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา

    Maamuma Shafii, hiyo watawauweni wakidhani wanamfanyia Mungu Ibada utabiri huo ni kama mlivyo agizwa na Muhammad Surat At-Towba 9: 111 soma hiyo ufunguke akili

    • @maulidisaidimuhani6859
      @maulidisaidimuhani6859 5 วันที่ผ่านมา

      Huyu mwenzako kidogo anayo akili. Msikilize hadi sekunde ya mwisho.
      th-cam.com/video/g2t7QDdPwkA/w-d-xo.htmlsi=9EU-XiONx_h1ruWl

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@maulidisaidimuhani6859 YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA NA NDIYE ATARUDI KUHUKUMU WAZIMA NA WAFU AKIWEMO Muhammad aliyelala udongoni Madinaaaaaa

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@maulidisaidimuhani6859 YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA NA NDIYE ATARUDI KUHUKUMU WAZIMA NA WAFU AKIWEMO Muhammad aliyelala udongoni Madinaaaaaa!!

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar 6 วันที่ผ่านมา

    Watawatenga na masinagogi yani hawa wa ubiri wa kikiristo waatafanya wa siingie kwa ma Sina gogo wale wa kiristo.ndiyo wa shawanyima haki yao ya kweli Allahu Akbar

  • @wakeshojana
    @wakeshojana 6 วันที่ผ่านมา +1

    KWAKO SHAFFI UTADHANIA NI CHUKI KWA SABABU YA AKILI ZAKO NAJISI LAKINI KWA MRISTO EX IMAM ANASEMA UKWELI NA MAANDIKO....SIO KWA AKILI ZAKE KAMA WEWE!!
    Tito 1:15 Kwa watu walio safi, kila kitu ni safi. Lakini kwa watu waovu na wasioamini, hakuna kilicho safi. Mawazo yao na dhamiri zao zimejaa uovu

    • @AbduliAshiru
      @AbduliAshiru 6 วันที่ผ่านมา

      Duuuh! Nyinyi wakristo mnashida sana yaaani hata hapo mnajifanya amuelewi Duuuh hatali sana, amakweli mnamacho lakini amuoni mnamacho lakini amusikiii.

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 6 วันที่ผ่านมา +1

      @@AbduliAshiru
      waislamu sampuli moja dhamiri zenu zimejaa uovu...Ndio nikatoa andiko >>>> Tito 1:15 Kwa watu walio safi, kila kitu ni safi. Lakini kwa watu waovu na wasioamini, hakuna kilicho safi. Mawazo yao na dhamiri zao zimejaa uovu.

    • @AbduliAshiru
      @AbduliAshiru 6 วันที่ผ่านมา

      @wakeshojana aiseee unaongeza ya kwako ilo andiko ulilotoa limeandikwa waislamu, 😂😂😂 acha kumdhulia mungu uongo mungu ataki uongo 30: 5 mpaka 6, alafu ivi umemuelewa Shekhe Shafi Allah amuifadhi umelewa anachozungumzia hapo, ndugu ayo maandiko kasema siyo mtume aliekusudiwa pale ni paulo na ushaidi katoa sasa leteni wakwenu unaesema pale kakusudiwa Muhammad acheni udananda.

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 6 วันที่ผ่านมา +1

      @@AbduliAshiru
      Andiko lilikusudiwa watu wenye imani sawa na waislamu...wakiskia Yesu akisema yeye ni Mwana wa Mungu....wanasema anakufuru...Yesu anao Uungu, wanasema ni UFISADI!!!
      Yuda 1:4 Kwa maana kuna watu wamejiingiza kwa siri, watu walioandikiwa zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa UFISADI, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 6 วันที่ผ่านมา

    Baba Baba Mungu je allah ni Baba Mungu? Quran 9:29 hapo vp kuhusu Muhammad kuwapiga watu WA kitabu?

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 5 วันที่ผ่านมา

    Wakiristu maandiko yao hawayajui paulo kawaingiza chaka bovu

  • @myaudimazarahu3532
    @myaudimazarahu3532 4 วันที่ผ่านมา

    Unatafuta kiki kwa video za walimu wezako.

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา

    Maamuma Shafii, Muhammad hana Mafundisho bora bali alikuwa na Mafundisho ya chuki Soma Qur'an Surat Maidah 5: 51 na Surat Imran 3: 28 na Surat Touba 9: 29, 123 sasa hayo ni mafundisho bora? na mtukufu wa daraja ni YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA NA NDIYE ATARUDI KUHUKUMU WAZIMA NA WAFU AKIWEMO Muhammad, Ab bakar na Omar!!

