Young Lunya - Freestyle Sessions 5 (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024
- #YoungLunya #Mbuzi #FreestyleSessions5 #NewMusicFriday
Sessions 5 freestyle is here!!!
Young Lunya is the Future of Tanzanian Hip Hop and a trail blazer for the Tanzanian Hip Hop community as a whole. The Freestyle Sessions are homage to Tanzanian rap culture and an invitation to experience Swahili "lyricalilty" at its finest.
Freestyle Sessions 4:
• Young Lunya - Freestyl...
Freestyle Sessions 3:
• Young Lunya - Freestyl...
Freestyle Sessions 2:
• Young Lunya Freestyle ...
Freestyle Session 1:
• Young Lunya Freestyle ...
For Bookings: younglunya@wearerockstarafrica.com or Lunya14@gmail.com
For More Young Lunya Please Follow socials:
/ younglunya
/ younglunya
Copyright Rockstar Africa, LLC 2023©
For Young Lunya on Streaming Platforms:
Apple Music: / young-lunya
Spotify: open.spotify.c...
Dezeer: www.deezer.com...
Tamba Pande Zako Pande zetu Au tambi 🥂
Wote ma YOUNG lakini sote tunajua nani ndio KILLER😅
Kuanzia Leo tuache kumshindanisha young lunya na young kilaa young lunya ni nembo ya taifaaa
Mbuz anaendelea Kula marapa wale baba
'acha mchezo na mi mwenzako kuna kitu kichwani hakijaakaa sawa'👽 'stimu mpya,same kiko' 🔥Oh my.💯 You the goat. Let's give Lunya his flowers💐,damn!
Young lunya moto sana hakuna rapper kama yeye ye ndo namba 1,2,3 na ndio mwishooo
hakuna mwanamziki yoyote wa Tanzania anawez kumfikiya uyu jama
🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenyans let's gather here for this amazing rapper..hit like kama unadhani collabo ya young lunya and Khaligraph inaeza hit vi'amazing ❤️ 💯💯💯🔥🔥
Ili swala kama mashabiki inabidi tuwalazimshe
Balaaaa atauwaaaaa
Naona finally wamefanya collabo...OG ni moto wa kuotea mbali .collabo inekomaaa 😂
Tuache utani lunya is on another level👑 yeye ni wa kwanza wa pili na wa tatu na ndo mwisho😕
Ningependa kumuona lunya na kaligraph. Let’s give it a like ✌🏾
Keeep that
ifikee wakataii Mjuwee kutofautishaa Msanii Mkubwaa na Mkongwee,, Lunyaa ni MKUBWA yulee mwingunee MKONGWEE,,, Lunya Ndo namba 3 2 1 na ndo mwishoo
Mbuzi aliyepita Iddi salamaaa... kaanza sumbua nchini, like zakeeee🔥🔥🔥🔥
th-cam.com/video/O0IALZfelFc/w-d-xo.html
😂😫😫
MAKINI SANA
MAKINI SANA
Young lunya anamzidi killer swaggs na flow..but killer anamzidi lunya punch lines...lunya is da morden Rapper..na killer is da natural rapper
Real bro
Mpaka sasa MWANZA NO 3
Lunya NO 5 Trending….🔥🔥🔥Nipen like kwa uchambuzi huu
Mbuziiii niii mmojaaaa tuh kumamake umechinjaaaa sisi wapenda rap tumelizika 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤴🤴🤴🤴🤴🤴wew 123 ndooo mwisho 🤣🤣🤣
Shabiki mkubw wa young lunya dondosha like yako apo chini. 🎉🎉🎉
😢😢th-cam.com/video/upSIEbNVaLA/w-d-xo.html
Ngoma.kali sanaaaa
Tamba pande zako pande zetu autambi
umetisha
ukimaliza apo nenda kamskilize dizasta vina 😍
Lunya hits different, pure talent pure skill,his flow and songs are here to stay..💗 from Kenya
th-cam.com/video/O0IALZfelFc/w-d-xo.html
@kaligraph OG
Mwamba sana huyu mwenyezi Mungu akupe madini zaid na zaid .
