Mtangazaji na Rasta wote wapo vizuri. Maswali yote tunayojiulizaga kuhusu mochwari, kama yamejibiwa. Labda moja la namna gani alizoea hiyo kazi, coz mwanzoni nahisi nae alikuwa anaogopa.
Nimejitadi kusikiliza mbk mwisho lakin alhamdulillah nimejalibu kusikiluza kwa makin ili niulize lakin yote yameulizwa na kujibu respect mtangazi much love From UAE
Mna wazimu hamna maadili.. maiti wa kike hawezi kukoshwa na mwanamme. Kidini khaswa kiislam hairuhusiwi... hao wengine sielewi .hata iyo kuzalishwa pia kidini mjamzito azalishwe na doctor mwanamke namshkuru Allah kuniumba muislamu na kufata maagizo ya dini yangu ALHAMDULILAH 🤲
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Da, mtaua wachawi wa watu rasta mjue lo, sio kwa huduma hiyo ya mzigo wa bakora. Bora mngewalaza pembeni ya maiti ili uchawi uwatoke. Cheka sana leo, bakora tu babake🤣🤣🤣🤣 Da, Mtangazaji nimekukubali, point juu ya swali, haemi mtu, na wala halipotei bando huku. 🙌🙌✌
nikwl, mm nishawahi hudhulia kanisa moja kubwa pale arusha jmn wat ni wengi sana sana, lakn vit nilivovikuta pale niliondok mwenyew nakimbia naangalia nyuma km kun mt ananifata,haya makanisa yaogop sana
Ndio mnapoambiwa makanisani mnaushirikina mwingi haya hayo maji ya mfu yakazi gani? Ukichukulia mbali maiti wenyewe wengine mana majosho ya janaba, hedhi, nifasi. Na huo ni uchafu wanaoupenda mashaitwani/majini?
@@alhamdulillah5796 we nae hebu kanye huko ,kila comment upo ,yaan uko kidini zaid wakat wenzako wana comment walichokiona kwenye hayo makanisa ya kilokole, ah unaona huyo aliyekoment ni muislam?
Uyu kaka alikua mkali siku mama yngu amefariki alinichenchia nlikua nalia akaniambia marehem wote wataamka nliogopa nikanyamaza nikavumilia mama yng akachomwa sindano mm nikatoka nliumia sana kumuacha mama 😭😭😭
Asante ila iyo siku ilikua hatari alafu nasikia wanaongeaga nao 🤣🤣🤣 nakumbuka marehem mama aliwai kuniambia alivyoenda kwa kuutafuta mwili wa baba uyo rasi alisema na baba aaah kumbe mda wote tunakutafuta kumbe uko hapa aya mkeo kaja
Ni kwanini mtu umupeleke ndugu yako kwenda kuonya na waitu wasio muhusu kwanini tusiwakoshe sisi ndugu kwahiyo inamaana gani dah naomba mungu kama Niko karibu na ndugu zangu wanikoshe wao sio wanipeleke huko dah wakinipeke wameninyanyapa
@Anna Julius ss huwa tunatiwaudhu ndiyo tunakafiniwa tunaoswa tunasafika haswa maashallah nakwa nini tuvhunhuliwe na wanaume wanawske hawapo na pia sana ndugu ndiyo tunaoshanawenyewe napia ss ukimuosha. Maiti umuangalii kama nyie uislam raha Allhamdulillah Ya Allah kwa kunipa Bahati ya kuwa Muislam💕
Watu Msizani Bakola Ni Fimbo Kukuchapa No Bakola Pesa Ndefu Yani Awakuonei Uruma Mbere Ya Pesa Akuna Fimbo Za Miti Fimbo Za Noti Izo Sema Jamaa Anasema Kiutu Uzima
Mtangazaji na Rasta wote wapo vizuri. Maswali yote tunayojiulizaga kuhusu mochwari, kama yamejibiwa.
Labda moja la namna gani alizoea hiyo kazi, coz mwanzoni nahisi nae alikuwa anaogopa.
