TAZAMA NDEGE ya JESHI la MAREKANI ILIVYOONDOKA DAR ES SALAAM LEO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 83

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +2

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 ปีที่แล้ว +6

    Kweli afrika Bado niwatumwa na ma mbumbumbu

  • @zuberimasunga4751
    @zuberimasunga4751 ปีที่แล้ว +4

    Ushoga hatutaki mungu atusimamie awe amekija naziala njema ushoga hatutaki

  • @medystarter
    @medystarter ปีที่แล้ว +5

    Deal done ushoga na usagaji 😲viongozi wa africa bado watumwa kwa wazungu

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 ปีที่แล้ว +6

    Wa Afrika wanajuwa usa ni hatari kwa maendeleo ya taifa bali wawakomi kuwapa nafasi wafanye watakavyo unyani mbaya sana ashakum😭

  • @allyhassan7169
    @allyhassan7169 ปีที่แล้ว +6

    Wote ushamba wa maisha watu wanakuwa chawa kwa njaa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 ปีที่แล้ว +1

      HASWAAAA. Eti nchi imefunguliwa

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว +3

    Hizi ndege ni nzuri ukitaka unadandia km lori tu

  • @highskills5883
    @highskills5883 ปีที่แล้ว +6

    Ilipita juu ya nyumba yetu

  • @dianerditto
    @dianerditto ปีที่แล้ว +2

    Kuwa tu na uwanja unaotua hii ndge inatosha sio lazima tuje tumiriki ndege kama hii😉🤣🤣

  • @GreysonMheni-ln9rm
    @GreysonMheni-ln9rm ปีที่แล้ว +1

    Wezi wa Kiafrika wanaitembelea Afrika 😄😄😄😄

  • @stevedeuss8423
    @stevedeuss8423 ปีที่แล้ว +4

    Cha ajabu hapo ni nn kwan

  • @kakore_jr
    @kakore_jr ปีที่แล้ว +14

    Me when I see this I am not happy at all😭

  • @dannysengata2298
    @dannysengata2298 ปีที่แล้ว +1

    Taarifaa kamili mana hii ndege Jana ilikuepo airport pale

    • @georgethobias
      @georgethobias ปีที่แล้ว +1

      Hutangulia kiongozi kabla hajafikat eneo husika maana hubeba magari na hellcopter za kiongozi wao ,

  • @swalehemchora3167
    @swalehemchora3167 ปีที่แล้ว

    🎉🎉

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 ปีที่แล้ว +2

    Mmekosa habari nyinyi matuekea Hadi ndege inavyo paaa Hivi CNN Na vituo vikubwa vya habari vinatuekea upuuzi Kama mnaotuekea nyinyi 🤧🤧

  • @mucksinbambali492
    @mucksinbambali492 ปีที่แล้ว +2

    Afadhali limeondoka hili ibilisi
    Lilikuja kutuharibia swaumu zetu

    • @eninganyange9403
      @eninganyange9403 ปีที่แล้ว

      hata angekuja putin ungeharibu tu hao ndo wazungu bana hakuna tajiri anayetaka maskini aendelee

  • @abdallahkikungulu9141
    @abdallahkikungulu9141 ปีที่แล้ว +2

    Hatuna viongozi Africa

  • @manyorifrancis8348
    @manyorifrancis8348 ปีที่แล้ว +1

    Wabebe na ushoga wao waondoke nao

  • @JeftaKweka-xs5hm
    @JeftaKweka-xs5hm ปีที่แล้ว +1

    Hongera

  • @stanleymwakatundu6347
    @stanleymwakatundu6347 ปีที่แล้ว

    Ivi Hawa wapiga ngoma Hawachoki maana walimpokea yule waziri Kwa mangoma Hadi ndege Nayo mangoma. Daaaaha Any way Ukoloni Bado unaendelea.

  • @EbenezerAM
    @EbenezerAM ปีที่แล้ว +1

    Bora aondoke2 maana uwepo wke hp umetutia asala folen unakaaa masaa4 loh!

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 ปีที่แล้ว

    Sio ndege ya kijeshi Taiga jingine hilo kaka sema dege la kijeshi

  • @hallin9561
    @hallin9561 ปีที่แล้ว +1

    C5-GALAXY

  • @EnickoAlfredy-di7oe
    @EnickoAlfredy-di7oe ปีที่แล้ว

    Haraf kwanini wanakuja na ndege ya kijeshi hio inamaanisha ss tumetawaliwa au hatuna uwezo wa kuwalinda utumwa kazi sana

    • @eninganyange9403
      @eninganyange9403 ปีที่แล้ว

      kaka sheria ya marekani ni kwamba ziara za viongozi wao lazima wasindikizwe na jeshi lao sio hapo bongo tu hata nchi za ulaya ni ivyo marekani haiamini vyombo vya taifa lingine

  • @SaumuBakary
    @SaumuBakary ปีที่แล้ว

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 ปีที่แล้ว +2

    the bosses are leaving

  • @hallin9561
    @hallin9561 ปีที่แล้ว +2

    ifike wakati aya mambo ya kupiga piga ngoma ifike kikomo, ni makelele tu kwa wageni ila wanashindwa kusema

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 ปีที่แล้ว +5

    Mtu anakuja kuharibu watoto wenu wawe machoko harafu watu wanamshangilia

  • @juliussilvestar8988
    @juliussilvestar8988 ปีที่แล้ว +1

    Jeff konki halafu yeye ana mume nimemuona hayaaa mambo sisi wa afrika tuyaangalie mara mbili mbili.Hawa wazungu wanamaanisha kweli ama wanacheza na akili zetu.Maana washatujuwa ni wafuata upepo.Mimi siamini bado kama wapo serious wenyewe.

