Hata angali hai Kairuki asingetibu gonjwa langu... Kairuki alikuwa ni doctor mwenye uwezo mkubwa sana, ameshafariki ....Diamond anamaanisha ana ugonjwa mkubwa sana ambao hata kama doctor Kairuki angekuwa yupo hai asingeweza kumtibu.
It's 2023, Being a Kenyan and listening again from Jersey Island UK on repeat mode I never get enough of this song, wondering why Diamond never did a video. It's my No. 1 hit amongst all his songs, never gets old to my ears and my playlist 😊 ❤
Hii nyimbo imenifanye nirudi TH-cam baada ya kusikiliza TikTok yupo nimpendae japo sipo nae ila moyo wangu bado unaishi kwake,nimejaribu kupenda kwingine nimeshindwa rudi mpenzi tuishi kama zamani😭😭💞
ur songs make me go crazy like seriously baby,even if I can not understand what u saying but I enjoy them every minute of the day,most of my Nigerian friends always asks me girl what do u enjoy in this song that make u to be playing it everyday by day,I just relpy them I say ,guys u can never imagin the way am feeling anytime listening to this song,I enjoy every beat of it ,all thanks to my one and only mentor diamond platnumz ,thanks so much dear.
Diamond Platnumz has alot of Great Songs, but for me this is a Masterclass... This is my Best Song and I'm Sure it's his Best song too... From the Message to the Melody to the Beat... He should make a video of this song...
oh nenda waambie marafiki... marafaki wabaya tena wengi waongo oh wasimdanganye😭😭😭tatizo mi bado nilipo teleza nikaanguka sipajui😭..these hits defferent..
l like Diamond's songs and I love his ways of dressing code. Every song he shows interest in what he is singing about and he feels it from the bottom of his heart
My favorite song, it was so painful back the time but still it gives me more feelings up now! Diamond i really appreciate your work continue receive more blessings my love 🌹🌹🌹
listening to the joint this year 2023 i wish it had video or a remix with himself with someone so famous like chris breezy or famous rapper like asap rocky
Huu wimbo vizaz vyote vya badae watasema zaman walikuwa wanaimba sana ❤❤❤🎉, auchuji huu milele
''Ta angali hai Kairuki, singetibu gonjwa langu'',that verse still hits in 2024
Hata angali hai Kairuki asingetibu gonjwa langu... Kairuki alikuwa ni doctor mwenye uwezo mkubwa sana, ameshafariki ....Diamond anamaanisha ana ugonjwa mkubwa sana ambao hata kama doctor Kairuki angekuwa yupo hai asingeweza kumtibu.
@@salimmussa9719 Noma Sana Kaka
Mimi hapa nikirevisit diamond wa kitambo mistari alikuwa nayo 🇰🇪
It's 2023, Being a Kenyan and listening again from Jersey Island UK on repeat mode I never get enough of this song, wondering why Diamond never did a video. It's my No. 1 hit amongst all his songs, never gets old to my ears and my playlist 😊 ❤
❤
Mathare ndo unaita jersey island 😂
@@jayjay-yc8kb 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 siezi teseka Mathare tena niteseke online 🙄🙄 nikuinvite Jersey ama hujui kuna mahali inaitwa Jersey Island 🤣🤣🤣
Aaah kudadeki gademittt😂😂@@julzjulie3699
😂 bro we ni WA umoja
Hii nyimbo imenifanye nirudi TH-cam baada ya kusikiliza TikTok yupo nimpendae japo sipo nae ila moyo wangu bado unaishi kwake,nimejaribu kupenda kwingine nimeshindwa rudi mpenzi tuishi kama zamani😭😭💞
I’ve listened hundred and fifty thousand songs in my entire life, but this one is still number one song of all time. From 2012 to infinity. who else??
Mie hapa, this is masterpiece Wallah
How did you manage to count all the songs
Dangotee mwenyewee😁those dayz ulikuwa n mistary poa yaniii💓
Wimbo Wangu Bora wa Muda wote,Kama na wewe unakubaliana na Mimi bonyeza like yako hapa 2020.
Mond anaimba balaaa lakini wimboo huu alizidisha mpaka akapitiliza 😃😃😃kwangu huu wimbo ndy bora
Sannnnnnaaaa
Yangu ni moyo wangu
me too
Huu mwimbo mondi alizamilia tuusikilize miaka yote hapa duniani. Huwa nakuja nausikiliza mara kwa mara
I listen this song remembering a long friend benjamin mutiso muindi..this was his favourite song we lost contacts...God protect you wherever youre❤❤❤
2024🎉🎉 watching from Mtwapa Kenya😂😂😂🎉
Twende wote 2024 kwa kishindo Cha hi ngoma is on fire 🔥🔥
🔥🔥🔥🔥👌
🎉
This is my favourite Diamond Song, sijui siku hizi kahamia wenye mambo gani. I love the old Diamond saana.
