Ni luxury kweeli Halaf simaa siyo tako la nyani bhana ni KALIO LA NYANI 😁😁🤗 JAPO WENGI WAO HUTAMKA TK L NYANI MMOMONYOKO WA Maadili kwa sisi wazazi na walezi NAWE NI KIOO CHA JAMII😊
Yahya Sinwar kafa ndugu yangu. Achana na habari za magari tujadili mustakabali wa watu wa Gaza. Tuokoe maisha ya watu. Bora tu Hamas wawe na viongozi wa siri. Wakitangazwa tu kinachofuata ni kifo.
❤❤ unaweza broo.
Doto magari na issa tambuu kweli wanajua maana ya cc,big up smaa
NASHUKURU SANA KU REPLAY IN ADVANCE WAY KUHUSU KUTELEZA.THATS GOOD.NIPO NAZIDI KUFATILIA WHAT YOU SHOW US NI INTEREST.LETS SEE MORE CARS COMING
Dj sma tunakuomba rudi kwenye fuse 🙏🙏🙏🙏
Ni luxury kweeli
Halaf simaa siyo tako la nyani bhana ni KALIO LA NYANI 😁😁🤗 JAPO WENGI WAO HUTAMKA TK L NYANI MMOMONYOKO WA Maadili kwa sisi wazazi na walezi NAWE NI KIOO CHA JAMII😊
Nimepokea
Yahya Sinwar kafa ndugu yangu. Achana na habari za magari tujadili mustakabali wa watu wa Gaza. Tuokoe maisha ya watu. Bora tu Hamas wawe na viongozi wa siri. Wakitangazwa tu kinachofuata ni kifo.
Uko sawa
Nenda kapigane basi sio kuandika coment
Kila kitu na wakati wake na mahala pake budaa
😂😂😂 Kwaiyo tukijadili ndo watu awatakufa kifo ata Tufanye nn akikwepeki ayo maisha Yao atuwezi bdilisha😂chochote Gaza uku
tulia wewe...bado hujasema
Kwakweli mimi sivutiwi na dj sma akielezea magari bora aeleze vitu vya dunia
Siyo umekosea hujui
Kutoka Nairobi Kenya tuletee ranger rover
Anakusalimia sinuwal uko gaza 😊
Hiii gari naipenda sanaaa hata aishuki bei
d j sima hii Ndinga bei gani hapo
Ndoto yangu
Dj Smaa umejisajili kupiga kula kweli ?🤓
Ue unatja na bei
Tupe updates za russina na ukraine mzee
SinWari ameuliwa wewe uko kwa magari wala mayai
😂😂😂😂😂😂
😂😂
Unyamaaaa wa kwendaaaa @ macwizzy.