TAZAMA ALICHOKIFANYA BEATRICE MWAIPAJA ALIPOIMBA WIMBO WA DHAHABU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 154

  • @NelxonOtego
    @NelxonOtego 9 วันที่ผ่านมา

    God bless u sister,wacha ningare kama dhahabu naipenda hvyo song sana❤❤❤ kweli ubarikiwe ❤

  • @mariammwandago7606
    @mariammwandago7606 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki B. fanya kazi ya Mungu.

  • @MarthaIrene-b2v
    @MarthaIrene-b2v หลายเดือนก่อน +3

    Wimbo huu unanifariji ,sababu mimi nimzarauliwa ndani ya famillia hata huko nje ila naamini kesho zaabu yangu itaangaa ndani mwangu sababu Mungu ame'itengeneza

    • @hellenjeremiah6423
      @hellenjeremiah6423 7 วันที่ผ่านมา

      Tafuta sehemu nzuri ya kuzungumuza na Mungu mwambie akutenganishe na roho za kukataliwa na mafarakano Mungu wetu hajawahi kushindwa

  • @FrancinejenniferHappy
    @FrancinejenniferHappy 26 วันที่ผ่านมา +2

    Napenda sana wewe na Martha ,ila nakuomba Dear mujiuonge pamoja kwa upenda mambo ya mikokotano yaishe fungeni kesi mbanaaa👀,Unileianjisha ni ww na piya waki imaliza ni wew Dear Breatrice , musameheyane kwa yote , yaani mumenipa homa kali bwana . Ambiya piya Bibi atuliye Martha atarudi kwake ila wakati bb anazidi kujibu kwa kila mipasha habari anayachanganya mawazo ya Mama Martha zaidi. Nawapenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RizikiBikyeombe-v7u
    @RizikiBikyeombe-v7u หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki sana sister b napenda sauti yako sana ❤❤❤❤

  • @Niika870
    @Niika870 หลายเดือนก่อน +3

    Kazana,safi sana na sisi walevi kweny baa tunakuunga mkono achana na mashoga yale maumbwa,Mungu akubariki tunza mama yako❤❤

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akutee na mama yako

  • @SelinaNgari-j5d
    @SelinaNgari-j5d ปีที่แล้ว +1

    Mungu azid kukupandisha viwango vya juu dadangu

  • @MIRIAMOKECHI-d3i
    @MIRIAMOKECHI-d3i ปีที่แล้ว +1

    Mwana dada kweli unani namba Keziah from Kenya

  • @EmmanuelKazimili-ky1ss
    @EmmanuelKazimili-ky1ss 9 วันที่ผ่านมา

    Amina madam kaz nzur dada yako kwako akasome siku moja atakuheshimu kazana

  • @revkomutv7533
    @revkomutv7533 หลายเดือนก่อน +1

    Love this gal from kenya.plan to visit

  • @SaadaNdaro
    @SaadaNdaro 21 วันที่ผ่านมา

    Sauti nzuri wimbo mzuri kaza mwendo bitte

  • @WycliffeWanjala-z9n
    @WycliffeWanjala-z9n หลายเดือนก่อน

    love you with your sister martha mungu awabariki from kenya 🇰🇪

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @florenceishengoma3424
    @florenceishengoma3424 18 วันที่ผ่านมา

    Beauty beyond Psalms 139:14

  • @ChrispineOtieno-mm3mt
    @ChrispineOtieno-mm3mt ปีที่แล้ว +2

    Nice inspiring Song

  • @NeemaRameck
    @NeemaRameck 13 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwa sana mfariji mama Yako achana na wasagaji

    • @HelenNyaulingo
      @HelenNyaulingo 2 วันที่ผ่านมา

      Mbona kenyewe kamalaya na amsemi ndomana akanenepi'

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada bitrise,Ukweli umweka huru yyte yule.Umetoa yakifuani mwako mungu atajibu namaisha ytabadilika.

