Sasa ndugu zangu ktk Imani mzee mbgemuacha tu aendelee na maisha yake na mke wake yule simzee Sana wakuanza kulelewa na nyie kaeni na waume zenu fanyeni yenu ipo cku mzee atawatafuta🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ni rahisi sana kujudge shida ikiwa haijakufika,na omba Mungu isikufike shida kama hii,nasi tuna mtihani unafanana sana na huo wa hao wenzetu,si rahisi. Allah ndie mjuzi zaidi.
Haya ndio matokeo ya mabadiliko ya kiuchumi. Jamii hubadilika na kupotoka kwa jili ya kitu. Mzee wangu masikini yupo retired na stepmother but im happy with him. Im glad na share nae what i have. Vijana jifunzeni kutafuta vya kwenu badala ya kutegemea cha mzee.
Ao Watt awataki Mali wanamtaka baba yao kweli wenyewe ao Watt wanapesa zao London na kuja kusaidia mzee wao sababu ni mgonjwa na kashakuwa mtu mzm poleni sana marafiki zangu 1 shareefa zuwena zuhura n.k mungu atawasimamia inshaaAllah hy nayo yatapita
polen sana ndugu zangu shikeni njia ya kwenu, mzee hataki kakukataeni, hadhara nnas achaneni nae jamii inzima inashuhudia hayo ila mkiwa na.subra mtaona mengi wakati ukifika. kwa sasa tumieni mda kusimama na maisha yenu tu.
Watoto hamuwezi mtenganisha babayenu hata awehanajino hata moja mdomoni anahaki yakukaa na mkewe uzee na magonjwa nikawaida lakini roho bado inapenda na kama haki zababayenu mnataka hiyo lazima kila mtu atapata chake lakini hamwez kumtenganisha labda kwa mapenzi ya mungu na haki kwa babayenu hiyo ni lazima mupate kuweni wapole na kumwombea babayenu.
Jamani babu katekwa , tunawaombea mtampata baba yenu, ila mwendeni Pole Pole na mumpende Sana mke wake na kumheshimu Ndio mtampata baba! Mungu awasaidie muelewane Kama familia na mpate amani wote Kama familia! Pia mtegemeeni Sana Mungu
Poleni sana wana familia unajuwa dunia kuwa chochote ni mtihani na mali ni mtihani kuwa fukara pia wa na mke mtihani usiwe na mke mtihani kuwa watoto mtihani usiwe na watoto mtihani yaani hii dunia imeumbwa kwa mtihani tu poa sana wana familia wanajamii na kwa ushauri wangu tuwaombeeni dua Allah atawapa wepesi inshaallah ahsant
Abubakar Omari comment yako MashaAllah ni nzuri kuliko zote. Kubwa ni kuwaombea Duah mtihani uwaondokee na sisi atuepushie na sio kama hizi comment nyengine za kipuuzi kuhukumu watu kwa kitu cha family ambacho hujui ukwel uko wap.
Kwanza wanaonekana watoto nao washirikina maana uwezi kumjua mchawi ikiwa ww sio mchawi pili wanaladhimisha wakamuhudumie je akitaka tendo la ndoa wata muhudumia au awana lolote roho mbaya zinawasumbua maana ata ukisikiliza maelezi yao eti ooo uyo mama anakaa na watu wasio tuusu kwaiyo nyie amuwezi kusaidia wengine au wallah mali na watoto ni mtihani katika maisha ya dunia
fatwima Makungu Badala ya kuwaombea dua mtihani wao utatuke, wanacomments upuuzi kwa kitu ata wasichokijua undani wake. Musivamie na kuanza kujudge watu kwa kitu ambacho hukijui, hayo ni mambo ya family kubwa ni Dua tu uwaombee, sio kuanza kutoa maneno ya ajabu kwa unachokiona. Hawa wanaocomment utashangaa wao wenyewe balaa tupu kwenye familia zao. Allah awafanyie wepesi mtihan wao utatuke pamoja nasie sote yasitukute, ila watu waache ujinga wa kucomments na kulaumu watoto kwa kitu usichokijua. Mtu anafikia kusema hao watoto macho yao tu makavu kwa roho mbaya, wewe je macho yako yapo vp? umeona wapi mtu akawa judged kutokana na macho yake? Musivamie family za watu, shughulikie yenu. ukitaka kucomment kuwa neutral, usiegemee popote mana ukwel huujui, acheni upuuzi. Duah muhimu.
Raya Rashid yaani midomo juu sura zimewakomaa kwa shari loo wakalale nae basi hy baba yao kama watawezaa mama wa watu mpolee wala hana habari wenyewe midomo juu kama makopoo loo
Kwakweli hili nijambo zito na baba zetu kweli wakiowa mke mwengine hubadilika kweli mm nishashuhudia kwenye familia yetu siwalaumu watoto mambo yote yapo nimtihan kwakweli mtihan mungu awaongoze
Adam Soud unajua yule mzee zile kauli zake zakusema wao waanfalie mali za waume zao na zake ataangalia yy na mkewe ndizo zinazoleta ftina na.watoto ndo.washatoa.macho kwenye vijumba vile kwaiyo ni mtihani.apo
Nezi Ali hayo maneno hakika mie pia mamawakambo nanifitinisha na baba yangu na kunokataa na mwanzo alokwenda rphoyake kaona nitapewa mali lakili nimempotezea na leo alhamdulilah nimemuachia mungu
Ndugu zng na dada zng acheni kumdhania mtu km kamfanyia ushirikina baba enu mutafka munapotaka na mutaelewena vizuri tu ila mukiwa munaekeana dhana ya uchawi mutakosa mapenzi kwa pande mbili zote kwa baba na mam kaeni chini na usameheane muishi vizuri na muelewane vizuri.poleni sana.