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar 6 วันที่ผ่านมา

    Chuki ndiyo itawatiya motoni mw nzimngu awa ongozeni😂😂😂😂😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา +1

      Chuki alikuwa nazo Muhammad na alikufa nazo pia akawaachia maagizo Ninyi Waislamu muwe na chuki pia Soma Qur'an Surat Maidah 5: 51 na Surat Imran 3: 28 na Surat Touba 9: 29, 123 hizo ndiyo chuki mlizolithishwa na Muhammad

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 6 วันที่ผ่านมา

      Tuliya ufundishwe uwe kafiri paulo

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 6 วันที่ผ่านมา

      Unajifanya msomi kwa kutoa maandiko hivi wewe unaweza kuitafsiir kor an? Hhh aca cuki uishi kwa amani duh ukafiri shida kweli kweli jahanamu inawasubiri ewe maskini wa ufahamu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@qwerqasd8597 Pole my Brother, Siyo najifanya kuwa msomi Bali Mwenyezi Mungu kanifanya kuwa msomi Qur'an yenyewe imejipambanua kuwa ni nyepesi kuifahamu ila nyie mnataka kutuaminisha eti ni ngumu 😅 Soma Surat Qamar 54: 27, 22, 32 na Surat Dukhan 44: 58 Mimi Sina porojo nakupa Facts unibishane nazo 😅😅

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@qwerqasd8597 My Bro, siyo najifanya msomi Bali Mwenyezi Mungu ndiye kanifanya kuwa msomi 😅 Kwa taarifa yako siyo ngumu kuifahamu yenyewe imejipambanua Soma Qur'an Surat Qamar 54: 17, 22, 32 na Surat Dukhan 44: 58 usiumie na neema niliyopewa ya usomi wangu pole!!✝️✝️✝️💪🙏🙏

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา

    Maamuma Shafii, Na kuhusu Paulo hapo ndiyo inaonyesha kweli wewe ni bonge la MWONGO Umeamua kukata Aya zingine za Biblia utimiza UONGO wako Soma MATENDO 26: 1 - 33 upate maana KAMILI au ndiyo unatumia khadith ole ya Muhamad kuwaruhusu kusema UONGO!! Unaweza kutumia UONGO Kwa kupatanisha watu waliohasimiana au katika jambo linaloleta kheri na manufaa Kwa Uislamu

    • @mutuaissa4815
      @mutuaissa4815 5 วันที่ผ่านมา

      Pia internet Ni uongo,nenda tafuta Lily Jay kwenye TH-cam upewe ukweli nyie wakristo hamna chochote Ni kujienjoi tu😂😂

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา

    Maamuma Shafii, kwa mujibu wa khadith Qur'an haijakamilika: Soma hii "Abdalla Ibn Omar amesema bila mmoja wenu anasema kuwa ameichukua Qur'an yote, lakini hiyo yote ni ipi? Qur'an nyingi imepotea, lakini aseme nimechukua ila sehemu iliyopatokana" ( Taz. Al Itqan juzuu 2 uk 32) na (As Suyut-al-Itqan fiil uluu al Qur'an pg 524)
    Mashaka ya Abdallah Ibn Masuud KUMB:- Bibi Aishah alisema Surat Ahzab 33 ilikuwa na aya 200 zilizopo ni aya 73 tu aya 127 zimepotea !! KWA MUJIBU WA Khadith hizo Qur'an aya zingine zilipotea kwa hiyo Qur'an haijakamilika!!

    • @abdalahgea7741
      @abdalahgea7741 6 วันที่ผ่านมา

      Asa abdallah ibn omar ndo quran we kichaa nn toa aya kweny quran juzuu ilipotea

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@abdalahgea7741 😂😂😂 Mimi siyo kichaa Bali yawezekana walioikusanya Qur'an akina Zaid Ibn Thabit baada ya kifo Cha Muhammad!! Mimi nakusomea tu wapokezi wa khadith za Muhammad AKIWEMO mkewe bi Aishah😅😅

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 6 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana Ex imam Ishmael hiyo Aya uliotoa Yohana 16:1-4umelenga umo umo na ndivyo wanavyofundishana kuwa ukijitoa muanga ukawaua wakristo unaenda peponi kama alivyofanya jamaa mmoja huko marekani mwaka mpya huyo jamaa yupo kwenye hiyo Imani ya mtume na Kuna hadithi inayowaluusu mtu akiacha uislamu auwawe mnapata dhawabu kwa allah dini hiyo upendo hakuna hapo

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 Ex imamu Ismael anamuumiza kichwa Maamuma Shafii!!

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 6 วันที่ผ่านมา

      Yohana 16:2 Watawatenga na kuwatoa katika ushirika wa masinagogi. Na si hivyo tu, bali utafika wakati ambapo mtu ye yote atakayewaua atadhani kuwa anamtumikia Mungu.

    • @mutuaissa4815
      @mutuaissa4815 5 วันที่ผ่านมา

      Ex Imam Gani,nenda kwenye TH-cam, Tafuta Lily Jay,ujuwe Ukristo Ni propaganda zilianzishwa Na wakoloni 😢

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 5 วันที่ผ่านมา

      @
      ex imam huyu....lily jay ni wakala wa shetani tu kama muhammad 😂😂😂😂😂

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 5 วันที่ผ่านมา

      Ishmael njaa inamsumbua .Yuko katika ajira ya kuchafua Uislamu.

