ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hi mary kipenz am super proud of you.ts shotiii
@@enockmwamlomba9101 kipenz chàngu....ahsante sana endelea kufurahia
Asante kwa darasaSema video uwa hazifiki mwisho, hatujaona ulivyopamba mpaka mwisho kupata mwisho huo
@@hellenmatondo1210 ahsante pia....naandaa video nyingine jinsi ya kupamba Kwa kutumia nozle za aina mbili tofauti na Maua tofauti pia...kwahyo usijali litakuwa somo nzima dia....endelea kufuatilia
Ni unga gani hua unatumia,mimi keki hua inatokea vizuri na inachambuka kabisa lakini haiwi nyeupe,,au natakiwa ku_add nini iwe nyeupe?
@@TEDY-MTEMY24 natumia mayai yenye kiini cheupe sio njano pia
@Mwl456 ni mayai ya kuku wa kisasa?
@@TEDY-MTEMY24 ndio hayo ndo natumia pia Yana Ute mwingi
@@Mwl456 asante sana Mungu zaidi kukufungulia njia za mafanikio 💜
@TEDY-MTEMY24 amina sana...barikiwa na wewe pia
Hapo mwanzo sijaelewa umesema vijiko viwili vya nin?
Buttercream dia Ile unayotengeneza coti ya kwanza mumy
Mamy mimi nataka nije unifudishe
@@SisterMwazanji uko wako mpenz....?me Niko geita mbogwe ....karibu sana
Icing sugar ni kiasi gani
@@RaiAlly-l9c gramu 500 Yan box moja
Safi sana
@@allyissa861 ahsante my number one fan
❤❤❤shukraan❤❤
@@rahimaally6044 karibu sana
Hi mary kipenz am super proud of you.ts shotiii
@@enockmwamlomba9101 kipenz chàngu....ahsante sana endelea kufurahia
Asante kwa darasa
Sema video uwa hazifiki mwisho, hatujaona ulivyopamba mpaka mwisho kupata mwisho huo