MARIOO AMCHANA ZUCHU NA DIAMOND AFICHUA BIFU LAO ZITO NA KUBANIWA WASAFI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @agnesrutakemwa6773
    @agnesrutakemwa6773 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ uko juu kaka .

  • @RoseJoseph-e7l
    @RoseJoseph-e7l 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Amefunzwa san omary.. wazazi wake wapewe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @marineusmutongore
    @marineusmutongore 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Dogo lina nidhamu hili halafu halipendi kugombana na wakubwa zake. Yaani linaenda na biti kudos Marioo ! Utafika mbali sana mdogo wangu❤

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤❤ good guy may Allah blessed you sali sana Omary

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Marioo atakuja kuwa msanii namba moja hapa bongo trust me yuko vizuri huku mtaani mpaka watoto wanaimba nyimbo za album yake

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂kwako

    • @Fantastic.-gm1eo
      @Fantastic.-gm1eo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @chusseboywcb2808 sikiliza album yake mzee mond kalibia anapotezwa na marioo ndiyo maana anamkabia kila akitoa ngoma

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @Fantastic.-gm1eo alishindwa luge namaguvu yake Leo malio tatizo ww nimtoto WA 2000 diamond kushushwa paka afe

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @Fantastic.-gm1eo kua na eshima na diamond kama kweli unaujua mziki diamond platnamz sio wakumfananusha namario sema hujui mziki ndio tatizo nguvu yamondi unaijua na walisha Anza kumtabilia toka enzi izo za my number one kua atapotea Yule kupotea paka mungu atake sio nyinyi binadam mlikua Kwa alikiba mkashindwa mkaja Kwa hamonize mmeshindwa sasa Mario Tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣poleni nyinyi binadam

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Fantastic.-gm1eo Mimi naujua mziki kuliko unavyo zani diamond kama hakili unazo na unajua mziki huwezi mfananisha na Mario Yule kasha pita Zama hizo diamond umpende usimpende kaa ukijua lile jini hata uwaunganishe wasanii wako ote watanzania unao wakubali wapambane na Hilo jini hawaliwezi kina Mr blue nawengine ote walikua wanamchukia diamond paka baba levo sasa wako wapi nikama maji utake utaoga utakunywa

  • @GeromeBenoît
    @GeromeBenoît 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Marioo nimkali acha ❤❤❤

  • @mariamosaideabdo9953
    @mariamosaideabdo9953 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Fica calma Mário deus está no comando 🙏🙏🙏

  • @rehemarehema7475
    @rehemarehema7475 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Merio mtu mnziri sana atakuwa na kipawa kikubwa sana❤🎉 merino na Paula wako safi sana

  • @adilfirst1355
    @adilfirst1355 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😂😂mimi napendezwa na wasanii wa bogo yaani wakihojiwa tu wanaanza kujilamba napenda ka kistyle chao😅😅

    • @eliariro5514
      @eliariro5514 51 นาทีที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @HALFANIJUMA-j8t
    @HALFANIJUMA-j8t 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waandishi wahabari ndo wachochezi wa mambo kila mtu anataka kusikiliza album ya marioo

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Uzuri wa marioo ananidhamu sana

  • @goodluckmbondo6224
    @goodluckmbondo6224 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    very smart

  • @radojembe7347
    @radojembe7347 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mario is the best of the best,diamond now his time has end ,we talk now on mario and the God son

    • @DouglasMassop
      @DouglasMassop 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mondi ndo kipimo cha mziki tanzania nzima . Lazma ujipime kwake ili uone kama level yako imepanda. Mondi anahela nyingi unaweza vita na mtu mwenye hela na kipaji?

  • @jadenngoy1798
    @jadenngoy1798 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Diamond platnumz awezi kuya Ku paty yako kwa sababu uko karibu na mahadui Wa diamond platnumz awezi kuya

  • @HadijaCute
    @HadijaCute 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    ❤❤❤ marioo uk vizur xna achana na mond anaroho mbaya apend anaumia mwenzie akiendelea

    • @Mimi_2910
      @Mimi_2910 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeona ehh alafu huyu Marioo amekuja kwa speed mondi kama mwaka kesho hatowi mziki ya mana basi Marioo tuzo atazibeba ukingiya album yake una nyimbo nyingi tofauti

    • @OmyCrez
      @OmyCrez 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe kenge kweli

    • @nestor_nyb
      @nestor_nyb 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @Mimi_2910acheni utoto basi

    • @HALFANIJUMA-j8t
      @HALFANIJUMA-j8t 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mnaumia mkiwa wap

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@OmyCrezukizinduka kuwa mond anaigiza wezako tutakuwa tumekuacha

  • @akishbebe1893
    @akishbebe1893 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nyie mbona mario kila wakati kavaa shades kwani macho yake yana nini

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mmh waandishi wagombanishi

  • @CassySalum
    @CassySalum 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    mond ana roho mbaya karibu wasani wote bongo sio Kwa Mario tu

  • @MalikAmrani-c4x
    @MalikAmrani-c4x 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mario inakua sopoa

  • @amoney2823
    @amoney2823 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Marioo ni Diamond anayefuata ingawaje Marioo ni Marioo. Kama hauna angalau D mbili hauwezi kunielewa.

  • @BenedictaMagantg
    @BenedictaMagantg 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ana akili sana Marioo

  • @landmadvdmbeyacity9561
    @landmadvdmbeyacity9561 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mariooo unetisha saba mdgoang

  • @kenrifambi
    @kenrifambi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe acha aongee

  • @Daplatinum773
    @Daplatinum773 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mpaka diamond platinum astaafu mziki ndio atokee msanii mwingine wengi sana wanakaza na wanaishia njiani mwamba bado ni wa moto

    • @BenedictaMagantg
      @BenedictaMagantg 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Despite of ,tunafurahia vijana wengine wanaojitokeza kufanya vizuri kama Marioo.

  • @Living7Stone
    @Living7Stone 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Saudi Africa?

  • @Stellah-i6v
    @Stellah-i6v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sielewi akili ya binadamu,, kwa hivoo wengine wasiimbe kisa mario katoa album yake,,, hiyo haiezekani

  • @godfreyfussy8360
    @godfreyfussy8360 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kwani bila DIAMOND hamuwezi kuongelea

  • @AyubuRobi-g6x
    @AyubuRobi-g6x 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie ni maubwa sana mbona mko naufara aje so simba asifanye job sake ati anakazia marioo

  • @ndarnationsoundtz
    @ndarnationsoundtz 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tatizo wa bongo akili awana mziki ni biashala kila mtu anafanya biashala yake why mond unamuongelea

    • @DoriceChesco
      @DoriceChesco 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaaan angekuwa katoa mtu mwingne wasingeongeaa kila kitu mond

  • @stanleytz9292
    @stanleytz9292 50 นาทีที่ผ่านมา

    Mbn alikiba hakwenda na hamumuulizi kwani diamond tu

  • @RadjaboyKubita
    @RadjaboyKubita 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    hongera sana my Lomodo Toto Bad, Una HEKIMA ya hali ya Juu sana Pia una akili timamu maana majibu yako yako sahihi kabisa. Call me Radja boy kubita from🇨🇩

  • @Living7Stone
    @Living7Stone 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Planamzi???????