Huyo mlinzi katuongopea bwana watu huwa wanakimbia hiyo kazi mchana kweupe
@@azizaaziza9113 Inakuwaje mpk wanakimbia. Kwani wanakuwa na matarajio gani wanapoitaka?
Yaani huyu kaka ni jasiri mnoo na huduma yake ni nzuri Mungu aendelee kumlinda.
Mtangazaji unauliza maswali vzr Sana babu big up Sana🤛
Nimejitadi kusikiliza mbk mwisho lakin alhamdulillah nimejalibu kusikiluza kwa makin ili niulize lakin yote yameulizwa na kujibu respect mtangazi much love From UAE
presenter na mhojiwa mko"NOMA"ile mbaya!!! This is what we call jounarlism; keep it up bro watching from europe.
Mwanadamu asiye na akili umuua mwanadamu mwenzake hali nae ni marehemu mtarajiwa
Safi sana kaka unamsimamo na kazi yako na una hofu ya mungu maan haya maji kweli wapeni bakola aseee imani chafu
Good presenter and Good interview 💪
Rasta yupo vizuri sana,hongera sana,Mungu akubariki
Unakaz nzuri na roho mzuri sana rasta mungu akutunze
Ha ha,we pia waweza kuifanya?
mtangazaji upo vizuri sana sana sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............
Nimempenda rasta ako sawa sana mugu akubariki sana 🙏🏾❤️
Yaongopesha jamani ,ewow Mungu wangu umetupea talanta nyingi i say💃💃💃
JAMAA NIMEKUELEWA MSTARI WA MWISHO,
TUWAJALI NDUGU ZETU WAKIWA HAI, SIO MTU KAFA NDIO MNAMJALI HAINA MAANA YOYOTE
✍️👊
Kaka nice sana mungu akulinde na akusaidie
Mna wazimu hamna maadili.. maiti wa kike hawezi kukoshwa na mwanamme. Kidini khaswa kiislam hairuhusiwi... hao wengine sielewi .hata iyo kuzalishwa pia kidini mjamzito azalishwe na doctor mwanamke namshkuru Allah kuniumba muislamu na kufata maagizo ya dini yangu ALHAMDULILAH 🤲
Hiyo ndio Africa ndugu yangu
Najivunia kuwa muislamu
Maiti wa jinsia ya kike huoshwa na wanawake na wanaume huoshwa na wanaume.
umepotea kweli ww mfisha uchi hazai unaogopa kuoshwa ukiwa umekufa na mwanaume rakin kuzalishwa Anaweza kukuzalisha mwalimu wako kipofu
Huyo wa kike kabulini huwa anapelekwa na nani? majibu plz
Bado mshamba sanaa,,,,,kuna baadhi ya sekta hakuna usawa wa jinsia
Nimekujibia mtamshi yako
Kwa sababu amefariki ndio asipewe
Heshima yake mbona huendi kumtupa jalalani
Good Interview congratulations
Alhamdulillillah kua muislam maana ni lazima ni wanistir wanawake wenzang
Alhamdulillah
Kabisa Alhamdulillah
Kweli kabisa Salma ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@@awadhally1052 🙏🙏
Wewenae unajisemeatuu kamavile hujierewi kwahiyo hatasku yakuzaa skuya kujifungua utamtafta daktali wakowakike au mbona unajifanya
👍
Duh kazi kwelikweli
Safi
Mungu akulipe. Watandikeni wakome mungu atakulipa kwa hilo
Good interview.
Rasta ni Imani,dred ni mtindo wa nywele 😄😄
Mungu awapee nguvu aki 🙏
Huyu Rasta ako very mature and I love his courage.
