Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh maa sha Allah shukran sheikh wangu nimejifunza jambo muhim sana Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu akulinde na kila aina ya ubaya
Shehe assalamu alaikum umelezea dawa zakutowa uchawi ndani unatakiwa upate mvunje mrihani namiti mengine ulotaja mwisho umesema itatikane ambari iyo ambari kuipata nitabu Sana jee huwezi kutumia iyo miti bila ambari ?
Shukran Sana sheikh wetu nakufatiliya nikiwa Burundi 🇧🇮 piya naitaji mazungumzo naww inshallah nakupnda kwajili ya ALLAH sheikh wangu
Asalaam alaykum was rahmatullahi was barakatuh ya sheikh barakallahu fiika ila lufwambo hatujaiona na mtule Allah awape Al jannat
Masha Allah darsa nzr sana WALLAH
Mashallah Allah akulipe kheir Sheikh Yussuf
Mashaallah hakika hatuna chakukulipa sheikh allah akujaalie kheri nyingi na baada yakheir akujaalie pepo ya firdaus
Inshahhn mungu akujaliye
Mungu akupe kila lakher
Amina yaa labii
Allah akuripe heri
MASHAALLAH ALLAH AWAHIFADHI INSHAALLAH
Amina Amina shekhe
Natamani mngekuwa Dar. Maana duu wanasumbua wanga ni shida. Ila nasi tunaongozwa na damu ya Yesu tunawakomesha
Hee pole
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh maa sha Allah shukran sheikh wangu nimejifunza jambo muhim sana Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu akulinde na kila aina ya ubaya
Amiin inshallah
Allahamudullah sheikh, blessings
Asante sana
Shukurani sana sheikhe wetu kwa elimu , wewe uhusiki na Pete za. Kusaka Mali au pesa ,
Shukran sheikh
Masha Allah Sheikh BarakAllah feek Swaahibu Al-Ashjar
Asha athman asante kwa elimu murwa.
Allah akuongoze naimani yako mpaka mwisho inshallah
Shekh unatoa elimu swahihi yenye baraka kwa Allah
Amin ya rabby
Shukrani
Shukuran sheikh
Hapo hatuuoni vizur
Barikiwa sana
Shehe mm mama yangu malanyingi anaota ndoto anapigana na nyoka mwisho wasiku kma nyoka wako wengi anamuua mmoja mwingine umshamhulia
Asaalaam aleykum sheeh nimekubali
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu....niulize naeza pata dawa ya bronchitis
Aiseh nilikua na ya suka hyo
Nilicheza nao huu mti
Naam
Wafundisha kuhusu mtu au nyasi🙄🙄🙄🙄🙄🙄au wakenya ndio hatuwelewi
Kwa kizungu inaitwaje?
Shehe assalamu alaikum umelezea dawa zakutowa uchawi ndani unatakiwa upate mvunje mrihani namiti mengine ulotaja mwisho umesema itatikane ambari iyo ambari kuipata nitabu Sana jee huwezi kutumia iyo miti bila ambari ?
Unaweza
@@alfajrtvtzonline9315asalam aleikum sheghe no hazionekani vizuri
Km kubana tumbo chini yamanena nn mtu atumiye
Asalamualeykum Ustadh wangu,Naomba dawa ya UTI? JazakaAllahu kheyran
Mimi naona Kila majani ni dawa tu
Naomba dawa ya bawa siri
Acheni ushirikina nyie.....acheni kumuabudu shaitan....uislam haujafundisha huuuu uchafu na matakataka haya
Inshahhn mungu akujaliye
Shukran sheikh
Asaalaam aleykum sheeh nimekubali