Kwa kweli watoto wana makosa makubwa mzee ana mke wake ni vizuri kujuwa ana mali gani kwa ubinaadamu leo yuko hai kesho kaondoka lakini kumuingilia katika maisha yake na mkewe si vizuri kabisa watoto wamuache tu mzee wao wanafikiria mali tu hao watoto hao wanataka wapate ushauri tu kwa masheikh sio serikali ati bi castico anahusu nini yeye kuhusu familia mimi nawashauri wakamuombe radhi mzee wao waangalie maisha mengine na waume zao huyo mjukuu hayamuhusu kabisa kuingilia mambo ya wazee wake
Ivi nyinyi mnao laumu watoto .... kma nyinyi mna baba na upande wa pili mna mama wa kambo .. alafu mama enu mzazi anaishi kwenye hali yakawaida sana ambayo aiendani na alivo baba enu na nyinyi mnasoma ila shule zakawaida tu .. alafu upande wa 2 mnakuja kuona maisha ya mama enu wa kambo nimakubwa zaidi na istoshe anawatoto anawalea ndani alafu wote wanasoma mashule ya feza na istoshe wengine amewanunulia mpaka gari za kutembelea .. je mtajiskiaje .mtamuonea huruma mama enu au mtamuona baba enu mbaya au mama enu wakambo ayuko sawa .. jibu mtalo pata ndio mtajijua kua nyinyi ni washenzi wakubwa ... mzee ananafasi kubwa kwenye malezi nandomana tukaambiwa pepo ya dunia ni wazee .. na usipo mtekelezea mzee mema na kurizika basi ww una manusra . mzee akataliki ata awe mgonjwa mzima uyo ni mzee wao .. fazila za wazee ni kubwa kuliko kitu chochote duniani .. usipo pata razi za wazee basi ww nimja ulie na hasara kwa mola wako na istoshe mzee anapofika uzeeni mnatakiwa mumpe mapenzi mazuri ili akiondoka awe mwenye kuondoka na kurizika .. hara kubwa kwa mola wako ni kuwasahau wazee kwa mali au kwa kujiona ni mwenye mafanikio . nawa saport watoto .. tafuteni fazila za mwenyez mungu na tafuteni razi za wazee uyo ni baba . enu awa wanaosema pengine ni watoto wa nje na wala awajasoma dini .. inshallah (mungu) akupeni wepesi
hao watoto wanayoyasema ni kweli mtu hawezi kukataa watoto wake wote.huyu bwana kamkataa mpaka mwanawe wa mwisho alikua ana miezi sita.loo huyu bibi Mola amjaalie amdidimize katka ardhi yuhai .bibi katia fitna kwa baba na watoto wake.subhananallah anamtafutiia moto wa jahannam kwa Allah(sw)
Daah ukwel hilo tatizo.kama halijakukuta wala ujui uzito wake lkn ukwel mama wakambo hufanya baba kuwakana watoto wake.Kwan hata kwenye familia yetu limetokea na mpk baba amefirisika xx iv ndiyo kidogo tunapata mapenz yke.muomben xana mungu na inshaallah atawaonyesha mwang
Nimefatilia mazungumzo ya pande zote 2 ila kiuhalisia hawa watoto wanaongea kichuki moyoni nawapo kitamaa zaid tofauti na wanavyojieleza kua wanataka radhi, watu waongo maelezo yao tu hua yanajionesha, ila hapa pana mtihani mkubwa sana na yote hayo ni Mali tu, kwanza sio vizuri kumsharau mwenzio kisa hajazaa na kusema hajawaletea faida yoyete kwakua hakuzaa nae na mnataka mumuachanishe kwa mkewe mnapotea nyie watu, na jee mtakapo mchukua mtalala nae kitanda kimoja kama alivyokua akilala na mkewe, jee nanyie mpo tayari kuachanishwa na waume zenu
asha ali Mtihani maana dah hata aibu hawana watoto wakike, yaani nampa pole aliowa hapo maana naona wamekarambuka sihaba, wadada wajeuri balaa maana hata hivyo wanavyomjibu muadiahi aa habari wanajibu kijeuri tupu
Yote Mali ndio hasira zimewajaa,wallah baba yenu mtamuua mapema cz yeye mwenyewe anaumwa badala ya kumjali nyinyi tayari mwapiga hesabu ya Mali.ikiwa mushaolewa tulieni na waume zenu lakini huwo ugomvi sio mzuri cz kuzaa ni majaaliwa mambo Mengine ni kufru hiyo ni kazi ya mungu.
Ukweli wanaujua mwenyewe lkn hawa watt hawafai wana midomo subhanallah...ndo maana tukaambiwa uoweni katk familia njema duh kuwa na wifi na mashemegi km hawa utakiona cha moto...haiwezekani miaka 32 hawakutaka kumtafuta baba yao eti wamtafute saivi.... ??na kwa nini wawe wanatumia nguvu km kumvunjia nyumba mamayao wa kambo??au kumfata kibabe babe??wanahisi hio ndo suluhu??mbona wanatumilia vitisho??loh jamani msije kufanya makosa hii si familia ya kuowa wala kuolewa dah mtihani.... wanasema hawataki mali tupo hapa hapa mzee akiondoka ndo yataisha kwao??hao wanataka mali tu ila km mali na nyinyi watt wake basi haki yenu haipotei na mkewe pia anayo haki ya kumrithi mume wake ilo mufahamu hawa watt sura zao na midomo yao ni watu khatari sana Allah Awasaidie awafanyie wepesi ktk mtihani huu .