RASTA za mapenz big up
Naomba kazi
Mtangazaji. Wew n shujaa. Mbunifu.. utafika mbal sana
Unajibu vzr Nimependa
Ok ongera Sana kwa kazi njema
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Da, mtaua wachawi wa watu rasta mjue lo, sio kwa huduma hiyo ya mzigo wa bakora. Bora mngewalaza pembeni ya maiti ili uchawi uwatoke. Cheka sana leo, bakora tu babake🤣🤣🤣🤣 Da, Mtangazaji nimekukubali, point juu ya swali, haemi mtu, na wala halipotei bando huku. 🙌🙌✌
Imagine baada bakora hizo unawekwa washinda na maiti😂😂😂
@@georgeonyango8505 Lazima utubu tu🤣
Kazi kazi
😄😄😄😄
@@georgeonyango8505 😄😄😄eti ushinde na maiti
Jiran mwenye huduma kubwa kwa jamii pamoja sn brother mwenyez mungu akutunze sn kaka
Maswali Mazuri Sana.👏
Waoo
Nimependa hiyo
Duh
Kazi ni kazi
Hii kaz naipenda Sana Ila sijapata nafax ya kaz Kama kunakaz munambie wadau
Nice
MUNGU akulipe Wema 😭🙏🏻
Mungu akubariki kuto ukweli woteee
Hongera sana ni mara yakwanza kumsikiya mtangazaji muzuri kama wewe
ipo vzur 👍
Ni
Mtangazaji ametisha sana maswali mazuri mno
Nakubari
Ras Big up sana kwa majibu mazur
Mtangazaji auliza maswali vizuri mkono ukiwa juu ya jeneza mm siwezi kweli 😂😂😂😂
Wagwan Ras👊👊
Kwani kuna Meru Tz?Hongera Sir
Meru ipo Arusha Tanzania
You can not be normal ...No! Hela wanaoroa wanaotaka hayo maji ni mengi lazima umuogope tu Mungu ndio ikatae
Maji ya maiti yanatumiwa na baadhi ya manabii na yakiwa ndani ya makanisa yao huitwa maji ya upako. Mwenye masikio ya kusikia na asikie.
nikwl, mm nishawahi hudhulia kanisa moja kubwa pale arusha jmn wat ni wengi sana sana, lakn vit nilivovikuta pale niliondok mwenyew nakimbia naangalia nyuma km kun mt ananifata,haya makanisa yaogop sana
Sasa kumbe mnapewa maji ya maiti waliokwisha kufa ndio mana hata mkifahamishwa hamuelewi ati kumbe mnauliwa nyoyo?
Ndio mnapoambiwa makanisani mnaushirikina mwingi haya hayo maji ya mfu yakazi gani? Ukichukulia mbali maiti wenyewe wengine mana majosho ya janaba, hedhi, nifasi. Na huo ni uchafu wanaoupenda mashaitwani/majini?
@@alhamdulillah5796 we nae hebu kanye huko ,kila comment upo ,yaan uko kidini zaid wakat wenzako wana comment walichokiona kwenye hayo makanisa ya kilokole, ah unaona huyo aliyekoment ni muislam?
Acha uwongo
Maswali yapo vizuri na majibu pia yapo vizuri kiufupi mpo vizuri
Hi bro
Pongezi kwa ko brother
du huy mshikaj analoho ngumu du kuikeel mm siwez kabisa🎉😢😮
Hiyo coz ipo wapi jamani naitaka
Huyo mzee nimempenda aki mungu akumpe maisha marefu
Rasta mungu azidi kukutunza.
Mjuba anajielewa kinoma
Nataka hii kazi
Mwenyezi mungu akupewepes wakazi rasi
Good
🙄🙄💔
Ras yupo vzr sana anavyojibu maswar siopw
kajibu vzur sana
Okok
Ninoma can🙄
Mtangazaji upo vizuriii
Uyu kaka alikua mkali siku mama yngu amefariki alinichenchia nlikua nalia akaniambia marehem wote wataamka nliogopa nikanyamaza nikavumilia mama yng akachomwa sindano mm nikatoka nliumia sana kumuacha mama 😭😭😭
Pole sana kwa kufiwa na mama ila sasa umenichekesh ety marehemu wote wataamka kisa upo unalia
Asante ila iyo siku ilikua hatari alafu nasikia wanaongeaga nao 🤣🤣🤣 nakumbuka marehem mama aliwai kuniambia alivyoenda kwa kuutafuta mwili wa baba uyo rasi alisema na baba aaah kumbe mda wote tunakutafuta kumbe uko hapa aya mkeo kaja
@@witnesskessy8828 😂🤣😂🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
😀😀😀😀😀
Jamaa yupo making saana🙏
Keep not easy na hiyo job
Maswal yenye akil na majibu yenye kueleweka 💪
Rasta Ana point interview ilikuwa nzr , mjali mtu akiwa hai
Bakora tena jaman hatari sana Ras
Wakristo hamna kitu kabisa yan Mwanaume anamuosha mait mwanamke daaaaaah
Sasa pale mtu anakuwa haelewi kitu,haya mbn wanawake wanaenda kujifunguwa na daktl wa kiume
kuku wewe
Kuna unafki mwingi hapa, wanaume waislam hua hamna wake, hamuoi? Cha ajabu ni kipi
Cha ajabu kipi, mbona hamchagui walimu? Au wauguzi? Au daktari?
