@@jerryndondole1965 yani hadi najiuliza au sns washakula pesa au kuchimbwa bit na marekani,maana hata kwenye gps sku iz ni iran na Israel urus hawaizungumzii kabisa,mi nahisi sky atakua kapewa kibunda
Sma mido east habari mbon nyingi😂😂ila kiongozi wa hezbora afik tunapashwa hapo hapo habari ya siniware akionekana yuko hai hamjatwambiya ila habari zakwamba kuwuriwa imekuwa fasta 😂
Mbona Kama unatupa home work better toa elimu ..... .....sio hiviii n nn...? Maswar Tena mnashusha brand sns tuelekeze tusiojuwa tufahamu Kisha tukijipata au waliojipata wanunue
Huyu jamaa anajua kila kitu.
Sma Mungu kakubariki sana una uelewa mpna sana wa mambo
Dj sma Bg up kazi 👍👊
js sma . upo njema kaka.
Jamaa anajua kila kitu
Hii unyama sana
Dj sma upo visuri
Tunataka fuse miritary
Ametusahau sana wazee wa Urusi
@@jerryndondole1965 yani hadi najiuliza au sns washakula pesa au kuchimbwa bit na marekani,maana hata kwenye gps sku iz ni iran na Israel urus hawaizungumzii kabisa,mi nahisi sky atakua kapewa kibunda
Smaa mpambanji
🔥🔥🔥🔥
Hiyo ndinga sh ngap
Jamaa anatangaza biashara muacheni kwanza ila hiyo subaru mbovu sana mzee labda mazda
Ubovu wake nn mm Nina miaka 3 na Zaid na naenda kokote
Sma umetusahau watu wa Urusi na Ukraine
Turud kule kweny fuse x
Nimekuelewa hatari
Sma mido east habari mbon nyingi😂😂ila kiongozi wa hezbora afik tunapashwa hapo hapo habari ya siniware akionekana yuko hai hamjatwambiya ila habari zakwamba kuwuriwa imekuwa fasta 😂
Tupe kuhusu Toyota ractis na bei
Mbona Kama unatupa home work better toa elimu .....
.....sio hiviii n nn...? Maswar Tena mnashusha brand sns tuelekeze tusiojuwa tufahamu Kisha tukijipata au waliojipata wanunue
sasa izo gar mbona za kawaida kaka mazda subaru
Uchambuzi wa israel na Russia vip 😂
Kama bmw 😂