Shamsa Haji Badala ya kuwaombea dua mtihani wao utatuke, wanacomments upuuzi kwa kitu ata wasichokijua undani wake. Musivamie na kuanza kujudge watu kwa kitu ambacho hukijui, hayo ni mambo ya family kubwa ni Dua tu uwaombee, sio kuanza kutoa maneno ya ajabu kwa unachokiona. Hawa wanaocomment utashangaa wao wenyewe balaa tupu kwenye familia zao. Allah awafanyie wepesi mtihan wao utatuke pamoja nasie sote yasitukute, ila watu waache ujinga wa kucomments na kulaumu watoto kwa kitu usichokijua. Mtu anafikia kusema hao watoto macho yao tu makavu kwa roho mbaya, wewe je macho yako yapo vp? umeona wapi mtu akawa judged kutokana na macho yake? Musivamie family za watu, shughulikie yenu. ukitaka kucomment kuwa neutral, usiegemee popote mana ukwel huujui, acheni upuuzi. Duah muhimu.
Mm nawakubali watoto kwa malalamiko yao Itakuwaje baba awakatae wanae wite saba? Isitoshe mke wapili hajamazalia mtyhata mmoja? Kama.yeye anahaki kwa mume wake na watoto wanahaki kwa babayao Kilichobaki ni kupatana tu kila mmoja amlee mzee kama inavotakiwa Na nilazima baba awakubali wanae itakuwaje awakatae? Ukiangalia nikweli ushirikina umepita Mungu amlani kila mshirikina Looh! Hatarii Duniya mapito
kumtumza sio kuishi nae,mm sijui nawaskiliza vibaya,ila naona wameona mbali,mama wa kambo anawasukuma watoto mbali na babayao kwa udi na uvumba ili watu waupande wake wamjali mzee na mzee aone wanae hawamfai kabisa na kwakuwa ni mzee na anamali awape wao hizo mali na wanae awanyime ndio maana....inakuwaje babangu aume hapa dar na mm nina nguvu nipo dar nisiambiwe aitwe aso mwanae atoke pemba kuja kumuhudumia babangu...hapo sioni swala la utajiri wala umaskini...baba ni baba kumng'ang'ania ni upendo bwana
aiseee mnajitahidi kugawa laana hata kwa mambo mnayo yaona tu kwenye pic so sawa kiufupi tuwe wapenzi watazamaji tu na sio kukosoa maan hayupo anaejua undani wa haya mambo yao
Hudhaif Swamir comment yenye akili ni ya kwako tu, hongera, at least umeonesha kuwa wapo watu wanajielewa kama wewe. Hawa wengine ni upuuzi mtupu, utamhukumu vipi mtu kwa kitu usichokijua? ugomvi wa family nyengine wanavamia wao na kutoa hukumu wakati ukwel hawajui uko wapi. kubwa ni kuwaombea Dua huo mtihan uwaondokee. In Shaa Allah Mungu atawasaidia.
Sipendi ku judge mambo ya familia. Lakn tangu Utube iwe ndio watu wamegeuza sehem ya kuleta matatizo yao... Hawa watoto wanaonesha hawako sawa. Kwanza utaanzaje kumpiga kofi mzee aliyekuzidi kiumr hata km hajakuzaa? Pili hata km mshirikina, ww muamini Mungu. Kukosa imani kwa Allah ndio kunapelekea kushikilia mshirikina we mshirikina. Km mngemuamini Allah mkafanya yanayompendezesha zaid ya kushuku na dhana mngefika mbali na pazuri. Tatu ati mnasema hajaleta faida yeyote, kwakua hajazaa ndio hakuleta faida kwenu? Hv hamjui faida yeyote inayopatikana kwenye ndoa zaid ya kuzaa? Halafu zamani hamkueza kugombea mali mana alikua kijana mlimuogopa. Sasa mnamchezea. Muogopeni Allah.
Hayo ni mambo ya kifamilia kaeni chini muyaongee , ila kwa kweli ni mtihani, maana watoto wana haki na mke ana hali, ila inaonekana hakuna maelewano baina ya watoto na mama yao wa kambo,mama ana hofu ya Mali ndio maana anajaribu kujijenga kimazingira hata mzee akifariki afaidike na jamaa zake ndio maana anajaribu kuita jamaa zake tu ndio watu kwake na wang'are kwa mara, na watoto wameshtuka ndo maana wanajaribu kutafuta nguvu za baba yao zisipotee kwa watu Wengine huku wakishuhudia, kimsingi mambo haya ni magumu maana hata ushikirikina hutumiwa wakati mwengine, ushauri wangu rudini kwa kwa Allah ili mpate haki itakayo waongoza juu jambo lete na kila mtu awe tayar kwa nafsi yake juu suluhu itakayo patikana ktk haki ambayo Allah ameuweka, poleni sana wanafamilia hiyo maana sio kwenu tu hata familia nyengine pia upo mtihani kama wenu na mengineyo maana sisi waja mitihani ndio yetu, inshaallah Allah atawapa suluhu ilio nzuri katika mtihani wenu,
achen unafiki muachen mzee na mkewe dunia mapito mali hamjaitafuta nyinyi vp leo iwakesheshe akija kwenu mulala nae ama afunge ndoa na nyiny wailam ila sio waumin muongopen allah muachen aishi atakavo mzee
Sasa ndugu zangu ktk Imani mzee mbgemuacha tu aendelee na maisha yake na mke wake yule simzee Sana wakuanza kulelewa na nyie kaeni na waume zenu fanyeni yenu ipo cku mzee atawatafuta🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ni rahisi sana kujudge shida ikiwa haijakufika,na omba Mungu isikufike shida kama hii,nasi tuna mtihani unafanana sana na huo wa hao wenzetu,si rahisi.