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 6 วันที่ผ่านมา

    Sheikh shafi ili uonekane huna chuki msome Paul matendo ya mitume 9:1-31 ukweli Paul aliwaua wanafunzi WA Yesu kristo mwokozi baadaye akaokoka akawa mwanafunzi WA Yesu kristo na ni mtume wake hiyo matendo ya mitume 22 anatoa history yake ya nyuma alivyo Fanya Hila hiyo Aya kwenye Quran 9:29 huko uarabuni wanazitumia hizo Aya na wakiwemo Boko almu Iss allahshabab wote hao ni waislamu na wanaongozwa na Quran

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา +1

    Maamuma Shafii, Mimi nimefunua akili yangu na kuipa kazi akili yangu nimeona HAKIKA Aya YOHANA 16: 1-2 Inamuhusu Muhammad kabisa na Waislamu wote Kwa sababu Muhammad aliamuru kuwauwa watu wasiomwamini yeye na dini yake Soma Qur'an Surat Maidah 5: 14 na Surat Touba 9: 29, 123 soma na Khadith hii:: Kasema mtume ni pigane na watu mpaka Washuhudie kwamba hapana mungu apaswae kuabudiwa Kwa Haki ila allah na Muhammad ni Mtume wake Allah. Na wasimamishe Sala na watoe zaka. Wakifanya hivyo basi wamesalimika kwangu damu yao ila Kwa Haki ya Uislamu (KITABU: MSEMA KWELI MWAMINIFU Juzuu 128 khadith no. 276) Muhammad ni muuji na nyie Waislamu amewaagoza kutuua sisi tusiomwamini ndiyo maana Kila siku mnamtakia rehema.

    • @abdalahgea7741
      @abdalahgea7741 6 วันที่ผ่านมา

      Mbn unaongea pumba tup huelewek

    • @abdalahgea7741
      @abdalahgea7741 6 วันที่ผ่านมา

      Mbn unaongea pumba tup huelewek

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@abdalahgea7741 Wewe ni Maamuma huwezi kunielewa hata Qur'an husomi pia una jini Karin ambaye Muhammad anasema Kila Mwislamu anazaliwa akiwa na Jin Karin huyo ndiyo anakufanya usinielewe!!

    • @SeifSalim-m7i
      @SeifSalim-m7i 5 วันที่ผ่านมา

      Acha chuki wewe kama wewe ni muzabizabina uliingia dini zote na kutoka hizo aya unazozisoma zilikua ni wakati gani hizo aya zinaonesha ni wakati wa VITA

    • @SeifSalim-m7i
      @SeifSalim-m7i 5 วันที่ผ่านมา

      Na wasimamishe sala na watoe zaka wanao ambiwa maneno hayo sio makafiri ni waislam acha CHUKI NA DINI YA ALLAH.ACHA CHUKI NA DINI YA HAKI

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mtukufu ni Ibrahim ambaye ni Baba wa Imani ndiomaana Mungu mwenyewe anajitambulisha kuwa yeye ni Mungu WA Ibrahim isaka na Yakobo Kutoka 3:6 tuonyeshe kwenye Quran Mungu anajitaburisha kuwa ni Mungu WA Muhammad mtukufu mtume WA daraja ?wakati huyo mtume anashutumiwa kuwa ni mwenye Dhabi mara nyingi kwenye Quran

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 6 วันที่ผ่านมา +1

      Mtukufu wa Daraja la dhambi ndiyo maana wanamtakia rehema Kila siku😅

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 วันที่ผ่านมา

      @paulmushi2428 unajua waislamu wanajisaau wanajitoa ufahamu wakati Kila siku wanamuombea rehema mtukufu Tena tumuombee rehema kichekesho kitupu halfu hizi Aya zinazomthibitisha mwenye Dhabi wanafunba macho wasizione Quran 47;19 na 40:55 na 4:79 na 66:1 kazi wanayo kutetea kwa uongo laki kwao uongo sio dhambi Wana uongo aina tatu unaoruusiwa mashehe wanawafudisha waumini Kuna clip zipo mtandaoni

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 6 วันที่ผ่านมา

      umeupiga mwingi yani hapa umembana shaffi!

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 6 วันที่ผ่านมา

      Yesu alipoambiwa kuwa yeye ni mwema(yaani mtu asiye na dhambi) akakataa na kusema mwema ni Mungu pekee.
      Kwa hiyo kila binadamu anafanya makosa hata kama ni madogo.

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 6 วันที่ผ่านมา +2

      @@paulmushi2428
      Na kuhusu kutakia rehema, Waislam wanawatakia rehema Manabii wote akiwemo Yesu na wengineo.