Ila diamond anakupenda Sana pamoja na mapungufu yake lakn alikuthamin na kukwambia ukwel ingekuwa wanaume wengine angetembea nae bla kujal huyu ni mpnz wa rafk yake mungu azid kuwatia nguvu mapenz ndivyo yalivyo unampenda mtu kumbe anampenda mwingine inauma Sana Sana
Mm humpenda harmo Sana koz ata alivotoka wcb nilifurahi Sana koz nilijua tu kuna kitu harmo hajakipenda na ndio maana aliamua kuondoka na ndio huyo sai ametulia na mke wake Sarah ilhali hao wasanii wengine kazi nikuachana na mabibi zao kila kukicha.... congratulations harmo ww ndio mwanaume asili sasa
Mmh makubwa haya🤔🤔.....wadada wa dizan hii ya wolpa wapo wengi wasio ridhika na mwanaume mmoja utadhan K zao ni choo cha stend kila mtu anakitumia khaaaaa badiliken jaman.....Nakupenda OTHMANI uku niliko najihemu najitunza na kujithani mpenzi cna mwingine zaid yako 🇹🇿🇴🇲
Pole kijana, unahitaji kujua nini haswa unataka kwenye maisha yako kabla hujadanganywa na kusema watu udhaifu wao kwa mtandao kalamu isiyofutika people and things keep changing, kwa mapenzi tu, yalimtesa hata Adamu na Hawa ambao hawakuwa na binadamu wa tatu kati yao. BARIKIWA, NAKUOMBEA UKAMILIFU KTK YESU PEKEE ILA KTK MWANADAMU MPENDE TU ILA SIKUHAKIKISHII KUPATA YOTE UTAKAYO TOKA KWAKE
People with glass houses should never throw stones. Jackie brought this all to herself akasahau Harmo can also talk. Let's wait and see how this plays out🤔.
Uwiii jamani wachaga acheni janja janja ona aibu kubwa kwa Wolper, sijui ataweka wapi uso wake. Nashauri asijibu akae kimya.. au amsingizie kuwa ana mkono wa Sweta haaaaa haaaa Ni shidaaaaa
Mil 30 za Tz ni mil 1 laki 3 🇰🇪 duuh! Nimpe mwanamke? Poleni sana wanawake mm mgumu balaa,mke wangu tunafungua wote biashara ila sio ya kwake...pole sana Harmo Stori imefika adi 🇰🇪
Daaaa pole kaka ata mie pia nishapitia hayo matatizo kama yako maradi tu mola ako nazi kwa yetu...... tumshukuru mungu tu sana kwa kila jambo manake ni mitiani tunapitia kwa maisha.......
Wasichana bpmba wanejaa ila nyie mnababaika na haya mdungayembe yaliyoshinsikana, bongo pisi Kali kibao ila nyie hamuoni mpaka muyachukue haya yaliyokubuhu
Ukiona mwanaume anakumbuka tarehe za matukio ujue aliumia, wolper hebu mpumzishe sarah kila siku interview unamwita majina ooh mlezi wa wana,sponsor.umemchokoza harmo umelipata
BIGUP CEO/WCB/MR NASEEB UMEMSTIRI MDG WK UKUBWA NI MAARIFA CO NO KWANI ATA WAJINGA UZEEKA NA UJINGA WAO PIA POLE HARMONIZE KAZA IYO NI TRAILER2 UTAKUTANA NA MENGI MBELE MTANGULIZE MWENYEZI MUNGU MBELE UTAYASHINDA YOTE
Kwan kk harmo we mpka unatoka na wolper ulikua aumjui au..wakina sudy brown tupo wengi na taarifa zake tulikua tunazo kitamboo tu..sema tunavunga wanyamwez tusije gombanisha watu..uyo maraya long tym
asante kaka angu harmonize nilishawah comment hapa juu y wolper kw yule kaka aliymvisha pete chidi kwamba wolper ni tapel w mapenz nilichambwa sana daah leo jibu mmpeta hakuna mtu mchu naji kwa wanaume kama wolper ndo mn tunachezewa sana wanawake kwaajil y tamaa zetu
Da Jack Unatuaibisha Sana Wachaga Wenzako na Wadogo Zako Tujifunze Nin Mbona huzeeki wew dada looh unatembea na vitoto vinakuchezea vinakuacha mshenzi sana
I had to comment on this,,,I was hurt,,real hurted,,,I had a bad time/stress,,,which I will never forget,,,,,ila mwiba wa kujichoma haumbiwi pole,,,,katika mapenzi basi kuna magumu yake,,,niliwahi hata kudanganya familia yangu kuwa nimepata mchumba mwenye hela kumbe alikuwa malaya tu,,,kwa urembo wake alinivutia na nilitaka kuishi naye na nilikuwa na imani angebadilika kwani nilikuwa na uwezo japo kidogo,,,na pia nilikuwa najituma sana katika mishe mishe za kutafuta pesa,,,nilidhani mrembo angebadili tabia ya udangaji na tuweze kupanga maisha,,,enzi hizo nampata nilikuwa na project yangu ya nyumba za kupanga,,ila nilikuwa sijaweka maji na stima,,,hatimaye siku moja nikapata pesa katika mradi flani ambao nilikuwa nime invest na baadhi ya rafiki zangu,,,kila mtu katika hiyo group alikuwa na imani pesa ile ningetumia kuboresha mradi wangu,,,ila mapenzi kila siku ya na njia zake za kukufanya ufurahi ama ujute milele,,,nilipopata ile pesa,,,nakumbuka nilimuelezea mwenzangu lakini alinipea wazo la ku invest pesa kwa njia ingine,,,faida tutakayo kuwa tunapata,,basi ningeboresha mradi ambao upo mbele tayari,,,nilikubali,,,basi