GIGY MONEY : DIAMOND PLATNUMZ / NAMUEENDEA KWA MGANGA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.พ. 2019
- Episode Number 2 .... #TheBarTender 🍹🍸 .
.
#BabaAko @jonijooo Leo Kwenye Counter ya #TheBarTender Uso Kwa Uso na Gift Stanford Cardi B Wa Bongo #GigyMoney 🎶 .
.
THE BAR TENDER NI KILA JUMANNE Kuanzia Saa 3 Kamili Usiku Kupitia @wasafitv 📺
#wahuni_sio_watu_wazuri #KaaKitaalam 🍸
#WTVTheBarTender #TheBarTender
Shout Out To : - @Rhapsodys.Dar
#HAINAKUFELI #HUUNIMWAKAWAKO #SanaaImezaliwaUpya #HiiNiYetuSote - บันเทิง
anaempenda Gigyyyyyyy asome comment yng na likes nyingi sana
gigi mbona unakula chunvi hivyo
Noma sanaaaa
Gigy m2 wawatu
Aaaah
Nampend pia
Nina imani MB zangu hazijaenda bule kiukweli respect gigy mahela💥💥💥
Nani gigy
gigi penda wewe sana
Johari Bashir hi
Wale wanao angalia huku wanasoma comments gonga like.
Oooy is gigy right here
Mboss
Thanks
Thanks
Kama kawa
mpaka home kwa mastaaa
Jonijoo anakaa mtu anapenda elimu sana, anasoma sana vitabu vya historia na mitandao... Shabiki wako namba moja tokea Mombasa Kenya 254, BIG UP Brother uko juu... BABA AKO.
Anaempenda huyuuuuu mtu anaitwa Jonijoo hebu gonga like tujuane...Maana cjielewiii naona
Anaongea really gigy money Ila kwa kucham a ni hatar sana
Duh!! Kizazi sana jonijo , kipindi nakipenda hichi wallahi,full maufundi babaako, gigy 🙏🙏🙏
Heri Fedrick
@@anesjoseph9174 Sema!!
Hanagaaaa uvivuuuu huyuuu....
Unampendaa Gigy gonga LIKE.....
HAVUNGIIII....
MUWAZIIII
Gigiii 🤣🤣🤣🤣🤣 unaniuwa mbavuu... Nakupenda sana unajua kuwa umbua saw mfichua majibuuu😝😝😝😝
HUYU DADA NAMPENDA SANAAAAAAA YUPO SO REAL
Nimependa kipindi chaleo gigiiiiii 🇯🏴🇧🇰😂😂😂🔥🔥🔥kweli kabisa
Lee Massawe ❤️❤️
Gigy money is too real. Gigy money kama Cardi B attitude
mashe patrice sanaaa
hell no she ait't look like cardi b ot act like like cardi
Ain't even a lil bit
gigi nimekupenda ulivyomkubali zari mwaaaaaa
Yani ninacho mkubali gigy ni mtu wakusema ukweli tu mda wote😆😆😅😅😅
You look so cute
Nani amegundua km nilivyogundua mm kua Gigy Money Uma na Kisu Vimemshinda Kaamua awe Og 😂😂😂
Hahha bora ajavunga
😆😆😆
Hahahah 🤗
Ndio nachompendaga gigy Mooney yuko real sana
😂😂😂😂
Uyu mapepe lakina ana akiri sana nampenda kwakweli
Aysha Ramadhani sanaaa
Aysha Ramadhani akili yake imetulia
jonijo ni brand sana 💟
👊👊👊
Sana jmaa anajua
nakupenda sana kwasababu auna abali ya kuteta ww unatoa makavu laivu nakama upopamoja na mm like tuwe pamoja
Kumbe sijaamka mapema pekeangu , Jonijo🔥🔥
Gigy ❤️ U 😃
Collette Chinese 😍😍😍
Ur so beautiful collete
Gigy n shishi mkikaa nyumb moja mnazingua 😂😂😂
lilian jeremia 😂😂
Kwakwel😂😂😂😂
Alivomaliza kupangusa Kwa tissue akajipangusia kwa nguo🤣
Mlikuwa mmenchelewesha hapo sawa wanao kubal hii kitu pitisha tiki
I like you gigy
Pamoja sana
Gigy umenifurahisha sana nakupenda sana, team gigy like zenu hapa
LEO SIOMBI LIKE ASEEE
Sema pindi kariii. #babakoo
Kama kuna MTU kashtukia giggy alivyopotezewa kuhusu DM na tanasha anipe like yangu😁😁😁
kama umeona gigyy amekula bila kunawa mikono, gonga like nyingi twende sawa
Walahi #WASAFI NIMEWANYOOSHEA MIKONO JAMANI
SO MUCH CREATIVITY AN!
