MSHAMBULIAJI WA UBAYA UBWELA | LEONEL ATEBA SIKU YA KWANZA MAZOEZINI KMC COMPLEX

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • SUBSCRIBE NOW:
    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App Store - apps.apple.com...
    📱 Play Store - play.google.co...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC TH-cam Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

ความคิดเห็น • 139

  • @AzizaMayemba-td8po
    @AzizaMayemba-td8po 25 วันที่ผ่านมา +15

    Mungu awalinde na mabaya yote ❤❤❤❤ simba nguvu Moja

  • @SamiraKhamis-nl6ki
    @SamiraKhamis-nl6ki 25 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu awabariki wachezaji wetu simba nguvu moja

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 25 วันที่ผ่านมา +3

    Simba nguvu moja Mungu naomba uibariki Simba sports club 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @user-cd7ku3lq6b
    @user-cd7ku3lq6b 25 วันที่ผ่านมา +2

    Wachezaji wazuri tunao Maashaalhaa ila nawaomba Sana viongozi wetu wawakinge hawa Wachezaji Utopolo ni wabaya Sana watatuumizia Wachezaji wetu 🙏🏾🙏🏾

  • @Dockbrand
    @Dockbrand 25 วันที่ผ่านมา +42

    Wachezaji tunao ila mpira ni siasa tunajua fika magufuli alikua Simba ndo maana tukafanya vizuri sasa no zamu ya mama siunajua ni kipenzi cha Wana yanga kwahiyo tuwe na uvumilivu mpaka amalize muda wake

    • @user-gd3pw1xc5f
      @user-gd3pw1xc5f 25 วันที่ผ่านมา +3

      Miaka mitano mbele sio 😂 tutachunda 😂

    • @AbuuAyubu-t7c
      @AbuuAyubu-t7c 25 วันที่ผ่านมา +7

      We kumbe unazo akili hilo hata moo na viongoz wote wanajua hawataki kuwakatisha tamaa mashabiki lkn kweli simba haiwezi toboa raisi akiwa huyu mama na uyanga wake

    • @user-gd3pw1xc5f
      @user-gd3pw1xc5f 25 วันที่ผ่านมา +6

      @@AbuuAyubu-t7c kama kipindi cha manji na kikwete

    • @TytusStanley
      @TytusStanley 25 วันที่ผ่านมา +5

      Ulicho Sema ni kweli kbs

    • @AbuuAyubu-t7c
      @AbuuAyubu-t7c 25 วันที่ผ่านมา

      @@user-gd3pw1xc5f Yess sasa ndio yale yale mzee yupo nyuma ya pazia

  • @ZAIKONzuyu-z4c
    @ZAIKONzuyu-z4c 25 วันที่ผ่านมา +7

    Simba nguvu moya

  • @nilmadaudi9358
    @nilmadaudi9358 25 วันที่ผ่านมา +6

    Naiombea team yangu kila siku Mungu awaepushe na mabaya yote na nawaombea wazidi kupambana na hawaepushe na majeraha 🙏

  • @Dockbrand
    @Dockbrand 25 วันที่ผ่านมา +7

    Simba nguvu moja

  • @user-gq5fv8cx2f
    @user-gq5fv8cx2f 25 วันที่ผ่านมา +7

    Simba hiii nakufa nayo

  • @AmosByelembo
    @AmosByelembo 25 วันที่ผ่านมา +9

    Naiamini sana timu yangu hakika furaha ipo msimu huu

  • @Mlebabontv
    @Mlebabontv 25 วันที่ผ่านมา +5

    Simbaaa

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 25 วันที่ผ่านมา +2

    SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-jn8px1kg2r
    @user-jn8px1kg2r 25 วันที่ผ่านมา +1

    Simba yangu naipenda sana nguvu moja❤❤❤❤❤

  • @alexmasinde2471
    @alexmasinde2471 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nakubari sana simba wewe 💪🦁🦁💪🦁💪🦁💪💪💪

  • @ashuraally9064
    @ashuraally9064 19 วันที่ผ่านมา

    Unyama mwingi simba nguvu 1

  • @sulejmandj7582
    @sulejmandj7582 25 วันที่ผ่านมา +1

    JAMAN SIMBA INATIA RAHA SANAAAA❤

  • @ActiveMshan
    @ActiveMshan 25 วันที่ผ่านมา +1

    simba is my favorite team

  • @MgayaRichard
    @MgayaRichard 24 วันที่ผ่านมา +1

    Me nitaenda na 1 masa 2 kiili 3hussen 4 shamo 5 maloni 6debora 7mtale 8ngoma 9mkwala 10 ahuo 11 barua sabu ally salimu ateba shomari chasambi karabanka mzamiru huseni kazi nouma mashaka ilove simba

  • @JohnJohn-fs8ex
    @JohnJohn-fs8ex 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa Simba hii, patachimbika kwa kweli. Ni ushindi hadi mwisho wa ligi.

