MWIJAKU AFUNGUKA MAZITO / SIRI IMEVUJA KUMBE ALIKIBA NA DIAMOND ZILE TV SIYO ZAO ?/ NI MAZITO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 มี.ค. 2024
- DC MWIJAKU AFUNGUKA MAZITO SANA KUMBE WASAFI MEDIA NA CROWN MEDIA YA ALIKIBA ZILE MDIDIA SIYO ZAO ? / NI MAZITO SANA TAZAMA FULL VIDEO HAPA
#manaratv #diamondplatnumz #alikiba #mwijaku #millardayo #hajimanara - บันเทิง
Ila mwijaku anajua kuvaa kila siku kapendeza Mashaallah ❤
Mwijaku Allah akurehemu ardhi takatifu no ardhi ya makka madina na baytil maqdis falastwiin peke yake
92.1 Ni ISLAM FM ya Zanzibar na baadae aliichukua Prophet Nicolaus Suguye ikaitwa B FM au Burudani Fm.
Na bdo utasem sna dadek zko wew
Upo sahihi
Dah mungu tusamehe wajawako kwa maneno ya hovyo yanayotoka midomoni mwetu na utupokelee saumu zetu
Mungu ambariki San mwijaku❤❤❤❤❤
Mungu anambariki mwijaku kwasababu ana bariki maboss wake sio kama dotto ana tukana wenzie ili apate riski
KING'S CAR❤❤❤❤
Mwijaku 92.1 hii freequnx ya redio Victoria Fm ipo Musoma mjini, mkoa wa mara karibu na hospital ya Mwalimu nyerere kule kwangwa
Hawa ndio watu anasema amefunga halafu maneno yake ndio unavyo sikia
Mwijaku upo saw barua ya diamond tumeweka ss kuhusu Mida ya wasaf
Unafiki 2 na umefunga ww.ndio mchonganishi mkubwa
Diamond Platnumz anarogwa hadi Harmonize anamushika kaa Doli ⚠️⚠️⚠️⚠️😭😭🇹🇿🇹🇿
REDIO BUNDA FM - MARA Frequency - 92.1 MHz mkoa mara
Kama unakubali interview za mwijaku like apa
Ikulu saiz inaalika na awa mashanfaz
Yn iki jamaa bn muda mqengine linatulia kichwa chake ss uyo kibakuli ana kitu gm hs cha kumshinda mondi jmn kila kitu kazidiwa
Weee endeleee na unafiki wako unajifanya humpend diamond ila moyon mwako naamin unamchimbia kaburi hamoniz mdg mdg yy aendelee kujisahau tunajua lengo lako
Waja mnanini lakini.. wenzenu wameshapatana tosha mambo ya kuchimbiana kaburi yanatoka wapi... 😅😅