jonijoo sijapenda hujaanza na ile ya december 10 mwaka 1986 mwanetu wakuitwa Aguelo palmo binadamu wa kwanza kwenda kwenye mwezi na mwanetu aliingia kwenye historia kwa kutumia muda mchache sana kuspend kwenye mwezi na kurudi takribani lisaa limoja na alifanikiwa kuiweka bendera ya marekani huko na kushuka
napenda anavojidai mwanamke mzuri anatakiwa kujiskia watu wengi wachaw wana wivu na maisha ya watu so ringa mama maisha haya mafupi utajitutumua mpaka lini dunian ukose na akhera ukose bora upate pamoja
nataka nkushaur ktu kmoja mzee baba kwenye kumwambia mtu andike neno flan, kama akikosea au akipatia unatakiwa baada ya kuandka then unaonyesha alichikiandika na inavyotakiwa kuandkwa, kama neno ambalo syo sahih unaliwekea x na ambalo sahh unalwekea tiki
Amesema anatamani hata sasa hivi awe anaitwa dada wa sabuni Mara tena anasema anafanya kazi kwa bidii hatamani tena aitwe dada sabuni 😂😂😂 Wolper bana una tupima
Kama unakubali #jonijooo gonga like huwaga ananifurahisha sana
officially chazy wcb wa
😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂🤣🤣🤣😃😃😃😄😄😅
Wolper wangu, love you gal. Mapozi ya kichaga loh😍😍😍🇹🇿
Na mpenda huyu dada kiss you
I love Jesus
Kama umeona pengo la wolper mdomoni gonga like hapa twende sawa😂😂😂
😂😂😂
Kwaiyo ww umeona pengo sio hahahaahaaa
pengo like ni swaga me nimeshawah kuona mtu kang'oa jino kumuiga worper
Dah, hyo Now U Know ya Wolper hata haijanoga sanaaaa kama vile ulikuwa unamwogopa furan hv mtoto mzur 😍 😍 😍
My real model nakupenda mpk naumwa wolper wangu mungu akuongoze mamytoh
From +257,Burundi
Gonga like kwa kipindi cha Jonijooo
kizazi jeur c tunapiga Lock nakubal sana jonijooo km unakubal anachokifany jonijooo like apa
Jamaaa maswali yako vizuri sana hayana umbea umbea wowote, good sana bro #jonijooo
Mie n shabiki wako Wolper,,I just love your life histry,,You really Inspires me alot.,,,I wanna meet you someday ...from 254
NDUGU YANGU JONIJOO Leo naona Hujatupa Historia yoyote umesahau?????
benard atilio walipenda sana ile stori aliyotoa wiki iliyopita
Daaa ata mm apo nilitaka niulize mana historia anazo wekaga mwanzo wa intevew mm huwaga zinanibamba sana
benard atilio
Kwl
benard atilio k2
benard atilio lol
Me nataka na Tanzania sweetheart jamaniiiI 🙆♀️🙆♀️💗💗💗💗
Wolper uko serious sana na Maisha ..BIG UP 🔥🔥
buzzfeed TZ krb ktk Chanel yngu pia comedy full plz
Nakupenda we Dada basi tu!!! Wewe ni wewe hujui kua mwengine very nice
Umetisha the big thinker 🙌🙌nakuona mbali best
#Wewe_Ni_Fundi_Brother
#Jonijooo
#Wahuni_Sio_Watu_Wazuri.
#Much_respect.
jonijoo sijapenda hujaanza na ile ya december 10 mwaka 1986 mwanetu wakuitwa Aguelo palmo binadamu wa kwanza kwenda kwenye mwezi na mwanetu aliingia kwenye historia kwa kutumia muda mchache sana kuspend kwenye mwezi na kurudi takribani lisaa limoja na alifanikiwa kuiweka bendera ya marekani huko na kushuka
wolper nakupenda umenifurahisha mwishon😂😍lov ya tho!