  • @AcksunBonifas-mj2sw
    @AcksunBonifas-mj2sw 25 วันที่ผ่านมา +2

    simba's my life❤❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @ClausDalu
    @ClausDalu 21 วันที่ผ่านมา

    Asante mama samia kwa kufanikisha streka kutua mama samia mitano tena kazi iendelee

  • @JohnIssa-fn9lf
    @JohnIssa-fn9lf 24 วันที่ผ่านมา

    Mambo ni moto ubaya ubwela simba nguvu moja ❤❤❤

  • @DainessKongela
    @DainessKongela 24 วันที่ผ่านมา

    Mungu ijalie Simba tufanyevizuli nasisi

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 25 วันที่ผ่านมา +2

    Nafikiri manula atakuwa amejifunza afanye kazi aache kupokea vibahasha.

  • @SlyvannyLawi-s4u
    @SlyvannyLawi-s4u 25 วันที่ผ่านมา +2

    Nguvu moja

  • @DavidNhonya
    @DavidNhonya 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu awaongeze sku zote na muoneshe juhudi ya kuipamba ia nembo yetu wanasimba nguvu mojaa

  • @petronillajoseph169
    @petronillajoseph169 22 วันที่ผ่านมา

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 25 วันที่ผ่านมา +3

    The king liones🦁🦁were caming 👑🦁

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 25 วันที่ผ่านมา +5

    Kama nimemuona manula

    • @user_dj-ala
      @user_dj-ala 25 วันที่ผ่านมา +2

      Ndo yeye bro mi jimeicheki mara mbili mbili MIKIMBIO ni ya kwake kabisa

    • @mwarabujr-s8r
      @mwarabujr-s8r 25 วันที่ผ่านมา

      Ni yeye

    • @adventureernest5599
      @adventureernest5599 25 วันที่ผ่านมา

      Hakika ni yeye na binafsi nimefurah sana kumuona manula

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 25 วันที่ผ่านมา +4

    Tuone wote kwa pamoja hiki kikosi kinafaa 1 Mssa 2 Kijiji 3 Zimbwe 4 Malone 5 Shamo 6 Debola 7 Kalabaka 8 Agast 9 Ateba 10 Mntale 11 Mkwala

  • @AmaniEvalisti
    @AmaniEvalisti 24 วันที่ผ่านมา

    Aishiii

  • @MagesaBenadusKiraryo
    @MagesaBenadusKiraryo 24 วันที่ผ่านมา

    Jamani tusiwe wepesi wa kulalamika tiny ni nzuri sana

  • @BONIPHACEGABRIEL
    @BONIPHACEGABRIEL 25 วันที่ผ่านมา

    Simba ni timu yangu milele na milele

  • @DawoudSimba-ej4uq
    @DawoudSimba-ej4uq 25 วันที่ผ่านมา

    Aish ndan ya ubaya ubwelaaah❤

    • @eliasmosses7210
      @eliasmosses7210 25 วันที่ผ่านมา

      Nilijua macho yangu tu

  • @karimabed2
    @karimabed2 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu awalinde wachezaji wetuu

  • @tibimunyam5369
    @tibimunyam5369 25 วันที่ผ่านมา

    Che I see you have a new team mate. Courage.❤

  • @WistonCosmas-nr6hs
    @WistonCosmas-nr6hs 25 วันที่ผ่านมา +2

    Ubaya ubwela Ateba

  • @Annaonesmo-x5b
    @Annaonesmo-x5b 25 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤

  • @hizzomaplan1409
    @hizzomaplan1409 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa mbaaali amefanana na maulidi kitenge

  • @goramatz9488
    @goramatz9488 25 วันที่ผ่านมา

    GORAMA WAS HERE🔥🔥

  • @DullahMsafi
    @DullahMsafi 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu tusaidie timu yetu