Allah ndie mjuzi zaidi.
Limbwataaa oyeeeee👏👏
🤣🤣
Uroho wa hela
Munajifanya mucyamung wakati mashidatu
Dah ama kwa hakika mke, Watoto na mali ndo mitihani kwa waja Mungu atuhifadhi na atuepushe na fitna hii
Haya ndio matokeo ya mabadiliko ya kiuchumi. Jamii hubadilika na kupotoka kwa jili ya kitu. Mzee wangu masikini yupo retired na stepmother but im happy with him. Im glad na share nae what i have. Vijana jifunzeni kutafuta vya kwenu badala ya kutegemea cha mzee.
Maalim mombo
yap
and tha’t so good maa shaa Allah...
Allah akuzidishieni maelewano na masikilizano.
You r right watoto tujifunze kutafuta vyetu!
Kubwa Lijalo Ali Ameen InshaaAllah kwa wote na Allah atu na nyoyo za kurizika kadir ya uwezo wetu bila kinyongo
Maalim mombo
aameen yaa Rabb kwa sote
coz pia mbali na imani juu ya Allah twatakiwa tuwe na nyoyo za kuridhika, huo ni utajiri mkubwa...
Maalim mombo
naam kuwa na moyo wa kuridhika ni utajiri mkubwa
mmh...mtihani kuweni na subra M/Mungu atawasaidia
subhana llah laillah hailallah... pigeni Astaghfirullah na fanyeni istighfar msichoke muomba Allah....inshaAllah mungu aiyongozee familia hii 👏👏👏👏👏
farida bakari comment pekee yenye akili ni yako, In Shaa Allah atawaongoza na kuwaondoshea mtihan wao na kutuepusha nasie kutukuta.
Abdzam RKO shukran ni wajib ...
SubhanaAllah, wake wengine ndo kazi yao kuwabaidisha watoto na wazee wao, sijui wanapata faida gani!
Nikweli kabisa zinakuwa roho mbaya zimewazidi tena sana
Wewe dada mungu ana kuona nyoooo una mtaka baba yako
Umeonahe
Huyo baba kalishwa limbwata mna kazi kubwa
Ao Watt awataki Mali wanamtaka baba yao kweli wenyewe ao Watt wanapesa zao London na kuja kusaidia mzee wao sababu ni mgonjwa na kashakuwa mtu mzm poleni sana marafiki zangu 1 shareefa zuwena zuhura n.k mungu atawasimamia inshaaAllah hy nayo yatapita
Hao watoto urithi ni haki Yao,,,
polen sana ndugu zangu shikeni njia ya kwenu, mzee hataki kakukataeni, hadhara nnas achaneni nae jamii inzima inashuhudia hayo ila mkiwa na.subra mtaona mengi wakati ukifika. kwa sasa tumieni mda kusimama na maisha yenu tu.
Wanafiki hao watoto wanamidomo Sana
Mh pole hio stori inafanana na yngu ila mm alikuwa mume wangu na mkwe wa kupanga, enyi wanaadamu itakillah, inna duniya mataghu lghururi
Watoto hamuwezi mtenganisha babayenu hata awehanajino hata moja mdomoni anahaki yakukaa na mkewe uzee na magonjwa nikawaida lakini roho bado inapenda na kama haki zababayenu mnataka hiyo lazima kila mtu atapata chake lakini hamwez kumtenganisha labda kwa mapenzi ya mungu na haki kwa babayenu hiyo ni lazima mupate kuweni wapole na kumwombea babayenu.
Allah azilinde family ztu na mitihan kama iyo
Ahahaha Duuuuu utamhudumiaje siaseme mwenyewe baba hao wanataka milathi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
wako vizuri tu hao watoto ni baba yao wana haki yao
Kabisaaaa!!!!
Uyo mama sio mzr kwann amwachanze na watoto wake nawakat hata ajazaa nae mke gan anaroho mbaya sana
Mtihan Allah Awape wepes wapate suluhu
Yaani sura zao tuu znaonyesha chuki na choyo cha nafc zmewajaa allah awaongoze
Mtihani Mungu afanye wepesi ktk hili.
Jamani babu katekwa , tunawaombea mtampata baba yenu, ila mwendeni Pole Pole na mumpende Sana mke wake na kumheshimu Ndio mtampata baba! Mungu awasaidie muelewane Kama familia na mpate amani wote Kama familia! Pia mtegemeeni Sana Mungu
Safi sana wadada nimewapenda buru mpambanieni
Mkate wa Slesi kama Mkono wangu boflo anpelekaaa.....Ushanifahamu bangiii mbaya Kijanaaaa
Poleni sana wana familia unajuwa dunia kuwa chochote ni mtihani na mali ni mtihani kuwa fukara pia wa na mke mtihani usiwe na mke mtihani kuwa watoto mtihani usiwe na watoto mtihani yaani hii dunia imeumbwa kwa mtihani tu poa sana wana familia wanajamii na kwa ushauri wangu tuwaombeeni dua Allah atawapa wepesi inshaallah ahsant
Abubakar Omari comment yako MashaAllah ni nzuri kuliko zote. Kubwa ni kuwaombea Duah mtihani uwaondokee na sisi atuepushie na sio kama hizi comment nyengine za kipuuzi kuhukumu watu kwa kitu cha family ambacho hujui ukwel uko wap.
