Diamond Platnumz - Mapenzi Basi (Official Audio Song) - Diamond Singles
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025
- Watch new video ft Ne-Yo "Marry You" : www.youtube.com....
DOWNLOAD/STREAM “Marry You" : DiamondPlatnum....
Buy it from iTunes: geo.itunes.app...
Listen & Share "Mapenzi Basi (Diamond Singles)" audio song by Diamond Platnumz.
Follow me on twitter: @diamondplatnumz
Facebook page: / diamondplatnumz255
Follow on G+: www.google.com...
Follow on Instagram: / diamondplatnumz
Subscribe to My Channel
For More African Music Visit: / mziikitube
Stream music free at www.mziiki.com
It's January 2024 still listening to this masterpiece, shout out to Diamond platnumz fans❤
Tuko pamoja, absolutely incredible one
Together ❤❤
Together ❤❤
@@mussaandinane3697y’a u😮it 😮 p😂😊😮
Un😮😊a😮p
P’gjgol
Kama umekuja rudia Album ya Simba 2024, yenye nyimbo ya Nenda kamwambie ya Sarah like hapa
Noma😅
Leo ndo nimejua hii Ngoma
Iko real kwa heart ❤
Unajiskia unachoongea
Waaa stress za mapenz zimenifanya nije nisikilize hii nyimbo,,najua kuna wengne mko kwa hii hali😢😢
✌
@@saidmochiwa6764 pole corona ikiisha utapata mwingine😂😁
😁😁yan ni hatar
Bro we all here cuz of that reason
Naipenda sama hii nh ngoma@@muhodarifredws
Daaaah wakati huu wimbo ukitoka nilikuwa na heartbreak nilikuwa naupenda sana kweli yani kilakitu anachosema ndokilinitokea mapenzi Shikamooo nilikoma
I fix broken hearts💕 ♥️
😂😂😂😂
It's never get old 2023 and still rocking 🔥🔥🔥
For real
Always popping 🔥🔥🔥
My favorite song in highschool
Bado Inaniliwaza😢😢😢who's here with me in 2020??
Mapenzi basi
Mapenz ctak
Mm npo
Mapenzi basi
in this 21st century akuna mapenzi kaka... dada zetu wameishia kwa kuslay tu😓
Hata na hapa marekani(USA)tunakupenda God bless you dunia nzima inakujua kaka who is still with me 2019 gonga like hapa chini
Here I am 2019 September 24
Chek me
Just legendary 🙏🏾 Timeless 🙏🏾 May God touch those going through the difficult journey of love 🙏🏾
Wenzangu na meme wa mwisho wa mwako wa 2019
Gonga like Kama unaamini hii ngoma haiishiwi thaman hata cku moja
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💝💝💝💝💝💝👌👌👌👌👌🙏🙏🙏🙏🙏
Hot 🥵🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇸🇸🇸🇸🇸🇸
If you're here 2024 we ni shujaa
My best masterpiece of all the time ...... This dude is an African giant
pole sana kaka mapenzi yanaweza yakawa
machungu na pia matamu!! ila mapenzi yangu kwako ni mengi mungu akutangulie😭😭😭❤️❤️❤️
This was a song that touches the innermost feelings still does
This song😭😭😭 I'll never forget... Big up Diamond
it's never too late,,who is with me in 2025
"When you're happy in love you enjoy the melody😃 but when you're sad you understand the lyrics!!!😪 much love DPlatnumz
Yes
at understanding the lyrics now damn💔💔💔sitaki Tena mimi
@@sonyanngitau2725 🤣🤣🤣polee
We need such kinda music king,we miss this music,from kenya june 2020
This guy is a poet! I'm grateful he's part of my 'musical life'
Tuko hapa tunaosema mapenzi tena basi
pole saana mond.yaaani ukiimba unatoa sauti ya huruma mpaka unaonewa huruma tena.
