BMG TV: Mtoto Yunis apokea wageni kutoka nje ya nchi, awanenea mema

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • BMG Media- Pamoja Daima!
    Tovuti www.bmgblog.co...
    Facebook / bmghabari
    Twitter / bmghabari
    Instagram / bmghabari
    #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG

ความคิดเห็น • 227

  • @evaristoaidan2690
    @evaristoaidan2690 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nlisumbiwa na matatizo ya macho kwa miaka zaidi ya 25, nlifika hapo na nkapona kwa dakika tuuuu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana. Imani yako ilikuponya

    • @JacklineEmmanuel-h2f
      @JacklineEmmanuel-h2f 2 หลายเดือนก่อน

      Namba Namba baba yunisi

  • @sarahmwango2204
    @sarahmwango2204 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ni jambo ya ajabu mtoto yunis kuponya aliye na nguvu kupitia bikira maria ,,, naweza mpata aje Nina mzazi wangu Moja aliugua mwaka 2002 hadi Leo hii anashida ya mwili,,,

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  4 หลายเดือนก่อน

      Fika kwao Kijiji cha Bukama, Rorya

    • @jacklinemose9828
      @jacklinemose9828 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wpi hapo ni kenya kweli

    • @evaristoaidan2690
      @evaristoaidan2690 3 หลายเดือนก่อน

      Kama unaishi dar unapanda gari la musomma

  • @DebbrahNyakundi-id6uj
    @DebbrahNyakundi-id6uj 3 วันที่ผ่านมา +1

    mtumishi wa yunis naomba uniombee Kwa ndoa yangu Iko na shida. mume wangu hataki kuniona kabisa na watoto ako mpango wa kando

  • @BethshebaOkila
    @BethshebaOkila 28 วันที่ผ่านมา +1

    Acha mungu atende kazi yake.niweke kwa maombi

  • @JosphineMusyoka-h9i
    @JosphineMusyoka-h9i หลายเดือนก่อน +1

    Mungu abariki hiyo mtoto naomba namba mamangu mgojwa ningependa kumleta apate uponyaji

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  หลายเดือนก่อน

      Tuwasiliane+255757432694

  • @BettyWamalwa-i3j
    @BettyWamalwa-i3j หลายเดือนก่อน +1

    Habari

  • @DamianaNdunge
    @DamianaNdunge 6 หลายเดือนก่อน +3

    Glory be to God. I request for your prayers to pray for me get married I need a husband to start my family. Naomba mnifungulie nyota yangu ya ndoa mungu awabariki niko Kenya.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      Amin

    • @kennedymejja8217
      @kennedymejja8217 5 หลายเดือนก่อน +1

      Received in Jesus name and mother of Jesus protected you

    • @DamianaNdunge
      @DamianaNdunge 5 หลายเดือนก่อน

      Amen I receive in Jesus name

    • @DamianaNdunge
      @DamianaNdunge 5 หลายเดือนก่อน

      Be blessed. I believe through your prayers I will be married In Jesus name.

  • @PetroChipeza
    @PetroChipeza 28 วันที่ผ่านมา +1

    Uyumtoto kuchaguliwa na Mungu sio hao manabii wa uongo nimewachoka sana waache kumtania Mungu

  • @josephinerose872
    @josephinerose872 4 หลายเดือนก่อน +1

    Glory be to God me naomba kufika mahali hapo tafadhali naomba nielezwe njia.Asante

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  4 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

  • @kayombotv9758
    @kayombotv9758 7 หลายเดือนก่อน +4

    Yesu ni njia, kweli na uzima na si vinginevyo

  • @Josephinelatin
    @Josephinelatin 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tafadhali naomba mtoto Eunice aniombea iliniweze toka hapa niliko kwa mateso Tafadhali wa weso wa mungu amina

  • @nullprinz
    @nullprinz 8 หลายเดือนก่อน +6

    this idol worship.who is Maria ?does she has power than Jesus,you need to rebuke devil from this child anapepo yackupiteza watu. Jesus is holly not commedian

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน +2

      If you respect Jesus, also respect his mother 🙏

    • @Catherinekwamboka-hl6ki
      @Catherinekwamboka-hl6ki 7 หลายเดือนก่อน +1

      Wale wapinga Catholic bado hawaamini??hapa sasa!!!