kadiri siku zilivyokuwa zinaenda niliwahi kuambatana naye hadi kwao,,,kwa mamake mzazi,,nikamuelezea kuwa niko na nia ya kuanzisha mradi,,,mama yake nilikuwa na muamini kwenye maendeleo kwani hata kwa umri wake mzee nilimuona ni mwenye juhudi.kuliko hata mtoto wake,,,mama alinambia basi nifungue hata car wash,,ama nijitosekwenye biashara ya kuuza nguo,,,basi katika harakati hiyo,,,siku moja girlfriend yangu akaja na wazo,,,akanambia ni kwa nini tusinunue gari ndogo na tuifanyie biashara ya taxi,nikaona ni wazo zuri,,,wakati sisi ni kitu kimoja,,,niliomba tena ushauri kwa ndugu zangu,na mama yake,,,wote wakakubali,,,basi tukaelewana yeye akafanya mishe zake,,,alipata hela nusu,,nami nikatoa yangu,,,hatimaye hela aliyokuwa nayo haikuweza kufikisha mtaji unaopaswa kununua hata japo gari kwa mkopo,,,basi alinishawishi tena na kunambia,,nimuelezee ndugu yangu mkubwa,,na wakati huu wote nadanganya ndugu zangu kuwa girlfrind yangu ndiye ana nipea support angalau nipate ajira kwani nilikuwa dereva ambaye nilikuwa nikipeleka ama kubeba watalii airport etc,,,kwa hivyo nilipewa msaada ila kwa mkataba,,,tulinunua gari,,,ila siku tumeenda show room,,,huyu mwanamke aling'ang'ania sana logbook itoke kwa jina lake,,,mimi haikunipea hofu,,,lakini mwanamke huyo alikuwa na nia mbaya mimi sikujua,,,,baada ya kuchukua gari,,,,hapo ndio vioja vilianza,,,nilikuwa nachukua gari asubuhi naenda kupakisha mahali ambapo taxi driver wenzangu walipo,,,hata nusu saa haimaliziki mwanamke atanipigia simu anahitaji gari aende safari zake,,,hii tabia iliendelea hadi dakika ya mwisho sikuwa na uwezo wa kufanya kazi,,,hali ilizidi kuwa mbaya,,,alianza kuwa mlevi wa kupendukia,,,akiondoka na gari asubuhi hata nipigiwe simu ya kazi,,,nikimwambia hajali,,,inabidi mimi nichukue gari ingine kwa rafiki nifanye kazi,,yeye atashinda alikokwenda na atarudi usiku wa manane,mara zengine asubuhi,,,nikijaribu kumuelezea kuwa gari ilikuwa ya biashara na pia kuna ndugu yangu aliyetushika anahitaji kulipwa pesa yake,,,lakini hata alizidi kufanya vituko,,,nilikosa hata neno la kumwambia ndugu,,,mamake huyu mwanamke aliona kila kitu,,lakini naweza sema hata alikuwa mmoja wa watu walio furahia shida niliyokuwa napitia,,,sasa cha kusikitisha zaidi mapenzi yalikwisha,,,pesa niliyo kuwa nimewekeza haikuwa inaleta faida,,,na ndugu yangu naye alinisakama kwa koo akitaka pesa yake,,,,nakumbuka mwezi wa tisa tarehe 15/2019,,,ndugu yangu alinipeleka polisi,,,lakini niliongea ukweli wa hali halisi,,,lakini sitowahi kumlaumu ndugu yangu,,kwani yeye alikuwa amekopa loan kazini,,,na alikuwa anapelekwa mbio na wajiri wake,,na hatimaye angefutwa kazi,,,siku hiyo ya kesi tuliongea na tuka afikiana kila mwezi tumlipe 25k,,,mimi,,yeye,,ndugu yake na mamake tukaungama kulipa deni ili tumuokoe ndugu yangu asifutwe kazi,,nikadhani girlfriend yangu angebadilika lakini alizidisha ulevi.na marafiki,,gari nisipate hata nafasi yakufanyia kazi,,,mwezi uliofata mimi nilitoa 10k,, bt mamake na ndugu yake wakatoa 7k,,,yeye alipoambiwa atoe chochote angalau,,,alisema hana chochote,,,mimi nilijua yote aliyokuwa anafanya alifanya kusudi anipee.uchungu,, basi hatimaye,, nyumbani kwetu kwa kuzaliwa,,,ndugu.walianza kunichukia wakidhani mimi na furahia wakati hao wanatabika,,ndugu yangu alikuwa na wakati mgumu,,,alisimamishwa kazi,,,wakati alikuwa na watoto 2,wako shule ya upili,,,,maisha yalikuwa magumu sana,,,na nikaamua sina budi ila kujituma zaidi,,niweze kulisha familia,,,watoto na ndugu,,mamangu,,,wote walikuwa wanatuangalia mimi.na huyo ndugu.yangu ambaye tayari alikuwa amesimamishwa kazini,,,nilijaribu sana kumuelezea girlfriend yangu apunguze.anasa,,,anipee nafasi kama bwana na aelewe kuna watu wanahitaji msaada wetu,, lakini nilikuwa napigia mbuzi guitar,,,nakumbuka gari tulinunua mwezi wa tano 2019,,lakini mwezi wa kumi nilikuwa nimeendesha mara 6 tu,,,nifanyeje,,,nilikuwa nikama nimefungwa kizuzu.na mikono nyuma na sikujua ni nani angeweza niokoa katika hiyo hali,,,japokuwa familia zote zilijua ukweli,,,kwa wakwe zangu hawakuwahi kumuelekeza vizuri mtoto wao,,,yote nilivumilia hadi december 24/2019 usiku mwendo wa saa nne usiku,,,siku ya kulalia xmas,,,mimi nilikuwa ndani,,,yeye sebuleni,,,lakini nilisikia anaongea ma mtu kwa simu,,,na kwa