Kwakwel Yan siku iz simuelew
Mondi hawezi kuimba nyengine kali kama hii nakuapia nakwambia... Beat ipo on fleek
Ana amini ako na mafans wengi kwa hivo hana haja ya kuimba mziki mzuri
@@gracemathew4904 huwezi kumuelewa kwamana hujui hata dunia unayoishi kwasasa inaenda wapi rudi enzi za mwalimu ndio utamuelewa
Pia mm ule diamond Wa zamani kaenda Wapi surely, mwenye alikuwa Anatupea feelings za kupenda..
Huu wimbo unanikumbusha mbal sna daah Ila maisha tunatoka mbal sna😔😔 enzi ukitendwa lazma ulie syo kwa sas daah
Life time legend the dr diamond platinum because of this song. Kampala Uganda 🇺🇬 tuko poa.
Dear Diamond you can make as many HITS as you like,but none will ever replace this JAM
you are right, this is the best
Definitely! None will surpass this song!
Absolutely!! I can listen to this song on repeat mode, it never gets old
Lazima nitachafua meza na hii ngoma I swear .. MANENO MANENO MAra KWA NDUGU RAFIKI kwa nini anawapa maneno 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Oyaaaaaa UKIMWONA!!!!
Nani mwingine anusikiliza huu wimbo 2024
Tbt but ❤❤❤
Mimi
Mimi apa brother💪😎
❤❤❤
Mm apa kutoka mtwapa
This is my all favourite timeless classic of Diamond Platnmz. Yani I just can't enough of it no matter how long
Trust me mpaka wa leo sijaona nyimbo ya diamond nzuri kama hii
Na Mbagala ni kali kuliko hii babu
Who listens to this in 2024
Me salma
Me
🖐️
Me now
❤❤
ur songs make me go crazy like seriously baby,even if I can not understand what u saying but I enjoy them every minute of the day,most of my Nigerian friends always asks me girl what do u enjoy in this song that make u to be playing it everyday by day,I just relpy them I say ,guys u can never imagin the way am feeling anytime listening to this song,I enjoy every beat of it ,all thanks to my one and only mentor diamond platnumz ,thanks so much dear.
i'm from Tanzania,the meaning is all abt betrayals in relation,he is singing to her spouse who left him unknowingly coz listening her friends
This is my hottest favourite song apart from Hallelujah
u will enjoy more when u can understand----it is my best song ever from Diamond...
Stella smile and laugh out loud when
Hey diamond platunmzo
Ningekua na uwezo ningekuongeza maika ya hapa duniani...unaweza sana simba...kila wimbo naoupitia bado unaniguzabl kama enzi zile zikitoka
I am from Kyrgyzstan and I love this song have no idea what's the song about but I listen it always! Asanti sana Mambo!
@@MPONDAKOMARY punguza bangi
@@MPONDAKOMARY hey
Hellow
about love
poa sana
I CANT GET TIRED OF LISTENING THIS SONG IT REALY INSPIRES ME
This is masterpiece... One of the best Nassib's song that has been ever produced
2022
@@asiya5739 ndio kwanza unaicheck
Nimeanza na hii ngoma 2020 /01/01 ,ni kama ulinitungia mimi ,happened 2009 still remember everything.
she is still out there.
Sorry bro
This song hits me differently every time I listen to it. Praying for a peaceful Kenyan 🇰🇪 election in 10 days!!!
