Nuru Ya Rohoni -John Kimble (official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @fredyadam572
    @fredyadam572 หลายเดือนก่อน +1

    Daah! umebarikiwa vipaji vingi....... Wimbo ni mzuri sana, nimebarikiwa sana kuusikia.

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  หลายเดือนก่อน

      Ahsante Kaka
      Mungu atubariki sote

  • @HillaryMoshi-v4q
    @HillaryMoshi-v4q หลายเดือนก่อน +1

    Natamani uimbe tena KWA HURUMA NIKUBALI kwa tune hii ya kuimba Nyimbo za Kikristo......Utabariki watu wengi tena.

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  หลายเดือนก่อน

      Nimelipokea kaka
      Ilikua inapig kelele sana moyoni sasa kwasababu ume sema naamini MUNGU amekutumia

  • @bitricemunic
    @bitricemunic หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen nimebarikiwa sanaaa

  • @HillaryMoshi-v4q
    @HillaryMoshi-v4q หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Brother.
    Mungu akubariki.

  • @elishadaud3113
    @elishadaud3113 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu yangu Mungu azidi kukuinua kilicho ndani yako ni kikubwa sana

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kaka

  • @upendomwambafula7491
    @upendomwambafula7491 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pacha ake Mimi hongera sana kwakweli uendeleea nguvu hata nguvu💪

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Pacha uje uimbe na wewe sasa

  • @eliewahachaligha747
    @eliewahachaligha747 7 หลายเดือนก่อน +1

    Waaw congratulations my brother. Glory to God

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Glory to God ndungu yangu

  • @graciersammy7703
    @graciersammy7703 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana umeuthaminisha zaidi huu wimbo

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante mpendwa

  • @hossanajosiah5716
    @hossanajosiah5716 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wow❤ congratulations dear.... MUNGU azidi kukuinua zaidi na zaidi....

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen Ahsanteee

  • @benjamachimo6424
    @benjamachimo6424 7 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha mwanangu nyimbo inamafuta sana

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru ndugu

  • @pamojaworshippers
    @pamojaworshippers 7 หลายเดือนก่อน +2

    Slow and powerful

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Thank you mtumishi

  • @haikaelchaligha1525
    @haikaelchaligha1525 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzur sanaaaa!!! Barkiwa mtumish

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante ndugu yangu umepotea
      Chukua namba yangu kwa Eli

  • @enosmwangondaofficial8589
    @enosmwangondaofficial8589 หลายเดือนก่อน

    Halleluyah

  • @petersilver5508
    @petersilver5508 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naam Kimble ,barikiwa

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Amen brother

  • @benjaminaspenance3102
    @benjaminaspenance3102 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kali sana

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Shukran boss wa bam

  • @melkimwamba4579
    @melkimwamba4579 7 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙌 barikiwa

  • @KelvinCharles-r6r
    @KelvinCharles-r6r 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka nimebalikiwa sanaaa

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  4 หลายเดือนก่อน

      Utukufu kwa Mungu alie hai

  • @williammwakajila1137
    @williammwakajila1137 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sanaa

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante producer wangu hongera na wewe kwa kunitengenezea kazi nzuri

  • @rujamvungi8221
    @rujamvungi8221 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekubali nimekubal kaka angu

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kaka

  • @elishadaud3113
    @elishadaud3113 7 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations mzee

  • @DonickMwakatobe
    @DonickMwakatobe 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Dhagha nkamuu

  • @kelchas_music_production
    @kelchas_music_production 7 หลายเดือนก่อน +1

    🤣Aya bwana

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Nini hutaki au

  • @allyisaya5367
    @allyisaya5367 7 หลายเดือนก่อน +1

    Congrats mzee

    • @johnkimbletz
      @johnkimbletz  7 หลายเดือนก่อน

      Shukrani uncle