sababu uaminifu.ulikuwa ushatoweka siku nyingi,,,basi nilinyemelea pole pole,,,ila sikuamini macho yangu,,,hiyo siku ndio nilijua mashetani tunaishi nao ndani ya nyumba,,,alikuwa amejilaza kwenye coach,,,ametoa nguo,,amebaki na chupi,,,kumbe muda huo wote alikuwa ana chat na mwanaume na anampigia picha mwili wake na kumtumia picha,,,wanaongea kwa whatsapp video call na anamuonesha mwili wake bila haya ama kujali ndani alikuwa na nani,,,nilikuwa mgomvi sana,,,hata kipigo angepitia hiyo siku,,,lakini hasira ilikuwa nyingi mno,,,niliingia ndani,,,nikapaki nguio zangu,,,zilikuwa kidogo tu,,,,japokuwa nyumba tuliyokuwa tunaishi ilikuwa ya kupanga,,,mimi kijijini nilikuwa nimejenga,,,so haikuwa ngumu kumuachia ntumba,,,nilibeba vitu vyangu,,,wala sikumtetesha,,,aliniangalia na jinsi nilivyokuwa na tetemeka kwa hasira basi aliogopa hata kunitupia neno moja,,,nilitoka japokuwa ilikuwa ni usiku,,,nilifanikiwa kupata boda boda,,,na nikapelekwa nyumbani,,,xmas niliamkia kwangu nyumbani,,,asubuhi take tarehe 25/dec/2019,,nilimuandikia message kaka yangu,,nikamwamba,,,nimeachana rasmi na shemegi yake,,,akaniuliza pesa yake ataipata vipi,,mimi nikamjibu pesa na mimi nifungwe jela na kosa la mauji,,,ndio aliweka emoji za mshangao kwa text message,,,nikamwambia nitapambana,,,nitamlipa,,,mwanamke amekuwa mshindi,,,amenipkonya vitu vitatu kwa wakati mmoja,,,mapenzi,,uaminifu na mtaji ambao nilikuwa na nia ya kufanya familia zote mbili,,yangu.na yake ziende mbele kimaisha,,,saa hii mimi naendelea na maisha yangu,,,hajawahi nipea hata senti moja tokea tutengane,,,nami.sijawahi kuulizia chochote anar kumpigia simu,,,niibahatka pia nikapata mchumba mwengine,,,hii story sijawahi kumwambia mtu,,rafiki/ndugu,,,lakini wote ni washabiki wa youtube,,,najua ipo siku wataona huu ujumbe,,,nataka wote wajue haya ndio niliopitia mwaka jana 2019,,,ulikuwa mwaka wakulia na kulala njaa kama ambaye sikuwa na uwezo wowote kwenye maisha,,,nasema INSHALLAH,,na yeyote aliyehusika kuvuruga uhusiano na maisha yangu,,,malipo ni hapa hapa duniani,,,kwa yeyote niliye mkwaza kwa huu ujumbe pia aniwie radhi,,,nimejiweka huru,,kwani hili jambo limeniuma kwa muda mrefu sana,,,ASANTENI!!!!
Usiwai kupenda muigizaji broo anaeza kuigiza kukupenda pia kumbe ikawa hakuna ukweli ndani yake ,ikawa amefunika macho yako na kaniki chini ya maji kutaka kukutumia kufanikisha malengo yake tofauti na mapenzi broo
Usijali, Harmonize Endelea Kusamehe, Then jifunze kupitia Wolper, Sarah ndo Sahihi kuwa mke mwema ,Mpe za Uso huyo changudoa Mdangaji , kuolewa watasikia Kama Matangazo ya Vodacome
Brou pole aiseee but nikuombeee mpotezeee tyu yule malaya mmoja danga la mjin amna lolote pale kaka we angalia your future life with sarah pambana brou nipepelushie bendela ilih nipata kuwaponda zaidi wasokupenda ilah kazi wanayoooo jeshiiiii respect brou
Hii ni Story Ina Sikitisha Sana kwa kweli Harmonize alikuwa amemfichia wolper siri nzito Na Ukweli ni kwamba yeye ndiye aliyemkosea Harmonize sana. Pole Sana konde boy... Ki Ukweli Inauma Sana
Umefanya vizuri sana kaka kama mm niliumia na nilikuchukia sana nilikuona msaliti ila sasa nimekuelewa na nimejifunza sana sana kitu hapa nimejifunza kukaa kimya pale inapotokea tofauti na mpenzi mume au hata mchumba
Mpaka mtu kaamua kusema basi limemfika kwny koo mnaosema kakosea kusema MSITUFOKEE😂hiyo ndio dawa aheshimu wake za watu akubali kuachwa dadeq zake huyu mapengo
Kaka umetowa la moyoni na ilikua ngumu sana nyuma ya zaidi ya mya mitatu kiukweli umevumilia mengi polee sana na iwe funzo kwa watu wote wa jinsia wote ambao wana tabia cafu kama hizo za wolper.
Jamaniii wengine tunatamani tupate wanaume wa hivi wanaohangaika na sisi wanaosumbukia matatizo yetu jamaniii wanawake wengine ndoa tunapishana nazo wenyew
Inanikumbusha interview exclusive ya Wolper huku na Mildred AYO, years back... alilia machozi ya mamba!! Hahaha aki anani sasa sio ya mamba.. kilio cha mbwa mwitu... Wakenya in the house!!!!!!!!!!!!!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sema .. yeeee!!
Pia nimeamini Diamond ni MTU mzuri sana nimarafiki wachache wanaokwambia siri kama hiyo Diamond Mungu akutunze ulipo popote
Mungu alikwepusha na jinamizi wolper! Sijui Harmo angekuwa mgeni wa nani saivi kuishi na malaya kazi sana.