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 หลายเดือนก่อน +1

      @@Catherinekwamboka-hl6ki waombeeni

  • @rabecca6950
    @rabecca6950 หลายเดือนก่อน +1

    Yunis niombe nipate nyumba na.nifungue kazi yangu

  • @Mary-sb4ih
    @Mary-sb4ih 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen mubarikiwe na mimi pia mnisaidie maombi ni

  • @VelonicaKanyamale
    @VelonicaKanyamale หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba yenu ili naomba kuombewa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  29 วันที่ผ่านมา

      Tuwasiliane +255757432694 BMG

  • @TheresiaUdesi
    @TheresiaUdesi หลายเดือนก่อน +1

    Tumsifu yesu kristu.naomba namba ya Baba yunisi niweze kuongea nae.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  หลายเดือนก่อน

      Tuwasiliane+255757432694

  • @RebekaShumbi
    @RebekaShumbi 7 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu anaokoa mwaminini Yesu na si vinginevyo Matayo 8:16-17

  • @ChristineJambi
    @ChristineJambi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tusaidienu namba ya simu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      BMG TV +255757432694

  • @SylivesterMurithi
    @SylivesterMurithi หลายเดือนก่อน +1

    Nielekezwe njia plz

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  หลายเดือนก่อน

      Ya kwenda wapi?

  • @MarthaSteve-rp3tp
    @MarthaSteve-rp3tp 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kumlinda daima

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 7 หลายเดือนก่อน +3

    Masikini weee Mungu awqpe macho ya Rohoni.yesu ndo mponyaji sio maji. Au chochote

  • @rabecca6950
    @rabecca6950 หลายเดือนก่อน +1

    Simu nitumie maji na mimi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  29 วันที่ผ่านมา

      Tuwasiliane +255757432694 BMG

  • @srregina5809
    @srregina5809 8 หลายเดือนก่อน +5

    Baba tafadhali bado yule mama mwenye alinipa shilingi alafu tatu bado bado wanataka maji utaweza kutuma kwasababu our sister John mary ni mgonjwa umombee

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Uko wapi? Je ni mbali? Unaweza kufika Bukama ukachukua maji?

    • @beatricechepkurui9161
      @beatricechepkurui9161 8 หลายเดือนก่อน +1

      Amen 🙏 i receive in Jesus name please pray for me to get the job

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      @@beatricechepkurui9161 blessed

  • @MaryamNassor-mt2eh
    @MaryamNassor-mt2eh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hbr jmn naomb majibu yngu bc naomb uponyevu nimetesak San n mtoto wangu pia naomb namb za simu nije huko

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa, karibu kwao na Yunis Bukama Rorya

  • @MamaDelphin
    @MamaDelphin หลายเดือนก่อน +1

    Mitajia number za baba yake zawa Whatsapp

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  หลายเดือนก่อน

      Tuwasiliane+255757432694

  • @justusndyamukama4808
    @justusndyamukama4808 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna waliowahi kutoka Hospitali ya Shirati ambayo ni jirani kabisa na hapo Bukama waliowahi kuja hapo wakatibiwa wakapona na kutoa ushuhuda juu ya upnywaji wao?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Kama wako tayari waje tuwahoji

  • @marymuthoni1551
    @marymuthoni1551 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema, asanteni sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

    • @Xcola-gm7ir
      @Xcola-gm7ir 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubarik yunis na wazazi w

  • @PaulGithumbi-m2b
    @PaulGithumbi-m2b 4 หลายเดือนก่อน +1

    Muteuliwa mtoto Eunice naomba uniombe pamoja na nyumba yangu naomba kwa majina naitwa Betha