Nakubali kaziyako
Huyu jamaa anajua sanaa ni vile tu tunampa heshima Killer kwasababu ya kua legend but this talent hits different
Unyama mwingi
5 ni hatari kama umekubar piga like hapa
th-cam.com/video/O0IALZfelFc/w-d-xo.html
🎉
Am a Zambian 🇿🇲 though I don't understand the language, this guy is hard Asf... Prolly one of the best in Africa
The guy is doing code mixing, swahili and english but the main content is to show other tanzanian rapper that he is great than them, and then he talks about how girls like him, but the whole song is all about proud
@@harakationlinetv8224😂😂Asante Mjomba 👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿
@@yustobitalio3597 😄😄😄mzambia kaelewa apo ilo yai ila cha ajabu wabongo watajifanya awajanipata fresh, but the whole content of young lunya to show other young rapper that is on top, once it comes to swaggz and flows
Zonaaa bakamba 😢😢❤😂
Huyu awe best afrika? 😁😁Unamjua mex cortez wewe? Unamjua kaligraphy Jones wewe? Unamjua "katapila wewe? Unamjua" conboi canabinno wewe? Tanzania kuna wakali wa hiphop unamjua "Nikki mbishi wewe?
... Young Lunya anajua nyiee daah🔥🔥🔥💪💪💪BIG Love zidondoke Kwa husani ya 'Mbuzi'😅😅
Nani kaja baada ya freestyle session 6 ya msoodoki 😂😂 tujuane🤝
Kabsaaaa😂😂😂
Nipooo
Tume kuja ku chungulia Huu Huu😂😂
Yea ni kweli hata mi nimeitafuta hii baada y sesn 6 y killer,we ndo utajua nani kampush mwenzake
Tupo hapa😂😂😂
Tuache roho mbaya mwamba ni mkli sanaaaaaaaa
AKA mangwair🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏
Lunya hii Kali wanao ikubali weka like hapa%
Mbuzi kama mbuzi🔥🔥🔥💯
Ambao wamerudia mara nyingi Zaidi leta mrejesho hapa 🔥🔥🔥🔥
th-cam.com/video/O0IALZfelFc/w-d-xo.html
Namkubali kama mondi
Nipo hapa kuliko kuangalia amapiano Bora niangalie hii michano niliimiss real Hip-hop boomkubam✔️💯
Umetisha brooooo
@@wemakingdaily1462 💯
Skiza flowz afu skiza lyrics soo crisp qmmke kama unamshindanisha na rapper yyte now bongo peleka ungese wako hukoooooo👏👏👏👏 lunya you did it bro
Kama unamuelewa wewe komaa na zako broo
Rapa wangu wa muda wote kafanya nimependa hip hop 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kumamamake hiii session5 is dangerous ☠️ lunya is the best lapper😂❤❤
MbuZi the GREAT 🔥🔥🔥Sjaona wa kumcompare nae uyu niger ni Balaa,Dondosha like hapa kama unamkubali #young lunya
Badili kauli kaka
Kabsa abadili kauli😂
Taarabu tupu😂😂😂
Hujui unachokiongea! Hivi unawajua kina mex cortez wewe? Unamjua Frederick mullah? Kuna watu hatari nyie tz, huyu hamna kitu
Libya Kwa sasa ni unyama mtupu tumfananishe Ila kidogo bastrams
🔥🔥lunya hakuna anaekuweza kweny hii game ya rap really appreciate broh💪
Wen it comes to hip hop,, lunya u kill niga❤️❤️ from Zambia 🇿🇲🇿🇲
Daaaah namkubali sana youngkiller sema daah malume umeenyoosha sana hiii 🫶🏼🫶🏼🙌🙌🙌
Leo nimekubali wewe Ni msani all those day nilijuwa uko na swaga za music now your the really Mc 💯
I wish rapper wa Marekan wakutafute Mfanye collabo. U never disappoint bro. Always On point.
Chuma yenyewe lazima tufike 1 trending
Session 5 ni sayari nyingine,kama umekubali like tuwe pamoja
Oya home boy sio powa lunya noma dar stend up
Jamaa lunya kwenye raping hauna mpinzani tenaa bongo respect me ni fan wako mkubwaa xanaaa
MMAZAKO!!!!.....mbona imenichukuwa mda huu wote bila kumsikia huyu jamaa!!!....MOTO MNO!!!!
💥💣💥💣💥💣
Wtf🙌🙌🙌🙌 This's with no doubt the best rap song i've heard this year💯 This goes harder than most....Goosebumps bro,, much love from kenya mahn 🖤
aànipppo
kenya in the house.........best musician in TZ ...