Diamond is a true friend harmonize
Diamond is a good friend ,,,,, congrats you did your best ,,,,,, harmonize take hat
It's good he shared it , now his heart is clean, yameisha Sasa, let him focus with his business
Ila diamond anakupenda Sana pamoja na mapungufu yake lakn alikuthamin na kukwambia ukwel ingekuwa wanaume wengine angetembea nae bla kujal huyu ni mpnz wa rafk yake mungu azid kuwatia nguvu mapenz ndivyo yalivyo unampenda mtu kumbe anampenda mwingine inauma Sana Sana
Kweli bro hapa umeongea kama watu kumi
Ukweli usemwe uwe huru, ndio akome hiyo tabia yake, All the best you and Sarah too much love from kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kuanzia leo opra umeniuz sana acha umalaya
@@keyjoh2971 unachoma😂😂
@@abigaelleteipa8968 𝑠𝑖𝑜 𝑚𝑖𝑚𝑖 𝑛𝑖𝑚𝑒𝑠𝑒𝑚𝑎 𝑛𝑖 ℎ𝑎𝑟𝑚𝑜𝑛𝑖𝑧𝑒 𝑎𝑚𝑒𝑠𝑒𝑚𝑎 𝑚𝑎𝑚𝑏𝑜 𝑦𝑎 𝑚𝑢𝑠ℎ𝑒𝑛𝑒 𝑠𝑖𝑠𝑖 𝑡𝑢𝑘𝑜 𝑡𝑜𝑜 𝑘𝑎𝑎 𝑒𝑦𝑒 𝑤𝑖𝑡𝑛𝑒𝑠𝑠😂😂😂😂🤪🤪
@@abigaelleteipa8968 𝑠𝑜𝑟𝑒𝑒 𝑘𝑎𝑚𝑢𝑚
TOKA UINGIE CCM WEWE NI ZUZU TU.
Congratulations kwa kufunguka kaka mob love kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daaaah mshenzi kabisa uyo wolper ajioni kashazeeka.. Pole konde boy hussle na Sarah
Pole sana
Day jmn
Mm humpenda harmo Sana koz ata alivotoka wcb nilifurahi Sana koz nilijua tu kuna kitu harmo hajakipenda na ndio maana aliamua kuondoka na ndio huyo sai ametulia na mke wake Sarah ilhali hao wasanii wengine kazi nikuachana na mabibi zao kila kukicha.... congratulations harmo ww ndio mwanaume asili sasa
Diamond did good by telling you harmonize that's a true brother who showed he cared
Pole can
Sana. Diamond amekuwa kaka wa kweli katika hili.
Yea that's true Lucy and that's humanity....
@@enelisambalale4410 🤔🤔🤔🤔🤔
I thought diamond snaked him
Mapenz mapenz mapenz unayempenda hakupend usyempenda anakupenda duuu!!!!! Pole Sana harmonize
Wolpa una laana ya Harmonize na hautakaa upate mwanaume kama harmonize utadanga mpaka uzeeni ww bahati haiji mara mbili dada.....Pole Konde boy 😭😭😭😭
Harmonize..... Umeongea kitu sahihi sana
........
Wolper na tunda hawana utofauti ......yani kila mwanaume twende tu
Ananuka k nan amtake
@@janembawala6009 Jane
😂😂😂😂wolper= wallpaper anybody can use it, as long as you download it. shameless woman
Acheni miziki ya kiduniani mtumikie mungu wenu kwakila kitu atakacho taka mungu wa mbinguni Ata wapa
Dah kumbe uliumizwa sana harmo pole sana jmn😥😥
Mond alikua anakukubali Sana konde ila ndoivotenaa
pore broo
I'd be happy too much of
aand'reremailU you are doing
I will back in Anderson@@taufiqkimpa1652 Ande willrson I
Daaah mpaka nimelia jamani kweli ukimpata anae kupenda pendeza pole sana kaka angu
Mmh makubwa haya🤔🤔.....wadada wa dizan hii ya wolpa wapo wengi wasio ridhika na mwanaume mmoja utadhan K zao ni choo cha stend kila mtu anakitumia khaaaaa badiliken jaman.....Nakupenda OTHMANI uku niliko najihemu najitunza na kujithani mpenzi cna mwingine zaid yako 🇹🇿🇴🇲
Pole sana Jeshi naumia hata mimi kama shabiki wako ishallah mwangu Mungu atakuonekania
hujakosea kaka kusema Allah amjaalie sara akuzalie mtoto mwema mwenye kher naww nitakuandalia majina kama utakubali ktok kwa shabiki yako😘
Pole kijana, unahitaji kujua nini haswa unataka kwenye maisha yako kabla hujadanganywa na kusema watu udhaifu wao kwa mtandao kalamu isiyofutika people and things keep changing, kwa mapenzi tu, yalimtesa hata Adamu na Hawa ambao hawakuwa na binadamu wa tatu kati yao. BARIKIWA, NAKUOMBEA UKAMILIFU KTK YESU PEKEE ILA KTK MWANADAMU MPENDE TU ILA SIKUHAKIKISHII KUPATA YOTE UTAKAYO TOKA KWAKE
Damn!it is shade my eyes with tears! Glory to God now you got a right woman who loves,cares& respect you.do never live her
Bro una moyo sana pia unayoongea ni kwel kabisa kwa mtu anayewajua vizuri hawa dada zetu wasiokuwa na maadili lazima aamini
pole mwanangu kwa yote uliopitia, Diamond behaved like a true friend, wish u all the best from Kenya 🇰🇪
O p
So touching story
Duuh,harmo maneno yako yamenigusa sana mwanzo nilijiskia vibaya ulipoachana Na wolper nikadhani kuwa ilitaka kumchexea tu,kumbe sio,pole sana
People with glass houses should never throw stones. Jackie brought this all to herself akasahau Harmo can also talk. Let's wait and see how this plays out🤔.
