Nakupenda bure je nikitu gani kinaifanya cake kuonekana nyeupe ndani? Cake nyingi ninazo kutana nazo kwenye mashuhuli mbali mbali zinakuwa nyeupe ni nini hasa kinafanyika mpaka zinc Kuwa nyeupe kinawekwa kitu gani hasa
Mwapatikana wapi. Niko nje ila nikirudi kenya naomba kujua pale mko nije haswaa ninunune kila kitu kwa sababu nataka niendeleze biasha yangu iwe kubwa in sha Allah
Napenda jua gharama ya jumla kwa vifaa hivyo vyote
Asante dada.. Vp una darasa.. Naitaj sana kujifunza jaman
Asante kwa somo la Leo dear Laura.
nimedhamilia kujua kutengeneza delious cake in shaa Allah
Samaani kweli nimeupenda ufundishaji wa kiukweli mimi nimejifunza kutengeneza cake kwa kufuatilia clips zako,kinachonisumbua ni uwandaji wa cup cake,
Asante sana dada ww simchoyo kabsa wa receip
Asante sana Dada ningependa unifundishe
DADA unaweza kufundisha
Samahani unaweza kutaja bei ya vyombo vyote vinavyotumika kwa pamoja tusaidie sisi wa mikoani
asante sana Lawra cake kwa darasa
Asante kwa kutuonyesha hivyo vifaa! je unaviuza? Kama unauza Ni Sh. ngapi vikiwa full?
Dada unaelekeza vizuri sana
Duuuuh vitu Vingi sana
Nice mamy
Shukran nimefurahi kujuwa vitu va keki
asanteeeee
Tips mnauzaje
nakufuatilia unafundisha vizuri sana dada naomba unielekeze vipimo vya kutengenezea foundant mfano:icig sugar 3 niweke vijiko vingapi vya gelatine, glucose syrup,grceline naomba msaada wako dada
Nauliza zinauzwa bei gan vyote
Asante mwaya
na tuwekee bei ya vifaa tujue
Wow
Asante dada
Nakupenda bure je nikitu gani kinaifanya cake kuonekana nyeupe ndani? Cake nyingi ninazo kutana nazo kwenye mashuhuli mbali mbali zinakuwa nyeupe ni nini hasa kinafanyika mpaka zinc Kuwa nyeupe kinawekwa kitu gani hasa
Nimekupenda bule Dada nashindwa kupamba pleas msaada wako
Mwapatikana wapi. Niko nje ila nikirudi kenya naomba kujua pale mko nije haswaa ninunune kila kitu kwa sababu nataka niendeleze biasha yangu iwe kubwa in sha Allah
Uko vizur dada
asante
Hv mixer znauzwa bei gan
Je keki za kopa inakuwaje
Dada mm nahitaji hizo piping bag na vidude vya kupambia pleas on kutafutaje
Iv piping tips ni shngap
naomba kujifunza jinsi ya kutengeneza foundant pls and pls help me jaman i need it
Je naweza tumia icing sugar badala ya sukari
Vipimo va keki nataka
naitaji ivyo vifaa vina patikn wap
ukitaka kujifunza kwako shillings ngap
nitkuunga mkono my thanx
shukran nitakutafuta
Sante dada ntakutafuta mpendwa
napenda kujua kopo la nch 6 linapika kiasi gani,nch 8 na nch 10 pia zinapika kiasi gani
naomba ricep ya cup cake dada
Hizo tips mnauza bei gan?
naomba bei ya tuntable
Dada nimefurahi kweli kujua. Mimi nipo Iringa Mufindi nitapataje?
Kama nahitaji hivyo vitu nitavipataje na nishilingi ngapi mim niko kondoa
nataka kujua mnapatikana wapi
He naweza kutumia icing sugar
Naweza nikapata mawasiliano yako Dada
Erick Paschal 0765519445
Nahitaji kujua darasa lenu lipo lini? Nahitaji kuwa mwanafunzi wenu
Munapatikan wap na hivyo ukihitaji utavipataje
Tunaomba darasa la keki unafundishia wapi?na duka lenu la vifaa lipo wapi?tunaomba no
unapatikana wapi
maitaj ivyo vifaa
Mbona huonekani?umepiga picha kwa tecnowereva?
Ututajie na bei
najifunza.lakini.sinavifa
Makopo ya kupikia cake sh ngap
namipia naitaji kujifunza
vifaa vyooote hvyo ni bei Gan plz
nahitaji kujifunza mnadarasa
Mimi nimependa mafunzo yko na natafuta baadhi ya vitu ulivyo elezea vyo kuoka keki,naeza kukupata vipi na wapi?
nahitaji hivyo vifaa
Naomb nahitaji kujua
Nikitaka kupata vifaa vya kurembea keki nitafanyaje mi nipo mbali
Dada naomba namba zako naitaj kujifunzaa
Naomba namba zako dada
Nipo dodoma napataje hivyo vifaa na bei
Machine ya cake kiasi gani
Mbona hamsemi mnapatikana wapi, na vifaa vya muhimu vinagharimu sh ngap?
Ubungo riverside, kuna namba za simu hapo, wasiliana nao
Naomba namba pliz
Unapatikana wp hapa dar duka lako
hi dea huwa munafuta wapi
Na mnauzaje hivyo vifaa kwa MTU ambaye hana kifaa hata kimoja kwa hapo
Gharama za hivyo vitu vyote ulivyovionyesha hapo ni tsh ngapi
Unapatikan wapi
Mnapatikana wapi
Kirima ya keki hawi sijuwi kufanya
Vifaa vyake vinapatikana wapi dada
Duka lenu lipo wap
mm nahitaji baadhi ya vifaa kutoka kwenu tuandikie namba yako
Ninase Munniy 0765519445
Mkoani mnatuma??
Tuelekeze jinsi ya kupamba cake
hiyo miksa inauzwaje
nahitaji plz
kujifunza bei gani nije
Unadarasa?
Nahitaji vifaa nitext 0752996836
una darasa? nahitaji kujifunza
Ndio, wasiliananasi kwa 0765519445
Hawakiotojo mapishi y'a kashata
Hawa kitojo mnauza huw muchu
maashallah
Unatoa mafunzo kwa bei gan
Nahitaji vifaa
Namba mawasiliano yenu na pia nambie wapi mnapatikana
+255 755 647 084
Mpo wapi?
no ya sim
0654477495 ncheki
total cost ya ivo vifaa ni ipi