  • @NeemaRameck
    @NeemaRameck 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu akufunike na mama Yako akupandishe juu

  • @beatricemmwimbaji1896
    @beatricemmwimbaji1896 7 หลายเดือนก่อน +3

    Amen❤❤❤❤som som..Mungu Azdi kuinua Mutushi wewe siwakawainda🙏

  • @RaheemaMosa
    @RaheemaMosa หลายเดือนก่อน +2

    Nampenda bite❤❤❤❤❤

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuinue sana dada yangu.

  • @FemidaMaila
    @FemidaMaila หลายเดือนก่อน +5

    Nawapenda wewe na Dada yako

    • @EsthterIbrahim
      @EsthterIbrahim 18 วันที่ผ่านมา

      Ameeni tunawapnda wote ❤❤❤❤

  • @leah5307
    @leah5307 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mungu akupe maisha mrefu ❤❤❤

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 หลายเดือนก่อน

    Hongera sanaaa mungu atakubariki na indelea kua karibu na mama♥️🌹♥️🌹

  • @nicholaskavuwa6780
    @nicholaskavuwa6780 หลายเดือนก่อน

    Youre a blessing to us dada sauti wsuh wow God is good

  • @SelinaNgari-j5d
    @SelinaNgari-j5d ปีที่แล้ว +1

    Walio kucheka mungu awanyamazishe

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sn Beatrice, Mungu Akubariki sn, Akuinue juu zaidi❤

  • @RehemaKirwey
    @RehemaKirwey หลายเดือนก่อน

    Mungu akupandishe Zaid na Zaid dada nakupenda bure

  • @NamapesaLungweEstelletoujo-k4v
    @NamapesaLungweEstelletoujo-k4v หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubari dada Béatrice wmaipaja

  • @AsiaMohammed-gp3bf
    @AsiaMohammed-gp3bf ปีที่แล้ว +7

    Nawapenda bule wew na dada ako ❤

  • @hellenjeremiah6423
    @hellenjeremiah6423 7 วันที่ผ่านมา

    Nimepata wimbo wa wedding 😢

  • @RebeccaDiris
    @RebeccaDiris หลายเดือนก่อน

    Amena mena dada mungu akubariki

  • @Mligobmligo
    @Mligobmligo 27 วันที่ผ่านมา +1

    Dada yangu huyooo!

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 หลายเดือนก่อน +1

    hawa ni damu moja wanafanana kwa sana ila mara nyingi watoto wafatanao kuzaliwa tunawaona kama hawako pamoja lkn wanapendana mno

  • @MarthaMakeula-n8u
    @MarthaMakeula-n8u หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi

  • @PaulinaRaphael-dk1zj
    @PaulinaRaphael-dk1zj หลายเดือนก่อน

    Amina sana dad mungu akubariki

  • @flonzakemmy3975
    @flonzakemmy3975 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin หลายเดือนก่อน +1

    That's true my dear beatres

  • @MariamDilla
    @MariamDilla หลายเดือนก่อน

    MUNGU azidi kukuinua Mtumishi Beatrice 💪🏾💐💐💐❤️👏👏👏🔥🙏🇹🇿

  • @AnnastaziaVicent
    @AnnastaziaVicent หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @omarnsekela7153
    @omarnsekela7153 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana jinsi unavyomtetea mama yako

  • @TessyGodfrey
    @TessyGodfrey ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa ssna❤

  • @MayungaBundu
    @MayungaBundu หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe achana na mashoga

  • @saumuchikololo40
    @saumuchikololo40 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana

  • @ImaeImae-p3v
    @ImaeImae-p3v หลายเดือนก่อน

    Mungu akubalik

  • @EfrahimMahomboyo
    @EfrahimMahomboyo หลายเดือนก่อน

    Hogera sana dada sanasana nimekupads

  • @MercySanya-sn8gu
    @MercySanya-sn8gu หลายเดือนก่อน +1

    Sauti nayo unato dada message nayo ipo kabisa lakini omba kibali na your own blessing

  • @eliasmwambwiga
    @eliasmwambwiga หลายเดือนก่อน

    Mungu awashindie jalibu

  • @Juliethaglamsen
    @Juliethaglamsen หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sanaaa