I know Jacqueline she don't care trust me what am say😂
He it’s a
Poleee shemeji yangu kondeee boy ,bora umeyasemaa pengne dukuduku limekukaa kwa mda mref,now fanya yako
Yea umesema vizuri harmonize watanzania wanapenda umbea 😪😪pole harmonize 🥺🥺🥺wolper ni shetani💀💀
Ckuwahi sikiza huu ujumbe lakn leo nmeusikza vema,inaumiza Sana..pole sana
Sema mchambo umenoga mnoo ulivyosndikizwa na beat kma zile hadithi za usaliti wa mapenzi😎
Hahaha Yan ww😁😁
😂😂😂
Too much love my best artist, nakupenda sana
Uwiii jamani wachaga acheni janja janja ona aibu kubwa kwa Wolper, sijui ataweka wapi uso wake. Nashauri asijibu akae kimya.. au amsingizie kuwa ana mkono wa Sweta haaaaa haaaa Ni shidaaaaa
Weee kaa kimya sema wolper na sio usme wachaga
@@jacklineulomi7780 si mchaga jamani mbona unanifokea wangu sio poa
@@mtanzaniahalisimungunimwem673 sikufokei hahaaa mtaje wolper tu usituchanganye
Asie na utu haez kua na aibu
@@jacklineulomi7780 au wewe Ni Mchaga? Ngoja nijikague tabia usikute na mm Ni mchaga uwiiii .... Ila sio wote bhana wako hivyo
Hongera sana hamonaizi nakutakia maisha mema na mkewako onyesha mfano daa achana na maraya wanaishi kwa kudanga maduka wanaweka kizingisio tu
Mil 30 za Tz ni mil 1 laki 3 🇰🇪 duuh! Nimpe mwanamke? Poleni sana wanawake mm mgumu balaa,mke wangu tunafungua wote biashara ila sio ya kwake...pole sana Harmo Stori imefika adi 🇰🇪
Daaaa pole kaka ata mie pia nishapitia hayo matatizo kama yako maradi tu mola ako nazi kwa yetu...... tumshukuru mungu tu sana kwa kila jambo manake ni mitiani tunapitia kwa maisha.......
Pole ham nakupenda sana nakutakia kila la kheri na mafanikio maishani mwako❣️
Nyo
@@wemamaseta4012 oo
Wasichana bpmba wanejaa ila nyie mnababaika na haya mdungayembe yaliyoshinsikana, bongo pisi Kali kibao ila nyie hamuoni mpaka muyachukue haya yaliyokubuhu
Sema broo usiwaz kusalitiw ni sehem y maisha broo enjoi n sara
Ukiona mwanaume anakumbuka tarehe za matukio ujue aliumia, wolper hebu mpumzishe sarah kila siku interview unamwita majina ooh mlezi wa wana,sponsor.umemchokoza harmo umelipata
Pole sana harmoniz ira urivumiria sana kiukweri
Anamuonea choyooo
Amempata vizuri sana, sasa na yey wolper si atafte wa kumlea atakia nni maisha ya harmo
Kumbe mshenzi sana huyu dada ila akae akijua tamaa ni mbaya na mwisho wake ni mbaya atajikuta pabaya cku
J
BIGUP CEO/WCB/MR NASEEB UMEMSTIRI MDG WK UKUBWA NI MAARIFA CO NO KWANI ATA WAJINGA UZEEKA NA UJINGA WAO PIA POLE HARMONIZE KAZA IYO NI TRAILER2 UTAKUTANA NA MENGI MBELE MTANGULIZE MWENYEZI MUNGU MBELE UTAYASHINDA YOTE
Mungu awe nanyi mpaka kifo kiwatenganishe wew na Sarah"
Amiin🙏🏼😍
Amiin
Kumbuka akumfumania na diamond platnumz aliongea akiwaamelewa
Na wazae Watoto watano
Kweli harmonize hatujasikia una michapuko na unapenda kikweli..hicho kibibi cha kichaga mbona mpaka leo hajazaa na umri unampa kisogo
Kwan kk harmo we mpka unatoka na wolper ulikua aumjui au..wakina sudy brown tupo wengi na taarifa zake tulikua tunazo kitamboo tu..sema tunavunga wanyamwez tusije gombanisha watu..uyo maraya long tym
asante kaka angu harmonize nilishawah comment hapa juu y wolper kw yule kaka aliymvisha pete chidi kwamba wolper ni tapel w mapenz nilichambwa sana daah leo jibu mmpeta hakuna mtu mchu naji kwa wanaume kama wolper ndo mn tunachezewa sana wanawake kwaajil y tamaa zetu
🙄🙄🙄imebidi nigodoe macho maybe naota,surely chidi na Pete badala ya jemila na Pete ya dhahabu daaah,wolper unafanya makekes
jamn pole horm dah mzee uy
Pole boy. Nimeguswa sana na kisa hicho. Hakika ulimpenda. Sijui wanawake walio wengi wanakwama wapi, dah!
Harmonize unamoyo mkubwa sanaa broo Daaa Nimeamini wanaokuchukia wana Matatizo yaooo Hatar
Alafu mpole sana
Pole kaka
Na mungu atansaidiya kwa hilo
Si m subscribe kwangu pia jameni mm mwenzenu
Q
Na kampa namimba kabisa duh pole sana
Da Jack Unatuaibisha Sana Wachaga Wenzako na Wadogo Zako Tujifunze Nin Mbona huzeeki wew dada looh unatembea na vitoto vinakuchezea vinakuacha mshenzi sana
Dah aiseee haikua kaz lahiss sana kaka raji mungu akulinde katika safr yako na sara
Ilikuwa story nzuri sana yan tuliokuw tunasikiliza live watu waliumia san na story hii
Da konde 💯💯💯tuko pamoja
Da konde 💯💯💯tuko pamoja
Inabidi na ww urudishe shukrani kwa diamond kwa kukudokeza hiyo hbr
Hermo umenifanya niliye sana, history yako na worper iko same na yangu.
Pole kaka Mmakonde Mwenzangu,Nimaisha kupenda sio kazi kazi nikupata anae kupenda.Mapenzi yanaumiza saana.
