[VIDÉO] MARTA MWAIPAJA MUIMBAJI MAALUFU AONGEYA UKWELI AKIWA INCHINI DRC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 182

  • @MarianneHarerimana
    @MarianneHarerimana 10 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤Love you dada yangu Martha mungu aenderee kuwa pamoja nawe.mimi Ninaishi Burundi

  • @mrnhocomedy3804
    @mrnhocomedy3804 8 วันที่ผ่านมา +2

    I LOVE AND ENJOY YOUR MUSIC FOR IT Builds

  • @VictoriaNzuki-x1j
    @VictoriaNzuki-x1j 13 วันที่ผ่านมา +4

    Penda wewe sana Martha,mungu akuinue sana.❤❤❤❤

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 13 วันที่ผ่านมา +4

    The best gospel singer in Africa

  • @JohariSaliboko
    @JohariSaliboko 8 วันที่ผ่านมา +2

    Dada martha kama unaikumbuka hiyo nyimbo yako ya jaribu kwa mtu sio kama nimtenda dhambi ila nikikombe tu ambacho nilazima akinywe nakuelewa sana dada na ninakupenda sana na mungu atakupitisha kwenye jalibu lako

  • @GloryRuben
    @GloryRuben 13 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu amesema Na Mtumishi wa Mungu Martha ndoo akaja kuhudumu Congo ni Mungu tu yupo ndani Yake😊😊😊

    • @jesusdeliveranceclinicinte347
      @jesusdeliveranceclinicinte347 11 วันที่ผ่านมา +2

      @@GloryRuben Mungu yupi ? Miungu wako wengi. Dalili zitakujulisha ni mungu gani anatumikiwa. Kuweni makini shetani ni mtaalam kaishaingia kanisani

    • @frickchristina6175
      @frickchristina6175 10 วันที่ผ่านมา +1

      @@GloryRuben ohlala

    • @GloryRuben
      @GloryRuben 10 วันที่ผ่านมา +1

      @frickchristina6175 Nimeamua mwaka huuuu,?Ntaimba na Mutumishi wa Mungu! Martha! Wimbo mmoja tu

    • @GloryRuben
      @GloryRuben 10 วันที่ผ่านมา +1

      @jesusdeliveranceclinicinte347 Mwaka huuu ni wa Neeema tu

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 11 วันที่ผ่านมา +4

    Eee Mungu, umfariji mama Martha anaumia sana. Jioneshe Sasa.

  • @UweraFolarance
    @UweraFolarance 8 วันที่ผ่านมา +1

    Niko Rwanda mina kupenda sana martha

  • @JoshuaLazaro-eh9xs
    @JoshuaLazaro-eh9xs 5 วันที่ผ่านมา +1

    Sister Martha you should be transformed it is in your way ambayo umechagua kupita achana na freemason pia hata shusho aache freemason na umaraya amrudie mungu

  • @fayeemange
    @fayeemange 13 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda nyimbo zake dadangu...siku moja natamani anifunze kuimba pia😍

  • @Hellen-d6c
    @Hellen-d6c 13 วันที่ผ่านมา +5

    Congo mmebarikiwa sana kumpokea dada yetu wa Tanzania mwanamke wa thamani.
    Martha endelea kua salama ❤

    • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
      @BUNIATODAYINTERNATIONALE  13 วันที่ผ่านมา +1

      Vizuri sana tuna shukuru

    • @Hellen-d6c
      @Hellen-d6c 13 วันที่ผ่านมา

      @@BUNIATODAYINTERNATIONALE amen naamini yuko mikono salama na atazidi kua salama kwa ulinzi wa Mungu na ninyi kwa ujumla. Amen 🙏

    • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
      @BUNIATODAYINTERNATIONALE  13 วันที่ผ่านมา +1

