Killy - Mwisho (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025
- Mwisho is a Swahili Word in English Means (It’s Over) is a song that talks about relationships that have challenges in it that comes from a woman I loved and that woman has another relationships.
Song was produced by Neksazy
Download/Stream In All Digital Platforms
smartklix.com/...
Follow Killy
Instagram: / officialkilly_tz
Twitter:
Facebook:
Listen to Killy
TH-cam: / officialkilly
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music : / killy
Spotify : open.spotify.c...
Boomplay: www.boomplay.c...
Deezer: www.deezer.com...
The official TH-cam channel of Officialkilly. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: bookkilly@gmai.com
Call:
Lyrics
verse 1:
ukweli mama unauficha tena unaniruka kando
usijitetee,ajali kila kukicha x wako yanamtoka mafumbo ili unipotee,
kweli mnatumiana picha tena anakuunganisha bundle ili mnitetee
ndo maana havikauki visa au labda nijirudishe jando nkajitetee
(aaaah)
kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta
unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita,
umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita,
nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita
chorus:
hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh
(lololo aah...!!)
yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh
(tusiendelee aah....!!!)
basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh
yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii..
verse 2:
maumivu moyo wangu una maumivu uuuh vidonda
(aaah aaaah aaah aaaaaah)
mwili umepatwa na uvivu
penzi limegeuka majivu uuuh nahisi kukonda
(aaah aaaah aaaaaah)
(iyee eeh eyeeeh aah..!!)
eti tufe tuzikwe wote
yani hukudhamiria chochote
nafsi umeikatili katili acha tu nikukimbieeee
nakuridhisha ma nakupa vyote
kweli nahudumia cha wote
basi we batili batili picha zisinirudieee ooh bebe
kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta
unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita,
umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita,
nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita
chorus:
hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh
(lololo aah...!!)
yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh
(tusiendelee aah....!!!)
basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh
yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii..
#Killy #Mwisho - เพลง
Km unatazama hili goma 2024 gonga like
Big up
Sana tuuuu
Ngoma ni hatari moto fire.....mim mkenya🇰🇪🇰🇪 naeza pata kama likes ngapi vilee
*Ukiwa umeumizwa ndo unajua maan ya huu wimbo killy ww fundiii kaka*
Kaka nyimbo yako kali sana wapambe waache wachonge ila wewe fanya kazi kk mungu atabariki
Daaah nmechelew like mbili tu znantosha kw huyu fundi killy Melody 🔥🔥
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Killy jamn ndo kiboko ya mbosso gonga like nying kwa official KILLY
Konde For Everybody...wacha hii ifike Trending mseme tumenunua views tenah....best of all
Huu wimbo huu una mashiko jameni💯💯 Kwa wenye tulotendwa hasa
😢
@@Jidaissa😢😢🙏🏼🙏🏼
Ukifunga macho afu uskize wimbo utasema ibra🤩konde fc tujuane na likes na cheers 🥂🥂killy unajua hadi rahaa
Umeona awa watu wanajua sana mziik
Jaman konde gang warembo pia tunao😐🤣🤣🤣🤣🤣💯💯 waaambie mamiy irudiweeee
Kwel hata me mwenyew nkajua ibra
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
yeah ibraah yupo ndani pitapita zake
Daaah salute Kaka kill nkukubali Sanaa ngoma Kali kinoma oya Wana konde musc npeni like zangu Kama zotee❤️🏋️🏋️
Hatareeee 🔥🔥🔥 huy ndo killy tunaemjuaa🔥🔥🙌🙌like kidogoo kwanguu
Killy u nialed it, Uganda gather kwa millions views . Love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬👌
Wangapi wanasema KONDE BOY FOR EVERYBODY nangoja like hapa
Konde boy 4 everybody. 🔥 ❤ ❤ ❤ ❤ 🎶
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Unajua-sana-ndugu-yanngu-wakonde-deng
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Kwa ufundi wa killy 🔥🔥 tuondokeni kwa like jamani 🔥🔥🐘🐘🐘🐘🎶🎤
Asanti kindo boy kwa kukuza vipaji vya wanakonde gang😭😭❤️❤️😉
Hii ngoma Kama ingekua WCB wanavyojua kupromote daah aisee bonge la ngoma
Nimependa ulivyotumia kionjo cha background ya "roho" master
BET .... mzigo ndio huo tupeni hata moja 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦 killiy u killi my guy 🔥🔥🔥
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Killy hii nyimbo umepiga kwenye mshono kaliii sana nakuomba uendelee hivyohivyo usipoe kaka maroboti tupo ✊✊
maroboti tupo 🤞🤞🤞
Kweli kabisa
😂😂
🏆🏆💪💪💪
Kama bado unatizama ngoma hii mpka sasa end of 2024
Tuelewane kuwa kwa wimbo huu mnanipa like 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Marobot wenzangu wa kondegang naomba like hata 32 hapa,,,!!!