Nimemkubal sana Rasta hata Mtangazaji yuko vizuri
mis 2021
Nakwanini mnawapa?
Hahahaaaaa... rasta anajibu simpo sana jamani
Ras naomba kazi
Uwiiiiii huyu Kaka jasiriiii
Weacha tu namkumbuka jamaa yang aliye niandalia Baba yang mzazi ase wako vzr sana
Yaani ni mtu mzuri sana
Unatisha bro
💪🏾💪🏾💪🏾
Safi sana! Maswali na majibu mafupi yaliyonyooka.
Mtangazaji yupo poa kwa maswali na jamaa anayejibu Yuko poa kwa kujibu maswali.
Daktari hana jinsia 😅
Kweli
Shujaa kabisa huyo jamaa
Nakukubali mwamba, unajiamini sana asee
Jamaa anamoyo san
Ni kwanini mtu umupeleke ndugu yako kwenda kuonya na waitu wasio muhusu kwanini tusiwakoshe sisi ndugu kwahiyo inamaana gani dah naomba mungu kama Niko karibu na ndugu zangu wanikoshe wao sio wanipeleke huko dah wakinipeke wameninyanyapa
Je nafax yakaz naipata m nataman hii kaz Ila sijapata nafas
Duuuh yaani weweee
Muuuh katika yote hii ya maiti yakike kuishwa na mwana ume muuuh sipati picha huko mochwari 😢 wanavo kuwa wanamuosha kwenye mapaja
Hao watakua wakristo muislam mwanamke anaoswa na mwanamke na wanaume anaoswa na mwanaume
@Anna Julius ss huwa tunatiwaudhu ndiyo tunakafiniwa tunaoswa tunasafika haswa maashallah nakwa nini tuvhunhuliwe na wanaume wanawske hawapo na pia sana ndugu ndiyo tunaoshanawenyewe napia ss ukimuosha. Maiti umuangalii kama nyie uislam raha Allhamdulillah Ya Allah kwa kunipa Bahati ya kuwa Muislam💕
@@hanifatanzania7258 haswa
Mmh !anakosha jinsi zote.subhanallah.
Tatizo akili zenu mmezielekeza kwenye zinaa, zinaa zinaa, mbona hujafikiria wakienda hospital na wanatibiwa na wanaume?
Mambo yote yamewekwa wazi. Ahsanteni
Pesa Ina nguvu hizo bakora ni story ti
N kwel anaongea tu ivyo lkn 🤐
Ni kweli nafikiri anaficha tu
😄😄😄
@@jackmahero96 ndo jibu
Ata mm nikipata hi chance napiga kazi
Watu Msizani Bakola Ni Fimbo Kukuchapa No Bakola Pesa Ndefu Yani Awakuonei Uruma Mbere Ya Pesa Akuna Fimbo Za Miti Fimbo Za Noti Izo Sema Jamaa Anasema Kiutu Uzima
Hafanyi humjui huyu rasta ni mtu poa sana na ana msaada mnooo
😄😄😄😄
nimependa dreads hizo!
Una ujasiri Kaka mm hAta kupitia hAta karibu na kaburi nyakati za usiku siwez sembuze Mauro balahaaa