NDEGE YENYE KASI ZAIDI DUNIANI "BLACKBIRD" INAPIGA PICHA 100,000 KWA SAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 257

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 6 หลายเดือนก่อน +7

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @AyubuRashid-j7g
      @AyubuRashid-j7g 5 หลายเดือนก่อน

      Mimi napenda ukristo lakini kuna sehem unanichanganya

    • @peterdeus6093
      @peterdeus6093 4 หลายเดือนก่อน

      Iv izi akili mnazitoaga wapi, watu wanamaada nyingine wew unakuja na mambo ya dini, kaanze na jirani yako

  • @ViniciusOfficialtz
    @ViniciusOfficialtz 7 หลายเดือนก่อน +43

    Team Russian gonga like 😂

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa ufupi marekan miaka hy bomu la hytomic kapiga japan mpaka sasa ni visiwa marekani kama taifa inaweza kuiondoa nchi yeyote ktk ramani ya duniani

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 7 หลายเดือนก่อน +4

    Marekani yuko mbali sana ni ngumu kumuangusha
    ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kumuangusha
    miaka mingi sana yuko mbali ktk technology

    • @sakuranitillya6088
      @sakuranitillya6088 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 we bado sana

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 7 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli lakin mbona anamuogopa Urusi

    • @michaelmisana650
      @michaelmisana650 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa ana muogopaje urus

    • @simoncmatanda5135
      @simoncmatanda5135 6 หลายเดือนก่อน

      Hawa wote wanaogopana ki teknolojia

    • @ramakeido3330
      @ramakeido3330 5 หลายเดือนก่อน

      Zikitunguliwa setelat hizo zinakuwa kama mapambo tu

  • @mchinatz9335
    @mchinatz9335 7 หลายเดือนก่อน +39

    Lengo la kuleta hii habari ninini ? Sasa kwamba mtatutisha sisi team Russia

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 7 หลายเดือนก่อน +4

      We, m, Russia wapi, we mjinga wa hapo pugu,, umesha ambiwa hiyo ilitumika miaka ya 60-94, haitumiki tena,

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ww Uko Russia mama ako yuko US

    • @donaldmgunda4970
      @donaldmgunda4970 7 หลายเดือนก่อน +1

      Lengo letu ni kutaka kuwapiga ninyi warusiiii kule ukrainaaaaa

    • @magretherick1478
      @magretherick1478 7 หลายเดือนก่อน +4

      Wew martini fuatiria vzr Russia ndio ilikua na ndege zenye kasi kwaajili ya eneo lake lilikua kubwa enzi za usoviet

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 7 หลายเดือนก่อน +3

      Sisi ni russia

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 7 หลายเดือนก่อน +6

    Waongo wameanza kutufanganya tena umeshagunduliwa nyinyi waongo sanaa

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 7 หลายเดือนก่อน

      Mpaka uletewe mlangoni ndo uamini 😂😂

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 7 หลายเดือนก่อน

      Sijui wewe zuzu

    • @robertmosha6801
      @robertmosha6801 6 หลายเดือนก่อน

      Kasome wikipedia

  • @MsokaDibron
    @MsokaDibron 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa ku2juza, wamarekan ni hatar kubwa

    • @muhsinmwamkunja9702
      @muhsinmwamkunja9702 7 หลายเดือนก่อน

      Marekani katumiwa mapupo tuu yakawa yanachukua data karibu na ikulu na watu hawajajitamba

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 7 หลายเดือนก่อน +25

    Miladi wamekutuma marekani utudanganye hatudanganyiki tunaipendaurusi kuliko wali🇷🇺💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 7 หลายเดือนก่อน +2

      Huo ndio ukweli, zamani urusi alikua bado kwa technology, ila kwa sasa amekua kidume kwenye technology.

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 7 หลายเดือนก่อน +3

      Nakukubali mwamba hatudanganyiki viva putin

    • @eng.makolal1367
      @eng.makolal1367 7 หลายเดือนก่อน

      Jifunze kuandika kwanza.

