Kısa kilichomkuta Askofu Gwajima akiwa Tanga | Je, baraka zako zimeunganishwa na nini?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2021
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Askofu Gwajima ni Mwalimu mzuri sana was Neno la Mungu
GWAJI BOY MUNGU WAKO NI MKUBWA SANA MNO NI MKUBWAAAAAAAA MNOOOOOOOO AMEEEEEEEEEEN
Baba yangu, Jasusi toka Mbinguni, sikuachilii mpaka unibarikiiii! Hallelujah hallelujah praise God! Mpaka unibariki!!! Amen.
Amina
Ww ni mtu wa Injili ya kweli daima. Bwana Yesu akutie nguvu.
Amen, amen 🙏 glory to the most high, wonderful gospel 🔥🔥
Mifano hai ya Askofu Gwanjima yatia nguvu sana kiroho
Iam not your church member but your among of my great mentor
We we ndiyo mfariji wawatanzania chapa kazi baba kama navyoongozwa na roho mungu akubariki mtuishi wetu
Sawasawa mzee nimecheka Sana mama sarehe good mungu AKUINUE kigoma TUPO pamoja
Amen Baba Askofu gwajima Ubarikiwe kwakweli 🙏💪
Barikiwa sana. Kazi yako njema
Baba Gwajima,Mtu na nusu barikiwa sana
Pamoja Sana gwajboy, usinyamaze, wewe ni sauti ya waafrica wote
Mungu baba azid kukutumia mchungaji
Safi Askofu kwa kumtangaza Mama bikira maria kwa waumini wako.
Aminaaa mtumishi wa Mungu, na Mungu wa mbinguni kama aishivyo anibariki mbaka watesi wangu washangae, nakuelewa sana mtumishi
Mungu akubariki mtumish ........hakika maneno yako ni kwel
Askofu mungu akujalie maisha marefu.
Ilove you son of God be blessed forever and ever amen
Amina sana baba
Sikuachilii mpaka umenibariki Baba yangu. Amen 🙏
Nimekuerewa sana mtumishi wa mungu
I love so much when watch it
Amina na ubarikiwe sana
Amen mtumixhi
Kweli kbs mtumish wa Mungu
Amina Amina
Barikiwa Sanaa 🖐️
Amen Amen Amen!
Amen amen amen Daddy
Asikufu nakipata vizuri Sana tupatie chakula chakiroho
Nakupenda sana mtumish wa Mungu alie hai na sio Mungu mfu
Amen Amen Amen
Amina ubalikiwe mtumishi wa mungu
Josephat Gwajima huku wamerudi na Corona njoo uwanyooshe
Amen.
AMEN,AMEN
AmenAmen
Hatari aisee kumbe jaman
Huyu mropokaji anawanunua waumini wake ili wamsifie
Haleluya 😅😅❤
Ameeen
Appreciate Good lesson 🙏🙏🙏
Kweli gwajima
Aminaaaa
Sema tupona babaa
Amen
Amen Amen!🙏💞💞💞💞💞💞💞💞
Gwajima wewe ni Zawadi ya Mungu kwetu watanzania
Mungu akubariki kwenye huduma yako
Amina mtumishi wa Mungu, na Mimi Mungu wangu wa mbinguni anibariki mpaka watu washangae
Ukovizuri mtumishi
Ameen
Ameeen daddy
AMEN
Hakikaaaa
Hamna ajal kwenye kuzaa
Ninaamini kuna sku tutakutana mtumishi
hatari
Naomba namba yako naitwa richard
Kweli kabisa
8i
Najihisi kama nilinyunyiziwa kuharibiwa ila mungu ananiongoza taratibu,nachelewa chelewa nachekwachekwa sieleweki,je naweza nikaishinda hii kitu ingawa huwa najipa moyo nitashinda nahitaji uokozi je naweza nikaishinda?
Ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Ndani yake Kristo tunaishi tunakwenda na kuwa na uhai wetu. Ushindi wako uko kwenye kinywa chako. Make positive declaration ( Anza kujitamkia ushindi )
Jamani gwajima kanisa lako liko sehemu ganiii
Liko ukitoka ubungo mataa mita chache kama unaenda kimara..lipo njiani mkono wa kushoto ukiwa unaenda kimara na mkono wa kulia ukiwa unatoka kimara
Au wewe uko mkoa gan?
amen
Ubungo maji mamy kalibu sana mtu wa Mungu
Yaani kama mgonjwa vile
sikuachii bishop mpaka unibariki
Huyu mnafiki mkubwa anunua online tv z msifie na kununua waumini wake ili wamsifie mitandaoni
na wewe nunua waumini na ufungue oline tv ili usifiwe sawa
Na wewe nunua usifiwe shida nn
Huyu mtu anasema amenunu waumini kannuwe nawewe Kama unaona sipo kunnua watu
Akili ndogo
Wewe shida yako ni stori nyingine ni za uongo
Gilbert za kwako za kweli ni zipi acha wivu wa kijinga kama hujapewa karama nyamaza mweee
@@faustinemavere1450 amen
We Gilbert , acha zako , hili kitu la mbinguni , linato mustakabali wa maisha ya kiroho na kimwili, anaongea kwa maslahi ya wa tz na watanzania , wewe acha kuponda bila point acha pumba zako mshamba mkubwa wewe, achana na gwajboy , jasus la mbinguni , Tena Shona mdomo , ukifanya shingo ngumu ,litavinjoka ghafla, achana na baba yetu , take your time
Huyu ni moja ya manabii wa uongo hata bible ilitueleza
@@gilbertvicent4229 herI yule aisikiae sauti hii.
Ameeen
Amen
Amen
Amen