Huwa napata uchungu mkubwa nikiwa nasikiliza nyimbo za hii kwaya :Umepoteza Dira, Wahurumieni, Siyo Sisi, Vumilia nk nikifikiria Mwl Reuben Ndoshi alivyotunga nyimbo zinazohusu ufalme wa Mungu tu na zenye nguvu za Mungu. Nawaomba sana wapendwa msikilize hizi nyimbo za injili za zamani zina UPAKO sana kuliko hizi za sasa. Naamini Wakina Fanuel Sedekia na Angela Chibalonza watakuwa wamempokea Paradiso dah alikuwa anatembea na Uungu ukitaka uone hiyo hali angalia watu wengi wanavyopata uchungu wakiskia hizi nyimbo, Mwakasege alishawahi kusema kifo huwa kinaachia nguvu fulani

The first time I heard this song ,I was going to my best cousins funeral and everytime I miss her I listen to it 💖
Huwa napata uchungu mkubwa nikiwa nasikiliza nyimbo za hii kwaya :Umepoteza Dira, Wahurumieni, Siyo Sisi, Vumilia nk nikifikiria Mwl Reuben Ndoshi alivyotunga nyimbo zinazohusu ufalme wa Mungu tu na zenye nguvu za Mungu. Nawaomba sana wapendwa msikilize hizi nyimbo za injili za zamani zina UPAKO sana kuliko hizi za sasa. Naamini Wakina Fanuel Sedekia na Angela Chibalonza watakuwa wamempokea Paradiso dah alikuwa anatembea na Uungu ukitaka uone hiyo hali angalia watu wengi wanavyopata uchungu wakiskia hizi nyimbo, Mwakasege alishawahi kusema kifo huwa kinaachia nguvu fulani
Who is Reuben Ndoshi, Sorry, RIP Reuben Ndoshi
Your song is so toughing!
2023 moto
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana
Ndoshi Kwaheri baba
Daa duniani sio wenyeji bali wenyeji wetu upo mbinguni
Hivi Reuben Ndoshi alifariki ? Kwanini naona R. I. P
Alipata ajali ya gari
Tuonane Paradiso
Mic sana mr ndoshi tutaonana paradiso
Jofrey Yunga tutaonana. Paradiso ndoshi pumzika
Dah?????ndoshi