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@PUTINN365😂😂 kichwani upepo tu
      Sasa wamedanganya nn

    • @HassanLamata
      @HassanLamata 7 หลายเดือนก่อน

      Rudia kusoma upya historia ya kweli kaka Soviet ndo ilikuwa tishio Dunian kwa tecnolojia shida WENGI hhatuna historia ya kweli tumedanganywa kwa muda mrefu sana ​@@BenjaNetanyahu

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 7 หลายเดือนก่อน +7

    Ndege ilitangazwa kwenye TOP GUN MARVELICK mkiwa mnangalia movie angalia silaha mpya ipi imewekwa ndo utajuwa yaliyomo Zaid duniani 😂😂😂😂

    • @mwanahamisimohamed1364
      @mwanahamisimohamed1364 7 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi,hii ni SR 71 " blackbird " anayozungumzia millard, lakini haizidi speed SR 72 "Darkstar" ndo imeonyeshwa kwenye movie ya TOP GUN ya TOM CRUISE na hii SR 72 "Darkstar" ina speed ya MACH 10, zaid ya hii anayoonyesha millard ayo ni SR 71 "blackbird"

    • @ELLYTECH
      @ELLYTECH 7 หลายเดือนก่อน

      Yeah though ile ilikua inaitwa darkstar

  • @shabanidaruweshi-jw5jy
    @shabanidaruweshi-jw5jy 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ayo tv sasa anataka kujiharibia kutudangnya watazamaji

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 6 หลายเดือนก่อน

      Ayo tv yuko vizuri sana sio kama sns

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 6 หลายเดือนก่อน +4

    Marekani yupo juuu sana

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 7 หลายเดือนก่อน +7

    viva America ✊✊✊✊✊

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 7 หลายเดือนก่อน

      Shoga huyu tayari serikali tukamatieni huyu

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@PUTINN365shoga ni ww unaoutaja ushoga wenyewe.Kuutaja taja ushoga mara kwa mara ni sawa na kuueneza ushoga wenyewe.

    • @theoriginals3240
      @theoriginals3240 7 หลายเดือนก่อน

      @@MathewNathan-yb2bz mpumbavu, alafu unakuta watu kama hawa ndoto zao ni kwenda america

    • @sakuranitillya6088
      @sakuranitillya6088 7 หลายเดือนก่อน

      Wana mda mdogo sana hao marekan8

    • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
      @NgaizaKimbeNgaizakimbe 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@MathewNathan-yb2bzUlienda Kwenye Mkutano Wenu Washington?😂😂😂😂

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 7 หลายเดือนก่อน +1

    Millard tunataka mambo mazuri yanayofanywa na mataifa pinzani na marekani 😊😊

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂 mambo mazuri ndo haya
      Acha muvi za kihindi

  • @wangaeliwilfred2919
    @wangaeliwilfred2919 7 หลายเดือนก่อน +3

    Team USA tupo

  • @saeedally268
    @saeedally268 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kataa au usikatae marekani wako juu hata warus wachina wakorea wanalijuwa hilo

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 7 หลายเดือนก่อน +11

    Kilakitu cha kipekee Dunian kina tokea marekani
    Hawa wazungu wa usa wametudangany mno sasahivi hawaniambii kitu kuhusu Russia 🇷🇺🇹🇿🤝

    • @tekashisixtynin9threewithd727
      @tekashisixtynin9threewithd727 7 หลายเดือนก่อน

      Asa RUSIA amekisaidia nn paka saivi ww kama ww ama kwa nchi yako kama sio wanapiga kelele kuona wanaonewa na marekani na washurika wake acha na marekani anamsaada mkubwa sana

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 7 หลายเดือนก่อน

      Tumesha kujuwa jina linajieleza 😂😂😂😂utasubiri sana Marekani idondoke ila na mwisho wa Dunia utakuwa umefika😂😂

    • @MajiTakaMaji
      @MajiTakaMaji 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@georgekimasaofficial1629ufike mara ngapi

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@tekashisixtynin9threewithd727mkundu wewe amekutombea mama yako

  • @deluhdenis6499
    @deluhdenis6499 5 หลายเดือนก่อน

    asante kwa maarifa

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 4 หลายเดือนก่อน

    Sisi wabongo ni kunywa highlife tu na kujaza mavitambi yani sisi hatunaga akili kabisa toothpick yenyewe hatuna uwezo wa kutengeneza bladfuu...

