ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mimi kwa ushauri tunapokutana na wanaokuwa wanamaneno GSM tupige kama mbwa mwizi hao ni yanga
Hao fg ni yanga timu yangu ya Simba mpambane kama dabi wanatumwa hao
Simba hao ni Yanga piga 4,wakaachie 6 huko😂😂😂
Wanachezea mpak wataanza kusema timu y fountain bado haijaungana😂😂, SIMBA POINT 3 LAZIMA UBAYA UBWELA
Kama mmetumwa tunawaungia umeme mkubwa ili mfe kabisa
Dharau imewaponza
Kila mwenye jezi ya GSM huyo ni YANGA Simba icheze kama DABI
Hilo ni kundi la GSM Ni kucheza km fainaly, Ubaya Ubwela, Huyu Bwana anataka kuleta mazoea
Mdomo Ulimponza Leo ibwe na ww kifungashio chake😅
Kesho naiona ni cku mbaya sana kwa geita subirini muone matokeo hamtaamini na kama hamjawahi kufahamu nini maana ya ubaya ubwela majibu ni hapo kesho
Geita?
Geita tena sheikh?
Lazima watu wakosee maana team yenyew Ina majina kila siku Kama colambo za muzk
Hao sport pesa baba mama mmoja na GSM ndio tunawataka tuwapige
Kipigo kinabaki palepale
Ubwela ubwela
Ubaya ubwela
Mdomo unaponza. Kichwa wewe ongea tu
Mdomo haulipiwi kodi
wewe uogopi sasa mlete goromaiya icheze na simba ndo ujue basi simba ni timu ya kuogooa
Mimi kwa ushauri tunapokutana na wanaokuwa wanamaneno GSM tupige kama mbwa mwizi hao ni yanga
Hao fg ni yanga timu yangu ya Simba mpambane kama dabi wanatumwa hao
Simba hao ni Yanga piga 4,wakaachie 6 huko😂😂😂
Wanachezea mpak wataanza kusema timu y fountain bado haijaungana😂😂, SIMBA POINT 3 LAZIMA UBAYA UBWELA
Kama mmetumwa tunawaungia umeme mkubwa ili mfe kabisa
Dharau imewaponza
Kila mwenye jezi ya GSM huyo ni YANGA Simba icheze kama DABI
Hilo ni kundi la GSM Ni kucheza km fainaly,
Ubaya Ubwela, Huyu Bwana anataka kuleta mazoea