  • @AliceFord-m4y
    @AliceFord-m4y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana Eunice naomba na mm niombee

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @LucyMzumala
    @LucyMzumala 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yunis niombea mim lute

  • @WintouchLimited
    @WintouchLimited 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nina omba uponyaji Eunice

  • @MaryamNassor-mt2eh
    @MaryamNassor-mt2eh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hbr mm Nik Zanzibar nimezunguruk hd nimekata tamaa jmn mtoto wangu Yuko vby hd nalia n mm n baba ake Yan family yote inamattz naomb namb nidafir nije n namb maji y Barak jmn nikifanikiwa ata zawad nitampatia mtoto

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Mama Yunis +255693268319

  • @WintouchLimited
    @WintouchLimited 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nina omba uponyaji Eunice ninashu
    Ninaomba uponyaji Eunice nitashukuru
    13:39

  • @cleophasonyoni3481
    @cleophasonyoni3481 7 หลายเดือนก่อน +2

    Numbur ya simu

  • @SalomeNdoromziriwa
    @SalomeNdoromziriwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Namba ya Whatsapp plz ntumie picha nko kenya

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Namba ya nani?

  • @edithamosha1099
    @edithamosha1099 5 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba No za Baba yunice nahitaji Maombi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      +255693268319

    • @lilianolilo3993
      @lilianolilo3993 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@BMGOnlineTVEunice pray for my family and my marriage

  • @joycewafula935
    @joycewafula935 8 หลายเดือนก่อน +2

    Haya n majaabu ya mungu 🙏🙏

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli

    • @JoyceChacha-i3w
      @JoyceChacha-i3w 5 หลายเดือนก่อน

      Wajina Mungu wa ajabu

  • @SalomeNdoromziriwa
    @SalomeNdoromziriwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nko tayari atakama kutuma.picha

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Fika tu nyumbani kwao

    • @SalomeNdoromziriwa
      @SalomeNdoromziriwa 3 หลายเดือนก่อน

      @@BMGOnlineTV nko kenya jamani

  • @dainagwegime-dq9pl
    @dainagwegime-dq9pl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naumwa miguu naomba Yunis aniombee nippne naitwa Daina naomba namba

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @AsileTigiza
    @AsileTigiza 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi Asire❤ naomba yunisi aniombe nipone miguu imeviba

  • @Xcola-gm7ir
    @Xcola-gm7ir 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mtoto yunis aimbee familia yangu

  • @WintouchLimited
    @WintouchLimited 3 หลายเดือนก่อน

    Nina omba uponyaji Eunice ninashu
    Ninaomba uponyaji Eunice nitashukuru

  • @ASHAYONGO
    @ASHAYONGO 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mi naomba maomba yunic. Niombea sanaaaa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      Mama Yunis +255693268319

  • @lindashungu8570
    @lindashungu8570 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapana wako vizuri sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Akina nani?

  • @DyeVee
    @DyeVee 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

    • @DyeVee
      @DyeVee 3 หลายเดือนก่อน +1

      Niombee na Mimi piya Kwa Kazi na mambo

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @SalomeNdoromziriwa
    @SalomeNdoromziriwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani napataje mawasiliano Nina kakaangu mwaka niwatatu anaumwa tu nikulia kulia kwa waganga kwamapastor mbali mbali tumeenda msaada jamani

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Poleni sana, fika kwao Yunis Kijiji cha Bukama Wilaya ya Rorya

  • @AgathaAreri-xd4qm
    @AgathaAreri-xd4qm 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nahitaji maji ya baraka kutoka kwa Yunis niko kenya naeza yapata kivipi?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Fika kwao Bukama ama upate mtu mwaminifu akutumie

    • @AgathaAreri-xd4qm
      @AgathaAreri-xd4qm 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@BMGOnlineTVhaya will try to revist huko