Dully Saed ahsant sana ujitahidi kwa kuwaombea dua shukran
Poleni watoto
Huyo mzee ikiwa kweli anawakataa watoto wake ataenda kumjibu Mungu kesho Akhera siku ya hukmu Mungu yupo
Kwanza wanaonekana watoto nao washirikina maana uwezi kumjua mchawi ikiwa ww sio mchawi pili wanaladhimisha wakamuhudumie je akitaka tendo la ndoa wata muhudumia au awana lolote roho mbaya zinawasumbua maana ata ukisikiliza maelezi yao eti ooo uyo mama anakaa na watu wasio tuusu kwaiyo nyie amuwezi kusaidia wengine au wallah mali na watoto ni mtihani katika maisha ya dunia
Fatwima Makungu kama baba yao hajiwezi je wewe ushika tendo la ndoa tuuuu
fatwima Makungu Badala ya kuwaombea dua mtihani wao utatuke, wanacomments upuuzi kwa kitu ata wasichokijua undani wake. Musivamie na kuanza kujudge watu kwa kitu ambacho hukijui, hayo ni mambo ya family kubwa ni Dua tu uwaombee, sio kuanza kutoa maneno ya ajabu kwa unachokiona. Hawa wanaocomment utashangaa wao wenyewe balaa tupu kwenye familia zao. Allah awafanyie wepesi mtihan wao utatuke pamoja nasie sote yasitukute, ila watu waache ujinga wa kucomments na kulaumu watoto kwa kitu usichokijua. Mtu anafikia kusema hao watoto macho yao tu makavu kwa roho mbaya, wewe je macho yako yapo vp? umeona wapi mtu akawa judged kutokana na macho yake? Musivamie family za watu, shughulikie yenu. ukitaka kucomment kuwa neutral, usiegemee popote mana ukwel huujui, acheni upuuzi. Duah muhimu.
Jamani hawa ni washari tuu muacheni mzee wenu aishi na mkewe kwa amani nyinyi ni washari mpaka sura zenu zinaonekana looo
Shaikha Mct kweli ukiwaona hawa watoto washari kweli
Shaikha Mct hatar wallah😆😆
Raya Rashid yaani midomo juu sura zimewakomaa kwa shari loo wakalale nae basi hy baba yao kama watawezaa mama wa watu mpolee wala hana habari wenyewe midomo juu kama makopoo loo
wachawi nyie
Rehema Safari mchawi mwenyewe mbwa wewee
Nimeawapenda sana hawa watoto, wanampenda baba yao. Hawataki kuona baba yao anapotea!
Wanampenda wamekaa miaka yote hiyo 30 bila kuwa naye karibu
Wanawake wa zanzibar nawapenda mnavaa vizuri sana hongereni warembo
Haswaaaa!!! na kiukweli haswaaaa mwanamke akivaa hivyo anapendeza!!!
jamn mm.nimewah.kuona hayo mambo huyo mzee.atakua.karogwa na.huyo.mkewe.akatae wanawe na.wanawe.ndo.wanahangaika.kumtoa gizani.baba yao.jmn.dah😭
Kwakweli hili nijambo zito na baba zetu kweli wakiowa mke mwengine hubadilika kweli mm nishashuhudia kwenye familia yetu siwalaumu watoto mambo yote yapo nimtihan kwakweli mtihan mungu awaongoze
Hakubadilika chochote mzee angalia video yake mzee anavyosema yuko na akili timamu ni kuhusu mali tu na hawampendi mama wa kambo ndio chanzo
Adam Soud unajua yule mzee zile kauli zake zakusema wao waanfalie mali za waume zao na zake ataangalia yy na mkewe ndizo zinazoleta ftina na.watoto ndo.washatoa.macho kwenye vijumba vile kwaiyo ni mtihani.apo
Jamani muogopeni mungu mari zipo tu
P
Sio zito ni jepesi ukiwa huyu mama ataamua kukaa na watoto vizuri
polen sana Dada zangu dah mtihan kueni na subra
baba enu ana uhuru na maisha yake muacheni msimzonge mzee hata kama anamjali zaidi mkewe na nyinyi mna waume zenu muende kwa waume zenu
Hta mm nimekataliwa nimeambiwa na baba yngu mzazi ananambia kua si mwanawe kwa hyo wabaki kma mm nimewapotezea nafait na maisha yngu
Nezi Ali hayo maneno hakika mie pia mamawakambo nanifitinisha na baba yangu na kunokataa na mwanzo alokwenda rphoyake kaona nitapewa mali lakili nimempotezea na leo alhamdulilah nimemuachia mungu
Allah awawezeshe mutatue kwa salama na amani matatizo yenu.
Dini ya kiislam haitufunzi hivyo
mlakapolo mzenji09
swadakta 👍🏾
Ndugu zng na dada zng acheni kumdhania mtu km kamfanyia ushirikina baba enu mutafka munapotaka na mutaelewena vizuri tu ila mukiwa munaekeana dhana ya uchawi mutakosa mapenzi kwa pande mbili zote kwa baba na mam kaeni chini na usameheane muishi vizuri na muelewane vizuri.poleni sana.
Mii Sina Hamu maana Yalishanikuta niliamua kuendelea na maisha yangu
Jamani tumuogope mungu mali ni mambo ya dunia tu tujengeni akhera yetu huko tunako enda
Baba ni baba msichoke kumuombea dua subra na hekma ni jambo zuri kwa waislam.