Alaways here for every posted interview coz i know it wont bore me......endelea kuumuza kichwa what you do is so good and very creative...keep it up
Huyu wolper zamani alikuwa bomba lakini saivi kajiharibu na mamikorogo
sana
jonijooo Fanya mpango hizo maick ziwe mbili bwana ya kwako na mtu unaefanya nae interview! alaf wolper nae mmmh mashauz yamezidi apunguze
Unavyoweka hiyo mimacho kama kuku wa broiler
😂😂😂Hahahaha mkali wenu original Bwana
mkali wenu original please subscribe mli unazingua aiseeee
😂😂😂😂😂
Ha haaaah umenichekesha kishenz
Noma sana
I missed this 😂😂😂kingereza wanaongea Ila kuandika shughuli 😂😂😂🚶🚶🚶napita tuu
Happiness Kabeya krb ktk Chanel yngu pia comedy full
Mr Poverty Comedian Asante Sana 🙏
asanteeee
Happiness Kabeya we mkorofi duuh ni kweli
Mtinda Mtinangi aaah huo sio ukorofi 😂😂 no ukweli 🏃🏃🏃
Kiukweli kabisa jonijoo leo huja tutendea haki mzee.hatuja zoea jinsi ulivyo anza banaaah
Wow wolper! ,Mercedes, you are my crush,dissapointed,but still like you.
hayo mapozi na macho 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 umarekani mwingi duh
yaani each day Jonijoo,is raising the bar!!Well done bro
Show Ya Kibabe sana Big Up BosS 💥💥🙌🙌👊👊👊👊👊👊👊
napenda anavojidai mwanamke mzuri anatakiwa kujiskia watu wengi wachaw wana wivu na maisha ya watu so ringa mama maisha haya mafupi utajitutumua mpaka lini dunian ukose na akhera ukose bora upate pamoja
Haya mzee baba Joni jooo gonga like yake kama unamkubali
Kazi nzuri mwana kizazi sana ur my role model
Jonijooo safi ila wolper ana ringa kama kuju anaumwa mdondooo bana kafeliiiiiii
Kama unampenda wolp like hapa
*KAMA UNA MKUBALI JONI JOOOOOH GONGA LIKE KWAKE KWA MASWARI YENYE UKWEL*
Kwenye maswali Ya kuandika ndo unafrahishaga jonijooo
hi brother in Tanzania English achaneni nayo God bless Tz amen.
😀😀love sana wolper. Kazuri sana jamani
Jonijooo eee, mbona unapenda kusema, "WAHUNI SIO WATU WAZURI"
Jaamaa jonijoo anapata taabu na mabint mabishoo
Jockline wolper macho yako yaita . halafu una sauti nzuri yakuvutia.
Akuna kutamani apo😠😠😠😠
Kama unaona wolper ni mzury like
Jonijoo!! Nakuelewa sana kamanda respect kwako
hilo jicho aseee ni balaaaa linafaa ku.....#wolper
Yaan worper nakupendaaa bureeereh dada😙😙😙😘😘😘😘
Huwa nikitazama video za Jonijooo zinani refresh mind
nakpenda bure mama kama unampenda wolper gonga like 😘😘😘
Ledy Moghana Enock
Brother nothing much to say than to say fantastic interview awesome #Jonijooo
Brammy thementor lilomy or Jonijoo?????
Amosize Amosize mablood typing error, coz all my baddest nigga, that's why, so thankful for recall me
Brammy thementor ub
Dj Jay.O og
Brammy thementor video
leo hamna story miaka ya nyuma mzee ila frrshyyy 💯💯
Cjaipenda intro ya leo ...babako tuko live na maisha plus hukutupa knowledge..
Utapeli mmmh "siungesema huwezi kumwabundu shetani" hilo ndilo siwezi fanya hata nipewe pesa kiasi ngani.. mungu atulinde
nice umenifurahisha sana kwenye jibu ulilotoa la wachaga
Jack una mapozi hadi unaboa 🙌🙌ila nakupnda😘😘😘
Dada Napenda macho yako
Wolper unavyoongea tu mama niko hoi... Pozi hizo sio za nchi hii
Ruby Ally hahaha lol
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ebu gonga Like kama unamkubali JONIJOOO
Luv u wolper.... Biggest fan
JONIJOO KAMA UKO PAMOJA NAE LIKE
Brighton Valentino krb ktk Chanel yngu pia comedy full plz
Imekaaa poa sana showz!
