Bethel Gospel Sifa Lipo Jibu Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

ความคิดเห็น • 143

  • @wilsonngumbuke4482
    @wilsonngumbuke4482 หลายเดือนก่อน +2

    Huu ndio muziki wa Injili achana na gospel music.....albamu ya WAHURUMIENI.... ilitungwa kwa uongozi wa Roho Mtakatifu nyimbo zote lazima zikusogeze uweponi mwa Mungu.

  • @lwanzalionay8078
    @lwanzalionay8078 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sana kwa kuimba katika roho na kweli. Hakika Roho Mtakatifu aliwaongoza kutunga wimbo huu ndio maana unabaki mpya siku zote

  • @denisalphonce-mo7pb
    @denisalphonce-mo7pb ปีที่แล้ว +7

    Album nzima ya WAHURUMIENI ilikua na itaendelea kuwa bora. Nyimbo zote zina UKUU wa Mungu ndani yake. Hallelujah!!!

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nyimbo za zamani za kiroho zilikuwa na heshima sana, akina mafuta ya upako wala keki watu walipona kwa ujumbe wa uimbaji tu

  • @davidkilajaga8842
    @davidkilajaga8842 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika wimbo huu Una ni fariji sana Hallelujah ❤

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 2 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo unanikumbusha mbali sana 🪴 Mungu awabariki sana kazi iendelee 💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @user-cq1sm5gv2g
    @user-cq1sm5gv2g 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wapiga vyombo nao ni hatariii, nyie waimbishaji hatariii, wanakwaya wote ni hatarrrri.

  • @robbyjacob347
    @robbyjacob347 ปีที่แล้ว +4

    Aise hatimaye nimeupa kila siku nausikiliza Wapo FM halafu unakatishwa. Mungu awabariki sana watu wa MUNGU kwa jumbe na mahubiri yenu yanayoishi hadi sasa. 🙏🙏🥰

  • @brianjonathan5516
    @brianjonathan5516 2 ปีที่แล้ว +5

    hivi huyu mtumishi aliyetunga hizi nyimbo yupo? alitulia nimesmis kila tamasha kubwa hapa dar es salaam hii kwaya ilikuwa haikosi kweneye jukwaa 2005 iyo

  • @emmanuelmashishanga7141
    @emmanuelmashishanga7141 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtunzi wa nyimbo hizi kiukweli roho wa Mungu alikuwa pamoja naye

  • @oscarnyalule1293
    @oscarnyalule1293 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe nanyimbo zenuzote zinanibariki sana kweli KWAMUNGU hakuna kuzeeka❤❤❤😅😅😅

  • @YasintaCharles-zg5bi
    @YasintaCharles-zg5bi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Lipo jibu la maisha yangu 2023

  • @josephrichard6342
    @josephrichard6342 ปีที่แล้ว +2

    MUNGu awawezeshe naamini Bado mupo vizuri mungu awabariki

  • @mercynadia3140
    @mercynadia3140 2 ปีที่แล้ว +2

    Kikosi Cha mizinga hapa shetani ,alikaa kwakweli,much love from2022 hakika liko Jibu

  • @medadiissa324
    @medadiissa324 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakuona hapo NAOMI DANKAN una solo wimbo

  • @DafrosaSanya-fk6zz
    @DafrosaSanya-fk6zz 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli Mungu azidi kuwabariki sana popote mlipo

  • @reaganbeatuys5382
    @reaganbeatuys5382 5 ปีที่แล้ว +7

    Huwa nakumbuka mbali saana nikisikia wimbo huu machozi hunitoka

  • @josephrichard6342
    @josephrichard6342 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo unanibariki sana najisikia amani sana

  • @user-cq1sm5gv2g
    @user-cq1sm5gv2g 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bonge la wimbo hongereni sana sijui ht mnaendeleaje na utumishi, Mungu awatunze

  • @comradejonasrwegoshoramwal5727
    @comradejonasrwegoshoramwal5727 5 ปีที่แล้ว +5

    Amani ya Bwana iwe na watu hawa. Nyimbo hii ilinibariki sana.