Kwa kweli watoto wana makosa makubwa mzee ana mke wake ni vizuri kujuwa ana mali gani kwa ubinaadamu leo yuko hai kesho kaondoka lakini kumuingilia katika maisha yake na mkewe si vizuri kabisa watoto wamuache tu mzee wao wanafikiria mali tu hao watoto hao wanataka wapate ushauri tu kwa masheikh sio serikali ati bi castico anahusu nini yeye kuhusu familia mimi nawashauri wakamuombe radhi mzee wao waangalie maisha mengine na waume zao huyo mjukuu hayamuhusu kabisa kuingilia mambo ya wazee wake
Habari zenu nyinyi sio sahihi k TV on line
hii ni Kali hadi mjukuu familia hii imelaniwa makabila mengine yakoje mnaingilia ndoa ya baba na mama
Hayajakukuta usiseme wamelaaniwa unauhakika wameenda uchii?
Nikweli hayaja mkuta ndomana
Jamani ayo yapo mm ni miongoni mwa wenye kisa kma hicho Allah atujaalie kila lenye heri ila ao wanawake kma hao wapooo
Poleni sana M/mungu atakupeni muwafaka nampa hongera sana huyo mjuku kwaalivyo ongea uwazi
Nyinyi ni wanafiki.hamuna hata hofu.yakumcha mwenyezi mungu.
Mwanamke aliye toroka dodoma
Hawa wana hijabu ww na manywele yako ya kubandika hawa wako rati lazima watoto wapate ujira wa wazee wao sawa?
Ivi nyinyi mnao laumu watoto .... kma nyinyi mna baba na upande wa pili mna mama wa kambo .. alafu mama enu mzazi anaishi kwenye hali yakawaida sana ambayo aiendani na alivo baba enu na nyinyi mnasoma ila shule zakawaida tu .. alafu upande wa 2 mnakuja kuona maisha ya mama enu wa kambo nimakubwa zaidi na istoshe anawatoto anawalea ndani alafu wote wanasoma mashule ya feza na istoshe wengine amewanunulia mpaka gari za kutembelea .. je mtajiskiaje .mtamuonea huruma mama enu au mtamuona baba enu mbaya au mama enu wakambo ayuko sawa .. jibu mtalo pata ndio mtajijua kua nyinyi ni washenzi wakubwa ... mzee ananafasi kubwa kwenye malezi nandomana tukaambiwa pepo ya dunia ni wazee .. na usipo mtekelezea mzee mema na kurizika basi ww una manusra . mzee akataliki ata awe mgonjwa mzima uyo ni mzee wao .. fazila za wazee ni kubwa kuliko kitu chochote duniani .. usipo pata razi za wazee basi ww nimja ulie na hasara kwa mola wako na istoshe mzee anapofika uzeeni mnatakiwa mumpe mapenzi mazuri ili akiondoka awe mwenye kuondoka na kurizika .. hara kubwa kwa mola wako ni kuwasahau wazee kwa mali au kwa kujiona ni mwenye mafanikio . nawa saport watoto .. tafuteni fazila za mwenyez mungu na tafuteni razi za wazee uyo ni baba . enu awa wanaosema pengine ni watoto wa nje na wala awajasoma dini .. inshallah (mungu) akupeni wepesi
Kumtengaa baba na mkewake niharamu, kama kumtunzaa unaweza kumtunziyaa akiwa kwa mkee wake, nyiye mki tenganishwa na waume zenu mtafurahi
Wret Wrty upo sawa kwasababu hyo mkewe hajashindwa kumshughulia sasa wao wataka nini
wrt. sasa. ulisikiza stoli. vizuli wakienda kukaa. kwabb yao. mm. anawakimbia. anawachia. nyumba. as. wafanyeje. jamani. wapemi.
mh
Poleni sana jmn mpk nimelia yaani hayo mambo yapo mumenigusa mnooo jmn na sisi tuanayo hayo jmn
Mzee anahitaji nafasi
Ktv online nawaomba mubadilishe muundo wa icho kipaza sauti chenu
Uongo ww dada mzee anaongea vizuri mnaonekana tamaa Mnatia aibu pambaneni na Hali zenu huko kwa Waume zetu
Kuolewa ni sheria kuzaa ni majaaliwa
Kabisa!!
Mjukuu nenda kwa Babu upande wa baba.mZee uza kilakitu na upange ..kula pesa yako hao mjukuu na mama watakuuwa.UZA mali zote mZee
Hahaha ana kila dizan ya wajuu kuu zake dah apo kuna kaz kweli kweli
Ila Zanzibar mnaongea nyinyi mbk bas m napendag kuwasikilza
Rosemary Benjamin hhhhh asant
Hahahaaaaa
du noma sana
hao watoto wanayoyasema ni kweli mtu hawezi kukataa watoto wake wote.huyu bwana kamkataa mpaka mwanawe wa mwisho alikua ana miezi sita.loo huyu bibi Mola amjaalie amdidimize katka ardhi yuhai .bibi katia fitna kwa baba na watoto wake.subhananallah anamtafutiia moto wa jahannam kwa Allah(sw)
Mjukuu nenda kwa babu yako mzaaa baba yako
Daah ukwel hilo tatizo.kama halijakukuta wala ujui uzito wake lkn ukwel mama wakambo hufanya baba kuwakana watoto wake.Kwan hata kwenye familia yetu limetokea na mpk baba amefirisika xx iv ndiyo kidogo tunapata mapenz yke.muomben xana mungu na inshaallah atawaonyesha mwang
Dah kweli Allah Hasemi uongo (Almaaluu walbanuuu ziiinatufilhayati ddunyaa ) Mali na watoto huu nimtihani ktk dunia
Nimefatilia mazungumzo ya pande zote 2 ila kiuhalisia hawa watoto wanaongea kichuki moyoni nawapo kitamaa zaid tofauti na wanavyojieleza kua wanataka radhi, watu waongo maelezo yao tu hua yanajionesha, ila hapa pana mtihani mkubwa sana na yote hayo ni Mali tu, kwanza sio vizuri kumsharau mwenzio kisa hajazaa na kusema hajawaletea faida yoyete kwakua hakuzaa nae na mnataka mumuachanishe kwa mkewe mnapotea nyie watu, na jee mtakapo mchukua mtalala nae kitanda kimoja kama alivyokua akilala na mkewe, jee nanyie mpo tayari kuachanishwa na waume zenu
HIDAYA MUSSA sidhani kama kuna mwenye mume hapo na kama yupo ana mume jina tu si mume kweli.
