MAWIFI NI WATU HATARI WANAONGOZA KUHARIBU NDOA ZA KAKA ZAO "PASTOR MGOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 80

  • @daisyakhini9331
    @daisyakhini9331 2 ปีที่แล้ว +7

    Wooooiiii😭😭😭pastor nilitendwa nikakubali aki🤦‍♀️waaah!, I wish wangelikua wanasikiza huu ujumbe, amen barikiwa sana postor umenikumbusha nilio pitia, bt yote mungu akiwa ndani mwako yote n bure, Ameni Amen pastor🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @kelvinstephanomagoti2189
    @kelvinstephanomagoti2189 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mchungaji maneno yako mazuri

  • @NafakaFood
    @NafakaFood 25 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana nikwel kabisa hayo mambo ni mengi katika familia

  • @christinenzobambona456
    @christinenzobambona456 2 ปีที่แล้ว +2

    Maneno ya ukweri kabisa barikiwa sana Pasta

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Mch.Kuna mazito ktk familia hizi!!Mungu aziponye ndoa zetu.

  • @beatricefuraha6471
    @beatricefuraha6471 2 ปีที่แล้ว +1

    Unasema kweli mtumishi 🙏 ubarikiwe sana baba

  • @hellenmayende8391
    @hellenmayende8391 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina sana mchungaji Nabarikiwa nikiwa Mombasa Kenya

  • @charleskimaro4441
    @charleskimaro4441 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana pastor huduma njema👍👍👍👍

  • @christinapeter7131
    @christinapeter7131 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi hiyo live kabisa wanatesa familia

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa Baba Nakuerewa Sana MAFUNDISHO yako mazuli sana wakina wifi waliyo wengi vivulinge

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa mtumishi,ikabisa,napitia hicho unachohubiri,.sio mimi lkn anaepitia ananihusu sana,she is my blood.yani kama ulikuja kwenye hii nyumba thn umeshuhudia kwa macho yako kinachoendelea ndio ukapanda madhabauni kuhubiri ulichokiona.ubarikiwe sana mtumishi

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli. Kabisa hasahasa wasimbe

  • @charlottebarakampfitiye3655
    @charlottebarakampfitiye3655 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa baba mucungaji kwa kweli mafundisho Yako yamenibariki sana tena nafundishwa mengi mungu azidi kukurinda Salama n'a familly Yako baba🙏🙏

    • @drallicemugasa3086
      @drallicemugasa3086 2 ปีที่แล้ว

      Mchungaji hayomambo yapo yanaumiza yanajeruhi afya ya moyo yanauwa upendo halisi wa mahusiano.Hayana baraka.

  • @jackisonjohansenjackison-bo9fn
    @jackisonjohansenjackison-bo9fn ปีที่แล้ว

    Unajua mgogo salut kwako

  • @elinapassey1514
    @elinapassey1514 2 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli. Kabisaaaa mchugaji. Toboa. Na. Munngu. Akubariki

  • @aminakaladze2356
    @aminakaladze2356 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa Kili nikuta hicho barikiwa sana mutumishi

  • @mapendomonique9719
    @mapendomonique9719 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa Sana papa

  • @suleshmacs1286
    @suleshmacs1286 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kwli hapo mtumishi

  • @jerimutuli4455
    @jerimutuli4455 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo umenena kabisaa pastor

  • @priscaadongo1922
    @priscaadongo1922 2 ปีที่แล้ว +1

    Santa sana pastor mgogo

  • @susanakinyi
    @susanakinyi 2 ปีที่แล้ว +4

    True pastor

  • @marianamumwi2798
    @marianamumwi2798 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks alot pastor tell her

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 2 ปีที่แล้ว +3

    Mawifi ni hatari Kwa kweli,sijui Kwa Nini!!!!!

  • @faridahkiwambe8152
    @faridahkiwambe8152 2 ปีที่แล้ว +2

    Wish u could be preaching even in English so that some of our family they could hear what u trying to teach.i really become very happy when I hear your teachings

  • @emillyzeeh1173
    @emillyzeeh1173 2 ปีที่แล้ว +3

    Niukweli 🙏🙏🙏🙏🇪🇺🇩🇪

  • @marianfilibert1464
    @marianfilibert1464 2 ปีที่แล้ว

    Hakika napenda mafu disho yko pastor

  • @mamahope5816
    @mamahope5816 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina baba

  • @johnasinge742
    @johnasinge742 2 ปีที่แล้ว +3

    May God bless you pastor

  • @emillyzeeh1173
    @emillyzeeh1173 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Pastor kwa muhubiri yako 🙏🙏🙏🙏❤nangalie video yako kutoka germany 🇪🇺🇩🇪

  • @syliviakente9460
    @syliviakente9460 2 ปีที่แล้ว +1

    Very simple back ground

  • @mireillemanirakiza6398
    @mireillemanirakiza6398 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Pastor

  • @frankkamugisha1299
    @frankkamugisha1299 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @victoriakesi8128
    @victoriakesi8128 2 ปีที่แล้ว +1

    Good preach pastor

  • @neemanoel8838
    @neemanoel8838 2 ปีที่แล้ว +1

    Wape za uso

  • @nkakenychannel2831
    @nkakenychannel2831 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi barikiwa sana

  • @lindaakinyi16
    @lindaakinyi16 2 ปีที่แล้ว +1

    Pastor umeongea ukweli..