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว +2

    Inawezekana Hosanna Chetani a lichindwa ku Mu salaba ku Golgotha Amen Shalom Shalom Amen Amen Hallelujah Mubarikiwe kamwe

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว +3

    Hallelujah hallelujah Hallelujah Hosanna Hosanna Ndio Inawezakana N’a Yesu Mu barikiwe DAIMA Amen Amen And Amen

  • @LenadiGodwini
    @LenadiGodwini ปีที่แล้ว +1

    Mungu awenanyi daima waimbaji hii nyimbo niinjili tosha mungu awappe uzima

  • @romanmathias5238
    @romanmathias5238 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika lipo jibu kwa Mungu, kwake hakuna gumu.

  • @منصورالهلالي-ض4ه
    @منصورالهلالي-ض4ه 4 ปีที่แล้ว +3

    Sitakata tamaa. Najua jibu lipo

  • @LucyYasin
    @LucyYasin ปีที่แล้ว +1

    Hakka huuuu wimbo ni umesheheni maneno ya hekima balikiwa sana kwaya hiii❤

  • @hobokelastephen3848
    @hobokelastephen3848 หลายเดือนก่อน

    Hakika hakuna gumu kwa Mungu

  • @hurumamboya3072
    @hurumamboya3072 4 ปีที่แล้ว +5

    Kikosi kazi nakimisi sana

  • @johnambrose7223
    @johnambrose7223 2 ปีที่แล้ว +3

    wimbo mtamu sana

  • @barakamwacha8507
    @barakamwacha8507 ปีที่แล้ว

    Nyie mungu ni mwema mbarikiwe sana

  • @jenimbogela1370
    @jenimbogela1370 4 ปีที่แล้ว +5

    Lipo jibu lamaisha yangu 🥰

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen hallelujah Dadaaaaaaa mupendua Shalom Shalom Amen

  • @elizabethmakunzo7529
    @elizabethmakunzo7529 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakumbuka mbali huu kwakweli Mungu ni mwema.

  • @getajo1153
    @getajo1153 3 ปีที่แล้ว +2

    Miaka 16 imepita sasa,,,

  • @wissmantengio4699
    @wissmantengio4699 4 ปีที่แล้ว +3

    Iliwezekana kwangu na hakika sikukata tamaa! Mubarikiwe sana!

  • @wissmantengio4699
    @wissmantengio4699 4 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mzuri! Napenda kuusikiliza sana! Mbarikiwe sana!

  • @alexkibwe9544
    @alexkibwe9544 5 ปีที่แล้ว +7

    Natoka machoz nisikiapo wimbo uu akuna rinaloshindikana kwa mungu

  • @TittoKiyeyeu
    @TittoKiyeyeu หลายเดือนก่อน

    Kwerikabisa mungu yupo

  • @lucyswila856
    @lucyswila856 4 ปีที่แล้ว +2

    lipo jibu la maisha yako,usikate tamaa love too much Bethel

  • @EuniceNyanda-g7j
    @EuniceNyanda-g7j หลายเดือนก่อน

    Amina waimbaji wote mko vizuri

  • @nuruanafisoo4220
    @nuruanafisoo4220 ปีที่แล้ว +1

    Kaka ndoshi mwendo umeumaliza kaz yako inaishi

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii kwaya Bado ipo jamani ! Nawapenda Sana hii ni albam bora kweli kweli ! Lipo jibu kwa MUNGU hakuna linaloshindikana kwa MUNGU popote mlipo waimbaji mbarikiwe Sana na MUNGU awape nguvu muendelee kutuletea ujumbe wa MUNGU kupitia uiambaji wenu

    • @johncharlessingano8551
      @johncharlessingano8551 3 ปีที่แล้ว +1

      Tupo Salama na tunaendelea vizuriii sanaa

    • @smmak7140
      @smmak7140 3 ปีที่แล้ว

      @@johncharlessingano8551 hakika hiki kilikuwa ni kikosi kazi hatari sana ! Albam vipi ?

    • @johncharlessingano8551
      @johncharlessingano8551 3 ปีที่แล้ว

      Naomba utuombee na usubiri kwa hamu mwaka huu hauishi baba karibu pia kanisani kwetu BETHEL CHURCH KIWALANI..

    • @smmak7140
      @smmak7140 3 ปีที่แล้ว

      @@johncharlessingano8551 naam tuombeane uzima mungu atupe uzima tu ! Nawaombea mfanikishe kutoa albam naamini itakuwa Bora kama lipo jibu japo tutamkosa soloist matata sana !