asha ali Mtihani maana dah hata aibu hawana watoto wakike, yaani nampa pole aliowa hapo maana naona wamekarambuka sihaba, wadada wajeuri balaa maana hata hivyo wanavyomjibu muadiahi aa habari wanajibu kijeuri tupu
Radhi haitafutwi kwa nguvu mwacheni aishi na mkewe,na Allahu ndo atahukumu
Ila nmeipenda hadi rahaaa
Yote Mali ndio hasira zimewajaa,wallah baba yenu mtamuua mapema cz yeye mwenyewe anaumwa badala ya kumjali nyinyi tayari mwapiga hesabu ya Mali.ikiwa mushaolewa tulieni na waume zenu lakini huwo ugomvi sio mzuri cz kuzaa ni majaaliwa mambo Mengine ni kufru hiyo ni kazi ya mungu.
Jamani nenda Asley mkamalize tu ili nyimbo itambe vizuru
Ukweli wanaujua mwenyewe lkn hawa watt hawafai wana midomo subhanallah...ndo maana tukaambiwa uoweni katk familia njema duh kuwa na wifi na mashemegi km hawa utakiona cha moto...haiwezekani miaka 32 hawakutaka kumtafuta baba yao eti wamtafute saivi.... ??na kwa nini wawe wanatumia nguvu km kumvunjia nyumba mamayao wa kambo??au kumfata kibabe babe??wanahisi hio ndo suluhu??mbona wanatumilia vitisho??loh jamani msije kufanya makosa hii si familia ya kuowa wala kuolewa dah mtihani.... wanasema hawataki mali tupo hapa hapa mzee akiondoka ndo yataisha kwao??hao wanataka mali tu ila km mali na nyinyi watt wake basi haki yenu haipotei na mkewe pia anayo haki ya kumrithi mume wake ilo mufahamu hawa watt sura zao na midomo yao ni watu khatari sana Allah Awasaidie awafanyie wepesi ktk mtihani huu .
Shamsa Haji Badala ya kuwaombea dua mtihani wao utatuke, wanacomments upuuzi kwa kitu ata wasichokijua undani wake. Musivamie na kuanza kujudge watu kwa kitu ambacho hukijui, hayo ni mambo ya family kubwa ni Dua tu uwaombee, sio kuanza kutoa maneno ya ajabu kwa unachokiona. Hawa wanaocomment utashangaa wao wenyewe balaa tupu kwenye familia zao. Allah awafanyie wepesi mtihan wao utatuke pamoja nasie sote yasitukute, ila watu waache ujinga wa kucomments na kulaumu watoto kwa kitu usichokijua. Mtu anafikia kusema hao watoto macho yao tu makavu kwa roho mbaya, wewe je macho yako yapo vp? umeona wapi mtu akawa judged kutokana na macho yake? Musivamie family za watu, shughulikie yenu. ukitaka kucomment kuwa neutral, usiegemee popote mana ukwel huujui, acheni upuuzi. Duah muhimu.
Mm nawakubali watoto kwa malalamiko yao
Itakuwaje baba awakatae wanae wite saba?
Isitoshe mke wapili hajamazalia mtyhata mmoja?
Kama.yeye anahaki kwa mume wake na watoto wanahaki kwa babayao
Kilichobaki ni kupatana tu kila mmoja amlee mzee kama inavotakiwa
Na nilazima baba awakubali wanae itakuwaje awakatae?
Ukiangalia nikweli ushirikina umepita
Mungu amlani kila mshirikina
Looh!
Hatarii
Duniya mapito
Mwachen baba yenu na mkewe nyie ni watu wazima hamuogopi mwenyenzi mungu hamjui yeye anapata raha gani kwa huyo baba yenu
Angekuwa huyu baba masiki wasingemgombea huyu. Vipi hawa watoto hawana familia zao waume na wanawake? Wanangangania kuishi na bana yao.
kumtumza sio kuishi nae,mm sijui nawaskiliza vibaya,ila naona wameona mbali,mama wa kambo anawasukuma watoto mbali na babayao kwa udi na uvumba ili watu waupande wake wamjali mzee na mzee aone wanae hawamfai kabisa na kwakuwa ni mzee na anamali awape wao hizo mali na wanae awanyime ndio maana....inakuwaje babangu aume hapa dar na mm nina nguvu nipo dar nisiambiwe aitwe aso mwanae atoke pemba kuja kumuhudumia babangu...hapo sioni swala la utajiri wala umaskini...baba ni baba kumng'ang'ania ni upendo bwana
@@alfredinafelix836
Ww ndo umeongea wanoropokwa hawajawakuta haiwezekani mzee akatae watt bhana....Kuna ki2.
du;! mahakimu wanapata shida sana
aiseee mnajitahidi kugawa laana hata kwa mambo mnayo yaona tu kwenye pic so sawa kiufupi tuwe wapenzi watazamaji tu na sio kukosoa maan hayupo anaejua undani wa haya mambo yao
Hudhaif Swamir comment yenye akili ni ya kwako tu, hongera, at least umeonesha kuwa wapo watu wanajielewa kama wewe. Hawa wengine ni upuuzi mtupu, utamhukumu vipi mtu kwa kitu usichokijua? ugomvi wa family nyengine wanavamia wao na kutoa hukumu wakati ukwel hawajui uko wapi. kubwa ni kuwaombea Dua huo mtihan uwaondokee. In Shaa Allah Mungu atawasaidia.