    • @TescoT-nf8cx
      @TescoT-nf8cx 6 หลายเดือนก่อน

      Pukamu n wsp plz juu pia mm natamani kufika hapo ​@@BMGOnlineTV

  • @susanatieno208
    @susanatieno208 6 หลายเดือนก่อน +1

    Where is this little angel, which country

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      Tanzania

    • @ChristineMutiso
      @ChristineMutiso 5 หลายเดือนก่อน

      Tanzania wapi nataka maji niko kenya ni pesa gapi

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo maji naweza pataje

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Unafika Bukama ama unamwagiza unayemwamini

  • @MaryOloo-r4q
    @MaryOloo-r4q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Habari zenye Mimi naitwa Mary kutoka Kenya naomba tu mniombee kwa mara yangu wa kwanza kusikia nikonashida niombee pia Mimi nipate kulipa madeni Nina daiwa nimetembea kutafuta usaididizi Kila Kona lakini sijafanikiwa tafadhali naomba tu

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 8 หลายเดือนก่อน +1

    Imani yako itakuponya

  • @maryadhiamb0496
    @maryadhiamb0496 6 หลายเดือนก่อน +1

    An Mary adhiambo

  • @EliasMwaijojele
    @EliasMwaijojele 6 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba namba amuombee mama yangu ana presha na vidoda vya tumbo

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      Mama Yunis +255693268319

    • @aishawinny7558
      @aishawinny7558 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu yupamoja nawe

    • @aishawinny7558
      @aishawinny7558 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@BMGOnlineTV mungu yupo atapona

  • @legabenedicto4419
    @legabenedicto4419 8 หลายเดือนก่อน +1

    Njamani mimi naimani sana na yunis lakini nilikua nakosa nauli yakuja huko,,sasa kwa sasa nipo tayari kuja nipeni maelekezo kuhusu kufika huko pia labda kunagharama zinahitajika??

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Maji ni sadaka ya elfu tatu tu za Tanzania (utatu Mtakatifu).

  • @Aisha-h7r1v
    @Aisha-h7r1v 8 หลายเดือนก่อน +1

    Emeni

  • @Mabalaka
    @Mabalaka 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      +255693268319

  • @RebeccaMosha
    @RebeccaMosha 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba ya simu tafadhali

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  4 หลายเดือนก่อน

      +255693268319

  • @maryadhiamb0496
    @maryadhiamb0496 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hello nko Nairobi naomba unisaindie na number ili tuongee

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      Namba ya nani unahitaji?

  • @ruthositu53
    @ruthositu53 5 หลายเดือนก่อน +1

    Number ya yunis pliz weka kwa wall

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      Mama Yunis +255693268319

  • @AliceFord-m4y
    @AliceFord-m4y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Yangu na mm naomba ayo maji nisaidie nipo e baba

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      +255693268319

  • @elizabethissalo
    @elizabethissalo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Napataje namba ya wasap.ili nitume picha ya mtoto aombewe

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 หลายเดือนก่อน

      Tuwasiliane

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shida kunamambo yarohoni na yakimwili kinacho mwongoza yunisi sio mwiuli bali roho wa mungu ndani yake mtakakua mnampa wakati mgum kumuoji au kumchailechi akili ndani yake ipo nguvu kumbwa

  • @DawiaAly
    @DawiaAly 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yunsi. Naombaa. Uniombee nipate. Mtoto

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaombeni namba bas ndugu ili kama tunakuja huko tuwe tunawasiliyan.nao

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Sawa +255686967279 mzee Ogot (ila usiwe mwepesi wa kuagiza maji, bora kuyafuata mwenyewe maana kuna watu waliagiza na hawakutumiwa)

    • @annastevensteven9515
      @annastevensteven9515 8 หลายเดือนก่อน

      @@BMGOnlineTV mim.nip dodoma.unaweza nisaidiy namba yako nikuombe mdogo wangu unichukuliy hayo maji unitumiye kweny bas nitakutumiy hela ya usumbufu ninaumwa.mdog.wangu