  • @josephrichard6342
    @josephrichard6342 ปีที่แล้ว

    Kila siku natamani kuusikiliza unanibariki sana

  • @lightnessdaniel2820
    @lightnessdaniel2820 5 ปีที่แล้ว +4

    wooow unataka nn Bwana akutendee? sichoki kuwatazama Mungu awabariki saana

  • @wankobadan3030
    @wankobadan3030 5 ปีที่แล้ว +6

    Hakika Bwana awabariki sana, 2006 niliwaona,pale yombo vituka, mliwasha moto hatar, nawaombea, sijui kama,bado wapo?

    • @tunuazizi8348
      @tunuazizi8348 5 ปีที่แล้ว

      bado wapo

    • @wankobadan3030
      @wankobadan3030 5 ปีที่แล้ว +1

      @@tunuazizi8348 wapo wap siku hizi, au ni huko yombo

    • @tunuazizi8348
      @tunuazizi8348 5 ปีที่แล้ว +1

      ndio wapo Yombo.ila huyo Kaka ,(Sololist wao)Amefariki kwa ajari mwezi wa 4 akiwa anaenda Sumbawanga.

    • @wankobadan3030
      @wankobadan3030 5 ปีที่แล้ว

      @@tunuazizi8348 ooh pole sana, so pole sana, we uko wap,, hebu nitafute kwa namba hii

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว

      @@tunuazizi8348 mwezi wa nne mwaka huu wa 2019 ?

  • @lucysimbeye560
    @lucysimbeye560 4 หลายเดือนก่อน

    Wimbo huu unanibariki sana

  • @norveskapombe1923
    @norveskapombe1923 6 ปีที่แล้ว +9

    jamani hawa jamaa wapo kweli, daah nakumbuka cku moja jangwani waliwasha moto 2004 kwenye mkutano wa injili,aisee wapo kweli hawa jamaa

    • @emmanuelzani502
      @emmanuelzani502 5 ปีที่แล้ว

      norves Kapombe ndiyo wapo, isipokuwa mwalimu wao amefariki kwa ajali ya Gari.

    • @catherinesingano2331
      @catherinesingano2331 4 ปีที่แล้ว

      Wapo

    • @mathiasgau9493
      @mathiasgau9493 3 ปีที่แล้ว

      Yes the BIG NOEMBER walkuwa hataree sanaaa hawa,Mungu awaweke saanaa....R.I.P MWALIMU

  • @josephrichard6342
    @josephrichard6342 ปีที่แล้ว

    Unahitaji Nini kwabwana jibu lipo

  • @sylviaashuma5815
    @sylviaashuma5815 6 ปีที่แล้ว +3

    najipa moyo lipo jibu xiku moja nitanyeshewa baraka ya ajabu maanake mwanadamu hawezi nitendea kama maulana wangu.

    • @alnoorjumanne9743
      @alnoorjumanne9743 6 ปีที่แล้ว

      wapendwa watu Wa Mungu tunaomba albam yenu mpia .

  • @NeemaMango-k7j
    @NeemaMango-k7j หลายเดือนก่อน

    Wako wap waimbaji wenye kujistili kama wazaman

  • @francisvictor987
    @francisvictor987 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli kwa mungu yawezekana

  • @ginzerakitojo
    @ginzerakitojo ปีที่แล้ว

    Jamniii congratulations

  • @bestonmtazama8736
    @bestonmtazama8736 ปีที่แล้ว +1

    Nawakubali Sana mungu awabarikini

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว +1

    Acsenti. Ba pendwa Choirs y’a Nguvu na Powers tena na Impact

  • @octavinamsagamasi5858
    @octavinamsagamasi5858 3 ปีที่แล้ว +6

    Good song.
    Always gives me power to move ahead

  • @elishamosha9593
    @elishamosha9593 4 ปีที่แล้ว +1

    ndugu naomba jibu huyu dada anaitwa Ann Annie

  • @johnmamba1810
    @johnmamba1810 5 ปีที่แล้ว +4

    Asanteni sana, mumenibariki sana kwa wimbo huu

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว +5

    Wadau Jamani hii kwaya bado ipo ? Maana walikuwa wanatisha balaaa nakumbuka kwenye mkutano mmoja wa injili dar waliwasha moto kwelikweli !