Unaweza mtu ukampenda ila yy hajui thamani yako 😭😭😭😭😭
Gurnihal Alone @exctly. Inatokea sana
Saaaaanaaaaa
@@Mohaa4309 mapenzi yanachanganya sana
Umeona Eeee
Gurnihal kweli unaempenda hana habari nawe
Tulio sikiliza 2021..mwanzon tugonge like tujuane nyimb hii haiish utamu
Nikweli yani utamu utamu
rais wa wasafi nyimbo zko hunidekeza kishenzi..........nakupenda xana..........moyo uo uo
Iam proud to me african 🙌 God bless my African brothers and sisters ♥
God bless you too❤
When Diamond was Diamond, this one of today is Plastic
2O21 still jamming with this song
Hii nyimbo haishi utamu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
*Kama unaskiliza ngoma hii mda huu gonga like*
Kaka MI huwa nakuelewa sn
Sitakiiiii
Ngom tamuu
@@zaimasule4062 freshy
Mpenzi hayana mana ni kweli dungu yangu allahu akbar mapenzi ya kweli ni ya mungu mpenzi ya mungu ni ya kweli ya wanadamu hayana mana manake kuna siku atakusubuwa roho yako na utaliya basi kweli hayana mana
After God Parents make it clear 🙏 . Walo baki ma snitch furaha yao usifanikiwe ukifanikiwa kidogo wanakuchukia.
Huwa najipata nimekwama na hii hit😔 Nani ako pamoja nami
Nimemiss tu kuisikia Haiish utam kwakwel,sjaachwa wala sjaacha just a vibe😊
Akijua unampenda kinachofuata ni pain absolutely. Ni bora asijue
Best solution
Yupo wapi diamond platnumz aliekuwa anaimba bila matusi zamani,i really miss the old diamond though I still your fan
THE KING OF SWAHILI FLAVOR !!!
Am a living testimony of this song, vurugu kwa majirani💯
simkubalii sana mshkaj ila sijawahi kusikia nyimbo yake mbaya hata mojaa... apew tu sifa zake
Daaa nimecheka
Kweli apewe sifa zake
Daaaaa jamani mapenzi????????????????
Dah mda mrefu sana hii ngoma imenikumbusha mbali diamond kweri mapenzi bc
Diamond we need this kinda songs🙄🙄😏😏
Sijui tumroge huyu jamaa aendelee na hizi nyimbo aseee..mapenz bas
Ukimwona
Number one
Nitarejea
Nitampat wap
Mbagala
Moyo Wang
Ntakkmbuk
I love you n.k..
Komasava yunapotea..by G November 20 2024..like tuliorud
Nilishagombana na mama mzazi.........dah kweli kijana umeua, umesema ukweli halisia
Dah wewe kuku ulikuwa una imba sanaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
when you sing with full of feels exactly the performance will touch the mass.
w
Samwel Lameck
daimod nikweli yako safi kaka
Samwel Lameck
Samwel Lameck yh but ignores the group that’s rude 🙄
Gib and Vic....this song reminds me those days bna...when no one knows what tomorrow hold ...bt where ??money and nature separate people ...Gib still remember you... tomorrow might be your day also mah nigga
When love make you crazy and lazy. It is this time we experience a devil time. We have no ears to others and think that we are great enough to decide
Enzi hzo ukiwa bdo Diamond,sio sa hv unadandia hadi michiriku....!!!!
Kama kama alinimbia mimi sijuwi
Asee namuhitaji diamond huyu sahv maana alikuwa fundi sana zaid ya sasa
Nimerudi hapa juu ya mapenzi,mapenzi ikaee Tu😤💔💔
Still so good❤I listen to this song every day and night❤dimond platumz is such a good artist ❤he’s my favorite one❤love you dimond ❤keep it up❤
me mwenzenu tena basi ooh mapenzi sitaki....
Bernadetha Simba
Bernadetha Simba mambo
Hata mm
😓😓
Usiyachukie mapenzi
This is when Diamond was real chibu....lots of love from 254
very nice and sweet song.i love it ♡♡♡
Tamara Mbarek love you tamara you are here in Germany or
Tamara Mbarek good
Sincerly kitambo diamond ulikua unaweza haki
This is crazy, I just want to tell you
How badly my heart is broken
This is absolutely painful for me to say this, damn
Mie mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki
Yalinifanya nikaugua
Mara napanga napangua
Mwili ukakonda nikapungua
Oh sikulala, sikulala
Oh maradhi nikaugua oh
Yakanichoma na kuungua roho
Kutwa nawaza na kuwazua
Sikulala
Yani hayo mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nishagombana nikatukanwa
Lakini akanipiga teke, ai
Haya mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nikagombana
Usiku mchana, yeye
Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki
Oh nilishagombana na mama mzazi
Akataka nimwagia radhi
Sababu yule fulani
Yule wamoyo wangu
Yakaleta zengwe kwa kazi
Ugomvi wa simba na panzi
Vurugu kwa majirani
Ai eh Mola wangu
Yani hayo mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nishagombana nikatukanwa
Lakini akanipiga teke, ai
Hayo mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nikagombana usiku mchana
Yeye
Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
I fix broken hearts 💕
Please fix mine 😭😭
Leo nmejikuta naimba sana hii nyimbo kma mweu😢
Yalinifanya nikaugua ooho maradhi
For the first time nmeachwa na mpenzi wangu nikaikumbuka hii ngoma daaaaaaah mond ka uliniimbia mm huu wimbo😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢🥺🥺🥺🥺💔💔💔
mapenzi basi,ukimwona,niache,kosa langu 🔥🔥🔥
Waw 🥰🥰🥰😍😍Imeniruhusu kwa cku ya leo
It never gets old.... 2020 and still issa hit to me 🇰🇪🇰🇪
Mapenzi yalinifanya nichekwe😭😭😭
Mara napanga wakipangua...ikawa heartbreak 💔 memory 😢
WHO IS HERE AT THE SECOND HALF OF 2020...WE ARE GOING TO OVERCOME THIS 💪
June
2
0
2
1
Najiliwaza baada ya kupigwa tukio Jaman mapenz basi!!Mond acha ufanye nyimbo za kuburudisha ulishalia sana huko nyuma 😭
Haya mapenzi kweli hayana maana😭😭dont love someone that much...he or she will change any time...we are all humans😩😪
💯
True
Very true.
