unajua mi nashangaa urusi inajiendesha kwa asilimia 100 kwa gesi sasa inamaanisha kuna ulaji apo hamna uzalendo nchi hii wapigaji mama anacheka cheka tu na hii miradi ya muhimu kama nchi ilipaswa ujulikane kwa kupitia sekta fulani dunia inatujua tunauza gasi au madini na mengine mengi mama bado angeachia tu wengine bado sijaona maajab yake mpk sas ilipaswa tuwe mbali mara 3 ya hapa mzee alipotuachia MAGUFULI ila mama kapooza sababu ya watu wachache nchi hii inaelekea kua na watu milion 100 na zaidi kama muungwana angeachia wapiga kazi kwa faida ya taifa ya sas na baadae nchi hii ina kila kitu kinachoitajika dunia wapi tunafeli kama sio kwenye uongozi
🎉🎉🎉 yaani Mungu azidi kumpa afya njema kiongozi wetu mpendwa wetu dkt samia suluhu hassan Mungu azidi kumlinda kipnz chetu
Shukrani
Tunahitaji wizara ya Gas na mafuta ijitegemee na kuwe na special TRA inayohusika na madin gas na mafuta kuleta ushindan ndan ya TRA