  • @absm8084
    @absm8084 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huko walishatoka kitambo😂😂😂😂

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 6 หลายเดือนก่อน

    When it comes to technology,wamarekani nishawainulia mikono😂😂

  • @Shebbytvs
    @Shebbytvs 7 หลายเดือนก่อน +5

    Ukitaka kumuweza Mmarekani kwa vita anza kuwapiga wale watu wenye akili nyingi duniani ambao ni wa ISRAEL,pili wapige Wajerumani na tatu kampige babaake Mmarekani ambae ni UK tena ni kwa haraka sana alafu ndo mfate mwenyew kidogo unaweza kusumbuana nae ila bila hvyo utaishia kupga kelele kama yule KIDUKU wa Korea!!!

    • @simoncmatanda5135
      @simoncmatanda5135 6 หลายเดือนก่อน

      ko sawa kiongoz wala skupingi

    • @abdimakame7929
      @abdimakame7929 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ata Mimi Sasa nimekubali awa watu ni shida%

    • @JosephatNgua
      @JosephatNgua 4 หลายเดือนก่อน

      Watu hatujashituka,urusi Yuko vizuri sana isipokuwa anapambana na ulaya na marekani Kwa kupitia mgongo wa Ukraine​@@abdimakame7929

    • @geofreymilinga2965
      @geofreymilinga2965 4 หลายเดือนก่อน

      Nimesoma iyo coment nimecheka kimy kimya

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u 5 หลายเดือนก่อน

    Hatari 😮

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 7 หลายเดือนก่อน +6

    Marekani kwa teknolojia wako juu sana

    • @shaurimtanda8285
      @shaurimtanda8285 7 หลายเดือนก่อน

      hamna kitu usiwe mvivu wa kusoma mambo ya sasa dunian

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 7 หลายเดือนก่อน

      @@shaurimtanda8285 nani zaidi ya mmarekani labda Israel

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kwanza tuulize alieanza kurusha chombo cha mawasiliano angani ni nani tukishapata jibu huyo ndo mshindi wetu

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 7 หลายเดือนก่อน

      Mitano tena kwako 😂😂

    • @shaamemchauru1365
      @shaamemchauru1365 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏💓

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 5 หลายเดือนก่อน

      Russia is first to go far and high space

    • @PetroMpunga-rt7hv
      @PetroMpunga-rt7hv 4 หลายเดือนก่อน

      Marekani ni TAIFA KUBWA

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 4 หลายเดือนก่อน

      @@magorymara5515 wa kwanza kurusha chombo angani ni Russia.

  • @carlosleonard6050
    @carlosleonard6050 5 หลายเดือนก่อน

    Kujulikana tuu kuwa ina lengo la kupiga picha urus ni failure kwa marekani, unafikiri urusi hawakujua....thé fact that hatujui ka urus wana ndege yoyote inayopeleleza inaonesha confidetiality yake ni kubwa

  • @OthmanhajiMwalim
    @OthmanhajiMwalim 7 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa uwongo...

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kama makombora ya Ukraine yanafika urusi na kupiga bila kutunguliwa ujue urusi bado sana
    ambacho anaweza kujivunia kidogo ni Nuclear
    Marekani yuko mbali sana

    • @muhsinmwamkunja9702
      @muhsinmwamkunja9702 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hata marekani walipeleka hymars ukrai ndo wakajitamba mtambo unaoweza kuzuia makombora sasa ivi upo makumbusho ya urusi kule watu wanautazama

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@muhsinmwamkunja9702
      Ume-type nn 😂😂

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ndio marekani yaani Uweza wake kijeshi ni kama Mbinguni na Ardhi ukilinganisha na nchini nyingine wote duniani, pamoja na hiyo kuna Ndege zingine hatari za marekani kama F 35,F16,BM 2 BOMBER Hatari sana

    • @jacksonngusi4122
      @jacksonngusi4122 7 หลายเดือนก่อน +1

      Anazo za siri ambazo apaswi mtu mwingine kujua Marekani ni habar nyingine

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 7 หลายเดือนก่อน +1

      mmmh hii sio dunia ya kuongopeana na kulishana matango pori hakuna kitu ambacho mrusi mchina iran korea na baadhi ya mataifa hawana watu wamepiga hatua mbbali sana ukikiwasha kinawaka kweli unyonge uo hakuna labda cc dunia ya tatu