Jonijooo😍😍😍
She's got cardi B vibes. Too real🤗❤️❤️❤️❤️
True
yani nikiona gigy nacheka tu 😂😂😂uko sawa👉we love zari👈😍 gigyyyyyyyyy❤
Bora mmemuita gigy wangu full confidence, ✔🤣kipndi kizur
I love that part when giggy stopped using knife n fork and started using her hands 🤷🏻♂️😂😂😂😂
Gigy ana vituko jamani
gigy always ur loved here
Zariiiiii
Nakupenda Mpaka naumwa we gigy u too fuckin real
Love you babe🖤🖤🖤🖤🖤
#wanaompenda gigy Kama me like hapa Tujuane
Samahan eti hii beat inayotumika kwenye hiki kipindi ni wimbo wa nani
Dah umetishaaa sana Giggy cjawah kukuelewaga ila now umetishaaa san
Mm ni team clouds but hii kipnd nimekipenda Sana, ubunifu wakutosha 💯
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂gigy gigy uwiii hapana zaidi ya kichaa Ya Allah mbavu zng hiki kipindi nimekipenda sana natamani km kila siku haje gigy tu
Gigy siwezag kukosa interview zako🤗
Wasafi TV, vipindi n classic like ever....#wasafi yo the best
Akupenda sana gigy wangu 😍😘😘😘😘😘😘🌹🌹🌹🌹🌹
Kama unapenda chumvi kama gigy gonga like apa
🤣🤣🤣🤣
hahahaha boya we ndo ucfe haraka au
Gigy money kiboko kabisa
Hassan Hussein hahahahhahaha
Cyo chumvi hayo ni mayonize
Giggy anajua everything in the world 🤔🤔🤔
Womariko lumumba🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅
Ajui kitu ni talkertive tu
Bonge la shooooooo bg up jonijoo
Wowwwww... Mwaaaaahhhhhh G mahela.... Jonijooooo... Babaako wew
Ety hawalipendi ilo domo 😂😂😂 wanapenda jina
Heshima yako gigy money, umeongea ukweli sana adi nmekupenda,
GIGY chunga Dada ucje muacha bila kummaliza uyo samak chiiiiiiiiiiiih
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
so grateful 👊 blessup am waiting for another episod
Nampenda sana Gigy wallah😅
I love your true really I can't stop watching you u are the best in the world really
Gigy Maney . Shaguwa Diamond na Wama Sepeto 💞💞💞🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️🥰🥰💕💕💕💕👌👌👌
Mmefanya la maana kwel. Maana tulikuwa tunateseka i g.
Love u jonijoo 😘😘😘
Wau very nice kama wakubali apo mahali gonga like yako apo chini👇👇👇
I'm just looking at you jonijooo🌹🌹🌹💖 wish to me meet you same day InshaAllah
Uko vyema jonijooo umetishaa baba
Hatimaye mumeweka jonijoo noma sana
Ameondoka na kalamu aliona alike hapaaaa
Gigy money we noma ujafeli
Babaaaaaaako weweeee!!! Nakubali bonge la creativity kama movie flani hivi...Jonijooo uko juu babake. U really fit in ndani wasafi media
Kikazi snaa
Azili Fadhili gg kasema wanamdanga
@gigy money una lettering nzuriii👍🏾
Wa kwanza kuangalia 😂😂😂
Bora jonijoo umekuja na butender naana tulikimis sanaa now you now kama una mkubali jonijoo ngonga like hapa
wewe unayesoma hii comment utakuwa tajiri!
Hahaa santee
Ahsantee kwa dua nzurii💕
😂😂kweli
buzzfeed TZ uongo
Amen
One of the best TV show Africa Babaakoo
Nakupenda sana gigy
Kujichetua raha sana harafu kunalipa nakupenda sana bint yangu Gygy
U don’t have a sweety face but u have the body girl so hv confidence ua cute sura ukiweka makeup ushatoka so knw ua strength
Mama Maryaaaaa fantastic jonijooo konkii
Aaaaaaaa jaman gigy mzuri I love u gigy❤❤😘😘
Big up brother @jonijoo #jonijoo
Wale wanaomkubal gigy kama mie gonga like twende sawa
Gigy unaongeya vizir sana nakufatiliya sana uku ufaransa
Safi sana
Upo na good point
Nakupenda g
Giggy hujanawa mikono
Africa's bacterias are weak
Kanawa itakuwa bwana maana chakula kisingeletwa haraka ivyo na ukingia tu mlangoni kunanomba 😂😂
gigy punguza chumvi
@@iotvonline9042 Kabisa mwambie anaweka chumvi balaa
Saa zingine chakula huwa kitamu kama hujalinawa mikono
lop ue gigy
Wow. ..umeongea vizuri sana
Kama unachek uku unasoma gonga like twende sawa babaako....
malick sudy by ki ki my
Show Kali Baba Akoo!
Mbona siku izi hamrushi ichi kipindi...kizuri sana.
Nakupenda gigy
Gigy umenawa LAKINI 😂 😂
Jonijooo kizazi sana. Babaaako
Gigy money anae kwambia ww sio mzuri anakuonea wivu ww ni Mzuri sanaaaaa Mimi kama mm nakupenda sana
Gigy upo real safi sana
Kweli
Safiiii
Shoo kali
Show nimeipenda na nilivo shabiki Wa gigy imenoga sana
So creativity show
I like it
Duh nime enjoy htr sana keep it up wasafi we love you......
Gigy money..... Mama Mayra Mimi APA nakupenda mnooooo.....I heart you.....mtunze Mayra vizuriiii...totoh LA kinyakyusa
Nakupenda sana Gigi mahela unaakili nyingiiiiii
Cards B wa bongo respects your gigy
yaaani huy host jonijoo yup gud daah yaani ni bonge la kipindi
só cute
good job napenda sana jinsi umebadilisha kazi yako you inspire me so much mungu akujaliye
Nani anaetamani samaki wa gigy tujuane basi. Nammezza mate kwl