Sipendi ku judge mambo ya familia. Lakn tangu Utube iwe ndio watu wamegeuza sehem ya kuleta matatizo yao...
Hawa watoto wanaonesha hawako sawa. Kwanza utaanzaje kumpiga kofi mzee aliyekuzidi kiumr hata km hajakuzaa? Pili hata km mshirikina, ww muamini Mungu. Kukosa imani kwa Allah ndio kunapelekea kushikilia mshirikina we mshirikina. Km mngemuamini Allah mkafanya yanayompendezesha zaid ya kushuku na dhana mngefika mbali na pazuri. Tatu ati mnasema hajaleta faida yeyote, kwakua hajazaa ndio hakuleta faida kwenu? Hv hamjui faida yeyote inayopatikana kwenye ndoa zaid ya kuzaa? Halafu zamani hamkueza kugombea mali mana alikua kijana mlimuogopa. Sasa mnamchezea. Muogopeni Allah.
Ujinga huo matamshi yako siyo yamsingi Wa imani na dini, ww nikatika walafi. Na wabinafsi ndio ukaamua kutamka matamshi hayo
mtihani
Roho mbayaaaaa
Nani mkweli?😀lk uyo Bibi anaonekane ndo matatizo Kwa upande wangu
MWANAKHAMIS HAJI wacheni ujinga nyinyi
SawA
huyu bibi mshari kweli
SubhanAllah
Kwann baazi ya watu wanacoment matusi hapa bila ya kujua undani zaidi kuhusu mada hii
Nyie watoto noma lkn jitahidini mupambane uyo mama hasidi
Je Kama angekuwa mama Yenu mzazi na baba yenu mzazi mngeweka mpasuko uhuu au kwa kuwa mama Akambo???
Jamani muogopeni Allah
Uyo mama anataka mali na hao watoto wa kupanga wanaojitokeza saiv anataka warithi
Huyo baba anamatatizo ya limbwata .
Umeonaee eeeh
Poleeni
dah vituko km hvo vipo hasaaa yaan nawaunga mkono aoo watoto wenzangu
Daaahh dunia imeisha
Wakamatwe mume anamtaka mkewe mwacheni kama karongwa namnaamini kunauchawi nanyie karongeni mzee wenu aje kwenu bila kumuteka
Zaituniyusuph Juma
🤣 huh! tit for tat eh?!
HIIIII VIDEO IONDOSHE ABAEZUNGUZWA HAPO ASGAFARIKIIII
vzr dad
Bana wako vizuri na wanaeleweka nini wanaongea,ni haki yao kumshuhulikia mzee wao na km ni miye lazima niuwe mtu dadadeki
Abdullwahid Msellem kweli Kabisa
Hayo ni mambo ya kifamilia kaeni chini muyaongee , ila kwa kweli ni mtihani, maana watoto wana haki na mke ana hali, ila inaonekana hakuna maelewano baina ya watoto na mama yao wa kambo,mama ana hofu ya Mali ndio maana anajaribu kujijenga kimazingira hata mzee akifariki afaidike na jamaa zake ndio maana anajaribu kuita jamaa zake tu ndio watu kwake na wang'are kwa mara, na watoto wameshtuka ndo maana wanajaribu kutafuta nguvu za baba yao zisipotee kwa watu Wengine huku wakishuhudia, kimsingi mambo haya ni magumu maana hata ushikirikina hutumiwa wakati mwengine, ushauri wangu rudini kwa kwa Allah ili mpate haki itakayo waongoza juu jambo lete na kila mtu awe tayar kwa nafsi yake juu suluhu itakayo patikana ktk haki ambayo Allah ameuweka, poleni sana wanafamilia hiyo maana sio kwenu tu hata familia nyengine pia upo mtihani kama wenu na mengineyo maana sisi waja mitihani ndio yetu, inshaallah Allah atawapa suluhu ilio nzuri katika mtihani wenu,
walai inakua sana baba hawatak watoto poleni sana Luna dada
Dawa
😂😂😂😂😂 huyo mjukuu hatareee
Jmn! Makubwa haya Mungu aliingilie Kati familia hii! Aman iwepo
Hitakuwa.huyu.mzee.anaanafuu.ya.maisha.ukiona.mtu.anagombewa.ujue.ana.pesa.wewe.wataka.ukae.na.babayako.waweza.kumpa.unyumba.acheni.ujinga.simuende.makwenu.acheni.roho.mbaya.kuna.watu.chungumzima.hawapo.sawa.mbona.hawachukuliwi.wakawekwa.huko
Angeekuwaaa hanahela bas wasingemchukua
SubhanaAllah
Mama achaa fitina malisikituu mume wakowamwanzo siamekuachia malii yawatoto 8?iyondio maliyakoo upoo kuwanahayaa
Huyo Baba ni bora alelewe na watoto wake huyo mama anaonekana mshirikina kweli kwanini hataki watoto wasifike kumtazama baba yao huyo Mama hapai

Poleni mtihani