This man deserves all of the respect, all of flowers and all of the love. LUNYA is one of the greatest artists of all time!💯
Bro ww ni mkali saan ila Kwa killer bado mtoto mdog saaaan
#skotziki tz boy kijana young rapper from tz ... ❤❤❤ Support. To see tz going up with real rapper.
#skotziki in TH-cam
#skotziki ana tu support ❤❤
I couldn't say it better..
Huyu jamaa anajua kulap kisasa, ndiomana anakubalika na kulapu kwake kunapendwa na kila jinsia. 🐐🔥🔥🔥
Nakukubali sana Mbuzi huu ni muda wako asante kwa hii zawadi ya free style kwa ajili ya sisi mashabiki zako, naomba ngoma nyingi twende Grammy nigga toa ngoma zakutosha ndio time yako andika nunua tupe music kila month na respect sana man kumbuka ni muda wako Mbuzi
Oya lunya fanya kuwatafuta Migos mzee tulipuke 🌎💥💥🔥🔥
Miindoko ya migos 😂 au sio
@@mwajeymiraji kabisa mzee
Kenya we approve this...a banger....sasa weka khaligraph kwa remix and thank me later
He take Tanzania #rap #hiphop to the next level
Huyu jamaa ni fire hasa kwny styles, appearance na majigambo Ila msodock ni mbaya kwny Punch lines
Levyo zajuu anauchezea muziki kampira kama una jicho moja huwez ona hiyo 🐐🐐🐐🔥🔥🔥
meeeeeeeeeeeee mbuziiiiiiiii,,,KAMA UMEPENDA RAP YA MBUZIIII WEKA LIKES HAPA,, ALAF TUNASEMA MEEEEEEEE🤚🤚🤚🤚🤚😀😂😂
Meeeeeeeeeeeeeeeeeeee😂🎉🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊💪✍️🐐🐐🐐
SIO KAMA TUMEPENDA MM TOKEA UKO NAJUAGA LUNYA NI MMOJA TU TZ
🔥🔥
Meeeeeeeeee namkubaliiiii
Rapper wa hovyo haijawah kutokea makelele tuu
Young Lunya is a combination of Darasa , Joh Makini and Godzilla in terms of rhymes just listen to his flows if you don't know him you may think it's Joh Makini rapping. Anyway you're dope bro continue doing your thing
Mwanangu lunya hii umetisha sana kuliko zote ila nategemea kali nyingine zaidi ya hii😮😮😮😮
Lunya nimkali kinoma noma anaweza big up saana ila killer Msodoki ana capacity kubwa sanaa uwandishi mkali
Every session is better than the last one 🔥🙌🏾
Msodoki amekuosha bro we unastrugle sana ivi
Bro . Killer ..the next level....
@@tonylaizer3386 hujui kurap michano ya mchizi boti inawatesa skiliza freestyles brow ucpanic lunya nw days mkal kliko killer
@@kelvinwilfred-p2e siwezi sema lunya ni mkali killer miaka yote . Eeeeh hatujui kuskiza rap kweli lakin kwa killer huezi nitoa .Kama hujanileta hauwezi nirudisha nilipotoka...kwa kelele watatushinda lakin Soo kwa mistar
Session 3 is my favorite.
Kama una mukubar lunya gonga like hapa chini
I arguably say this dude is far better than many rappers in Africa
Ngoma Kali Sana....
Jitahid Sana Uta kuwa kama Killer 👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿🇹🇿🇹🇿
Kuna kenge katoa Sessions 6... Anataka shindana na sisi Mabeberu... Mzazi.. nina punch line kali... Ninge mchapa chap, bila hata KY.
I love the beat, rythm na hizo bars zilizotemwa humo.
Ni sick, mpaka nakosa msemo.
King of freestyle 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hatariiii 🙌🙌🙌 Kubwa sana hii 🔥🔥🔥
Bado lunya hajamfkia killer,,,,,,yule n young mwanye killer zake bana,,,,,we bado n dogo inafaa ukaze sana lunya
We ni Noma nakubali sana rapper
Mimi kwajina naitwa Rab mundo nimsanii mtoto sana nilikuwa nahitaji mtu wakuniShika mkono nikawaza nimchek mbuz anaweza kunisaidia lakini sijui nampateje SAS mimi nikijana wamiaka 16 kama akiniona basi ajue mimi nahitaji msada kutoka kwake
The best complete rapper of all-time in my opinion. He can do multiple things in his rap
Yeah anawazidi vingi Sana marapper wengi....marapper wengi hawana punchlines labda atleast Conboi....Ila wengi Sana hawana punchlines....pia flows lunya anabadilika badilika, utunzi na Mambo mengi tu yanayohusisha Rap music.
