Watu - Belle 9 (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 483

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 ปีที่แล้ว +236

    Naumiaga sana nikiskiliza ngoma zako kwanini hivyo ndugu yangu skuoni katika ukubwa na mafanikio yalinganayo na kazi zako dah! Kama na wewe nishabiki wa belle 9 unaumiaga kama Mimi ebu gonga like hapa zifike 1.k kunajambo tumfanyie trust me

    • @shabankashindye6240
      @shabankashindye6240 ปีที่แล้ว +4

      Bro waimbaji wakali wa muda wote wa mziki wa kizazi kipya ni benpol na belle9 time will tell, na heshima yao naamini itarudi

    • @emmanuelchaihjefwa2602
      @emmanuelchaihjefwa2602 ปีที่แล้ว +3

      Belle anauwezo mkubwa!

    • @alterboyafrica
      @alterboyafrica ปีที่แล้ว +4

      Kwanza enzi zile za sumu ya penzi,the guy ni mkubwa kimziki💪

    • @hermanmwachuya8327
      @hermanmwachuya8327 ปีที่แล้ว +3

      Mbona kama mwenyewe ya Harmonize

    • @muhodarifredws
      @muhodarifredws ปีที่แล้ว +4

      Uyu jama ananiliza everyday
      His achievement doesn’t match his talent and longevity he has in this industry..
      Bro
      What’s missing

  • @stnashofficial5399
    @stnashofficial5399 ปีที่แล้ว +12

    Belle9 back on game mkali wangu Kama unamukubali like nikuone basi Watu ngoma Kali saana respect you

  • @Duly699
    @Duly699 ปีที่แล้ว +83

    Hii ngoma imeweza sana, kama unakubali nipee likes

    • @jimmykajoller2234
      @jimmykajoller2234 ปีที่แล้ว +2

      Yeah man belle anaweza kinoma tatizo sjui ni awa waganga wanao gamga mpka njaa

    • @josephmihayo6236
      @josephmihayo6236 ปีที่แล้ว +1

      Noma sana Belle 9 , binafsi nakumbuka Toka 2010 song kama Masogange na sumu ya penzi.

    • @MariamHamad-ys7gn
      @MariamHamad-ys7gn ปีที่แล้ว

      ​@@jimmykajoller2234😊❤❤❤❤😊❤😊❤❤😊

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 ปีที่แล้ว +32

    Kwa bahati mbaya siku hizi muziki umekuwa Ni takataka kiasi ambacho ukiwa msanii wa kweli huwezi pata sikio la watanzania! So sad! Watanzania wanataka mziki mwepesi usio na ufundi na uliojaa upuuzi! Hapo utawapata! Inasikitisha Sana! Kazi nzuri Sana broo! Ufundi mwingi sana kwenye hii Kazi!

    • @fredrichmontana2368
      @fredrichmontana2368 ปีที่แล้ว

      Yap unachosema Ni kweli hii ngoma nikali mnooooo💥

    • @dullnizer
      @dullnizer ปีที่แล้ว

      belle 9 wordwide

  • @shaidamo6565
    @shaidamo6565 ปีที่แล้ว +10

    Good job bro Nimerudi x12 Kama wapo Kama mm ambao wamerudiana hii ngoma gonga Like

  • @kingmtetezi6670
    @kingmtetezi6670 ปีที่แล้ว +16

    My favorite Rhoumba in 2022-2023 ngoma kali sana 🔥🔥

  • @diallokimbumbu7843
    @diallokimbumbu7843 ปีที่แล้ว +2

    Huu Msani Belle 9 , mimi namkubali, shabiki wako toka mji mkuu Kinshasa.