Much love from Tz
God did
We're here to give thanks to God for the most successful election we had
@@feronandsulubu6711 that election was a sham
@@daamsomtembezi4625 and also God gave us the best ones
Hii nyimbo ni kali mpaka hivi leo❤ilinifanya nikasirikiwe na boss hii nyimbonaikumbuka mpaka kesho naipenda leo 21.8.2024
❤❤❤❤
Kaka kula maisha mama mpende sana unahaki yakula maisha
Tunaingia 2022 na huu wimbo bado SHWARII💯💯💯💯
mmmmhhhh
Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu
yashanipiga sasa sinabudi nielewe
siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu
japo nishida ila, nitabaki mwenyewe
ohh ila , mpe shukrani kwa kuniumiza suraya
mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu
na asisikie kisirani, hukumu ya mapenzi mabaya
hata ungali hai kayruki usingetibu gonjwa langu
kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)
sina amani nasaga rumba (rumba)
ohh unani dunda
sema chine tembee moyoo
unanidunda dunda (mamii moyooo)
sina amani nasaka rumba (oohh mimii)
ohh unani dunda
eeeeeeehhhhhhhhhh ukimuona
ukimuona ukimuona
ukimuona ukimuona ukimuona
we nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya
tena wengi waongo, hawawazi ndanganye
oya ni mashoga rafiki, oohh marafiki wabaya
oooohhhh oooohhh mmmmmhhh
tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui
mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui
ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno
mara kwa ndugu rafiki, kwanini anawapa misemo
najaribu papasa, mbona ka macho ataona chochote
ila ndo kutwa mikasa, na nazidi kuanguka, niokote
kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)
sina amani nasaga rumba (rumba)
ohh unani dunda
sema chine tembee moyoo
unanidunda dunda (mamii moyoo)
sina amani nasaga rumba (ooohh mimii)
ohh unani dunda
eeeeeeehhhhhhhhhh ukimuona
ukimuona, ukimuona
ukimuona, ukimuona
ukimuona
Reminds me when my life was full of happiness,when I had everything I wish I could turn back the pages of my life
Retry restart reset..you can be there Again...hope you get even more
@Melo Says thank you alot
Same as me exactly the same
Gosto muito das tuas músicas o que eu quero é poder dar só um abraço
Nothing is permanent love😘..all will be perfect love
The time music was music not this poor Genge generation
Ata likes zikam basiii
My best musician at all time 🎉🎉❤❤❤❤❤❤
This song defines music for me🖤 it never gets old🖤🖤🖤🖤
Diamond this was the best song ever produced
yes!
Ruge produced this DIAMOND Alimba very nice the best song ever. R.I.P. Ruge Mutahaba!👏
Ure right I agreed. But what do u expect from the boss of the bosses Ruge Mutahaba. Diamond sang the song well.well done Diamond. 👍👌
@@restymlale6003 bang
This number and Kesho are Diamond’s best 👌
My favorite song of all the time from Diamond Platinumz. UKIMWONA
Anton Kaugira umeshawahi kutendwa nini?
N yimbo mpya ya asilei
Me too!
Diamond Platnumz uko juu broo...Kaza broo soon utawapga chini mpaka hawa kina Chrissbrown...
AMANI JULIUS I live in Mozambique but I like your songs just your fan
Merci
Anaesema diamond hajui kuimba anajidanganya uuh Moto ni wakuotea mbali
Nani anausikiliza huu wimbo kwa sasa jun 2024😎 #wcb for life💪😎
Proud to be African!!😁 Ethiopian!!!🥰😍😘🤩👏🏿👏🏿👏🏿💕💕💕💋💋💋
🔥🔥🇪🇹🔥🔥
th-cam.com/video/vGhScH1I4YY/w-d-xo.html
where is Ethiopia..?
@@Meso-Pascal East Africa
@@johnnysimba1514❤🙌❤
Am a Cameroonian and I don't understand the lyrics but love this music with passion. wasafi
Together as one
✋✋👌
2020 January, who's in the house, 254
still in na bado
I am here! This is a timeless classic Chineke
Ndani ndani #254🇰🇪
Here
Nalikubali like kama tupo pamoja ELIASA apa
Naseeb really loved Wema sepetunga.....
Marafiki wabaya ...... the best line in the song
Through him I have learnt that hard work pays ...Trust in God ..pray for a longer life and strength ...creativity ...have faith in God
Who else is listening to this master piece in 2024?
Diamond Platnumz has alot of Great Songs, but for me this is a Masterclass... This is my Best Song and I'm Sure it's his Best song too... From the Message to the Melody to the Beat... He should make a video of this song...
Mwanangu Simba bado hujaimba kama hii ngoma, haichoshi masikioni 🔥🔥🔥🔥
Huu ndio wimbo pekee wa Diamond niliowahi kuuelewa na ninaouelewa hadi sasa.
Who else is listening to this in 2043? 🔥
Mi
Kipindi tunagombn na dada mmoja anaitwaa tingii kisa baba watoto wanguu nikaibukaa kidedeaa duh r.i.p baba gee wanguuu😭😭😭
u mean April 2021?
Me
All our time musician here wrote something very sweet yawa we'll keep on referring him
My all time favourite of Diamonds songs. It never fades.
Best Diamond Platnumz music ever!.. #Ukimwona
Huyu ndo Diamond nilipenda❤️wa siku hizi Ziii😂😂
Huyu ndiyo alikuwa diamond sasa! Kila nikisikiliza hii nyimbo najiuliza kwann mond amebadilika sana skuhizi dah
This song hit me different every time I listen to it 🔥 it takes me back in the village life 😢 😭 God bless you abundantly simba
My favorite from Diamond love this song 😍😍😍😍
Ukimwona song can't get out of fashion. Imagine Sep 21st 2019 I still run to TH-cam to listen for this. Diamond lyrics uliandika kweli
Kila siku nikipiga hili goma nainjoy Sana kwanini diamond asilitolee video ngoma kali kama hiayapa
oh nenda waambie marafiki... marafaki wabaya tena wengi waongo oh wasimdanganye😭😭😭tatizo mi bado nilipo teleza nikaanguka sipajui😭..these hits defferent..