Hapo sasa
Bax na mm ia ni roboti wa konde gang any time nipo on kond music
Hahhaa together we can
@@basilspumuzikakwahamanilai4676 let nothing we come our way🐘❤💪🔥💕
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Pongezi kwako killy 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Hii wimbo nimeshinda nikihitasama mara kwa mara wapi rewards ya killy
Twenden marobot ya konde gang goma ndio hiloo
Nice melod
Nice music
Nice sound
Excellent Konde juu
Ukweli huyu killy ameweza ✌️✌️Big up sana ♨️♨️♨️wapi likes za killy konde gang for everybody 💯👌
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Killy ni chaguo sahihi kwa kondegang like kama unakubaliana na mm🔥🔥
Hii sauti yafaana Sana na ibraah😊👏, ngoma taamu
I’ve just been smiling nikiwatch how #Killy is growing akiwa #kondegang #KillyKillsTheShow
Hata mnipe likes basi wanakonde
🔥🔥🔥🔥
✨👐🏻
Unajua Bro fantastic music kwa sisi tuliotendwa yaaani naiangalia kila baada ya dakika 5
Nimekuelewa bro ni kweli nipe like tuwe pa 1
Yes tupo hapa
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
💯💯
th-cam.com/video/uDPHxpcj2MU/w-d-xo.html
Sijawahi kufikisha likes 100 leo Naombeni niweke record 👍
Ok
👍
Zinakusaidia nini
Ili upate nn ukishafika
Kushafikisha towa uzile ss
Mi nmeipenda hii action anakunywa gambe alafu balafu analiweka kichwa baada ya kuwka kwny gras apo director nakupa 💯💯 1:38
Alikiba amesema una kipaji, sikupingi, Maana Mfalme Kasema
Alisemea wapi?
@@salimthedon Amesema leo alipokuwa akihojiwa Kenya alikuwa Love kwenye Account yake.
@@MalegesiMakunja 🤣🤣🤣 alikuwa love kweli ata me nilimuona
@@cassianandrewnyonyo2894 kweli Ila alipoulizwa swali la Diamond amewatolea nje🤣
@@MalegesiMakunja asa anajibuje kwani yeye meneja wake? Au msanii wake
Am 254th viewer, leo nimejaribu ,,mnipee likes zenyu please
We missed this kind of music😘😘
Kwa tuliotendwa tunaelewa huu wimbo🔥💫
Ebwana mzee wangu kila napo ingia lazima ni comment goma ni kali sana
Ngoma kali sana ndugu yangu Killy. Mm ni miongoni mwa watu na support hi ngoma pande izi za Maputo. Konde gang for everybody
th-cam.com/video/5ak3a_1q9Ng/w-d-xo.html
Oya I am coming. Naitaj mnirudishie like za killy
Mbona kila ikiisha inanishawishi kuirudia tena 🔥🔥
Ibrahaa kajipange ,huyu jamaa mkali kweli daaaaah!!