  • @allymejatz4637
    @allymejatz4637 24 วันที่ผ่านมา

    Shida tunashindana na wachawi na walanguzi pia ila simba ni timu bora ndomana had Africa haijashuka mbaka leo

  • @HajiOmar-w1w
    @HajiOmar-w1w 17 วันที่ผ่านมา

    Tusitaje siasa kwenye mpira maana yanga ilikuwa haina washezaji wenyw ubora kwasababu hawakuwa na mzamini ila sisi mzamini yupo

  • @user-vw2zm1zn2v
    @user-vw2zm1zn2v 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu awe nanyi

  • @CharlesNjiga
    @CharlesNjiga 25 วันที่ผ่านมา

    Unyam unyaman

  • @EmmanuelEnock-z7c
    @EmmanuelEnock-z7c 25 วันที่ผ่านมา

    MANULA FIRST

  • @AllyLutana
    @AllyLutana 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu walinde vijana Hawa mpaka mwisho na wawe mabingwa wa mashindani yote watakayo cheza

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 25 วันที่ผ่านมา +2

    UTOPOLO wanajinyea saiz 😂😂😂

  • @MariamOmary-uq3rs
    @MariamOmary-uq3rs 25 วันที่ผ่านมา +2

    jmn mbn chasambi simoni au macho yangu

  • @anethkavishe1844
    @anethkavishe1844 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu awalinde na wachawi wa yanga😢😢😢

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 25 วันที่ผ่านมา

    Siku mkikutana na Yanga lazima mtafute mshambuliaji tena.

  • @TwahaAthuman-q9z
    @TwahaAthuman-q9z 25 วันที่ผ่านมา

    Huyo mbwa wa gol 5 asugue bench zaidi asipangwe

  • @afanikiwechaula1347
    @afanikiwechaula1347 25 วันที่ผ่านมา

    Hivi kibu hawezi cheza pamoja na mutale naona kuna mbavu moja inapooza mashambulizi

  • @fadhilinanyanga2048
    @fadhilinanyanga2048 25 วันที่ผ่านมา

    Kwan nimemuona ni aishi manula au macho yangu tu

  • @NevisAlmassy
    @NevisAlmassy 25 วันที่ผ่านมา

    Anaye edit anazingua mtu mpk amalzekuvaa 🧦 mnazingua v2 short wanasimba 2naishiwa bando😂

  • @muridundhikri
    @muridundhikri 24 วันที่ผ่านมา

    Chasambi kaumia? Au kamtukana Koch!! Mbona yeye ana uwezo zaidi kuliko barua na hapangwi!!!

  • @WilleMbwilo
    @WilleMbwilo 25 วันที่ผ่านมา

    NGUVU MOJA

  • @barakaseif6247
    @barakaseif6247 21 วันที่ผ่านมา

    Huyu ateba timu nzim anaelewan na che malone tu kweny lugha ...cjui itakuaj

  • @KanyaishoziMulisa
    @KanyaishoziMulisa 25 วันที่ผ่านมา

    Pambana manula isijekua kama sikuile

  • @adammwandambo4143
    @adammwandambo4143 25 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kabisa hii inajulikana mama ni mwananchi na ndio mateso tunayopata ko wanasimba tulien vumilien ipo siku atakuja mwana Simba kama ilivokuwa kipindi Cha Dr John

  • @Mayungasimba-i9j
    @Mayungasimba-i9j 25 วันที่ผ่านมา

    Amed ally mwambie mkwara cc bado tunaiman naye na atafanya makubwa ndan ya lig, cc mashabik tunajua hilo,

  • @baziljohn
    @baziljohn 25 วันที่ผ่านมา

    Manula yupo

  • @abdallahsaid1127
    @abdallahsaid1127 25 วันที่ผ่านมา

    Kama Ulaya ulaya.

  • @faustineboniface5075
    @faustineboniface5075 25 วันที่ผ่านมา

    Kila siku nikuiombea timu yetu

  • @MashauriBujanga
    @MashauriBujanga 25 วันที่ผ่านมา

    Kumbe😅😅😅

  • @PatrickElias-sx6gq
    @PatrickElias-sx6gq 25 วันที่ผ่านมา

    Mbona ateba kavaa bukta la msimu iliopita

  • @karimabed2
    @karimabed2 25 วันที่ผ่านมา

    Tuwe kitu kimojaaaaa

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 25 วันที่ผ่านมา

    We jamaa umesema maguful alikuwa simba ndo mana tukafanya vzr mbona kama inaingia akili hv

