VIFAA MUHIMU VYA KUPAMBIA KEKI/ JINSI YA KUPAMBA KEKI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- VIFAA MUHIMU VYA KUPAMBIA KEKI 👩🏽🍳
📌instagram @ikamalle
📌Tiktok @ikamalle
VIDEO ZINGINE
-Kuchoma Nyama
• MISHKAKI YA MAINI
-Kutengeneza Mturaa
• KUPIKA SOSEJ Za UTUMBO...
-Kupika Pilau Samaki
• MCHELE MMOJA,MAPISHI M...
-Viungo vyangu vya Jikoni
• VIUNGO VYA KUPIKIA / M...
-Kupika Ugali, Maini & Bamia
• UGALI + DAGAA WA KUKAA...
Asante Kwakuangalia 🥰
Ubarikiwe sana Dada kwa kutujulisha vifaaa ivoo ahsanteee sana
Yaani Mimi ningekuwa nakaa Tabora ningekuja mnifundishe 😋😋❤️❤️❤️.Jamani
😂😂
Niko tabora naomba mnielekeze mlipo nije mnifundishe ana kwa ana
Asantee sana dada.....nataman pia kugmfaham upo mkoa gan ety
Ahsante nmejifunza. Maana vngne tunavionaga hatujui kaz zake
Karibu dear
Nataka kujua upo sehemu gan dada nikufuata ❤
Thank you ika & mziwanda ♥️
Mashallah Allah akuzidishiye
Dad nikitak kujifuz ni shingap na unapatikan wap
Mambo dada nilikuwa nashida na vifaa vya cake ila vizuri ningependa ukanipa number zako za wstp kwasabab mim niko burundi
Warembo MA sha Allah
Mimi labda kusoma kwenye cm sitaweza nikitaka kuja direct nitapata wapi? Nimefurahi sana
Seti nzima ya vifaa vya kupambia cake ni bei gan
Habari yako nifahamishe bei ya vifaa vya upambaji keki
Samahi nataka kujua kutegeneza keki❤
Assalamun alykm vp haliyak dadaang nahitaji hivi vifaa vina pagikana wapi
Ubarikiwe mnooo dada
Mbona haujaweka namba zako😊
Namba tunaomba
Ika tunaweza vipataje kwa sisi tulioko Kenya
Habari yako dada naitaji vifaa mnapatikikana wapu
Naitaji madam
Nizur Na nishingap hivovitu
Me nahitaji hvy vifaa dada mnapatkan wap
Jaman hiv vifaa napateje nataman kwelikweli
Jmn dar halipo duka lenu?
Ika nikirudi Tz ntakupa oda unitengenezee keki.
Usihofu
Where are you located, juu Mimi Niko kenyaa
Dada nahitaji iyo meza na ipataje
Leaf zinaitwaje hizonza cream na silver
Mm nataka kujuwa kupamba keki naitwa samira nipo zanzibar
❤
Nitakupata wapi
Mmnapatikana wapi
Upo wapi ofc Nike mm Niko dar
Dada nahitaji kujiunga na darasa
Samahan dada ninashida na vifaa Vya cake ila naomba unisaidie na namba ya sm nahitaji sana nakuhomba
Wasiliana nae @mziwanda_bakers instagram
Mambo dad nitumie namba zako
Ivy vifaa ni shngp jmn
Seti nzm ya vifaa ni shngp
Dada upo wap natak nije maan napend kutngneza keki
Nimependa darasa
Tupe namba zako
Ika naomba namba ya ko ya nchini TZ
Habr dada naomb kujua set nzim n bei gn
unapatikana wapi?
Unapatikana wapi
Vp dada uk pw mnapatikana wap
Iyoseti inauzwashingap
Mbona vingine hujatja bei
Unapatikana wapi dada
Number yako nitafutee vifaa
Dada nashida na hivyo vifaa Nita pataje dda
0768859358
Nawapenda sana♥️♥️
🥰🥰🥰🥰
Unafundisha vizr ila uko serious sana
Kwan hivyo vifaa bei gan
nahitaj kujifunza mnapatikana wap me nipo chanika
nahitaj kwa ajili ya binti yang
Nipenambazako ninashidanavifaa ivyo
dad unapatikan wat maan natak kuj kununuwa
Hili duka lipo sehemu gani
Lipo Tabora na Instagram @mziwanda_tools
@@ikamalle zanzibar unatuma halafu me nataka vyote ivo vifaa mana me ndo kwanza ntaka nianze sas bei yake yote inakuwa xhingap
Mpo sehemu gani
Instagram @mziwanda_tools
Ulikuwa utaje na bei
Naomba namba plz
Kwamfano ukivitaka ivo vitu unavipataje na bei gani kwa vote
Turning table bei gan
M nahitaji izo nozzo nitazipataje na bei yake
Xamahani nilikuw na xhid na no zako
Asee nahitaji hivyo vifaa nataka kuanza hiyo kazi
Nataka kujua kuhus bei za hizo vifaa
Jmn ingekua vzr na bei ingetajwa
Muna patikan wapi
Mambo
Samahan dada ety duka Lako lipo wap vifaa
Naomb bei ya nozz
Unapatikana wp
Na jinsi ya kuzitumia vizur
Unapatikan wap
Unapatikana wp nikiviitaji
Ninunuwe nini na nn
Upowap
Mnapatikana wap
Naomba namba zako
Paipen ni bei ngani
Naomba pia no zako za watsap unisaidie dada yangu
Naomba namba zako tafadhal
Sorry kujifunza bei gan
Nikihitaji vifaa mnapatikana wapi
Upo wap dad natk kuj
Naomba namba zako Wasap ili tuwasliane ili unifahamishe bei za hizo vifaa
Npo dar na viitaj napata wap
Naomba namba zako za wasap
Ika duka lipo wap
Iipo Tabora na Instagram @mziwanda_tools
Ninashida na ivyovifaa
Duka lpo sehem gan
Mnapatikana wapi
@mziwanda_tools (instagram)
Unapatikana wapi?