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo la wabongo wengi wao ni wajinga hawajui kuwa m'babe wa vita Kwa hii dinia ni MAREKANI hata ukimwi walio nao Hawa wabishi unatokana na MAREKANI napia dawa wanazo tumia ni msaada wa marekani

  • @MichaelMghamba-tv8ht
    @MichaelMghamba-tv8ht 5 หลายเดือนก่อน

    nyoosha maelezo dada achauongo umeanza nakusema imetengenezewa marekani alafu baadae unasema imenunuliwa kimagendo kutoka Urusi tuelewe kipi kimoja 🙂🤔

    • @HunterJr-s7c
      @HunterJr-s7c 4 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio ujaerewa sikiliza vizuli hiii story broo kumbuka kuna ndege kuna vyuma vilivyo tengenezea ndege na madini yalio changanywa kuifanya ndege iwe bola na imala kutikana hali ya hewa na hayo madini ndio yamenunuliwa kimagendo na sio ndege nazani umeerewa sada

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 4 หลายเดือนก่อน

    Marekani ni kuma tu kwa urus

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 6 หลายเดือนก่อน

    Naugana ww marekani ni wababe na ubabe wao ni wa maaarifa kupindukia polisi wa dunia

  • @murtazantimba4270
    @murtazantimba4270 6 หลายเดือนก่อน

    Hayo matango pori walisheni watoto wa 2000😅😅😅

  • @Golanh4786
    @Golanh4786 หลายเดือนก่อน

    Kweli hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 7 หลายเดือนก่อน

    Hatuogopi sisi jaribuni muone hahaha 😂

  • @directortwicep3028
    @directortwicep3028 5 หลายเดือนก่อน

    Wadhurst bwana yaani saizi kila kona udini na vita tu eeh kkkkk

  • @pauloptatmosha8115
    @pauloptatmosha8115 7 หลายเดือนก่อน +2

    Viva USA

  • @bishweko
    @bishweko 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona isiende kumsaidia Zele boy huko Ukraine?

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 7 หลายเดือนก่อน

    Lakini Marekani c ndo joka la duniani au🤣🤣🤣

  • @maxmaxkitomary4742
    @maxmaxkitomary4742 6 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki waurus mbona mnalialia😅😅

  • @NicePainter
    @NicePainter 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waambie waipeleka ukrine ...kama haijatunguliwa ...kwanza hyo ndege ni special kwa kipiga picha sio vita zaidi

    • @magretherick1478
      @magretherick1478 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa😂😂

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂
      Unaambiwa zimestaafu baada ya ku-militarize satellite kwo saiv hazifanyi zipo kwenye military gallery ya marekani miaka zaidi ya hamsini we kwako ndo habari ndo unashtuka saiv 😂😂

  • @willydugilo3258
    @willydugilo3258 7 หลายเดือนก่อน

    Waiptishe anga la urusi leoleo!! Waone chamoto

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 7 หลายเดือนก่อน

    Miradi umesha ridhika na views 😂😂😂 tupe habari Urus kateka ndege za marekani na marubani wake utupate wengi bhana hii hatutaki.

  • @awamiabbas222
    @awamiabbas222 7 หลายเดือนก่อน

    Mtajua wenyewe na mashoga wenzenu wa kimarekani sisi tuko na Russia /Urusi

  • @fahadsaid9616
    @fahadsaid9616 7 หลายเดือนก่อน +3

    Acha ndege ya kupiga picha watu wana vipulizo(baloon)yani kiasi kwamba unaweza kuhisi labda watoto wanacheza au zawadi za sikukuu

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 6 หลายเดือนก่อน

    Vibaraka wamarekani nyinyi, urusi yukonayo zaidi yahio

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 7 หลายเดือนก่อน

    Sf istoria ninzur co waafrica nanaiga kufuga ndefu nakuvaa kanzu fupi au kuiga kuvaa sut natai watu weupe warituchukulia kira kitu tumekuwa watumwa tunaitana makafiti wakat wote weusi tu

  • @edrickniwamanya5665
    @edrickniwamanya5665 6 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo mnatutisha team Russia au ndo mnawashwa mnataka marekani akawapelekee moto??

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 7 หลายเดือนก่อน

    Enderea kuramba matako ya wazungu waongo tu 😂

  • @PaurothyMedia
    @PaurothyMedia 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona hawakumpiga urusi😅😅😅😅

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 4 หลายเดือนก่อน

    Ndege mweusi atar sana

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 6 หลายเดือนก่อน

    Wew mareka ju

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahahahaha hii ilikuwepo kwenye vita yao na Taliban???

  • @khamisshabani691
    @khamisshabani691 7 หลายเดือนก่อน +2

    huyo ndiyo mmarekani mrusi atasubiri sana

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 6 หลายเดือนก่อน

    Kama umpendi marekani kutambua kuwa yeye ni G. 7 nayo utapinga kuwa wamejichagu tatifiti ambazo ni sahihi

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 4 หลายเดือนก่อน

    Putini alikiri mwenyewe Marekan nitaifa lenye nguvu duniani tena aliongea kwa hisia kali na yenye uchungu sasa.

  • @fredlugome7952
    @fredlugome7952 6 หลายเดือนก่อน

    Jeshi la anga la marekani ni NASA 😮😮

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 5 หลายเดือนก่อน

      NASA chombo Cha unguzi wa Anga Ila kina backup na vyombo vya usalama marekani

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 7 หลายเดือนก่อน

    Saw

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ipeleke kule Ukraine uwone kama haitaonekana kwenye rada za urusi 😂😂😂😂

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 7 หลายเดือนก่อน

      Urusi ana mwaka wa pili anapigana na Ukraine.. yule ni mikwara tu.. ndio maana anahaha baadhi ya nchi kutafuta ushirikiano kupambana na marekani

    • @kilimanjarotv255
      @kilimanjarotv255 7 หลายเดือนก่อน

      @@GeorgeElias-p5o sas huoni kua marekani na ulaya ndio wanafadhili vita kaka bila hivyo ukraen angeshasalimu hufuatili vizur

    • @michaelmisana650
      @michaelmisana650 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo urus Hana kitu vitsho tu

    • @absm8084
      @absm8084 6 หลายเดือนก่อน +1

      Russia alisema wiki mbili atakuwa amemaliza kazi sasa anaenda kuomba msaada kwa North Korea na Iran ndo nini sasa vitu ya masaa anatumia miaka kibao

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 6 หลายเดือนก่อน

      @@absm8084 😂😂😂

  • @shafiijuma840
    @shafiijuma840 7 หลายเดือนก่อน +2

    Fanya uchunguzi milad ayo unafeli wapi mkuu sifia basi hata air Tanzania acha ukibaraka wa kifala.

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 7 หลายเดือนก่อน

      Ameshalipwa anataka atudanganye kama walivyotudanganya zaman mbona husemi urusi alishinda vita ya2 ya dunia Acha ushabikiaji wa mashog

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@PUTINN365kwani ilishinda peke yake?Kwenye vita hiyo Marekani,uingereza,ufaransa na urusi walikuwa upande mmoja.Unambiwa marekani ndio alitoa msaada mkubwa sana.

  • @MkwizuMkufya
    @MkwizuMkufya 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona hatuonyeshi vita vinavyo endelea mnatuonyesha tu madenge

  • @tomleetz3525
    @tomleetz3525 7 หลายเดือนก่อน

    Mashirika ya ndege ya wazungu saizi wana lalamika wakipita anga jirani na urusi network zinapotea

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 7 หลายเดือนก่อน

    👍👊💪

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 6 หลายเดือนก่อน

    Marekani tabua kuwa ni taifa le nye nguvu duniani kwa hy soma historia usipende kujidanganya

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 6 หลายเดือนก่อน

    Endeleeni kusambaza uongo,ila tumestuka ukweli tunaujua

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 4 หลายเดือนก่อน

    Ilidunguliwa na Russia

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn 7 หลายเดือนก่อน

    S500 ya urusi inaidungua hiyo 😆😆😆😆😆😆

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiyo ndege siende urusi

  • @CivilEngineeringWorks-d7b
    @CivilEngineeringWorks-d7b 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa miaka hiyo technology kubwa hivyo Je kwasasa atakuwa wapi 🇺🇸

  • @INOCENTMCHOME
    @INOCENTMCHOME หลายเดือนก่อน

    Mrusi bila nuclear hana lolote vita vya ardhini haviwezi mpaka leo ukraine ana mtaabisha katumia karibia stock yake yote yamakombora