  • @Msumi360
    @Msumi360 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba naomba ya simu nitumie picha ya mjukuu wangu aombewe

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      Mama Yunis +255693268319

    • @TescoT-nf8cx
      @TescoT-nf8cx 6 หลายเดือนก่อน

      Yunis ako upended gan pia mm nwtakq hatuombee familia yetu wasichan wote tuolewa juu hatuna nyota ya ndoa plz mama yunis mwambie tu nsomba kwa moyo msafi juu hsta niwe hapa people ye. Iko nitamshukuru tu nikisikia kuwa like sister angu mkubwa ameolewa nitShukuru mola san plz mm nakuomba mzee yunisi huo hujimbe
      lewak​@BMGOnlineTV

  • @BahatiNeema-l7g
    @BahatiNeema-l7g 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asifiwe yesu naomba namba

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      Mama Yunis +255693268319

  • @DamianaNdunge
    @DamianaNdunge 6 หลายเดือนก่อน +1

    Please naomba nabari ya simu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      Mama Yunis +255693268319

    • @DamianaNdunge
      @DamianaNdunge 5 หลายเดือนก่อน

      Asante be blessed all. Amen I received in Jesus name

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hio maji ni how much nko kenya

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      Utoke sadaka upendavyo

  • @MARTHAMWANGI-e6n
    @MARTHAMWANGI-e6n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Number

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      +255693268319

  • @sospeteranyango6274
    @sospeteranyango6274 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bikira Maria atukuzwe ! Ninashukuru mtoto amerudia huduma.Tumsifu mwokozi Yesu.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @liliankemuma9475
      @liliankemuma9475 8 หลายเดือนก่อน

      Milele amina.

    • @AzAz-sy6zp
      @AzAz-sy6zp 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa tunamtukuza yesu ama tunamtukuza maria

  • @bettyauma8859
    @bettyauma8859 5 หลายเดือนก่อน +1

    Anyalo yudo number?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      +255693268319

  • @RuthGwako962
    @RuthGwako962 5 หลายเดือนก่อน +1

    No. Ya simu naomba

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      +255693268319

    • @RuthGwako962
      @RuthGwako962 5 หลายเดือนก่อน

      @@BMGOnlineTV nko Saudi naomba mnieke kwa maombi juu siko kwa ndoa in kwa nyota yangu ilichukuliwa, naomba mama maria anirejeshee ndoa yangu,watoi wanaitaji kuishi na baba yao

  • @elizabethissalo
    @elizabethissalo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba ya simu baba yunis

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani Australia ni mkali sadaka wapeni pole

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Imani yao imewafikisha Bukama bila kujali umbali

  • @Benjaminkakamasha662
    @Benjaminkakamasha662 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nahitaji maji hayo ya baraka nipo kenya

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Unafuata Bukama ama unamwagiza unayemwamini

  • @Mabalaka
    @Mabalaka 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba nami niombee ili nipate mtoto

  • @evalynekunkuta5305
    @evalynekunkuta5305 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji maji kutoka kwa Junis niko Arusha nitapataje?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Unayapata Bukama Rorya

  • @meryDaniel-fd1pk
    @meryDaniel-fd1pk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bado yup jamn unis

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      Bado yupo wapi?

  • @MARTHAMWANGI-e6n
    @MARTHAMWANGI-e6n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Number ya dimu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      Namba gani ya dimu?

  • @denismariya3384
    @denismariya3384 8 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba unisamehe namba,yako mupendwa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน +1

      Baba Yunis?

