WAZIRI JERRY SILAA ALIVYOTINGA OFISINI KWA MARA YA KWANZA, ATAJA KANUNI ZAKE "MUWE HURU KUNISHAURI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂 YAN APO KUNAWATU ROHO ZINAWAUMA HIYO HAIKUSAIDII PIGA GOTI NAWEWE MUOMBE MUNGU AKUJARIE LA SIVYO UTAISHIA KUISHI MAISHA YA MANUNGUNIKO

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 ปีที่แล้ว +2

    Kweli awamu ya nne imerudi mpaka sherehe! JPM ujinga huo hayakuwepo kweli tumepigwa

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 ปีที่แล้ว

    Kuleni maisha tu mamae zenu ila sisi wa chini tunazidi kuumia dadeq zenu

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 ปีที่แล้ว +1

    Duh kweli DPW inalipa

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 ปีที่แล้ว

    Lakini mh lukuvi aliiweza wizara sijui kwa nini alitoka

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 ปีที่แล้ว

    Hao wazee wanavyomcheki kama vile"huyu nae anatujua anatuskia?"

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 6 หลายเดือนก่อน

    FIDDA HUSSEIN NI TAPELI WA NYUMBA ZA WATU DAR.

  • @gaspermodise9644
    @gaspermodise9644 ปีที่แล้ว +1

    jery tunakisubili 2025 tutakufanya kama 2015 ukonga hautufai hatakidogo

    • @goodluckkombe994
      @goodluckkombe994 ปีที่แล้ว

      Badala ya kutoa mwelekeo wa kazi (dira) anaanza kutoa vitisho vya HOVYO. Nampa pole hilo ni koti tu la kuanzima.......

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 ปีที่แล้ว

      Acha wivu utakuuwa

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 ปีที่แล้ว

    Tz haya ndio mambo yanayofikiriwa kuwa ya maana, bado tuna safari ndefu sana kupiga hatua

  • @barakabaliza639
    @barakabaliza639 ปีที่แล้ว

    Huku tunabomolewa nyie mlakula maisha tu

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 ปีที่แล้ว

    Umeapishwa kuiba mali za watanzania bila kuajibika. Vituko.!!!!

  • @joelbulili4760
    @joelbulili4760 ปีที่แล้ว

    Hamna kiongoz hapa ni kiburi tu cha uzima na cheo

  • @florachogo243
    @florachogo243 ปีที่แล้ว +1

    Chapa kazi kijana ,walionuna achana nao

  • @abdulrahimmohamed7066
    @abdulrahimmohamed7066 11 หลายเดือนก่อน

    mtata huyu ila kichwa sana

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว +2

    Mheshimiwa Rais Dokta Samia amewapa Vijana dhamana ya Uongozi natumai Kero na Migogoro ya Ardhi itaenda kupata ufumbuzi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee.🇹🇿🇹🇿

    • @pastorgodsonjohn8562
      @pastorgodsonjohn8562 ปีที่แล้ว

      Kumaliza kero za aridhi nchii hii sio rahisi yako maeneo yanamilikiwa na vigogo wananchi wanayapigia kelele waziri akiingiza kichwa mle ameisha migogoro ya wakulima na wafugaji haiwezi kuisha maeneo ya hifadhi bado vigogo wako humo kuyamaliza si rahisi kivile

    • @Hillary_Daudi_Mrema
      @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว

      @@pastorgodsonjohn8562 Serikali yetu ni Sikivu ndiyo maana Mheshimiwa Rais Dokta Samia ameteua Mawaziri wapya katika Wizara za Ufugaji na Uvuvi, Mali Asili na Utalii zikishirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Kazi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 ปีที่แล้ว

    Uyu mwana naga masiala tanyoka shez nyie

  • @mussamsilangamunubimussa2009
    @mussamsilangamunubimussa2009 ปีที่แล้ว

    Aliiba pesa akiwa msitaiki meta wa ilala alichota pesa za vijana Leo anapewa wizara

  • @ChristerShao
    @ChristerShao ปีที่แล้ว

    Aliyenacho ataongezewa,Jerry ulipokuwa diwani wa Ukonga yaleeee majibu kwenye vikao mmmmmm.