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 6 หลายเดือนก่อน

    Ionekane isionekane watajijua wai,ila urussi anawanyoosha balaa

  • @KafwimbidjensMilambo
    @KafwimbidjensMilambo 6 หลายเดือนก่อน

    Achana na uongo
    Dunia iliisha badilika

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 7 หลายเดือนก่อน +1

    NASA si jeshi la anga la Marekani

  • @OmaryIsmailikihango-g4o
    @OmaryIsmailikihango-g4o 20 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji unatumalizia m b zetu

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 7 หลายเดือนก่อน

    Oooooo

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa ndiyoo nini

  • @day7vid944
    @day7vid944 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wananyingine inaitwa darkstar ni kwere

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 6 หลายเดือนก่อน

    Ayo acha kutoletea uchafu wa marekan.....sisi putin

  • @lukafbbwebelof3874
    @lukafbbwebelof3874 5 หลายเดือนก่อน

    Sisi Warusi anahijua hiyo nyoko. Chokoza Russia uone na ndege yako ya kasi itaenda nayo. Sindo hile ndege ilienda kupiga picha za uongo pale Irak eti Iko na nyuklia

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 7 หลายเดือนก่อน

    Haina maana yoyote hiyoo

  • @josephmkindi4633
    @josephmkindi4633 7 หลายเดือนก่อน

    kumbe millad nikajua naangalia SNS duh bando langu limeniuma sana

  • @sauka9622
    @sauka9622 6 หลายเดือนก่อน

    Milad ashaaza kutudanganya sasa imani itatoeka maana tunaamin habali zako waga ni uhakika ila sasa ushaaza kuwa mwongo mwongo

  • @RAMADHANIMohammed-vv6bx
    @RAMADHANIMohammed-vv6bx 6 หลายเดือนก่อน

    Zamani sio sasa ilienda china ikagunduliw ikafukuzwa

  • @benkisinga4756
    @benkisinga4756 6 หลายเดือนก่อน

    Jeshi la Anga la Marekani sio NASA pls

  • @SolisticeKanuve
    @SolisticeKanuve 6 หลายเดือนก่อน

    Poutine atawachoma ninyi wamarekani yaani mutaungua kwa moto kama uzi ya mfuko!!!!

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa sasa marekani hana jipya. Russia ni mziki kwelikweli kwa sasa!! Au China.

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 7 หลายเดือนก่อน

      umejuaje ? wampige sasa waone

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 7 หลายเดือนก่อน

      @@magigesabai8674 hawana jipya hawa marekani kwasababu pale ukrein marekani ameshindwa kumtoa Urusi katika ardhi ya ukrein. Russia kwa sasa iko juu kushinda marekani. Afu kitu kingine, Russia ameadhibiwa kwa kila aina ya vikwazo lkn ndo tunashangaa kuona uchumi wa Russia ndo inaongezeka maradufu. Vikwazo mpaka elfu 15 afu bado wako vizuri. Ingekuwa nchi nyingine ohhhh ingekuwa majivu tuuu. Kwahiyo usicheze na Russia.

  • @theempire4058
    @theempire4058 7 หลายเดือนก่อน

    Sisi team urusi tunasema hii ndege ni ya kwetu, habari kama hizi team urusi hatuzipendi

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂mnajikomba komba
      Tengenezeni vya kwenu
      Acheni uchawa wa kimataifa 😂😂

  • @JumaNtasimba
    @JumaNtasimba 6 หลายเดือนก่อน

    Marekan ishafulia zimebaji qroqaganda

  • @danielnyangasi8808
    @danielnyangasi8808 7 หลายเดือนก่อน

    Hao wamarekani na washirika wao kwa kwa sasa wambie we Millad waendelee na USHOGA Putin atawachumbia wote

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ndomana SNS Wana wapiga bao.. hamna details kabsa skuiz

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @jacksonngusi4122
      @jacksonngusi4122 7 หลายเดือนก่อน

      Sns mziki mngine

  • @zully756
    @zully756 7 หลายเดือนก่อน

    Je unafahamu kilichotea baada ndege ya kijasusi ya kimarekani kupita katika anga la Sovieti na kupiga picha?