    • @eninganyange9403
      @eninganyange9403 ปีที่แล้ว

      chakukuongezea nikwamba urusi na marekani wanalumbana kuhusu Ukraine lakini hawajakata diplomasia balozi zao zinafanya kazi.

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 ปีที่แล้ว

    UKIONA WAZUNGU WANAKUSIFU, WAMESHAKUFQNYA ZEZETA LAO

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 ปีที่แล้ว

    Until when in Africa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 ปีที่แล้ว

      UNTIL STUPID AFRICANS STOP PUTTING TO POWER STUPID LEADERS

  • @remsca8873
    @remsca8873 ปีที่แล้ว +2

    Imepita Sasa hiv

  • @simondaud9763
    @simondaud9763 ปีที่แล้ว +3

    Poverty

  • @alinekasinyabo3501
    @alinekasinyabo3501 ปีที่แล้ว +1

    Watanzaniya Hamu elewekagi Nyiye simuna watusi kilamara wa America 🇺🇸 eti ni vibaraka Mbona sasa muko nawa pokeya kwenu Tanzania 🇹🇿 hahaha 🤣 😅Kuishi na watu kazi kweli

    • @duvaboy
      @duvaboy ปีที่แล้ว

      kapokelewa na serikari sio wananchi

  • @omaryngwaya4074
    @omaryngwaya4074 ปีที่แล้ว

    Ivi viongozi wa TANZANIA wakienda U S A wanapigiwa ngoma kamaivyo

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว +1

    Yani nyie kila kitu mnashangaa 🤔🤔🤔🤔

  • @west_ye
    @west_ye ปีที่แล้ว +1

    Hii ni habari ?????

    • @dianerditto
      @dianerditto ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀hapana maonyesho ya ndege

  • @EnickoAlfredy-di7oe
    @EnickoAlfredy-di7oe ปีที่แล้ว

    Ah ujumbe waliokuja nao sijui

  • @djoe8266
    @djoe8266 ปีที่แล้ว +1

    Tumeletewa ushoga tu

  • @jumannemtawa4535
    @jumannemtawa4535 ปีที่แล้ว +1

    Jiandaeni kufata milai zao za ushoga

  • @saidimuhsini7379
    @saidimuhsini7379 ปีที่แล้ว +1

    Amekuja kijijini kwetu

  • @KasubiArexander
    @KasubiArexander ปีที่แล้ว

    Tuta back kusema ivyo ivyo baada kusifia vyako

  • @FloraKossam
    @FloraKossam ปีที่แล้ว

    Addacomment

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 ปีที่แล้ว

    Atari

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 ปีที่แล้ว

    Ghana wamesikika ushoga wamejibizana vipi kwetu wameongelea

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 ปีที่แล้ว +2

    Ushoga wao huko huko

  • @julianamiseso3065
    @julianamiseso3065 ปีที่แล้ว

    Ilipita Ile asubuhi niliamka nikachungulia dirishani maana mikelele hatar

  • @EnickoAlfredy-di7oe
    @EnickoAlfredy-di7oe ปีที่แล้ว +1

    Hasa hao na mangoma yao wanahangaika nn

    • @hamispaul3214
      @hamispaul3214 ปีที่แล้ว

      Naona kikubwa ni,,,,, pesa

  • @joycemetili3876
    @joycemetili3876 ปีที่แล้ว

    Onyesheni vitu vya maana. Mnaonyesha ndege ikiruka??!!!😠😠

    • @ameria2332
      @ameria2332 ปีที่แล้ว

      Et! ,kama si upumbavu, tusemeje.

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 ปีที่แล้ว +1

    Yani ujinga ujinga tu

  • @georgembise7234
    @georgembise7234 ปีที่แล้ว

    Wezi wameondoko mAjambaz wakubwa.

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 ปีที่แล้ว

    nyie wabongo nyie jammani hakika usicho kinjua ni usiku wa kiza

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 ปีที่แล้ว

    Hoi ni ziara ya siku 3
    Au
    Ziara ya NCHI 3 ?
    Mbo sielewi elewi kila nikihesabu 😊😊😊😊

  • @oskakayombo9335
    @oskakayombo9335 ปีที่แล้ว

    ss na urusi tu

  • @sammarley1413
    @sammarley1413 ปีที่แล้ว

    NATAMANI KUJUA NINI LENGO LA ZIYARA HIYI .

    • @ameria2332
      @ameria2332 ปีที่แล้ว

      Wanafanya kutuangushia ndege za kiTz ziwani.hawa watu ndo watoa kafara,ah mi sitaki warudi tena kwetu,waende na makafara yao.tena washindwe na walegee kabisa.