NAOGOPA KUWA MWANAMKE, NILIVYOISHI KAMA MWANAUME WAKATI MI MWANAMKE.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2022
- Baada ya kupoteza wazazi wake akiwa binti mdogo na kubaki mtoto wa mtaani... Anaogopa kua Mwanamke akiogopa kubakwa na kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji.. Akaamua kubadili mwonekano wake aonekane mwanamke kwa mavazi na kofia.. Anakua mdada sasa inabidi afiche manyonyo kwa kuyabana.. Na kila anapoenda inabidi akae upande wa wanaume na kama ni chumba alale cha wanaume... Haikua rahisi kwa kweli ... Yaliyomkuta sikiliza hii simulizi safari yake ya maisha kama mwanaume wakati ni mwanamke yenye kuchekesha na kuburudisha haswaa...
Hakika inasisismua na inaumiza inafurahisha na inafundisha i like it 👌
Ww ni Lukas again 😃😃😃hongera sana leo ndo nasiklza hii simulizi
Asante sana Kaka kwa simulizi tamu,hata sauti yako pia inavutia kwa Kila aliyesikiliza hadithi hii.watoto wa kike tuwe mashujaa Kama huyu binti,tusipende kujirahisi ,tunajidhalilisha.
Asante nzuri san kabs
Waoh nzuri kweli
Simulizi nzuri kweli ongera kwa kujitunza ubikra si rahisi
Wow nzuli sana
Ni nzuri sana😊
Asante kak kwasimulz tamu
Thanks a lot nzuri nimefurahia
Simulizi nzuri naisikia kila siku
Wooow mashaallah nime enjoy congratulation 🥰🥰🥰👌💯
The story is very nice and short and the way you were saying it has if I was seeing everyone in my eyes, please continue with the same spirit.
Hii cmulizi nimeipenda kila cku na ickiza nikimaliza kuckiza zengine nairudia hii mashaallah pongezi nyingi zikufikie shufaa kwa cmulizi tamu
Waooo ninzuri sana haichoshi
Shufwaa wew n mashine trust me your wonderful keep it up
Tumekaribia, I'm no.1 thanks Simulizi mix ❤🙏🏻
Simulinz nzuri kwer
Congratulations 👏 good story 👍👍👍👍
Big up xana xhufaa
tamu sana hongereni
Sifupi haki nindefu ooooinatosha haki wMuzuli sana masikini
Its amaizing jmn
Whao ninzuri sana ni mefurahi te na sana
Good story
Mwendelezo jaman
Asante kaka kwa kusimulia simulizi hii Yani usimuliaji wako uka nikumbusha simulizi ya PUMBAZO
C kasimulia ruhundwa ilee
Good job
Nimeipenda sana hii simulizi ni nzuri na msimuliaji anasimulia vizuri 💓❤️🥰
Simulizi nzuri sana big up
Mung akupe maisha marefu kwa kuwafundisha watu☺☺☺☺☺
Wow nmeipenda xana kazi nzuri
Lucas ni Bonge la story narrator nimeenjoy simulizi kiukweli
Kiukwl namm nimesisimuka na kuogopa kutokana na hadisi hii pole Sana shamimu Ila una good luck 💖💗💞
Gud job brooo,, 😍😍
No 2 nimewahi pia❤️❤️❤️❤️❤️
Wallah nzr mashaallah
Asante sana tumeipenda sana
Simulizi nzuri umeipatia kuisimula kwa sauti hongera sana
Nzur aisee haina mwendelezo maana inamafunzo ndani yake
Ok asante sana
Simuliz nzur sana 😍
Hongera shufaa
Kuakweri mubarikiwe sana kudupatiya simulizi hizi
Nice 👍👍 simulizi
Napatikana tunduma songwe asante sana
Aisee noma sana 🔥🔥❤️👌
Nzuri hivyo
Daaah we nom
Simulizi nzuri sana hongera
Shukran kwa simulizi hii pia inafunzo ndaniyake kwa ajli ya wtt wakike na mayatima pia Mungu akubarikisana
Jmn hii simulizi jmn jmn
Nice
Jmn nikisikia mwizi sitapiga kuna siku nilitiwa mwizi mm mnnn
Asante nimependa simlizi mpaka msisimko nimepata
Nice 👍
Nzuri sana nimependa
Also
Jamani haina part too
Tamu sana
nimeipenda mno aisee
Uonga lakini mtamu unajua ku make story hongera
Simlizi nzuri sana
Mashaallah tamu sana😋🙏🙏🙏😍😍
Napenda sana Ii simulizi mm
Shukurani Sana simulizi mix
Simulizi nzuriiiiii sanaaaaaaa
Pamoja simulizi mix
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimeipenda love story tamu mno jmn
Nzuri jmn
Yaani nimeipenda jamani duh
Hongera sana yaani ni nzuri sana
Asante
What a wonderful story, nimefurahi mnoo, hongera kaka
Jamani eti unang'aa sharubu
Waoo
Jamnnnnn ahsante sana kwa simulizi nzuuuuriiiii naina chekesha piya
Hongera
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wanaume mweye upendo kutoka kwa mungu kama yeye Britton
Ipo nzuri kweli
Nzur Sana
Beautiful script
Wow very nice, story yako ni nzuri na tamu Mungu akutiye nguvu kaka yangu pia asante ✌️
Simuliz tamu sana ila huzun
Khaaa siku zot hisia huwez kujificha hata mara moj
Mash Allah
Mtunzi nakupakongole sana
Alitumia akili mashaallah 👌👌👌
Nizuri sana kaka.
Nimefuraiya sana kweli maisha ni safari
Safi sana
❤❤❤❤
Part two plz😢 kaka lucas tunaitaj part two yakeee😢😢
Mashaallah simulizi iko vizuri hongera sana
Nafurahiya sana simulizi hi naisikiliza kila siku
Muendelezo jamani
Waoooo kalimbu kaka unasimli a vizuli sana asate sana simlizi fupi
Mashaallah hongera kwa shufaa
Mashallah shufaa
@@mwanamksisoppah9325 1
nimeipenda sana je utatowa nyingine
Jaman sokwautamu huo nmeipenda ovaa isiishe
Msimuliaji ni 🔥🔥🔥
Simulizi nzuri mashallah 🌹🌹🌹
Mashaallah nnzuri nimeipenda
Only o
Simuliz nzr lkn nn kinaumiza masikio?
Kiukweli nmempenda Tabia ya Briton ni mtu mzuli sana
Hongera kaka,hadith tamu sana
Wow mungu awape maisha marefu