Diamond hatokuja imba wimbo mzur zaid ya huu yes ana hit nying lkn this one is the best
Yesss
Kabxa yan huu wimbo umenifanya nicjue kupenda kabsa
Baana it's TRUE
Nyimbo zake site zenye hazina video ndo his best,hii na pia Niache
Chanda chema kaskilizw broo
2023 🇺🇸 from Kenya Nairobi #ukimwona
My forever diamond song
Nimerudi Juu ya hio verse ya marafiki chunga Sana marafiki💔🤜🏿🤛🏿👊🏿👊🏿🤦🏿♂️ 2023 still hits right ▶️
Its 2019 and i still listening dis song kama nawewe upo pamoja nami gonga like!!
Pamojaaaa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💝💝💝💝💝🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲👏👏👏👏👏👏👏👏
Noma kweliiii
🛩😁😁😁😁
Beat ,lyric and Melody is a great combination and that's what he did.. Beautiful music
Platnum
This is my favorite Diamond song. It never gets old. 2021 and it’s still fresh.
Me too
Me too darling
@@abdiabdullahi9676 ilipotea îpppip
Me to
Here we go ✌🏾
This is my favourite song ever by Diamond
Hii wimbo hunifanya nichizi 😎😎😎😎❤️❤️❤️🥺🥺🥺🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My G.O.A.T Yani my love for this song is to infinite 🥰🥰 I'll always come for you Ukimuona
The guy knows how to sing you can listen to his music even if you can hear what his talking of, let's give him respect
th-cam.com/video/vGhScH1I4YY/w-d-xo.html
''Ukimuona bonge la mziki. I can relate to this song''
Still shading Tears on how Wema Sepetu played Diamond, sad feeling indeed.
Platinums check yourself and put effort and shine again we don't need comparison nowadays
Katika dunia ya waliokua na ndoto yako diamond ilikua kubwaaaaa
l like Diamond's songs and I love his ways of dressing code.
Every song he shows interest in what he is singing about and he feels it from the bottom of his heart
SEpt 2019....and still singing word by word...ungethani am the one who wrote this one !!!.....UNANIDUNDA DUNDA...!!!
Ata mimi
This song made me love diamond,tunataka diamond wa zamani jameni
This song helped me heal...in my dark period....lakini mwambie mimi bado mahututi nauguza kidonda changu 😢 ukimwona.
Augyst 2024 still stuck here kama super glue. Wonderful lyrics with beaut iful message.
Simba ni
SuperTalented, gonga LIKE kama unakubaliana nami
best ever diamond song
Am here 2024 to confirm this song also was sang for Sarah pia.❤
Diamond this one for Wema Sepetu.
For some reason, nimejikuta tuu nikikutakia maisha marefu na afya njema. My all time artist❤
Si Diamond uamue tu uote vida ya hii ngoma. Pamoja na lala salama
#Diamond_platnumz achia video ya hii nyimbo, mashabiki twaisubiri kwa hamu sana..🔥🔥🔥
2023 bado Ni wimbo Bora kwsngu
I love this so much who is still listening to this song in 2020
Me!.
My all time favorite .. listening even now
Love it
I love it to bit too
Me
Oooh my diamond😔😔😔 i love you i will never stop loving you, forever you my mentor
Tuliokuja baada ya kusikia huu ndo wimbo bora wa diamond 2024 mwaka wa kufosi
This was the breakup moment for him and his all time fav girl Wema Sepetu. Its just crazy that they were never meant to be😥
i thought so too , he sounds heartbroken
Diamond toa video ya huu wimbo 💯🔥
My favourite..we need this kind of music,kama unaipenda gonga like
Please,
Bring Back the OLD DIAMOND!
Diamond our King
My favorite song, it was so painful back the time but still it gives me more feelings up now! Diamond i really appreciate your work continue receive more blessings my love 🌹🌹🌹
listening to the joint this year 2023 i wish it had video or a remix with himself with someone so famous like chris breezy or famous rapper like asap rocky
Back when Nassib wrote and sang from the depths of his heart ...Good stuff even in 2020!
Agreed
That is true
Who is nassib?
@@KD_gamesnxbavm diamond
@@kelvineliud2885 ddddd
🇹🇿🇬🇧🇹🇿🇬🇧 nilipoteleza sipajua One ❤️
Ukimuona Diamond mwambie nampenda fr😭😭😭😭💛I used to listen to this song when I was in highschool,,tough days ...
Waliokuja apa after sky kusema beet linafanana na wimbo wa lavalava wa mpya tujuwane hapa