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 ปีที่แล้ว +1

    Huyu naye taka taka tu kama ile juu

    • @Hillary_Daudi_Mrema
      @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว

      Kuwa mzalendo kwa Nchi yetu Tanzania na tuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia kutekeleza Maendeleo. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿

    • @mlawayusuph8842
      @mlawayusuph8842 ปีที่แล้ว

      Ww ulitaka apewe mjombaako

    • @joscamwoshezi2986
      @joscamwoshezi2986 ปีที่แล้ว

      ,,
      @kainimlowe. .chakutukana viongozi.Wewe asikuwa takataka umeifanyia nini nchi

    • @isakhamisi8923
      @isakhamisi8923 ปีที่แล้ว

      Wewe mavi tu,itakufaa kihoro na roho yako mbaya.

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 ปีที่แล้ว

    Mpatieni na posho ya bandari si mauwa tuu na ile ya gesi na madini pia msisahau ila 1 day yes.... CCM mtavuna mnachopanda..

  • @danielmazagwa6188
    @danielmazagwa6188 ปีที่แล้ว

    Huyu bwana hapana hata wafanyakazi wanaonekana hawajamkubali kabisa

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 ปีที่แล้ว +2

    Kila la kheri Msomi
    Jerry Slaa PIGA kazi kwa Weledi wako Wote Muheshimishe Mh RAIS aliekuamini Wewe katika wengi

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 ปีที่แล้ว

    Viongozi wakiwa wengi ni upigaji tu, tumepigwa hiyo piga keleleeeee

  • @florachogo243
    @florachogo243 ปีที่แล้ว

    Kweli hapo watu wengine wanaonekana wamenyong'onyea haaaaaaaa

  • @IddyMangwela
    @IddyMangwela ปีที่แล้ว

    Jimbo la ukonga limekushinda utawezaj wizara

  • @mickyjoseph5492
    @mickyjoseph5492 ปีที่แล้ว

    Kutetea mkataba wa dp world kwa hoja mfu kumemlipa,nafasi za kuhongana hongana kamwe hazitaleta tija.

  • @lydialaurian4734
    @lydialaurian4734 ปีที่แล้ว

    Usisahau Wana Ukonga...tulikuchagua kwa kishindo... usisahau!

  • @josephk90
    @josephk90 ปีที่แล้ว

    Viongozi wa zama hizi wepesi mno.

  • @jestonelazaro6543
    @jestonelazaro6543 ปีที่แล้ว

    Chukua chako mapema 2025 Chali ukonga Bado wapo doria

  • @salehegiza3305
    @salehegiza3305 ปีที่แล้ว

    Hana kitu hapo kiongozi asiyekuwa na maharifa.

    • @mlawayusuph8842
      @mlawayusuph8842 ปีที่แล้ว

      Ww mwenye maarfa mbona upo upo tu

    • @abdulrahimmohamed7066
      @abdulrahimmohamed7066 11 หลายเดือนก่อน

      msomi huyoo, we si ulikimbia shule , kaa kimya acha watu watumikie taifa

  • @mrbolt8194
    @mrbolt8194 ปีที่แล้ว

    toanamba yako tukupe malalamiko sumetumwa utatue changamoto

  • @onesmokihanza8473
    @onesmokihanza8473 ปีที่แล้ว

    Waziri wa kwanza kushindwa 2025😂

  • @boneyme9433
    @boneyme9433 ปีที่แล้ว

    KIONGOZI

  • @aloycemabula8649
    @aloycemabula8649 ปีที่แล้ว

    Maneno kibaoo..utatumbuliwa tu na wewe

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 ปีที่แล้ว

    Yani huyu anangaa ajabu huyu ni mwizi tu

    • @Hillary_Daudi_Mrema
      @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว

      Kuwa mzalendo kwa Nchi yetu Tanzania na tuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia kutekeleza Maendeleo Nchini. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿

  • @dicksonkomba8781
    @dicksonkomba8781 ปีที่แล้ว

    Utukumbuke miundombinu kitunda dsm barabara mbovu hatari