  • @mwatummzee8683
    @mwatummzee8683 2 ปีที่แล้ว +1

    Wooooow

  • @graceochieng447
    @graceochieng447 2 ปีที่แล้ว +1

    Waa niukweli Tena wakona mndomo

  • @jacksonsyskl4601
    @jacksonsyskl4601 2 ปีที่แล้ว +1

    Maneno kutoka mbali sanaa kama mbinguni

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 2 ปีที่แล้ว +2

    😁😁😁😁😁😁😁😁mawifiiiiiiii

  • @niyonkuruibrahim114
    @niyonkuruibrahim114 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @violetludovick5382
    @violetludovick5382 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa,wape vidonge vyao.

  • @rusilumona3903
    @rusilumona3903 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🏾

  • @tolumsukuma4850
    @tolumsukuma4850 2 ปีที่แล้ว +2

    aseeee noma

    • @neemakomba4167
      @neemakomba4167 2 ปีที่แล้ว

      Amina baba na mama wakwe pia

  • @antonefrances3615
    @antonefrances3615 ปีที่แล้ว

    Wakija kwa kakayao kilasafar unayotakaenda na mumeo nao wsnataka muongozane wanakera Sana hao wanajazana

  • @christinapeter7131
    @christinapeter7131 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi hapo umepiga penyewe maana wamezidi.

  • @samuelkimani4319
    @samuelkimani4319 2 ปีที่แล้ว +1

    That what am going through.

  • @pharesbhoke7339
    @pharesbhoke7339 2 ปีที่แล้ว +3

    Sema baba tupone!

  • @tafushayo461
    @tafushayo461 2 ปีที่แล้ว +1

    Tenahawafai

  • @scholarnyamwega1391
    @scholarnyamwega1391 2 ปีที่แล้ว +3

    Wapashe mchungaji

  • @dianerditto
    @dianerditto 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥😀

  • @belinda4430
    @belinda4430 2 ปีที่แล้ว

    Pastor mm sishuhuliki huko niliwaachia maisha yao nisubiri yangu 🤣🤣🤣

  • @agnessmhufu4638
    @agnessmhufu4638 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumepona ubarikiwe Baba
    Mawifi wabadilike Ili
    Tutoke kwenye vikwazo
    Vya ndoa

  • @dosianasimon312
    @dosianasimon312 2 ปีที่แล้ว

    Ni shida

  • @zawadikyakimwa6961
    @zawadikyakimwa6961 2 ปีที่แล้ว

    Ambwene

  • @zawadikyakimwa6961
    @zawadikyakimwa6961 2 ปีที่แล้ว +1

    Raïssa

  • @irakozechimene656
    @irakozechimene656 2 ปีที่แล้ว +1

    👍👍🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏

  • @nsengimanazereus5583
    @nsengimanazereus5583 2 ปีที่แล้ว +2

    Nagupenda mucungagi ni Erize form rwanda

    • @boniphaceyohana7289
      @boniphaceyohana7289 2 ปีที่แล้ว

      Sawa umetoka Rwanda ndo useme nagupenda sasa

    • @pieremchome5202
      @pieremchome5202 2 ปีที่แล้ว

      Si uandike hata kingereza basi kama haujui kiswahili!,

    • @paulkasheto9054
      @paulkasheto9054 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana mch wangu

  • @fadhilindunguru7676
    @fadhilindunguru7676 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli tupuuuu

  • @lilymakundi1521
    @lilymakundi1521 2 ปีที่แล้ว

    Siyo wote wabaya

  • @faidaimmaculee28
    @faidaimmaculee28 2 ปีที่แล้ว +2

    Siyo wote

  • @irakozechimene656
    @irakozechimene656 2 ปีที่แล้ว +2

    Ma wifi batesa Bake ba kaka zabo jameni

  • @leticiamfungo2486
    @leticiamfungo2486 2 ปีที่แล้ว +1

    Itokee huyo bwana kapatapo vihela watasombana ukoo mzima hadi yanakosesha raha

  • @irenesilayo2704
    @irenesilayo2704 2 ปีที่แล้ว

    Piga makofi kwa Pastar

  • @lizchaka8924
    @lizchaka8924 2 ปีที่แล้ว +1

    paster you can say that again, mimi niliyaona baada ya kujifungua......eeeh. siwezi kuja kusahau.

  • @esthernjeri8338
    @esthernjeri8338 2 ปีที่แล้ว

    Inategemea huyo alie olewa tabia na mienendo yake0

    • @victoriakesi8128
      @victoriakesi8128 2 ปีที่แล้ว

      Ndo nyinyi Sasa mawifi wewe ndo wakukagua tabia zake Sasa tabia zake ni chafu na kakako yeye ndiye aliyempenda

    • @esthernjeri8338
      @esthernjeri8338 2 ปีที่แล้ว

      Sisi kwetu hakuna wifi so i dont even know what it means

    • @abelcharles4977
      @abelcharles4977 2 ปีที่แล้ว

      Mchungaji kama umeona vile ninamtihani jaman mama mkwe na mawifi duu hatar