    • @catherinesingano2331
      @catherinesingano2331 4 ปีที่แล้ว

      Bado wapo

    • @Graceabondante470
      @Graceabondante470 4 ปีที่แล้ว

      What part of Africa are they from

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 4 ปีที่แล้ว

      @@Graceabondante470 from Tanzania dar es salaam city

    • @johncharlessingano8551
      @johncharlessingano8551 3 ปีที่แล้ว

      @@Graceabondante470 Tanzania 🇹🇿 we are from Tanzania Dar es Salaam..BETHEL CHURCH YOMBO KIWALANI

  • @monicamadiwa806
    @monicamadiwa806 6 หลายเดือนก่อน

    Nikisikilizaga huu wimbi napata faraja kubwa sana moyoni kwamba ipo siku nami nitafanikiwa

  • @neemasanga5998
    @neemasanga5998 4 ปีที่แล้ว +3

    Lipo jibu la shidaaa yaaakoo amen

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว +2

    Choirs muzuri y’a Chewo

  • @princemlawatz2328
    @princemlawatz2328 4 ปีที่แล้ว +2

    Lipo jibu betheri

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi muzuri sana y’a Mungu mu n’a tumika Nyimbo muzuri za ma fundisho mu n’a vala manguwo za Mbingu Amen Mungu a mibariki wote Asenti sana wapendwa

  • @castermwono2005
    @castermwono2005 4 ปีที่แล้ว +3

    O my God 2005 memories still fresh....can anyone tell what lipo jibu mean? We just used to listen to this music so much

    • @robertmasalu4466
      @robertmasalu4466 4 ปีที่แล้ว +1

      "Lipo Jibu" There is an anwer to God, ask and pray anything He shall provide....

  • @warrenhenrick5565
    @warrenhenrick5565 5 ปีที่แล้ว +5

    Waooooooooh nice to see u Bethel again, ubarikiwe ulie upload hii kitu so blessing

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 2 ปีที่แล้ว +3

    Maendeleo kusikiliza ngomahii 2022
    Lipo jibu la maisha Yako
    th-cam.com/video/d-3kQOSW-NIh/w-d-xo.htmlttps://th-cam.com/video/d-3kQOSW-NIh/w-d-xo.htmlttps://th-cam.com/video/d-3kQOSW-NIh/w-d-xo.htmlttps://th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html

  • @YasintaCharles-zg5bi
    @YasintaCharles-zg5bi หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaa.

  • @anthonynjau3292
    @anthonynjau3292 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana,💪

  • @erickmsimbe5424
    @erickmsimbe5424 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli lipo jibu kwangu mwezi huu wa 4 _2024

  • @josephrichard6342
    @josephrichard6342 2 หลายเดือนก่อน

    inawezekana

  • @josephrichard6342
    @josephrichard6342 2 หลายเดือนก่อน

    supplies to you 5:09

  • @GraceMacha-uh5zo
    @GraceMacha-uh5zo ปีที่แล้ว

    Liko jibu

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว +1

    Alafu Na Iyi Wimbo Amen

    • @kiptoobii5700
      @kiptoobii5700 2 ปีที่แล้ว

      I like this songs so much l wish to now where this choir is in Tanzania

    • @kiptoobii5700
      @kiptoobii5700 2 ปีที่แล้ว

      God bless you all and just now you make me happy for your songs

  • @medalynjovu2160
    @medalynjovu2160 6 ปีที่แล้ว +4

    Hakika MUNGU wetu ashindwi na kitu yote yawezekana kwake.Tazama ww ni bwana,MUNGU wa wote wenye mwili Je kuna jambo gumu lolote asiloljweza.

    • @mariabudabya3351
      @mariabudabya3351 6 ปีที่แล้ว

      Wapo Wapi jamani walikua vizuri

    • @alnoorjumanne9743
      @alnoorjumanne9743 6 ปีที่แล้ว

      Asante bethel kwa nyimbo zenu zinanifariji sana .Mungu awainue ktk Huduma yenu .

  • @allykimwanga7147
    @allykimwanga7147 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawamisi sana hawa watu

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว +2

    Congratulations God Blesses you guys Beautiful song

  • @charityezekiel3525
    @charityezekiel3525 4 ปีที่แล้ว +2

    These songs have living power...