I got chills through out this confession..thanks harmonize
Respect kwake dimond alikuwa ana upendo kwa kijana wake ndo mana hakuamua kufanya vile alivyo ombwa na huyo bibie
Daaah Harmonize nakusikiliza hadi machozi yananitoka😔😔😔😔pole sana wanawake sometimes ni nyoka japokuwa ni mama zetu
Yaani so painful. Wanaume huwa hawasemi ila mpaka kasema ameumia sana sana
😂😂😂😂
I had to comment on this,,,I was hurt,,real hurted,,,I had a bad time/stress,,,which I will never forget,,,,,ila mwiba wa kujichoma haumbiwi pole,,,,katika mapenzi basi kuna magumu yake,,,niliwahi hata kudanganya familia yangu kuwa nimepata mchumba mwenye hela kumbe alikuwa malaya tu,,,kwa urembo wake alinivutia na nilitaka kuishi naye na nilikuwa na imani angebadilika kwani nilikuwa na uwezo japo kidogo,,,na pia nilikuwa najituma sana katika mishe mishe za kutafuta pesa,,,nilidhani mrembo angebadili tabia ya udangaji na tuweze kupanga maisha,,,enzi hizo nampata nilikuwa na project yangu ya nyumba za kupanga,,ila nilikuwa sijaweka maji na stima,,,hatimaye siku moja nikapata pesa katika mradi flani ambao nilikuwa nime invest na baadhi ya rafiki zangu,,,kila mtu katika hiyo group alikuwa na imani pesa ile ningetumia kuboresha mradi wangu,,,ila mapenzi kila siku ya na njia zake za kukufanya ufurahi ama ujute milele,,,nilipopata ile pesa,,,nakumbuka nilimuelezea mwenzangu lakini alinipea wazo la ku invest pesa kwa njia ingine,,,faida tutakayo kuwa tunapata,,basi ningeboresha mradi ambao upo mbele tayari,,,nilikubali,,,basi kadiri siku zilivyokuwa zinaenda niliwahi kuambatana naye hadi kwao,,,kwa mamake mzazi,,nikamuelezea kuwa niko na nia ya kuanzisha mradi,,,mama yake nilikuwa na muamini kwenye maendeleo kwani hata kwa umri wake mzee nilimuona ni mwenye juhudi.kuliko hata mtoto wake,,,mama alinambia basi nifungue hata car wash,,ama nijitosekwenye biashara ya kuuza nguo,,,basi katika harakati hiyo,,,siku moja girlfriend yangu akaja na wazo,,,akanambia ni kwa nini tusinunue gari ndogo na tuifanyie biashara ya taxi,nikaona ni wazo zuri,,,wakati sisi ni kitu kimoja,,,niliomba tena ushauri kwa ndugu zangu,na mama yake,,,wote wakakubali,,,basi tukaelewana yeye akafanya mishe zake,,,alipata hela nusu,,nami nikatoa yangu,,,hatimaye hela aliyokuwa nayo haikuweza kufikisha mtaji unaopaswa kununua hata japo gari kwa mkopo,,,basi alinishawishi tena na kunambia,,nimuelezee ndugu yangu mkubwa,,na wakati huu wote nadanganya ndugu zangu kuwa girlfrind yangu ndiye ana nipea support angalau nipate ajira kwani nilikuwa dereva ambaye nilikuwa nikipeleka ama kubeba watalii airport etc,,,kwa hivyo nilipewa msaada ila kwa mkataba,,,tulinunua gari,,,ila siku tumeenda show room,,,huyu mwanamke aling'ang'ania sana logbook itoke kwa jina lake,,,mimi haikunipea hofu,,,lakini mwanamke huyo alikuwa na nia mbaya mimi sikujua,,,,baada ya kuchukua gari,,,,hapo ndio vioja vilianza,,,nilikuwa nachukua gari asubuhi naenda kupakisha mahali ambapo taxi driver wenzangu walipo,,,hata nusu saa haimaliziki mwanamke atanipigia simu anahitaji gari aende safari zake,,,hii tabia iliendelea hadi dakika ya mwisho sikuwa na uwezo wa kufanya kazi,,,hali ilizidi kuwa mbaya,,,alianza kuwa mlevi wa kupendukia,,,akiondoka na gari asubuhi hata nipigiwe simu ya kazi,,,nikimwambia hajali,,,inabidi mimi nichukue gari ingine kwa rafiki nifanye kazi,,yeye atashinda alikokwenda na atarudi usiku wa manane,mara zengine asubuhi,,,nikijaribu kumuelezea kuwa gari ilikuwa ya biashara na pia kuna ndugu yangu aliyetushika anahitaji kulipwa pesa yake,,,lakini hata alizidi kufanya vituko,,,nilikosa hata neno la kumwambia ndugu,,,mamake huyu mwanamke aliona kila kitu,,lakini naweza sema hata alikuwa mmoja wa watu walio furahia shida niliyokuwa napitia,,,sasa cha kusikitisha zaidi mapenzi yalikwisha,,,pesa niliyo kuwa nimewekeza haikuwa inaleta faida,,,na ndugu yangu naye alinisakama kwa koo akitaka pesa yake,,,,nakumbuka mwezi wa tisa tarehe 15/2019,,,ndugu yangu alinipeleka polisi,,,lakini niliongea ukweli wa hali halisi,,,lakini sitowahi kumlaumu ndugu yangu,,kwani yeye alikuwa amekopa loan kazini,,,na alikuwa anapelekwa mbio na wajiri wake,,na hatimaye angefutwa kazi,,,siku hiyo ya kesi tuliongea na tuka afikiana kila mwezi tumlipe 25k,,,mimi,,yeye,,ndugu yake na mamake tukaungama kulipa