Kaka Steve huwa twa kufwatilia,unatumalia buddle,unaziumiza mbavu zetu kwa kicheko😂😂😂😂😂😂😂 ila hutupi Ile ka heart,ama hupendi tunavyokufwalia? 😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila weee mwehu weweee na usipone iyo akili Yna na wanavyopenda kukusingizia kila kikipotea kitu ndan😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuranga unawarusha sana
Hakuna comedian Africa anamshinda Steve moses😂😂😂😂, kama unaamini gonga like.
Amini Amna comed anamkuta steve
Nime kosa kwaku gusa ili Uzi zionekane liké 1000😂😂😂😂😂😂
Ndaro ndio ana mgusa kdgo
kuna Joti na mkwere
Mnamjua brother k kweli😂😂😂
Aha Steve kaja Mara ya pili nipe mkono wangeni UA 😂😂😂 jamani Kama wewe ni shabiki wa Steve unamwamini Steve angusha like yako hapo😅
📚🅱🅱🅱🅱📚📚
📚🅱📚📚📚🅱📚
📚🅱📚📚📚🅱📚
📚🅱🅱🅱🅱📚📚
📚🅱📚📚📚🅱📚
📚🅱📚📚📚🅱📚
📚🅱🅱🅱🅱📚📚
🔱🔱🍇🍇🍇🔱🔱🔱
🔱🍇🔱🔱🔱🔱🍇🔱
🍇🔱🔱🔱🔱🍇🍇🍇
🍇🔱🔱🔱🔱🔱🍇🔱
🍇🔱🔱🔱🔱🔱🔱🔱
🔱🍇🔱🔱🔱🔱🔱🔱
🔱🔱🍇🍇🍇🔱🔱🔱
Nakubali steve kwa asilimia zoote💞💞
Ila jicho sa utapata job kweli kwa stahiri iyo ya vichambo kwa HR😂😂😂😂
Steve,kazi ya kukaba!
Anza naye huyo😂😂😂🤣🤣🤣
Kenya 🇰🇪 nawakilisha 😍
Ila uyu jamaa wa brech anajuwa😊😊😊😂😂😂
Steven you are the best 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Big up steve, ooh pole kumbe kingereza balaa nasema ivi ongera
Steve wewe niwangu Kbis 🙏 unanifulahisha moyoniangu ❤️ nakupenda kuziidi wote Kbis 🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😂😂😂 hapungukiwi na madini,🎉🎉🎉🎉 hongera sana
Af Steve Leo pitia wimbo wangu mm lazima npitie commedy zako kwanza sipendi ikinipita
Congo🇨🇩🇨🇩nawakilisha hamadi kijicho nipe like yangu😂😂😂
Miwa ya kukaangaa😅😅😅 daaah kweli kuna shida ya ajira
Twapenda stevo video zako kutoka 🇰🇪 kenya
Stevin kweli ni mjanjs😂😂😂😂😂😂❤
Juma jicho umeuwa eti miwa iliokaangwa
😂😂😂😂 jamaa wa nne kuingia ni noma
😂😂😂😂😂😂 Huyu Steve ni kivumbi na jasho, express yourselffffffff!!! Swali moja linajibiwa dk 15
"sanjari nahayoo!!😁😁😁🤣"
Kama mnahitaji kusaidiwa mseme😂
Nawafatilia sana wadogo zangu 😂😂😂 tafadhalini ni folloni jamani
Steve mweusi hii yenyewe yaani hii imeenda😂😂😂
3:40 😂😂😂 Steve wee ni mshenzi sana. Kijana boss wako, kweli?
Jamaa anapenda masifa eti nitakupa mwishioni,nimetoka familia ya kitajiri,nafanya kazi na hamadi kijicho😁
Niko kenya nampenda sana Steve.
may the good GOD protect you Steve
Kama unamkubali steve weka hapo like
❤❤
Yanii mwamba yupo juu sana anaamika mpaka Burundi kwetu
Namkubali brather kwavi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤@@JosephNyale-by8kp
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪🤣🤣🤣
Meli inaelea shillingi inazama kashangae uko sivyo 😂😂😂😂
Naeza taka sanaa kumjua huyo hamadi kijicho hakosi kutajwa😅
"Wote tuna shida nyie mna shida na wafanyakazi na mm nna shida na kazi😅"
Unanga mbaya steve aisee😂😂 nakukubali sana nikifa kama sijakutana nawe msinizike
Amadi kijicho ni staaaa mutuletee tumuoneee one move
From USA appriciate this man🇺🇸
True
Kaka Steve huwa twa kufwatilia,unatumalia buddle,unaziumiza mbavu zetu kwa kicheko😂😂😂😂😂😂😂 ila hutupi Ile ka heart,ama hupendi tunavyokufwalia? 😂😂😂😂😂😂😂😂
Juma noma unajua kuanza na line nzito
Ila weee mwehu weweee na usipone iyo akili Yna na wanavyopenda kukusingizia kila kikipotea kitu ndan😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuranga unawarusha sana
😆😆😅😅mi ndo final.say...