Interview poa but maringo ni mingi hadi nimeboeka. Unajikubali tu na Mercedes hujui andika😉😉
lol najua ww ni mkenya kama mm
Kazi yako nzuri sana bro,lakini una wakomoa sana unapo wambia wandike neno !!!
Ali Renge krb ktk Chanel yngu pia comedy full plz
umeuvaa umalkia.unaiweza kazi mama
Ali Renge 😂
Namkubali sanaa my dada kipnz wolperstylish ❤❤💗💗💗💗
MAKUBWA NAKUPENDEYAGA APO JONOJOO KWENYE KUANDIKA 😅😅😅MERCEDEZ
hatar sana kaka we noma kwa maswal jak kidogo achemushe
katika mwanamke anaeekti film bongo huyu nampenda sana kuliko wote
Waaaoooh so nice show keep it up Jo I Love You Kendrick Lamar tooo Lol 😂
We jonijooo unajua hadi unakela mzzz
Swagg zimeisha broh
daaah wolper unamashauzi sana dadeqq
we jonh we noooooooma kwa kuoji safi kaka
Now Yu now ni 🔥
Wasanii wa bongo shule mungu wangu shuleeeee
Mama Hayo macho unayageuza Kama kuku wa kideli Mmmmh umezidisha sana bn www
mmmmh mambo hayo macho mazuriii nxhdaaaa
#Jonijo #Mercedes wahuni siyo watuwazuri 👊🏻👊🏻💪🏻💪🏻 +1
yani kujishauwa hko nahata kuandika hujui
Nampenda wolper mpaka naumwa
kituuuu ni hiviii 🔥 jonijooo kill it
nataka nkushaur ktu kmoja mzee baba kwenye kumwambia mtu andike neno flan, kama akikosea au akipatia unatakiwa baada ya kuandka then unaonyesha alichikiandika na inavyotakiwa kuandkwa, kama neno ambalo syo sahih unaliwekea x na ambalo sahh unalwekea tiki
show Kali sanaaaaaa
Nakukubari sana JC nakupendaga atari
unajiheshimu mavazi safi, nimekupenda bure
Dah nakubali sana mzee uko vzur
Wolper ndugu yangu pambana sana kibiashara safari ni ndefu.
Mapozi yamezidi punguza kidogo
*Wadada bhan oho siwez kununu viatu chini ya laki2 aaaah maisha bhan*
Csta wolper eeeee upo bomba sana
Ua ckoC hii shoW...... Mm cO m2 mZur 🔥 🔥 🔥
Kwann alivyokua anapanga harusi ajajipanga,,duuuuh 🙆🙆🙆🙆
Jonijoooo Kali Mkali kizazi sana
Love you wolper 😘😘
Jamani wasani wabongo kichwa maji#kusoma muhimu sana @jonijoo
Swagg nyingi kuandika hujui utafikiri kuku!
Nakupenda sana wolper wangu,nakukubali sana.
Jonijo, hao malaya usiwape interview wanaharibu kipind, kumamake
Nimekubali sana mtoto huyo
interview zako zimetulia bro pls let us subscribe kwa wingi sana, Daaah ila huyu mansi kumbe hata mi naweza kuwa nae one day, si ni pesa tu ama.
Mungu abaliki kazi yako jonijooo
Amesema anatamani hata sasa hivi awe anaitwa dada wa sabuni
Mara tena anasema anafanya kazi kwa bidii hatamani tena aitwe dada sabuni 😂😂😂
Wolper bana una tupima
Kunata kwingi kumbe hata kuandika mercedes ni sheeedah 😀😀😀😀
l😂😂😂😂 mastaa wa bongo duh! "hata hichi kiatu nimechukua paris"
imekaa fresh babaako
wema jonijooo aje mapema
Daàaaaah njoni joooo umepotea sana kaka