  • @Zainalungwe
    @Zainalungwe หลายเดือนก่อน

    God bless you

  • @NelsonMakoye
    @NelsonMakoye หลายเดือนก่อน

    Hongera beatrice

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 8 วันที่ผ่านมา

    Kwakumwanika mwezenu mkovizili sana

  • @MayungaBundu
    @MayungaBundu หลายเดือนก่อน

    Saf❤❤❤❤❤❤

  • @Elizabeth-z7g2q
    @Elizabeth-z7g2q หลายเดือนก่อน

    Amina dada

  • @MijoolisaitabauLukumay
    @MijoolisaitabauLukumay หลายเดือนก่อน

    Amin ❤❤❤❤

  • @NyangeMagere
    @NyangeMagere หลายเดือนก่อน

    Barikiwe kipenzi 😍

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @NasraSaidi-dq7fh
    @NasraSaidi-dq7fh หลายเดือนก่อน

    Hongera

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 หลายเดือนก่อน

    Duh naupenda huu wimbo 🎉🎉🎉

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s หลายเดือนก่อน

    Kazuriiiiii

  • @FemidaMaila
    @FemidaMaila หลายเดือนก่อน

    Alaf saut iko zur sana

  • @MijoolisaitabauLukumay
    @MijoolisaitabauLukumay หลายเดือนก่อน

    Amin ❤❤❤
    6:52

  • @shadrackosabil6354
    @shadrackosabil6354 ปีที่แล้ว +1

    Amen🎉🎉🎉❤

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 หลายเดือนก่อน

    Ameen nawapenda

  • @JanetNafula-k2k
    @JanetNafula-k2k หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe dada

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RitaNjoga-fl9di
    @RitaNjoga-fl9di ปีที่แล้ว

    Amen beaty

  • @JosephJuma-i2y
    @JosephJuma-i2y หลายเดือนก่อน

    Powerful

  • @DianaFabian-p1d
    @DianaFabian-p1d ปีที่แล้ว

    Amina sana

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 หลายเดือนก่อน

    Ameen❤️❤️❤️❤️❤️

  • @ImaculathaMasuka
    @ImaculathaMasuka หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri.wew ni mdogo lakin umetambua wazazi.

  • @MwasitiMasoud-j8j
    @MwasitiMasoud-j8j หลายเดือนก่อน

    Mimi nakushukulu sana

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 8 วันที่ผ่านมา

    Achakumwanika mwezio mitandaoni

  • @JulienFatuma
    @JulienFatuma หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe

  • @luciennedukuze2213
    @luciennedukuze2213 หลายเดือนก่อน

    Amen,amen

  • @MayungaBundu
    @MayungaBundu หลายเดือนก่อน

    Saf sana

  • @husnakambi1522
    @husnakambi1522 หลายเดือนก่อน

    Mmefanana hadi mipindo ya miguu

  • @dorcasmwakitau2169
    @dorcasmwakitau2169 ปีที่แล้ว

    Ameen❤

  • @susanmaina5646
    @susanmaina5646 ปีที่แล้ว

    Amen❤❤❤

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er หลายเดือนก่อน

    🥰♥️♥️♥️

  • @misspolly4304
    @misspolly4304 ปีที่แล้ว

    Ameni❤

  • @ÉliséRuth-b6p
    @ÉliséRuth-b6p หลายเดือนก่อน +1

    Dada Béatrice ka inakuwa concurrence ? Achat wivu dd iyo nyimbo Yako inaonesha kama uko nasikilia dd Yako wivu. Kila mtu iko n'a neema yake. Ungelijuwa kama gisi unavyoimba aunge l'ETA izo tamasha Ku ma resaux socio , ungekaa kimya n'a kuhomba mungu akupatie kama vile alivyo bariki dd Yako.🎉

    • @Nyanchama_zn
      @Nyanchama_zn หลายเดือนก่อน

      Giza na mwanga hazipatani kw taarifa Yako ‼️In short you don't want her to say the truth!Let her speak for the truth shall set her free

