Chama hiki Sasa Kiko kwenye mikono salama. Chama Kiko chini ya wasomi wa kisasa! Lissu msomi wa shahada ya uzamili wa Sheria. Chama cha vijana hiki! .Ni kimbilio la vijana
Wenje atachunguzwa kwa tuhuma za rushwa na ikithibitika, atafukuzwa kama mbwa. Kama ana akili basi ajaribu kuokoa heshima yake kidogo iliyosalia na, akubali kulipia gharama ya dhambi zake kwa ku - step down bila shuruti nafasi zote za uongozi ndani ya chama
@kelvinsakey2540 nafurahi sana Kwa Tusi lako Yaani inaonyesha jinsi akili Yako ilivo,kiukweli Ali Yako inafanana kama hao vichaa mlio wachagua,na huo ndo ukweli,kama unakereka basi kunywa sumu ufe,that is the only solution.
Mwamba kama mwamba hongera sana mh lissuu
Nakukubali sana jembe wote uliyo wachanguwa majembe mungu awasaindiye
naawalinde juya madui wote nasisi tumetiwa nguvu❤❤❤
Mheshimiwa Lissu naomba sana mteue Lema awe katibu mwenezi pia usisahau majembe Mdude na Pambalu
Asante nimekupata
Lissu anaishi kwenye mawazo yetu na fikirazetu
😂😂 mnyika huyoo kipenzi cha wanachadema
Mnyika ndie mwenyekiti ajae
❤Lisu Na Mnyika
Kwakweli Mnyika kwa namna alivyoendesha zoezi la uchaguzi,amekuwa katibu wa viwango vya juu sana
NANI KAGUNDUA MLINZI WA LISU NI MDOGOWAKE LEMA
😂😂😂😂😂 wanafanana tu
@MashakaMagesa hawa bwana ni ndugu😁
Huyo jamaa niwakahama ndiye aliyemlinda kipindi cha uchaguzi
Lisu sio mtu wa visasi Wenje anajificha bure kwa aibu😂
Hongera Mwenyekiti umepata jembe
Chadema inapendwa Sana na watu bila ata kutumia nguvu
Kweny meza ya mnyika hakuna ulinzi??
Chama hiki Sasa Kiko kwenye mikono salama. Chama Kiko chini ya wasomi wa kisasa! Lissu msomi wa shahada ya uzamili wa Sheria. Chama cha vijana hiki! .Ni kimbilio la vijana
Kweli nami mdau huku niliko ninafurahi mno
Wenje anatakiwa ajihuzuru la sivyo ataumbuka kwa hii timu ya ukweli na uwazi kwenye siasa
Rudini pamoja mfanye kazi
Wenje atachunguzwa kwa tuhuma za rushwa na ikithibitika, atafukuzwa kama mbwa. Kama ana akili basi ajaribu kuokoa heshima yake kidogo iliyosalia na, akubali kulipia gharama ya dhambi zake kwa ku - step down bila shuruti nafasi zote za uongozi ndani ya chama
Hili tamko la kumteua mnyika kuwa katibu mkuu,lilinifurahisha mpaka nikatokwa machozi ya furaha
Aisee wee kama Mimi yani
Wenje hafai ata kidogo
Endelea kukipasua chama Lissu
Wenje izo ela za ukimbiz wa kisiasa nibola zika kusaidia kufanya shuulizako zingine achana na kapeni za ubuge sahau tu
Vichaa wamekutana
Mwerevu hawezi kuwaita vichaa kisa utofauti wa kimawazo😂😂.
Ww ni kuma
@kelvinsakey2540 nafurahi sana Kwa Tusi lako Yaani inaonyesha jinsi akili Yako ilivo,kiukweli Ali Yako inafanana kama hao vichaa mlio wachagua,na huo ndo ukweli,kama unakereka basi kunywa sumu ufe,that is the only solution.
Punguza makasiroo broo kula chuma hicho baki huko huko na ccm yako 😂
@@KopiscoIsayaCcm hamuezi wakubali watu wa aina ya Lisu
Wenje ni dalali kama madalali wengine 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Wenje ni tapeli
😅😅😅😅
hahaha
Hv hawa jamaa huwa wanalinda nn hapo nyuma yalisu
Awamlindi Lisu, bali wanalinda alichobeba.❤
@josiacharles2778 kinini sasa maana wamba wakiamua wanafanya watakalo
@@EmmanuelChrispin-bo5xh uwezi elewa mpaka ufike kwenye iyo nafasi alionayo Lisu
@josiacharles2778 umechemkaa
Kwani Rais Samia mbn huwa wanamkalia nyuma kunakuaga na nn acha ushamba wewwww😢
Kaisha huyo kaenda na Mbowe ni Chawa wake
Wenje kakimbia
Bd ni live au ni ya jana
Jana
ndy chadema tunayotaka
Wenje hatufai
Katibu mkuu alistahili Lema
Lema Alikataa Mwenyewe
Mnyika ni Bora zaidi.
Siri umevujisha mwenyewe halafu unauliza wajumbe👀😳
Kwiyo umechukia?
th-cam.com/video/-nauZW66n_Q/w-d-xo.htmlsi=A08DScP5WOs8rCUQ
Iv sugu mbna sijamuona