Mbona wanawake wanakaa sana mna agenda gani hahaha Ila Steve bhn🔥
Oya Steven huyo jamaa mwenye blich sio msanii mtoeni kwenye kundi
Oyoo steev unajua sana mwanangu nataman nikuon live kaka
by captain madevu nakubl sana kaz zako
Simba kilaka...😆😅😅
Namba one from Kenya wapi likes zangu joooh
Stevee na hamadi kijicho😂😂 hawaachani
❤❤❤❤ napenda huyu kijana steve shukrani kwa jiadi zko
ningependa niwe n ww kwenye game pia nina uwezo ila uelekezi ndio tatizo
Brech unajua🤣🤣
Yangu comment kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kazi safi huku tunskutambua
Juma Jichoooooo😂
Dah kweli HR
Steve moses wewe ni bingwa sana. Kwenye comedy wewe niwa kwanza tanzania nzima
Mbona boss kafanana Congolese 😂
so ni wanyama
New jenerations xboy ndio namkubali Steve mweusi
Au nirudie kazi yangu ya kukaba nianze na wewe 🔥🔥
😂😂😂 Tupo na Steve 🇺🇬🇺🇬
Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩 nafatiliya Steven saana ❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂asanteee wangeniuwaaa
Et Hamad kijicho
Mrembo amejihami kwa mastakabathi ya kimaumbile haswaa,,HR kauweka uHR kando 😂😂😂😂
Kiongozi mbona hampigi simu chelewa Chelewa nitachukuliwa na kampuni nyingine hahahahah
😢😢😢😢😢😢😢😢 umetishaass mwamba steeeeeeveeeee
Wa kwanz leo from nyarugusu
😂😂😂😂 fatuma wewe
Mwanangu Steve ww unatisha sana tu? ❤❤❤❤ Baba
Huyu jamaa steve namkubali kiasilimia mia jamani kwanza hawa madada ukuanga na wao jamani daaaaaaaah watoto weupe hivi steve si unipe mmoja
Ofis ya mwalim mkuu..#MWANAFUNZI MTUKUTU#
Huyu ni Steve 😂😂,following from Kenya
Huy jamaa anaweza Sana yani Hadi anakela shika namikon miwili
😂𝒊𝒍𝒂 𝒋𝒖𝒎𝒂 𝒋𝒊𝒄𝒉𝒐😂
Hahaha Leo nimekutana na mwigizaji wa kwa Katombe eti hii si yako tuu
😂😂😂fatumaa wewee
😂miwani sio rangi
Aaaaaah mimi ni mkenya bt napenda rm steve mweusi sna,na siezi muachs🎉🎉🎉🎉
Hivi huyo hamad kijicho nani yako stivu
MJOMBAAKE
Intro iyo stivu umeuaaaaaaaaa atar sana @stivu mweusi
Uyu steven chizi kabisa ila mbavu zangu nakwambia utazimariza 😂😂😂😂😂😂❤ from burundi
Nimekuwa wakwanza leo tena
Steve Uyu jamaa mdogo mdogo mwenye breach kichwani usimuache
Nakupenda stive mweusi
Kazi nzuri sana
Huna mba mba mba kaka
Juma kajicho😂😂😂
Stive pokeya mauwa Yako kutoka Congo DRC
Mmeelim8sha sana wakuu safi sana na hngren saaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂simba kiraka ww na hamadi kijicho😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nawapenda from Burundi
Cv ya mapishi juma nana gonna like apo
Achanae mweus mshamba tu Moro moj ap
😂😂😂Juma jicho umetishaaa😂😂😂🙌
😂😂😂😂😂😂Et swali zuri Sana kijana...daahh steve
Naomba kujua jina la huyu dogo wa mwisho wa uchebe
wali wa korosho unaujua wewe 😂😂😂😂
hahahahaha juma jicho upo vizuri🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Hiviii uyuuuu stevuu huwa anawaza nn kuleta vitu kama hiv
😂😂😂...uwezo unao braza
😂😂 hatimae nimeskiaa kwetu sasa NDUNGU UPARENI
Nzuri saana
Steve bana wewe fala... Experience 😂😂😂😂😂..
Steve siku Moja tuonyeshe uyo ndugu ako amadi kijicho tumuone
mbona simu hamupigi,,😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 umenichesha sna
From Kenya 🇰🇪, namtabua mbaya sana