    • @RabianaMakoga-r5h
      @RabianaMakoga-r5h หลายเดือนก่อน

      Ukwel gani kaongea Kwann yey asimsaidie mama ake mnafk tu huyu

    • @MarthaIrene-b2v
      @MarthaIrene-b2v หลายเดือนก่อน

      Mbele ya kuandika soma kwanza wimbo ni wa mwaka mmoja ,kama umeutazama leo sio hivyo ,muache kupaka zambi mafuta

  • @ElizaNguno
    @ElizaNguno ปีที่แล้ว

    That's true life

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 หลายเดือนก่อน +1

    kumb huyu dada anajua kuimba kuliko dada yake

  • @YohanaKivuyo-u3w
    @YohanaKivuyo-u3w หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EMMYMBILINYI-r3h
    @EMMYMBILINYI-r3h ปีที่แล้ว

    Umeupiga mwingi dada

  • @IreneMsile
    @IreneMsile หลายเดือนก่อน

    Hii ni nyimbo yangu pendwa jamani japo nanga'ara bila dhahabu😢

    • @NasirKhan-u9g4f
      @NasirKhan-u9g4f หลายเดือนก่อน

      Wimbo unaitwa dhahabu

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x หลายเดือนก่อน

      ameimba huyu huyu au?

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 25 วันที่ผ่านมา

    USIKATE TAMAA BT OMBA MAOMBI MAKUBWA MAKUBWA NA UFUNGE ILI DADA NA MAMA NA WATOTO WENU MUWE NAO PAMOJA KUNA KESHO PIA NAYO NI SIKU MAANA DADA JOKA LA KISHEYTWAAN LIMEMZUNGUKA NA KUMUWEKEA KICHWA JUU YA KICHWA CHAKE .

  • @RizikiBikyeombe-v7u
    @RizikiBikyeombe-v7u หลายเดือนก่อน

    Endelea kumtunza mama usiangalie dada yako M

    • @DEBORAHMASANJA-yz3go
      @DEBORAHMASANJA-yz3go 29 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa ni ushauri mzuri sana barikiwa

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 8 วันที่ผ่านมา

    Unatakiwa utuombe msamaha mtandaoni ndipo unghale kama zahabu kama sivyo wewe nimnafiki tu

  • @miriammustafa5380
    @miriammustafa5380 หลายเดือนก่อน

    Ngoja Michele Kwanzaa kdg ww ni dhahabu kweli Kwa kuandika mambo ya familia uko vzr 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😏😏😏😏😏😏😏

  • @Winnie-k8r
    @Winnie-k8r หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🎉🎉❤

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely หลายเดือนก่อน +1

    Nawaombea mpatane na dada yako ipo siku mtcheza wote

  • @abigaelKweyu-q9h
    @abigaelKweyu-q9h หลายเดือนก่อน

    Sasa kafanyànini?

  • @ChausikuJuma-ic4fb
    @ChausikuJuma-ic4fb 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mamb

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 8 วันที่ผ่านมา

    Kama Martha amekuzindi mibalaka wewemuombe mungu akupe mibalaka usiwe kama Yakobo namama yake

  • @sharonkivuva4236
    @sharonkivuva4236 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s หลายเดือนก่อน

    Ivi kwanini hamkaoi haka ka dada nyie mbwa kadada kazuri ivi hamkaoni😓😓😓😓

    • @Filbert-pe2xm
      @Filbert-pe2xm หลายเดือนก่อน

      Hahaha hajaolewa kwani? Kama bado atakuwa bado hajafanya maamuzi

    • @DoriceEdward-l6s
      @DoriceEdward-l6s หลายเดือนก่อน

      @Filbert-pe2xm 😂😂😂😂😂😂

    • @DEBORAHMASANJA-yz3go
      @DEBORAHMASANJA-yz3go 29 วันที่ผ่านมา

      Hakuna mbwa hapa wote tumw umbwa kw mfano wa Mungu kama kun mtu ni mbwa basi hapo una sema Mungu mbwa