  • @mannyfranc9896
    @mannyfranc9896 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa anachuja maneno afu anayapanga afu anatupea kitu kali mashabiki zake. Ukunda South Coast Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @innocentmolla4299
    @innocentmolla4299 ปีที่แล้ว +65

    Belle 9 is very underrated artist..but he is the Best singer and composer with magical vocals. Great song. Great visuals. Creativity at its peak💥💯

  • @salimskass160
    @salimskass160 ปีที่แล้ว +6

    I think hii ngoma inadeserve zaidi ya 1m views, tatizo hayupo kwenye limelight ila ni bonge la artist tangu Enzi za sumu ya mapenzi hadi sasa tupo muongo wa21

  • @josephswai2374
    @josephswai2374 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamuziki wangu bora wa wakat wotee belle9

  • @lawidaleche9662
    @lawidaleche9662 ปีที่แล้ว +6

    Belle 9 akiamua huaga anatoa machine sana 🔥🔥🔥🔥

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 ปีที่แล้ว +21

    Hii ngoma ni kati ya zile ambazo hua zinapenya tartiibu katka maskio ya waskilizaji, na baada ya muda flani zinakaa milele katika nyoyo zao.
    Big up sana belle tisa, kwa ngoma Kali kabisa

  • @kizittohescary1213
    @kizittohescary1213 ปีที่แล้ว +3

    Belle king of melodies ngoma zote kali muda wako unafika kaka

  • @thomasorangi1072
    @thomasorangi1072 ปีที่แล้ว +14

    I don't care the views,subscribers...belle tisa 🐐🐐 the only tanzanian artist with unique and magical voice,,y'all tanzanians sleeping on your legends

  • @makovoice
    @makovoice ปีที่แล้ว +2

    From Mozambique here, belle 9 watu is my favourite song # 🔥🔥🔥

  • @HongeraGideon
    @HongeraGideon ปีที่แล้ว +1

    Hukoseagi Belle9, nakupa maua yako kabisa.

  • @praygodmakundi2517
    @praygodmakundi2517 ปีที่แล้ว +1

    Belle 9 Mwenye mziki wake hujawai kosea

  • @bongelabwana1940
    @bongelabwana1940 ปีที่แล้ว +1

    Belle9 Unajuwa sana Shida ipo kwenye Management yako inashindwa kukupambania upenye,Mana game ya Sasa Ina fitina mpaka ndumba nyingi nakushauri badilisha management ww ni msanii mwenyewe talanta kuwashinda Diamond na Konde boy

  • @jumarwambo7420
    @jumarwambo7420 ปีที่แล้ว +1

    Oya uyo jamaa mkwawa anaweza sana aliyoimba kakiitikio ka mwsho

  • @wisdomjaykwa
    @wisdomjaykwa ปีที่แล้ว +3

    Mziki mzuri💯🔥 komaa humo humo, Now tuishi humu tuimbe style kama za drake zile, tusitumie nguvu tunaimba kama hatutaki na mziki unaenda.

  • @MohamedyAlly-p8c
    @MohamedyAlly-p8c 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dahh wabongo hatusapot vitu vizuri jamaa hana views wa kutosha kulingana na uzuri wa ngoma

  • @muddyally8463
    @muddyally8463 ปีที่แล้ว +1

    Mimi huwa nakuitaga kengele Tisa mtu hatari sana wewe🔥🔥🔥🔥kazi nzuri

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 ปีที่แล้ว +22

    Real music speaks itself, shout out to the king B9🐐 thanks for keeping the good music alive. Achana na wale wa promo nyingii ila porojoo tupu. You deserve the best.

  • @ablamar98
    @ablamar98 ปีที่แล้ว +5

    The king 👑 of melody Tanzania kila mtu anasikio lake la kusikiliza mziki Rasta umetumia creativity ya hali ya juu unajua ukweli utabaki kuwa ukweli

    • @teophilletus8969
      @teophilletus8969 ปีที่แล้ว

      As skia nkuambie usimpe zote peke ak roho mbay iyo msikilize Belle alaf msikilize Rama d utakosa kuchagua utashindwa is tarented awa wat wanna voice ya juu kal nzur lakn dunia ya leo mungu ndo anaejua

