Barnaba mkeo alitamani sana kuondoka mke ambae yupo timamu awezi kuondoka Kwenye nyumba yake na kumuacha mmewe kisa kamshika mkewe bas na gabo wa bongo movie mkewe angekua kua ashamacha maana anakazi kubwa lia keo barnaba mshamba tuna ililia ndoa yeye ana ichezea uwiiiiiii poleeeeee
Barnaba simama kama mwana umme . Ile nikazi jamani simuache kuolewa nawasani ? Nini mbaya mama mkwe mwenyewe domo kubwa ukikosa hela huyo mama mkwe njo ataanza kulala mika
✨✨✨,,,achana nao,mama kimbo ,,mwenyewe ,,mdomo mrefu,iyo familia hauta iweza
Tulia na yamm Kwa kuna shida mwanamke kama anakupenda awenzi ondoka juu anajua KAZI yako
Safi sana barnaba mke hatabaki kuwa mke
Msioe kabla kumaliza kuandaa maisha familia nyengine zinapenda hela sio utaftaji
Nimempenda Bure Ana hekima❤ sanaa
Aisee Kaka kwa uxhauli wangu piga kz jitaftie liziki bila hivyo atakula wap na yy mpaka kafikia hapo haijawahi xhikwa uno
Barnaba mkeo alitamani sana kuondoka mke ambae yupo timamu awezi kuondoka Kwenye nyumba yake na kumuacha mmewe kisa kamshika mkewe bas na gabo wa bongo movie mkewe angekua kua ashamacha maana anakazi kubwa lia keo barnaba mshamba tuna ililia ndoa yeye ana ichezea uwiiiiiii poleeeeee
Barnaba kama unampenda huyo dada muoe muendelee na kazi mamamkwe aache mambo yake wewe ni msanii sasa anaingilia kazi yako kwa nini mbona anapovu
Unae hekima❤❤❤
Nimependa namna yako ya kujibu japo namna yako ya kucheza sijapenda ila umejibu kwa ukomavu.
Barnaba simama kama mwana umme . Ile nikazi jamani simuache kuolewa nawasani ? Nini mbaya mama mkwe mwenyewe domo kubwa ukikosa hela huyo mama mkwe njo ataanza kulala mika
Barnaba anajielewa sana
Binafs mmeandana sana yan. Mmemetch knoma.
Hiyo n sanaa bana msijaona isue apo
Mungu akupe hekima
Zuchu ataki ujinga fanya kazi tu mengine yaache yaende
😂😂😂😂😂
Ongopa ungunjwa kaka bado tunakuhitaji sana
Safiii lzm uwe na msimamo
Na kama kweli utaachana na mkeo na utarudi kwanye dini yako nyama ya mbavu kabisa 😂😂😂😂😂
Kaka piga Kazi huo unafki wa huyo mama kwani hakujua Kazi ya huyo banaba achana naye piga kazi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