Mm team WCB ila kazi nzur huwa nazijuagaaa wallah naombeni LIKE
Kideo cha moto brother💪
Baba kwel hii mwisho!!umeua 🔥🔥🔥🔥
Wangap wanasoma comment na kugonga like hku wakisikiliza jiwe Kali la killy mwisho km Mimi ...........
Amkeni amkeni team konde gang bigup killy 🤸💪🔥marobort wa KONDE twende kazi 🔥
Dogo ni Silent killer Acha Watoto Wasimba Waendelee kupiga Kelele
🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Video story iko Bomba Sanaa...congrats to director Ivan..🎶
Sikujua kama kill ni killer namna hii asitengeneze intertiniment Sanaa akae kwenye mziki mzuriii japo hata kuwa miabari mibovu ya mjini ilA atajenga respect na uhai mrefu
MY BOY "KILLY" SING THE SAME AS I BRAAH much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
MIMI NIMEPENDA KILLY ALIVYO PANDA JUU YA MEZA NA KWENDA KUMDUNDA JAMAA MANGUMI .
KAMA NA WEWE UMEPAPENDA NAOMBA LIKE YAKO BASI✊
Hehe...hiyo ni kupenda vita wewe
@@angie_valerious hahahhaa nimependa jamaaa alizingua atamtongozaje shemeji yake
#KILLY_unajua baba
@Jully Junior ahhahaha atari
🇰🇪🇰🇪🔥🔥 uko top unaimba poa
Imeamzaangaa 1:13 😢😮
Tembelea @king poo TV upate habari nyingi za mastaaa wa bongo nk
Support huyu kijana
🤞🏼
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Safi mdogo wng
Ngoma kali
tuipeleke No.1 on trending wadau bonge la story #Killy
💪💪💪
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
🔥🔥🔥🔥
Mavi yapite kooni ikifika no 1
Poa
Killy ii ngoma niya dunia 😁🔥🔥
Kama ume tizama ii ngoma 2024 gonga like apa
killy on fleeek wapi like zangu wajuba mwamba anajua kinyama
hatariii ajuwa anakela mwaka huuuu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tumekubali mwisho🔥🔥🐘🐘over 1M one day kaliii killy🔥🔥🔥🔥🐘🐘🐘konde for life🔥🔥🔥
Uteam kando lakini huyu Killy ni star already...
Melody na mistari moto..
🔥🤴🏻 kweli 🤞🏼
👍 mm mwenyewe wcb lakn huyu Lilly hatar💥💥🔥🔥
Mwisho mwishoooo jamaaa anajua mpaka anaboa , KONDEGANG FOR EVERYBODY
Big up killy and full respect to konde music worldwide gonga like
Mziki si ndio Huu Sasa!... 🔥🔥... Vina mwanzo mwisho.. Unatunga mpk raha 🔥✔️✔️... 🇰🇪🇰🇪 Tuko bzy n ww 😅
Boom
Boom
Boom
Boom
Boom
Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️😍
Nawe pia
Mungu atujalie wote
@@abadallahjenjewakaginya3804 shukran 🙏
@@official_jb8409 lq
You too
Je ne parle pas swahili mais je vous assure que je vous aime parfaitement...en plus il a une voix multi-classique/original...c'est juste magnifique...