  • @ChesnoldLuhanga
    @ChesnoldLuhanga 25 วันที่ผ่านมา

    Ni furaha kumuona manula

  • @user-jy1wm8do8w
    @user-jy1wm8do8w 25 วันที่ผ่านมา

    Tutengeneze team uto wanateam bhn

  • @IssaRangula
    @IssaRangula 25 วันที่ผ่านมา

    Cobran cmuoni jamani

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 25 วันที่ผ่านมา

    Mpira c sisa mbwa ww kama huna timu kanye huko😊

  • @user-bs9mx8pl1g
    @user-bs9mx8pl1g 25 วันที่ผ่านมา

    Dah mumemuacha fred mmebaki na ayubu sasa ana faida gani kwa sasa ayubu hii timu dah

    • @LauMagwaja
      @LauMagwaja 25 วันที่ผ่านมา +1

      Ww acha maneno hayo bola kabak ayub Fred asepe

  • @ZaC_Recap
    @ZaC_Recap 25 วันที่ผ่านมา

    Duka Limerudi

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp 24 วันที่ผ่านมา

      Kama Auze nini kutoka benchi?

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 25 วันที่ผ่านมา

    Aibu sana timu ya 7 Africa haina uwanja dah! Viongozi amkeni jamani.

    • @salmaurembo7629
      @salmaurembo7629 25 วันที่ผ่านมา +1

      Ndugu kabla ya kulalamika kiwanja kwnxa lalamikia serikali yako iziachie huru hzi timu 2 wadhamini wawe huru uone kma uwanja hautajengwa ndani ya wiki2 tu... hakuna mdhamini atakayeweza kutupa pesa sehem ambayo hana mamlaka 100 percent

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 25 วันที่ผ่านมา

      @@salmaurembo7629 wadhamini wapo huru that's why mtu mmoja amedhamini timu 7.

    • @TunuAdam-gc9rc
      @TunuAdam-gc9rc 25 วันที่ผ่านมา

      ​@salmaurembo7629 umeongea kitu cha ukweli kabisa kwenye maswala ya timu kuwa na viwanja serikali inatubania sana.

  • @DM_15
    @DM_15 25 วันที่ผ่านมา

    Mchezaji nmpya nimegundua joto lina mtesa jamaa hana raha

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp 24 วันที่ผ่านมา

      Na hela Kesha chukua? atacheza Tu hata na feni.

  • @PiusBruno-t3g
    @PiusBruno-t3g 20 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/_zUPDKk5N-A/w-d-xo.htmlsi=t9KrdvuIyu2U1r6i Simba wa yuda

  • @johnmollel6915
    @johnmollel6915 25 วันที่ผ่านมา

    Kmc Wana facility nzur kutuliko,,, viongozi wetu mnakwama wap!?

  • @WilliamKorogira
    @WilliamKorogira 25 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @franccoz94
    @franccoz94 25 วันที่ผ่านมา

    Viatu tu inavaa mda wote huo,itaweza kufungaa kweli

    • @user-ln8hl9ge9d
      @user-ln8hl9ge9d 25 วันที่ผ่านมา +1

      siku mchezaji lazima awe hivyo kaka

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 25 วันที่ผ่านมา

    Kama Fadlu🇿🇦 anataka Mataji nampa ushauri wa bure. Hata kama mimi sio Kocha wa Mpira wa miguu. Camara🇬🇳Zimbwe🇹🇿Chamou🇨🇮Che🇨🇲Kijili🇹🇿Augustine🇳🇬Fernandez🇨🇬Awesu🇹🇿Mutale🇿🇲Mukwala🇺🇬Ateba🇨🇲. 4-3-3 au 4-4-2. Akitaka magoli Mukwala+Ateba wote waanze. Atanishkuru baadaye

    • @barakasirai-jj4wp
      @barakasirai-jj4wp 13 วันที่ผ่านมา

      Ase wew ni hatari hiki kikosi ni balaa

  • @estondonald6834
    @estondonald6834 25 วันที่ผ่านมา +1

    Simba nguvu moya

  • @Dockbrand
    @Dockbrand 25 วันที่ผ่านมา +1

    Simba nguvu moja

  • @SalehehassanJr
    @SalehehassanJr 24 วันที่ผ่านมา

    Nguvu moja

  • @Manswe.jonhjr
    @Manswe.jonhjr 25 วันที่ผ่านมา

    Nguvu moja