  • @tsumiduwe1406
    @tsumiduwe1406 6 ปีที่แล้ว +4

    I love this choir 2004 they done very well i like this sir how was singing

    • @salumzuberi5058
      @salumzuberi5058 6 ปีที่แล้ว

      Aise wimbo huu wanikumbusha .mwaka 2004 dar=essalam wapo radio na praise power radio ilihiti sana mbarikiwe sana ongezen nyimbo zingine

    • @omarinziku9328
      @omarinziku9328 4 ปีที่แล้ว

      Yes

    • @johncharlessingano8551
      @johncharlessingano8551 3 ปีที่แล้ว

      Endelea kutuombea tutaachia Ngoma mpyaa

  • @robertgordon2745
    @robertgordon2745 4 ปีที่แล้ว +2

    mic u bethel

  • @mariabudabya3351
    @mariabudabya3351 6 ปีที่แล้ว +4

    Wapo kweli hawa

  • @lameckmotongori9729
    @lameckmotongori9729 ปีที่แล้ว

    Kuriagospel

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa yeyote yule anaowafaham vizuri waimbaji wa kwaya hii anipe taarifa sahihi kuhusu huyu soloist wa kiume kuna siku niliona mdau mmoja ameandika eti alishafariki kwa ajali ya gari ! Je hizo taarifa ni kweli ? Please inform me

    • @tumainimgaya633
      @tumainimgaya633 4 ปีที่แล้ว

      Damian Makala Ni kweli alifariki mwaka jana mwezi wa nne

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 4 ปีที่แล้ว

      @@tumainimgaya633 aise dah

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 4 ปีที่แล้ว

      @@tumainimgaya633 bado wanaimba na je wana albam mpya tofauti na hii ? yaan hii kwaya naipenda sana

    • @erickmbua5034
      @erickmbua5034 4 ปีที่แล้ว

      Yaani imeniuma kweli nakumbuka niliwahi kwenda kanisani kwao siku nyingi Sana nilikuwa bado sijamjua Yesu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @emmanuelmashishanga7141
    @emmanuelmashishanga7141 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @LameckSilinu
    @LameckSilinu 6 ปีที่แล้ว +2

    Very nice!

    • @stevemrope3935
      @stevemrope3935 6 ปีที่แล้ว

      Lameck Silinu0762197519 mzuri sana mbarikiwe sana

  • @seams112
    @seams112 6 ปีที่แล้ว +1

    NIMEUSAKA WIMBO HUU ALL OVER!!!

    • @marthacosmas8916
      @marthacosmas8916 4 ปีที่แล้ว

      Amina! nimebarikiwa sana na wimbo huu

  • @EuniceNyanda-g7j
    @EuniceNyanda-g7j 13 วันที่ผ่านมา

  • @bonifacemwakyomawaleo2532
    @bonifacemwakyomawaleo2532 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice song

  • @mercynadia3140
    @mercynadia3140 2 ปีที่แล้ว

    Liko Jibu hakika 2022

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว +5

    Soloist umetuachia kumbukumbu ya milele kamwe haitafutika brother ! Hivi ni kweli hizi taarifa ni za kweli au ni porojo huyo soloist alishafariki kweli ?

    • @mbakimwakilema2043
      @mbakimwakilema2043 5 ปีที่แล้ว +1

      Kama amekufa kweli huyu sololist nimeumia sana maana nilitamani siku moja nimwone ,lakini ashukuliwe mungu kama amekufa akiwa bado anamtumikia

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mbakimwakilema2043 sina uhakika maana hata mie nimeona mtandaoni , kama kuna mwanakwaya au mtu anaemfahamu huyo soloist atuambie ukweli ni upi maana mi huyo huwa namkubali sana tena

    • @mbakimwakilema2043
      @mbakimwakilema2043 5 ปีที่แล้ว

      Nashukuru kwahilo ndugu maana nimeshituka dada namkubali sauti yake ilfikisha ujumbe mungu sawsawa moyoni mwangu

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mbakimwakilema2043 ila kuna mtu humu mtandaoni alithibitisha kuwaalifariki kwa ajali ya gari

    • @maxneemanngunda4911
      @maxneemanngunda4911 4 ปีที่แล้ว

      Jamani mbarikiwe sana

  • @devidking6358
    @devidking6358 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