deni ili tumuokoe ndugu yangu asifutwe kazi,,nikadhani girlfriend yangu angebadilika lakini alizidisha ulevi.na marafiki,,gari nisipate hata nafasi yakufanyia kazi,,,mwezi uliofata mimi nilitoa 10k,, bt mamake na ndugu yake wakatoa 7k,,,yeye alipoambiwa atoe chochote angalau,,,alisema hana chochote,,,mimi nilijua yote aliyokuwa anafanya alifanya kusudi anipee.uchungu,, basi hatimaye,, nyumbani kwetu kwa kuzaliwa,,,ndugu.walianza kunichukia wakidhani mimi na furahia wakati hao wanatabika,,ndugu yangu alikuwa na wakati mgumu,,,alisimamishwa kazi,,,wakati alikuwa na watoto 2,wako shule ya upili,,,,maisha yalikuwa magumu sana,,,na nikaamua sina budi ila kujituma zaidi,,niweze kulisha familia,,,watoto na ndugu,,mamangu,,,wote walikuwa wanatuangalia mimi.na huyo ndugu.yangu ambaye tayari alikuwa amesimamishwa kazini,,,nilijaribu sana kumuelezea girlfriend yangu apunguze.anasa,,,anipee nafasi kama bwana na aelewe kuna watu wanahitaji msaada wetu,, lakini nilikuwa napigia mbuzi guitar,,,nakumbuka gari tulinunua mwezi wa tano 2019,,lakini mwezi wa kumi nilikuwa nimeendesha mara 6 tu,,,nifanyeje,,,nilikuwa nikama nimefungwa kizuzu.na mikono nyuma na sikujua ni nani angeweza niokoa katika hiyo hali,,,japokuwa familia zote zilijua ukweli,,,kwa wakwe zangu hawakuwahi kumuelekeza vizuri mtoto wao,,,yote nilivumilia hadi december 24/2019 usiku mwendo wa saa nne usiku,,,siku ya kulalia xmas,,,mimi nilikuwa ndani,,,yeye sebuleni,,,lakini nilisikia anaongea ma mtu kwa simu,,,na kwa sababu uaminifu.ulikuwa ushatoweka siku nyingi,,,basi nilinyemelea pole pole,,,ila sikuamini macho yangu,,,hiyo siku ndio nilijua mashetani tunaishi nao ndani ya nyumba,,,alikuwa amejilaza kwenye coach,,,ametoa nguo,,amebaki na chupi,,,kumbe muda huo wote alikuwa ana chat na mwanaume na anampigia picha mwili wake na kumtumia picha,,,wanaongea kwa whatsapp video call na anamuonesha mwili wake bila haya ama kujali ndani alikuwa na nani,,,nilikuwa mgomvi sana,,,hata kipigo angepitia hiyo siku,,,lakini hasira ilikuwa nyingi mno,,,niliingia ndani,,,nikapaki nguio zangu,,,zilikuwa kidogo tu,,,,japokuwa nyumba tuliyokuwa tunaishi ilikuwa ya kupanga,,,mimi kijijini nilikuwa nimejenga,,,so haikuwa ngumu kumuachia ntumba,,,nilibeba vitu vyangu,,,wala sikumtetesha,,,aliniangalia na jinsi nilivyokuwa na tetemeka kwa hasira basi aliogopa hata kunitupia neno moja,,,nilitoka japokuwa ilikuwa ni usiku,,,nilifanikiwa kupata boda boda,,,na nikapelekwa nyumbani,,,xmas niliamkia kwangu nyumbani,,,asubuhi take tarehe 25/dec/2019,,nilimuandikia message kaka yangu,,nikamwamba,,,nimeachana rasmi na shemegi yake,,,akaniuliza pesa yake ataipata vipi,,mimi nikamjibu pesa na mimi nifungwe jela na kosa la mauji,,,ndio aliweka emoji za mshangao kwa text message,,,nikamwambia nitapambana,,,nitamlipa,,,mwanamke amekuwa mshindi,,,amenipkonya vitu vitatu kwa wakati mmoja,,,mapenzi,,uaminifu na mtaji ambao nilikuwa na nia ya kufanya familia zote mbili,,yangu.na yake ziende mbele kimaisha,,,saa hii mimi naendelea na maisha yangu,,,hajawahi nipea hata senti moja tokea tutengane,,,nami.sijawahi kuulizia chochote anar kumpigia simu,,,niibahatka pia nikapata mchumba mwengine,,,hii story sijawahi kumwambia mtu,,rafiki/ndugu,,,lakini wote ni washabiki wa youtube,,,najua ipo siku wataona huu ujumbe,,,nataka wote wajue haya ndio niliopitia mwaka jana 2019,,,ulikuwa mwaka wakulia na kulala njaa kama ambaye sikuwa na uwezo wowote kwenye maisha,,,nasema INSHALLAH,,na yeyote aliyehusika kuvuruga uhusiano na maisha yangu,,,malipo ni hapa hapa duniani,,,kwa yeyote niliye mkwaza kwa huu ujumbe pia aniwie radhi,,,nimejiweka huru,,kwani hili jambo limeniuma kwa muda mrefu sana,,,ASANTENI!!!!
I love him now . 💯😍😍
Ahaaa,
Hahahaha
Pole.sana broo una haki ya kuongea...diamond ndio kaka wa ukweli hakuweza kukusaliti...wanaume igeni mfano wa diamond
Harmonize umeua kweli wanawake hawafai na Alivokua anaongea kwenye interview na Millard Ayo mbwa ww
Usiwai kupenda muigizaji broo anaeza kuigiza kukupenda pia kumbe ikawa hakuna ukweli ndani yake ,ikawa amefunika macho yako na kaniki chini ya maji kutaka kukutumia kufanikisha malengo yake tofauti na mapenzi broo
Wachaga na wakikuyu wa Kenya...jora moja ! Penzi lao liko kwa hela,mahaba kwao hamna kitu. Habari ndo hiyo waTanzania.
😂😂😂😂
Pole mdogo wangu huwez juwa mungu alikuepusha na mengi mushukuru mungu
🤦♀️🤦♀️Dah 😪😪worp alimumiza sn kumbe hamonaz jmn mpaka kusema hayo hamonaz kweli kaumia sn ju yamkewake sarah
Acha ushoga wewe wa kiume
Pole sana kakq harmo yashapita hayo sasa tupo na mrembo wet hatutak shobo achana nae huy kungulu ataiso pret namba
Afu harmonize maskin anapenda kwel tangu nimemfahaam ex wake ni jack tu saiz kajitulilia na mzungu wake hana kutangatanga maskin😭
😭😭🙆🙆🙆maskini hamonize
Kbsa asee
Kweli kabisa
@@jovialke_update6940 vpmuzlm
Ukweli
Pole san konde boy god blees you
Usijali, Harmonize Endelea Kusamehe, Then jifunze kupitia Wolper, Sarah ndo Sahihi kuwa mke mwema ,Mpe za Uso huyo changudoa Mdangaji , kuolewa watasikia Kama Matangazo ya Vodacome
Pole sana kijana hayo ndio mambo ya wanawake huwa hawaliziki hataufanyeje unamtoa ujinga bado atakuzinguatuu
Dah!! pole sana God is good all the time
Duuh nimeumia sana pole harmonize u big malipo duniani
Salute to brother Diamond for sharing with you the story
Vp
Sio diamond
Brou pole aiseee but nikuombeee mpotezeee tyu yule malaya mmoja danga la mjin amna lolote pale kaka we angalia your future life with sarah pambana brou nipepelushie bendela ilih nipata kuwaponda zaidi wasokupenda ilah kazi wanayoooo jeshiiiii respect brou
Daaah yaani mwili umenisisimka wallah🙌
Dula!! Inauma sana Pole jeshi
Kama wampenda konde boy mikono juu 🙌🙌🙌
Harmonize ni kweli kuacha mzungu ni maumivu Sana but please Rudi kwa wolper tu I love that woman so much ❤️🥰
Tulioangalia baada ya pete tujuane
Hii ni Story Ina Sikitisha Sana kwa kweli Harmonize alikuwa amemfichia wolper siri nzito Na Ukweli ni kwamba yeye ndiye aliyemkosea Harmonize sana. Pole Sana konde boy...
Ki Ukweli Inauma Sana
Mapenz yanauma Sana jaman pole saana kunakitu kimemsukuma mpk kusema hvy pole konde 😞
Mamilioni ya pesa mnaonga wanawake, mama zenu wamechoka mbaya. Na ndugu zeu.
C ndo wanawake kutangazia wanaume
@@myunaniniahmad6463 acha tu ndugu
Mm mwenzenu jameni si mnihelp Ku subscribe kwa channel yangu aki
🙋🔥
nakupendaga mno we bro nimkweli unaga janjajanja
Pole konde
harmonize i feel your pain ..here in kenya we pray for you Allah is going to do for you a great things for you and you are going far
Richard mitindo kweli alikuwa anakula baba
Mwana kulifind mwana kuliget 😂😂😂 atulie sasa aache kudanga anaitembeza sana loh ingekua inaongeaga ile kitu kwa wengine ingesema nipunzishe
😂😂😂😂😂😂
Ahihahahahahaaaa
😂😂😂😂😂
Umefanya vizuri sana kaka kama mm niliumia na nilikuchukia sana nilikuona msaliti ila sasa nimekuelewa na nimejifunza sana sana kitu hapa nimejifunza kukaa kimya pale inapotokea tofauti na mpenzi mume au hata mchumba
Wolper wacha umalaya...stop playing with boy child feelings
Nakukubal sana harmonz ww ni zaid ya shujaa baba pambana na life yako worpa danga tu ongela baba kijacho unajielew sana harmonz
Kitu Mimi napenda songs zako ,,wewe huimba from Experience bro ,,Tena nyimbo za mafunzo👊👊👊🔥🔥🔥 msanii napenda kazi yake huko TZ ni WEWE HARMONIZE,,,
Safi sana umefanya la maana anaumia anajuta kukupoteza ila hamo najua umemsitiri kwa muda ila umefika mwisho bora umemwaga ukweli
Duuh hii revelation kabambe,nasubiri insta reaction
𝑷𝒊𝒂
Bonge la innovation ,,,nimekubali
Daah!!! Pole sana 😢😢😢
Pole sana harmonize lakini mwanamke sy wa kumuamini hasa hawa mastar lakini tulia na sarah wako my brorher big up sana
Mpaka mtu kaamua kusema basi limemfika kwny koo mnaosema kakosea kusema MSITUFOKEE😂hiyo ndio dawa aheshimu wake za watu akubali kuachwa dadeq zake huyu mapengo
Ndiyo akuanzae mmalize ayo ndiyo aliyoyataka
Skuzote usimchokoze mwanaume. Akichoka kuvumilia utajua hujui
Hv waga ni mapengo😂😂😂😂😂
Huo Ni uongo kiki tuu anatafuta Kiki ya kutoa nyimbo zake kwendrwaaaa zake
Harmonaizi
Pole sana kakangu @Harmonize kwa ulioyapitia
Kazi imeanza uuuupya ndo raha yakua na smartphone ivo tutegemee mengi kuhusu huu mkasa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣nivunje mbavu zangu unilipe 🤣🤣🤣
😂😂😂😂yaani wewe
😂😂😂😂😂😂
#Adam yaan ww mmbea sanaa🤣🤣🤣🤣🤣
Wolper Choko Sana Uyu Demu
Watoto kibao wanampitia yani Kitumbua chake kiliko ni Cheusiiiii
Kaka umetowa la moyoni na ilikua ngumu sana nyuma ya zaidi ya mya mitatu kiukweli umevumilia mengi polee sana na iwe funzo kwa watu wote wa jinsia wote ambao wana tabia cafu kama hizo za wolper.
Usingesema ww tulia
Nikweli kabisa ukitowa wa moyo mungu anakulipia na malipo hapa hapa duniani mungu akupe nguvu inshaallah ndugu yangu harmonize pole sana
@@samiahuseninikweli8539 bora aseme ukweli
Dah ! Maskini umalaya mbaya wadangaji mnamambo 😎hii inaitwa aibu ya mwaka , Love you konde umestahmili lkn yamekuuma
🤔🤔🤔 Kha!! Wolper Weeee 🙆🙆🙊
Duuuh...pole sana my brother @harmonize
Jamaniii wengine tunatamani tupate wanaume wa hivi wanaohangaika na sisi wanaosumbukia matatizo yetu jamaniii wanawake wengine ndoa tunapishana nazo wenyew
Hamtulii nyie
@@nestorykanyetto213 sio wote
Kweli my lakn sis tunaojua kupenda ndo hatuwapatiiii😭😭😭
@@queenlamay8266 na kweli
Yani ukipata mwanaume kam huyu ni bahat

Kabisa