Km na ww ni roboti wa konde gang like hapa twende sawa ☔️☔️☔️
😂😂😂😂✌✌✌✌
Bonge la nyimbo umeimba Sana killy big up
Kenyans in the house 🔥🔥🔥🔥 kondegang is for everybody
Fundi
I just saw him yesterday live... So humble guy. Much love from Nairobi Killy, all the best dude
Tunaoiangalia hii ngoma kwa siku mara 6 gonga like hapa
Mimi ht Mara 30 kwa siku 😁kiufupi nashida hapa
eeeeeeh nani anaona maroboti yashaanza.....sisi mashabiki ndo maroboti hatubanduki
Nakubaliiiii on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ukifumba ukifumbua mil 2 hahaha
😁😂😂🤣😃
This guy is baddass 🔥🔥🔥🔥🔥 Kenya imekubali.Kondegang for everybody
Kama unaamn kuwa konde gang wanawez gonga like tukae sawa🤙
Wanaweza
🔥👌🏼
Marobort wa KONDE gang twende kazi 🔥killy unajua sana
Hapo ndo naamini kwel robot zipo😂😂😂😂
zimefanya kazi
Yes this is KILLY, From RUDI, NIKWAMBIE, GUBU, ROHO n now MWISHO.
LIKES FOR EVERYBODY 🤳🔥
Am here because the Tembo harmonize....his link❤🤜🤛 more love
Awesome❤❤❤
Awesome❤❤❤
Awesome❤❤❤
Awesome❤❤❤
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Ngoma kalii 👍👍👏👏👏
Killy You've Killed It,Much Love From 254🇰🇪🇰🇪
Fanya parody...the song is lit
Nataka subscriptions 😂😂😂
Fanya parody maaan.....🔥🔥🔥🔥it's lit
th-cam.com/video/6Z30BjznEZA/w-d-xo.html
Dogo parody ya hii tungoje lini
Kumbe kimya kimya unachachua,
Maana unavyomsifiaga kwa insta
Unaniona kima najichetua, Eti nilikulazimishaga na picha
Umenizima umenibidua,
Sidhani hata ka nishakunjaga Ndita.
Nishakupima nimekugundua,
Dah.....hii Verse inauma sana .
Wa kwanza Mimi
Kali siku zote...yaaani miaka yote tu🎉
We mtoto co vizuri ivo tuache tupumue MWISHO tusije kufa kwa maumivu
Oiii killy umeua sana kwenye hii video the way ulivyokuwa very serious bruh umevaa uhusika big up
Who else feels Ibraah`s hand on this song?
Anyways kazi safi sana... Kenya representing
Ngoma kali sanaaaa nakuona mbali sana killy m n shabiki mkubwa sana wa konde music ,,,naamin amiez kutuangusha mashabiki
Dah! ww ni moto wa kuotea mbali 🔥🔥
Just listened it for first time and wanted to repeat it , it aint about the video ,bt the song it self ,its a big one .🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ngoma kali munooo mashabk tnaangalia Zaid ya Mara 100,,,aff zletwe tantarila at kondegang tnanunua viewers!!!kondemusic4life
Unaweza kak one Day mi ntakua kama ww
I really, loved this Music Keep brother Killy. You goner make it. Wapi likes zangu.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ibrah wa pili
The true definition of mapenzi ya bongo @killy wew ni motroooo💥💥
Killy amebadilika sanaaaa.... kweli naamini sio kila mwalimu anaweza kukufaulisha mtihani ....Mungu ameweka mwalimu kwa kila mtu aweze kufanikiwa
Oi zinatosha izo viewers nimtoe robot wetu wa konde geng au nimuache tupige 1M for 23hour😄
Tulia kwanza tufikishe m2
Ngoma kali Sana 🔥 🔥
Wow wow the Rockford king is back
Yan mwonekano wako na story ya wimbo ni sawa kabsa, nakubal san broo
Kama unasikia Vybz za Ibraah gonga like twende kazi💪
Huu wimbo ni1oo% kaandika ibra hapo tusibishane kabsa
Kwakweli huu wimbo ibrah kahusika
Basi tuseme mwisho
Verse ya pili ibra mtupu
Kaimba ibra hii nyimbo.. sababu killy hata Hardlips zake hazichezi wala hasogezwi Karibu akiwa anaimba
Video Kali sana brother konde Gangs teams let's us support one of our members, all the way from 243
Killy you lit bro hii tena jitu litakufa 🤣🤣🤣🤣
Ngoma in utafauti wake. Nimekubali killy kamake decision poa.