Mbuzi sifa yake kula nyasi 🐐👊🔥🔥🔥
❤
Lung master wa lap chukuw maua yak🎉🎉🎉🎉🎉🎉
NAMI pia ndiko msanii kutoka nchi ya Rwanda,ninapenda kufuata nyimbo hodari zako, ningetaka tujiunge Ili tuumbe wimbo pamoja
Mim namba 1namb 2 na namba 3 ndo mwisho 😊gonga like Kama unamkubali lunya mbuzii
Tunaojua Kama Rapcha Amepondwa Humu Like tafadhali
NUMBER ONE RAP STAR IN AFRICA 🌍🌍🌍 YOUNG KING #MEEE BLESSINGS RASTA
Unamjuwa young killer mwanza mwanza on map 😂😂 ndio mbabe wakee
@@emariohjohn3743hamjui ucimpe faida
@@afixjomo kweli asipewe faida🤣🤣
Tuloskiza zote na kujua mbuzi kaua twende sawa🔥🔥
Brother mimi ni mkenya ila huyo msee umemshinda mbali sana
punch lines on punchlines, already on my playlist
You killed it bro🔥🔥🔥🔥
After all
Ila beat la freestyle session 2
Ni kali zaid🔥🔥🔥🔥🔥
🎱🎱🎱🎱
Dis verses Killin it💀🔥🎱
We jamaa nakuona kihisia utafika mbali sana kimziki amini mwenyezi mungu akubariki na kipaji chako kitumie vizuri
Mbuzz wew nfio mkali wetu Tz upande wa hip hop wakimbeze kenyaa achana na ka killer
This guy has a taste in music buana ❤
This is a banger
Young Lunya is my favorite rapper for sure, needles na kazi bruhh
Younglunya worldwide🔥🔥best rap in town so far👊👊👊
Young mmmmmmmh we jamaaaaaa hapana yani nimeishiwa maneno maana umemaliza mwenyewe
Lunya ni lunya tuu hawa wengine warudi shule,
🔥🔥🔥🔥 Hatar sana
From Congo drc...this IS great
The only rapper I listen....his flow is lit💯💥
Lunya you a beat killa much love from Malindi Kenya.... I ❤ this Gangsta shit.....
Young Lunya,Kwa hiki kipindi hakuna mkali Zaidi yako..Hip Hop unaipa uhai Na sura mpya❤❤
Mbuzi kagoma kwenda shindana nawote ilaa siyo young killer kaka killer🔥🔥🔥
Young killer Ndio nani bro
If they don't play this song at my funeral, I ain't dying🎉
😅😅😅
Umekill ile mbaya ,we ain't dying bro !
😂😂😂
😂😂😂
😂😂
One love from Kenya❤
Waiting 2 listen from another young ....much love from 🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Msenge tu lunya Kwa killer bado sana...young killer ni 🔥🔥🔥
Matusi yanatokea wp sheee...?
Achakucheza na mm kunaki2 kichwan akijakaa sawa🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The only vibe from this dude 🔥🔥🔥
Lunya ana michano ya kinyam sana tena mikali mnoo tatizo ana sifa an kwenye bet kalibu zote kutwa kujisifia apo ndo anapo zinguaaaa hip pop niku elimisha kuburudisha na kukosoa sasa yeye ngoma zake ni sifaaaa tyuu apoo naona ni wrong kwaaa mtazamo wangu au wanangu mnaonajeee???
Kama mnamkubali huyu mwamba gonga like🎉🎉
You the real Goat in tz 🇹🇿 no cap ✊🏿
Mina penda hii ndo wote msike hip hop ndo hii sasa na hii ku dis ndo itakayo fanya hip hop ya Tanzania ifike mbali respect hip hop 😅❤lunya 🌱🌿🐐
Hakuna mziki apa kuna kelele tu Msodoooookiiii💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Though its a month ago ..here to confirm that young lunya is saving bongo rap😢