Wimbo umeniliza huu. Thumbs up Chibu
Adam Powell sio wew peke yako,pole sana!!😭😭😭
Nyimbo bora zaid nyenye kila utam aisee 2019 november
daaaaaaah!....hili shairi liko juu..juu tu saana
Strong message in the song. Keep it up.
😭😭😭😭😭nikisikiliza wimbi huu nawazaga mengi niliopitia ... Ndo nyimbo yangu pendwa kwako ... Good song evertime
gosh I love NASEEB ABDUL JUMA(FROM S.A)this guy is truly talented..I so love him and his music!
Kwel kabisa
Bad ngom yang bor kbs
my life in your lyrics😢
Baba lbrahi 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂relax mehn..am sure ukipona unakua hardcore
Nani anapenda simba kama mm... Yaani nyimbo haziishi kadha hata baada ya miaka mia#simbanakuamina💯
Surely huyu man ananijaz tu sana thanks
yamewakuta wengi huu wimbo utawagusa well done @diamond
Ni kweli yake haya mapenzi banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hayana maana yalinifanya mh ni ckekwe
waiting for its official video,what a lovely voice you have kudos bro
Brother nimerud tena kukusikilza jully 15 2023 hii kazi itaishi sana
Remains to my best Diamond song.
Makes sense everytime I am hurt
wimbo umeandikwa vizili❤ saf sana mond from buja
Don't allow anyone to heartbreak u diamond.we love u more than those your wapenzi from kenya
Who is we?
Please speak for yourself 😂 he's a womanizer
Siachii kusikiliza naipenda sana
Diamond my man much love ooh 😍😍😍😍
Dah huu wimbo nauridia Zaid ya Mara tano sasa. Mapenz shikamoo
Proudly made in Tanzania for Africa
Kumbe ndio aliokuw anaimba hamisa mobeto...so sweeet
enzi hizo wenyewe na diamond wetu alafu kibamia analeta shobo now
😏😏😏😏😏😏😏😏Chefu
Noumaaa. Kweli kabisa kaka tushachoka kuumizwa na kulizwa kila siku
Mapenzi shikamoo 2024
MUNGU nisaidie na Mimi nipate Ata mtu atakae nipenda kweli 😢😢.... Na km Mimi ni mamba sisitahili mapenzi niludishwe tu mtoni ama ziwan😭😭
Polee
Mwenzenu tena baaasi oooh mapenzi sitaki
Kama uko hapa 2019 gonga like
Mapenzi Basii
#Simba
tunao itazama mwaka huu 2019 mwishoni rujuene idadi hpa kw likes
Hizi ndo nyimbo kabisa kuliko hizi za sasa tunaogopa kusikiliza tukiwaw na wazazi wetu
one of our greatest in Africa. don't know what the song means but a hit 😘😘😘
Kadi Jalloh means he doesn't wanna love anymore, love hurts !!
Mpnzi basi akuna true love
Sababu yake nishagombana nikatukanwa lakn kanipiga teke,nilishagombana na mama mzazi sababu ya yule wa moyo wangu,the true story of mine those two verses 😭😭😭😭MAPENZI BASI BASI BASI SITAKI 😷😷
Mapenzi noma ata muimbaji yanampiga chenga😂
Haya mapenzi bwana!! Anyone in 2019 ✋