      @Hellen-d6c ndiyo Wala kwahilo musijali kwanza tunge penda aende KUWA APA hâta mwezi mmoja tu akituimbiya✨✨✨✨🇨🇩🇹🇿🇨🇩🇹🇿🇨🇩🇹🇿🇨🇩🇹🇿🇨🇩🇹🇿🌹🌹🌹

    • @Hellen-d6c
      @Hellen-d6c 13 วันที่ผ่านมา +2

      @BUNIATODAYINTERNATIONALE hahahaha no arudi bana we missed her

    • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
      @BUNIATODAYINTERNATIONALE  13 วันที่ผ่านมา +2

      Yéyé amakubali kubaki na WA congo 🇨🇩 ❤️ sasa tunamupenda sana kwahiyo muta vumiliya mwezi mumoja

  • @mariambokero6920
    @mariambokero6920 10 วันที่ผ่านมา +3

    Ngoja nikae kimya

  • @MumEugene
    @MumEugene 7 วันที่ผ่านมา +1

    Congratulations I wish to have a collabo with you

  • @Beagasper
    @Beagasper 11 วันที่ผ่านมา +3

    Nilikua napenda Martha lakini sikuizi sikupendi Mungu anisamehe , Dhambi haitetewi inatubiwa.

  • @frickchristina6175
    @frickchristina6175 14 วันที่ผ่านมา +5

    U preach peace in bunia and you and yourself mother sister mna vita nyumbani...#vipofu

    • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
      @BUNIATODAYINTERNATIONALE  14 วันที่ผ่านมา +1

      Na ni vipofu ile wewe kabisa siyo powa

    • @frickchristina6175
      @frickchristina6175 14 วันที่ผ่านมา +2

      ​ @BUNIATODAYINTERNATIONALE ...and joan is martha girlfriend lesbians. This .is a big Shame in the Gospel Société 😢

    • @lovek6593
      @lovek6593 14 วันที่ผ่านมา +3

      Ata mwenye amemualika tuko na maswali nae.maybe NI walewale tu.ivi hakuona Sakata la Martha na mamake kwa media zote

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 13 วันที่ผ่านมา

      Hapo sasa

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 13 วันที่ผ่านมา +1

      ​@lovek65shetani km shetani anapenda kuunga mkono wenzie93

  • @floryatieno
    @floryatieno 12 วันที่ผ่านมา

    Martha we really love you thank you for coming on this show. I have a request for East Africans, can we try to use Kiswahili so that we can all understand even as we follow the show. She's authentic and beautiful. Martha karibu Kenya and let me know when you are coming, I would love to attend your show. Shalom

  • @UweraFolarance
    @UweraFolarance 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nilikua nakupanda lakini mungu wangu🤔🤔

  • @zainabseleman306
    @zainabseleman306 11 วันที่ผ่านมา +2

    Ibada njema inaanzia nyumbani

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 13 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani nampenda mathar sn watu wenye roho mbaya wapo asandugu jaanao mbali sn

  • @gloriakatikiro5945
    @gloriakatikiro5945 7 วันที่ผ่านมา +1

    Sio maalufu ni maarufu

  • @EneaIbrahim-z4j
    @EneaIbrahim-z4j 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ongea vizuri kiswahili kuwa mzalendo dada

    • @frickchristina6175
      @frickchristina6175 12 วันที่ผ่านมา

      @@EneaIbrahim-z4j joan na martha ni easagaji

  • @SalamaMusayi
    @SalamaMusayi 13 วันที่ผ่านมา +3

    Mutumishi wa mungu n'a kuku Bali sana

  • @Rachidikombi-z2c
    @Rachidikombi-z2c 10 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @GraceOtieno-vo3sj
    @GraceOtieno-vo3sj 14 วันที่ผ่านมา +4

    God still loves you

  • @Beagasper
    @Beagasper 11 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu dada anakiburi sanaa, anampa kiburi ni Christina shusho , lakini Yupo Mungu anaeona.

  • @JosiaswemaMumberevagheni
    @JosiaswemaMumberevagheni 14 วันที่ผ่านมา +4

    Karibu kwetu uswahilini butembo

  • @baliSkk
    @baliSkk 8 วันที่ผ่านมา +2

    The picture in that t-shirt has its own meaning those who know know.Sijui kama huyu dada anajua maana iliyo kwa picha kwa hiyo t-shirt

  • @VictoriaSalama-t2g
    @VictoriaSalama-t2g 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hii kiswahili y mtangazaji mm sielewi ht kidogo

  • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
    @BUNIATODAYINTERNATIONALE  15 วันที่ผ่านมา +1

    Vraiment merci

  • @jccintertv4848
    @jccintertv4848 14 วันที่ผ่านมา

    Vraiment Bunia today tv aller loins❤

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nyimbo za majivuno ,

  • @GRace-hm9ek
    @GRace-hm9ek 13 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏🙏 ubarikiwe sana

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 13 วันที่ผ่านมา +4

    Ndo wamekupa na hilo tisheti, yani kweli umepotea jamani,laaa!!!

  • @fredynjige5663
    @fredynjige5663 14 วันที่ผ่านมา +8

    Hiyo tisheti vipi

    • @lovek6593
      @lovek6593 14 วันที่ผ่านมา +3

      @@fredynjige5663 adi ako na uoga nayo kuionyesha yote🤣🤣

    • @yusuphmatinya8560
      @yusuphmatinya8560 13 วันที่ผ่านมา

      Mungu atawahukumu

    • @jesusdeliveranceclinicinte347
      @jesusdeliveranceclinicinte347 12 วันที่ผ่านมา

      Ni jicho moja ? Au ?

    • @PaulinMulundu-z4n
      @PaulinMulundu-z4n 12 วันที่ผ่านมา

      Uyu muimbaji alikuwa vizuri mwanzo, hivi dada, unajuwa ungelijuwa umeokowa wangapi kwenye nyimbo zako, ungekuwa muangalifu, usije ukaikosa mbingu, kwa Nini unamuliza mama yako, machozi ya mama dada

    • @jesusdeliveranceclinicinte347
      @jesusdeliveranceclinicinte347 11 วันที่ผ่านมา

      @@fredynjige5663 tshirt iko inachima roho kwenda kuzimu, shetani mjanja sana. Yesu endelea kuzifichua siri zao hawa

  • @EsterNdaru
    @EsterNdaru 13 วันที่ผ่านมา +4

    Kwani walimwambia avae nguo nyeusi tu huko congo

  • @louisemelly1965
    @louisemelly1965 13 วันที่ผ่านมา +1

    nakupenda sana Martha

  • @SharonAron-t1j
    @SharonAron-t1j 13 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa nini dadaangu Mather usingetrngeneza na mama jamani mi nakupenda na naamini unapendwa sana jishushe hakuna kosa kubwa kwa mama plz wewe umezaa unajua kuzaa nikuchungulia kifo plz mama yule anamaisha ya kuokota chupa jamani 😭

    • @terrence9477
      @terrence9477 12 วันที่ผ่านมา +1

      Acha uongo, yule mama na mume wake wako na maeneo (real estate) makubwa sana, sio maskini wale. Labda useme ni maskini relative to mali ya Martha lakini sio maskini kimaisha

    • @SharonAron-t1j
      @SharonAron-t1j 12 วันที่ผ่านมา +1

      @ kwa hiyo yule mama haokoti chupa aliongopa? Basi mimi sio mwongo bali mama wa Mather

    • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
      @BUNIATODAYINTERNATIONALE  12 วันที่ผ่านมา +1

      @terrence9477 kumbe Ndo hivyo

    • @RodaMaganga-ye6ye
      @RodaMaganga-ye6ye 12 วันที่ผ่านมา +2

      Acha kufatilia maisha ya watu kwani wewe uko sawa kwenye familia yako

    • @SharonAron-t1j
      @SharonAron-t1j 12 วันที่ผ่านมา +1

      @ huyo ni kufatiliwa ni lazima huoni anahojiwa? Kukumbushana haswa sisi watumishi tumeagizwa na Mungu

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 12 วันที่ผ่านมา +1

    Wakala was shetani huyo mnafiki Sana analoho chafu sanaaaas☠️👹☠️👹🤣🏃😭🤦

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 14 วันที่ผ่านมา +4

    Mamake analialia njaa kama msukule mikataba ya kuzimu freemason mapepo wachafu toka kwa jina la Yesu

    • @yusuphmatinya8560
      @yusuphmatinya8560 13 วันที่ผ่านมา

      Yanakuhusu omba macho yarihoni pia wewe sio mungu mwamzi Acha wivu

    • @Bilioneabichwa331
      @Bilioneabichwa331 12 วันที่ผ่านมา

      @yusuphmatinya8560 mashetani mnajaribu kuteteana kwenye ushetani wenu pumbavu nyie assume ndo mamako analialia njaa alafu mtoto anatembelea gari la milion 160 how does it come, una na uwezo ushindwe kumsitiri mamako aliekuzaa kweli? Bora nife masikini kuliko laana zenu hizo

    • @terrence9477
      @terrence9477 12 วันที่ผ่านมา +1

      @@Bilioneabichwa331 wote wanachonga ohoo! sijui mama yako, familia yao unaijua? umaskini na wivu ndio tatizo

    • @Bilioneabichwa331
      @Bilioneabichwa331 12 วันที่ผ่านมา +1

      @@terrence9477 acha upumbavu, nani aone wivu kwenye mali za ushetani hizo, na kama ni mali halali kwann mamake analialia njaa, na kama sio mamayake kwann asimkane hadharani? Nitembelee magar ya kifahari, majumba ya gorofa nishindwe kusaidia wazazi kweli? Mapepo wachafu nyie toka kwa jina la Yesu

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 13 วันที่ผ่านมา +4

    Hakuna huduma hapo, waliokupokea ni hao uko nao mlengo mmoja, ndo mana wamekuita wakufariji huyo mwimbaji aliyekuita na yeye mko kundi moja la kumsaliti Mungu

    • @gracejames2395
      @gracejames2395 11 วันที่ผ่านมา

      Kawapige mawe sasa wewe yakwako yapo nyuma ya pazia muone kwanza

  • @felistaMusau-df8hv
    @felistaMusau-df8hv 13 วันที่ผ่านมา

    Martha endelea na kazi ya mungu ni kwa maana mungu ndiye alikuita na hii mambo yote inaendelea achia mungu siku za mwisho mataifa itainukiana ndugu atasaliti nduguye na mambo mengi we simama imara umtee yesu

    • @bettykinyami5096
      @bettykinyami5096 13 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu gani anayemwimbia, labda iyo Mungu wa kuzimu

  • @JoshuaLazaro-eh9xs
    @JoshuaLazaro-eh9xs 5 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa uko gizani na freemason alafu umaimba injili ambayo ni ni nuru alafu wewe ni giza tubu sasa

  • @pinashirima1832
    @pinashirima1832 13 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @Beagasper
    @Beagasper 11 วันที่ผ่านมา +2

    Anaongea kama mkenya h ah ahahahaha😂 ovyo

  • @Smartdesignbunia
    @Smartdesignbunia 14 วันที่ผ่านมา +1

    Jaime l’émission a Swahili

  • @JoshuaLazaro-eh9xs
    @JoshuaLazaro-eh9xs 5 วันที่ผ่านมา +1

    The most people said about you Martha look what God has done to you, life please respond turn back to God and repentance

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz 13 วันที่ผ่านมา +1

    Tengeza Kati yako na Mamako na dadako Beatrice kwanza ndio utapata amani.
    Huna amani ni kusema tuu ila moyoni waumia. Jina ni tabia laa sivyo huna neema kabsaa. Simu hushiki manake ni zamawaidha urudi kwa mamako mzazi kwanza

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 12 วันที่ผ่านมา

    Martha nenda kwanza Kwa mamayako ndipo utakuwa na amani hapo ulipo roho yako inaonekana kabisa huna amani

  • @frickchristina6175
    @frickchristina6175 14 วันที่ผ่านมา +3

    ...anza amani na mama familie na your sister
    beatrice

    • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
      @BUNIATODAYINTERNATIONALE  14 วันที่ผ่านมา

      Oke nawzelewa

    • @yusuphmatinya8560
      @yusuphmatinya8560 13 วันที่ผ่านมา +1

      Yafamiria hayakuhusu waombee usihukumu

    • @terrence9477
      @terrence9477 12 วันที่ผ่านมา

      @@yusuphmatinya8560 Watu wanaongea tu kuhusu ndugu, wakati mwingine ndugu ndio huwa adui wa maendeleo yako na ndio usemi "Kikulacho ki nguoni mwako"

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo tisheti ti ni kitambulisho kuwa yeye anamtumikia shetani , hana hata aibu

  • @thelionwomen4970
    @thelionwomen4970 13 วันที่ผ่านมา

    Solange umufudiche ule ni mwanamuke wa isiya moja uyo 😅😅😅😅😅😅😅

  • @frickchristina6175
    @frickchristina6175 14 วันที่ผ่านมา

    ...
    We dort need to hearing your Gospel songs right now because of your art against GOD

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 13 วันที่ผ่านมา

    Fanya yote martha kumbuka kutengeneza na Mama yako kwanza

  • @StevJimmy
    @StevJimmy 14 วันที่ผ่านมา +14

    Atengeneze kwanza na mama .huyo joan asikukoseshe mbingu . Kqma nikweli uko msagaji tubu mola akusamehe sisi wote niwakosefu muhimu nikuungama tu na kumurudilia Mungu wetu

    • @KevinSadi-o7n
      @KevinSadi-o7n 13 วันที่ผ่านมา +2

      @@StevJimmy huoni aibu wewe.muache

    • @yusuphmatinya8560
      @yusuphmatinya8560 13 วันที่ผ่านมา +3

      Usimhukumu unamjuamama ake huyo no yatima Yule nimama wa kambo

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 13 วันที่ผ่านมา +2

      Fanya maisha yako kwenu shida kibao..

    • @terrence9477
      @terrence9477 12 วันที่ผ่านมา +1

      Ya familia waachie wanafamilia wenyewe, mtoa hukumu ni Mungu peke yake

    • @SisemiHamisi
      @SisemiHamisi 12 วันที่ผ่านมา +1

      @@StevJimmy acha maisha yawatu fanya yako

  • @safiselemani8235
    @safiselemani8235 13 วันที่ผ่านมา +1

    Martha atengeneze kwanza n'a maman yake

    • @RodaMaganga-ye6ye
      @RodaMaganga-ye6ye 12 วันที่ผ่านมา +1

      Katengeneze na wewe kwenu! Acha maisha ya watu hayakuhusu

    • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
      @BUNIATODAYINTERNATIONALE  12 วันที่ผ่านมา +1

      Naona wote tunahukumu ila Sisi piya tuna makosa ambaye ni zaidi labda ya dada Martha

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 12 วันที่ผ่านมา +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @euphrasietuyisenge5610
    @euphrasietuyisenge5610 15 วันที่ผ่านมา +2

    Dis-lui de recevoir mon propre appel. Je veux l'inviter au Rwanda 🙏

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas 14 วันที่ผ่านมา +1

    Martha Martha hiy tishat vp mbon iko na.muhemko flan ndan yake

  • @SaimoniChacha
    @SaimoniChacha 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kwan Martha unamwabudu Mungu gani Alf kwa amani gani hujatengeneza na family yako usituchole watu mnafiki mkubwa ww

  • @SharonAron-t1j
    @SharonAron-t1j 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nahisi kaonya wasimuhoji kuhusu vita na familia yake

  • @mteulenyotamchana2623
    @mteulenyotamchana2623 13 วันที่ผ่านมา

    Kwani awezi kuangalia watu kwacho. Wamekula nini?

  • @thelionwomen4970
    @thelionwomen4970 13 วันที่ผ่านมา

    Ako na mali lakini mama yako anaseka akuna ambao atatufuducha 🇨🇩 congo yetu tuko na waimbaji kama Soeur L' or na yenye peke Solange anamutunza mama yake?

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa mama kwanza

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 14 วันที่ผ่านมา

    marther uko vzr ,usisahau ushaur wetu ule tulokushaur tz

    • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
      @BUNIATODAYINTERNATIONALE  14 วันที่ผ่านมา +1

      Nawapenda sana ndugu zangu watanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q 10 วันที่ผ่านมา

      Twakupenda pia sana BUNIA TV​@@BUNIATODAYINTERNATIONALE

  • @Jean-MarieKasereka
    @Jean-MarieKasereka 14 วันที่ผ่านมา

    Hatulingane

  • @GospelArchives-n1o
    @GospelArchives-n1o 14 วันที่ผ่านมา +2

    Nashangaa kweli unahubiri amani wakati mwenyewe kwako kuna vita. Mama hana amani. Hivi kweli itakuwaje ukashinda kumhudumia Mama ila ukahudumia dunia??inawezekanaje? Wakati mwanao mwenyewe anasambaratisha amani?

    • @frickchristina6175
      @frickchristina6175 13 วันที่ผ่านมา +1

      @@GospelArchives-n1o mwache ajiaibishe kidogo baadaye atasema ukweli wotee#mungu ni mungu

  • @dfremac
    @dfremac 14 วันที่ผ่านมา +2

    Isaiah aliambia ezekiah TEGENEZA MAMBO YA NYUMBA YAKO AMA SI HIVYO UTAKUFA.

  • @chadracksendwe
    @chadracksendwe 14 วันที่ผ่านมา +1

    Un journaliste nul qui se contente de dénigrer son pays!

  • @frickchristina6175
    @frickchristina6175 14 วันที่ผ่านมา +3

    ..matha your mother craying couse of you....Turn to your family before is too late.GOd is everywhere turn to your mother.

  • @frickchristina6175
    @frickchristina6175 14 วันที่ผ่านมา

    Solanjèeee are you crazy to invite lesbians in bunia...?

    • @BUNIATODAYINTERNATIONALE
      @BUNIATODAYINTERNATIONALE  14 วันที่ผ่านมา

      Hiyo siyo kweli jamani

    • @StevJimmy
      @StevJimmy 14 วันที่ผ่านมา +2

      @BUNIATODAYINTERNATIONALE kama si kweli kwa nini Joan anasema anayotaka mitandaoni na hamkanyi kama mzazi wake kama anavyodai ati n mamake

    • @frickchristina6175
      @frickchristina6175 13 วันที่ผ่านมา +1

      @StevJimmy martha sii mamake joan..joan ni mpenzi wa martha wanashirikiana kimapenzi yaani ni wasagaji lesbians..mmartha ana mtoto wa mmoja wa kiume miaka 11 jina Albert. Soo joan na marzha ni mtu na mumewe...walifumaniwa congo na pili wakafumaniwa kenya kwenye crisade ya jacaranda....joan ni tomboy aka stud na martha is feminin..joan ni mume martha ni mke#

    • @frickchristina6175
      @frickchristina6175 13 วันที่ผ่านมา +1

      @@BUNIATODAYINTERNATIONALE ni kweli joan ni mume wa martha..wasagaji

    • @terrence9477
      @terrence9477 12 วันที่ผ่านมา +2

      Did you catch them red handed? If yes,then sorry to them, otherwise you are stupid to believe everything said on social media