    • @zully756
      @zully756 7 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/kmVHzlSF6G0/w-d-xo.htmlsi=SLdcrqWxT1SiMun5

  • @omarykalulu-cw5kt
    @omarykalulu-cw5kt 7 หลายเดือนก่อน

    Urusi na Korea kaskazin ndo habar ya duniani

  • @BimkubwaMohd-ef6hr
    @BimkubwaMohd-ef6hr 7 หลายเดือนก่อน

    Marekani alitisha kipindi hicho ila kwa sas hana jipya

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 7 หลายเดือนก่อน

    Uraaa

  • @hassanthabit3726
    @hassanthabit3726 4 หลายเดือนก่อน

    Millard Ayo sasa na wewe umepitwa na wakati. Miaka ya sitini unazungumza sasa?????
    Kwamba hakuna ndege ya kisasa na kasi zaidi. CO KWELI

  • @michaelmisana650
    @michaelmisana650 6 หลายเดือนก่อน

    Marekan ni kwi kwi jalibu uone

  • @jospehfabian7856
    @jospehfabian7856 7 หลายเดือนก่อน

    miaka 60 iliyopita do u think russia wako nyuma mpaka leo. kwasasa hawawez kujalibu kuingia kwenye anga ya urusi hata kdogo

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama ni miaka ya 60 ,unajua Marekani atakuwa na silaha hatari za siri kiasi gani.Pia ujue tuliaminishwa kuwa mifumo ya ulinzi ya S 300 na S 400 ndio bora zaidi duniani lakini kumbe sio kweli.Drones za Ukraine zinalipua zinavyotaka visima vya mafuta vya urusi ndani ya urusi bila kupanguliwa na mifumo hiyo na pia makombora ya masafa marefu ya ATACMS yenyewe yanaipiga mifumo hiyo ndani ya urusi kwenyewe na kuiangamiza kabisa.yaani mifumo hiyo ya urusi inashindwa kupangua makombora ya ATACMS ya marekani.

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 7 หลายเดือนก่อน

    Ayo Ndio mataifa yenye historia sio za kwenu uko CCM mnaiba kula za wananchi kila kukichaa Chama kimekua kama Mungu ,kwamba bila CCM Nchi haiwezi toboa

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 7 หลายเดือนก่อน +2

    Si mchezo,!!, miaka ya 1960,, dunia bado ilikua gizani, kwa 80% ndiyo maana walifanikiwa kuiba madini mbalimbali kutoka Russia, ila kwa sasa mrusi kesha kua kidume wa technology, hawawezi kumwibia tena,,, sasa wakatafute madini kutoka sayari nyengine,,, maana sa hivi kila inchi ktk sayari ya dunia hii! Wamejanjaluka kwa madini yao.

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli mkuu nakukubali ila bado we n kibaraka hyo bendera ya israel wapi na wapi tena mkuu au hujui hyo bendera nguvu ya illuminati 😂😂😂

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kidume hawezi kupigana na ukraine mwaka wa pili sasa

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 7 หลายเดือนก่อน

      @@PUTINN365 shida ulilishwa maneno ya chuki dhidi ya Israel, kaa ukijua Israel ya sasa sio ile ya akina yusufu, musa, daudi, nk, hii bendera inamaanisha, nyota moja kati ya nyota 12,, ina mwakilisha yusufu mwana wa yakobo, alie uzwa na nduguze utumwani kwenda misri. Ni habali ndefu sana,,, inatakiwa itafute elimu yake.

    • @elicktilia4430
      @elicktilia4430 7 หลายเดือนก่อน +1

      Brother Russia anasoma mchezo tu pale angeshamaliza kitambo.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@PUTINN365kweli nyani haoni kundule mbona ww unajiita Putin.Je huo sio ukibaraka kweli?

  • @hamishatibu699
    @hamishatibu699 7 หลายเดือนก่อน

    Rusia ishaweka satarait yenye uwezo wa kushambulia starait zengine na ndege kwenye anga za juu, pia Rusia inamakombola yakushamulia satarait angani yakitokea ardhini, hizo ndege haziwezi tawala anga ya Duniani wakati anaaemiliki mawasiliano ya angaa za juu ni Rusia.

  • @jeremiasimon5913
    @jeremiasimon5913 7 หลายเดือนก่อน

    Wakishaichoka wataileta Africa