    • @martinatusaye8267
      @martinatusaye8267 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@BMGOnlineTVmunapatikana mkowa gani naitaji nifike

    • @TescoT-nf8cx
      @TescoT-nf8cx 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@martinatusaye8267pia mm hiy ndio swali langu

    • @MARIAMAGANGA-dd9ti
      @MARIAMAGANGA-dd9ti 6 หลายเดือนก่อน

      Number us baba yunis

  • @AlesiaKayoka
    @AlesiaKayoka 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji kupata mtoto naomba maombi yako unice,Naamini utaniombea na nitapata

  • @B-Y-N
    @B-Y-N 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Amen 👏👏👏💒💒💒💒

  • @eunicewanjiru-dg1pl
    @eunicewanjiru-dg1pl 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Eunice kutoka Kenya Asante mukuwe munaniombea shjnda ya madeni

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @SurprisedForestBridge-fc2fd
    @SurprisedForestBridge-fc2fd 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nina shida nipate maji nashindwa kupata numba ya simu ya Baba Yunis au yamtoa huduma tafadbali

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kufika Bukama?

    • @SurprisedForestBridge-fc2fd
      @SurprisedForestBridge-fc2fd 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@BMGOnlineTV Niko masasi mtwara naweza kufika lakini sio sasa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 หลายเดือนก่อน

      @@SurprisedForestBridge-fc2fd amen

  • @daphinekemto3094
    @daphinekemto3094 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nina mtoto mlemavu jee anaweza akamponya

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Imani yako iko upande gani?

  • @THESOULHARVESTCHURCHTANZANIA
    @THESOULHARVESTCHURCHTANZANIA 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba ya simu ya Yunis.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  5 หลายเดือนก่อน

      Mama Yunis

    • @MaryJuma-kb8rd
      @MaryJuma-kb8rd 3 หลายเดือนก่อน

      Tupe namba y mama yunis plz🙏​@@BMGOnlineTV

  • @antoinetteshivachi9562
    @antoinetteshivachi9562 8 หลายเดือนก่อน +3

    Baba Unice bado hujanitumia maji yangu nilituma pesa tangu mwaka jana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Msikilize tena vizuri th-cam.com/video/kPaf4F6_egY/w-d-xo.htmlsi=KA9nXd7fYBefWo3G

  • @ndetaulwapallangyo8408
    @ndetaulwapallangyo8408 7 หลายเดือนก่อน +1

    Akuna kuabudu sanam!
    Fanyeni kazi achaneni na uninga!
    Njia izi za kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu zimezidi kila kona!

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 หลายเดือนก่อน

      Waombeeni

  • @JacintaMuia-zz6dw
    @JacintaMuia-zz6dw 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba no ya simu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      Mama Yunis +255693268319

  • @FonzinaPhilly
    @FonzinaPhilly 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba naomba namba yunis

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  4 หลายเดือนก่อน

      +255693268319

  • @ndetaulwapallangyo8408
    @ndetaulwapallangyo8408 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ukitoka Ausitiralia ndo nn kwani umetoka mbinguni?
    Usanii mtup.
    Just Money laundering!
    Pelekeni UJINGA MNENE-uko!

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu na imani yake

  • @rabecca6950
    @rabecca6950 หลายเดือนก่อน +1

    Nko nairobi naomba maji niko na shida nyingi yunis

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  29 วันที่ผ่านมา

      Tuwasiliane +255757432694 BMG

  • @kevinomondi812
    @kevinomondi812 6 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba yunis aniombee njia zangu zifunguke

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @DietHaven
      @DietHaven 6 หลายเดือนก่อน

      Eunice niombee tafadhali njia zangu zifunguke

  • @OkwaroEugene
    @OkwaroEugene 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa mungu eunice tuombee matatizo kwenye maisha yetu ikaishe na pia tukaweze kufunguliwa

  • @TitusLimo-yw2oj
    @TitusLimo-yw2oj 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa purity naitaji maombi nimekua n shida tangu utotoni mwangu n ndoa yangu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Pole sana, fika kwa mtoto Yunis huko Bukama ndoye anaombea watu

  • @ronaldayieko5261
    @ronaldayieko5261 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Amina

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa