Je Umeota Una Sukwa Nywele Na Kuku Ana aga Mayai ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @rodriguezkakule8752
    @rodriguezkakule8752 ปีที่แล้ว +1

    Amina ubarikiwe sana baba iyi ndoto nimewai kulota Mara pili

  • @RoseChemeli
    @RoseChemeli ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafunzo yako

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 ปีที่แล้ว

    Asante tumekaribia

  • @cosmakomba7772
    @cosmakomba7772 2 ปีที่แล้ว +1

    Shaloom mchungaji Mimi nimewai ota nachuma matunda juu ya mti mengine naokota ma pala chichi na maembe nà sikuingine na sungua meno kwa mswaki

  • @inongeinongee8289
    @inongeinongee8289 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen, Barikiwa sana mtumishi wa Mungu🙏🙏

    • @salmaali6605
      @salmaali6605 ปีที่แล้ว

      Jambo baba..mimi nimeota nakojowa kwa kitada firirizo kwa wigmgi

  • @solomoniswilla8441
    @solomoniswilla8441 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Mchungaji. Nakupata vizuri kutoka Mkoa wa Songwe Tanzania

  • @veronicakarimi1341
    @veronicakarimi1341 2 ปีที่แล้ว +2

    Niliota nashukwa na wasichana wawili nasiwajui ila moja wake anajua kusonga na yule wapili hajui kusonga vinzuri

  • @KeruboIrene1333
    @KeruboIrene1333 11 หลายเดือนก่อน

    Thank you Jesus
    Nimeota nikimshuka Binti wangu..ndio nikakimbia kutafuta maanake
    Kwa kweli I always think goodness kwa Binti wangu
    MUNGU amsaidie Binti wangu 🙏🙏🙏🙏
    Mtumishi kwa kweli unasaidia sana
    MUNGU akukumbuke 2024

  • @elizabethmoh5049
    @elizabethmoh5049 ปีที่แล้ว

    Ya iko sawa

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 ปีที่แล้ว +1

    Loud and clear pastor 🙏🙏🙏

  • @Anneekisa-jk7yg
    @Anneekisa-jk7yg หลายเดือนก่อน

    Nimeota nasukwa nywele nzuri

  • @RachelSyavugha-c4l
    @RachelSyavugha-c4l 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @b-boss5788
    @b-boss5788 ปีที่แล้ว

    Nikweli

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 ปีที่แล้ว +1

    Niko ndaaaani pastor kutoka Gulf nimebarikiwa

  • @missttruth1334
    @missttruth1334 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiweni nyote

  • @SitiMohamed-n5v
    @SitiMohamed-n5v 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nmeota nasukwa na mtu wa karibu mabutu kisha mbele pembeni akanisuka mnyoosho lkn nikawa na waswas nae asije akachukuwa nywele zangu

  • @pendojulius9747
    @pendojulius9747 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @wycliffekibengwa5978
    @wycliffekibengwa5978 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen... Glory to God 🙏

  • @gloriarimba4080
    @gloriarimba4080 ปีที่แล้ว

    Niliota najusuka nywele mwenyewe alafu watu wakawa wananitazama huku wakisema nmejisuka vizuri🎉

  • @gloriarimba4080
    @gloriarimba4080 ปีที่แล้ว

    Nikaota Tena bwanangu ananichana nywele alafu akasema nywele yko nmekuwa ndefu sana alafu akaanza kunisonga

  • @Mebakari-i9i
    @Mebakari-i9i 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana asifiwe Jana niliota nasukwa nywele na mvulana lkn amenisuka katikati ya kichwa peke yake kwengine akumaliza na alikua ananivuta sana

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 3 หลายเดือนก่อน

      Me too, weeee

  • @JuanNyuwa
    @JuanNyuwa 2 หลายเดือนก่อน

    Niliota adui yangu anasukwa

  • @gamingcasbet1
    @gamingcasbet1 ปีที่แล้ว

    Mume wangu wa mwezi wa 02,February ni mpambanaji ila sasa bila mimi kusimama haifiki mbali yaani mwanzilishi kila jambo mambo mengi,
    Mie first born pls nisirudi 😂😂Tz jmn tena kijijin Uuuuwiii nakataa hiyo roho ya kurudi nyuma

  • @mariammariamomary4911
    @mariammariamomary4911 9 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi nimeota nachotelezea maji bombani najaza kwenye ndoo lkn yanakauka najitahidi kujaza lkn nayo yanakauka kabisa

  • @RiavilleRavy
    @RiavilleRavy ปีที่แล้ว

    Nilikua na sukwa na mtumishi wamungu

  • @naomiolubai1043
    @naomiolubai1043 ปีที่แล้ว

    Je ikiwa umesukwa n mtu usiyemfahamu ila umesukwa vzuri hadi nkaamka nkismile

  • @Fridabonny
    @Fridabonny ปีที่แล้ว

    Me naota nasukwa vibaya

  • @inongeinongee8289
    @inongeinongee8289 2 ปีที่แล้ว +1

    Niliota, yule alie, niibia gari, langu amelirudisha, nilipo taka, kumukamata mwizi akakimbia

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 2 ปีที่แล้ว +1

    Pastor juzi nimepata katikati ya kichwa sina nywele plz niombee tafadhali ama nifanye nini?

  • @wardaomary2997
    @wardaomary2997 9 หลายเดือนก่อน

    Naitwa warda nimeota nasukwa rasta namjengezi mwenzangu

  • @irineakinyi9646
    @irineakinyi9646 ปีที่แล้ว

    Nimeota nilikuwa namsuka dadangu toka asubuhi hadi jioni kumaliza akaniambia anahisi njaa..badaye nkaniambia anataka kula omena ugali,naomba unifafanulia

  • @NaomiHenry-g1y
    @NaomiHenry-g1y ปีที่แล้ว

    Na Kama ni mtu ulikuzalisha na hakukuoa,umuote anakusuka yamaanisha nn

  • @CeciliaPeter-pf9qd
    @CeciliaPeter-pf9qd ปีที่แล้ว

    Mm nimeota nipo kanisani kunamtu nyuma yangu ananisuka nn maana yake

  • @ZubedaHussein-cn7tp
    @ZubedaHussein-cn7tp ปีที่แล้ว

    Niliota naona nywele zangu zilikuwa mbaya hovyo nikaona nasukwa na mdada maarufu naomba unitafute please

  • @Oman-z4q
    @Oman-z4q ปีที่แล้ว

    Nimeota nasukwa na mtu na mtu nilikua namdai alinilipa nusu nusu bado lakin tulikua tuna furaha t

  • @stellamariko2300
    @stellamariko2300 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota mtuananisuka alipomaliza kunisuka,
    Nilijiangalia kwenye kioo.nacheka saana.
    Naomba maana ya ndoto hii

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota na sukwa nywele namtu anae nijua

  • @ImaniMfugale-hy6tm
    @ImaniMfugale-hy6tm 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota ninamsuka mtu ninaemjua

  • @annahilaly718
    @annahilaly718 ปีที่แล้ว

    ukiota unasukwa na mtu unaemjua

  • @roseshariti1354
    @roseshariti1354 2 ปีที่แล้ว

    Ama rose nineota bwanangu akinisuka

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota usiku wa kuamkia leo kuna mtu ananisuk na kanisuk vizur san dadae nikawa nashikilia mwenyew na nyuz badae nikakat akaj tena akarudidhia ila alinisuk vizur san lakin sielew maan yake

  • @HalenBahati
    @HalenBahati 5 หลายเดือนก่อน

    Nini maana ya kufumuliwa nywele mtumishi naomba ya jibu please

  • @pendojulius9747
    @pendojulius9747 ปีที่แล้ว

    Me niwa mwezi wa nane

  • @salomeraymond2051
    @salomeraymond2051 2 ปีที่แล้ว +1

    mchungaji Mimi nimeota nasukwa na mmama mtu mzima lakini hela ya kusuka nimeenda kukopa na alinichaji hela nyingi sana.nini maan yake mchungaji?lakini nilivyoamka sikuwa na wasiwasi wowote.

    • @kathiniMiluli
      @kathiniMiluli 4 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi Mimi nimeota nasongwa nywele mwanaume ambaye alikuwa bishop wangu three years ago

  • @GladnessmeshackMsechu
    @GladnessmeshackMsechu ปีที่แล้ว

    Je nikiota namsuka mtu

  • @pendojulius9747
    @pendojulius9747 ปีที่แล้ว

    Ukiota rafikiako anakusuka huyo anaekusuka anamaisha yachini kuliko wewe maana yake nn?

  • @miriamndunda4459
    @miriamndunda4459 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa God bless you

  • @inongeinongee8289
    @inongeinongee8289 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi niliota, najisuka, ila nywele zangu zilikuwa chafu

  • @alijathmzamidu3173
    @alijathmzamidu3173 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba no Yako ya Whatsapp

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 ปีที่แล้ว

      @Alijath Mzandu +254706945821

    • @pendopendo6637
      @pendopendo6637 ปีที่แล้ว

      Me nimeota nasukwa mwishoni akaniwekea hela kichwani silivo yeupe mbili naomba unisaidie nn maanake