  • @willinjowritter206
    @willinjowritter206 ปีที่แล้ว +10

    What a perfect way to start new year, excellent 👍.. much love and blessings from KENYA 💯🇰🇪🔥

  • @tembaerick
    @tembaerick ปีที่แล้ว +3

    2023 belle9 umeanza na moto sana 🔥🔥🔥

  • @manyuhawilson4201
    @manyuhawilson4201 ปีที่แล้ว +1

    Dah!wew jamaa sina chakusema🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @christopherwayne8964
    @christopherwayne8964 ปีที่แล้ว +25

    Still my favourite Bongo Artist..since 2008, still got them vocals

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven ปีที่แล้ว +3

    Belle 9 Hatari sana Kama kawaida 🔥🔥🔥

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 ปีที่แล้ว +1

    Daa Belle 9 daa basi tu 🤔unajua sanaaaa

  • @Kabjobaby
    @Kabjobaby ปีที่แล้ว +3

    Good sound/good lyrics mistari imejibu mashtaka shavu kwa director ❤️❤️❤️

  • @rajabsenkondo1016
    @rajabsenkondo1016 ปีที่แล้ว

    Belle Nine... hujawahi kuniangusha...daa Bonge la Hit👏👏

  • @adamsegeja875
    @adamsegeja875 ปีที่แล้ว

    Nyimbo kali, utunzi mkali, melodies kali, ujumbe umeshiba watu kama kama hawa ni mfano wa kuigwa hakuna lugha chafu.... abwanaee ishi miaka mingi tupo tunaenda Nyimbo kama hizi Nyimbo ya kuishi

  • @alexelieza2687
    @alexelieza2687 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali sana hii, alafu kuna mtu sasa iv et anasikiliza chitaki😃, bell9 big up💪

  • @mcndeu984
    @mcndeu984 9 หลายเดือนก่อน +1

    Belle 9,,tixha xana babaaaaa🎉🎉🎉

  • @jumannemhadu6209
    @jumannemhadu6209 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥belle9 unajua mwamba knoumaa

  • @samuelwanjiru1930
    @samuelwanjiru1930 ปีที่แล้ว +2

    Belle 9 kuanzia hii mwaka tupatie back to back...this is liiit🌪️🌪️🌪️

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 ปีที่แล้ว

    Kuna konakona, shika bomba wewee....🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shedrackdaudi3403
    @shedrackdaudi3403 ปีที่แล้ว +1

    Mwaka mpya mambo mapya nakbal mtu mzima bell9

  • @sadawazir3905
    @sadawazir3905 ปีที่แล้ว +1

    Ni balaaa, Umetisha Bro

  • @givasmwananzumi5941
    @givasmwananzumi5941 ปีที่แล้ว

    Belle ni shavushavu ,,hongera kaka bonge la ngoma✓✓✓ wanitamani vs watu✓✓✓

  • @iamharamiah8804
    @iamharamiah8804 ปีที่แล้ว

    Belle 9 kuwaa serious kwa Industry ya ngomaaaa......promote your music 🎶 🎵 👌 🙌

  • @norbertmwaifwani8875
    @norbertmwaifwani8875 ปีที่แล้ว +5

    One of the most underrated yet very talented artist. On repeat today

  • @georgesanga1344
    @georgesanga1344 ปีที่แล้ว

    Nakuelew san belle ww n wamoto sana kaka rnb wakuachie tuu

  • @emmanuelreuben3238
    @emmanuelreuben3238 ปีที่แล้ว

    We jamaa ninoma video Kali , sound Kali, aise

  • @Kakab297
    @Kakab297 ปีที่แล้ว

    kazi safi sana kakangu hapa 254 tunakukubali na kukuaminia mkuu

  • @chibudenga211
    @chibudenga211 ปีที่แล้ว

    Daaah bonge ngoma nimeicheki kwa moyo woote na kuipenda kwa Moyo woote

  • @barakawatu9226
    @barakawatu9226 ปีที่แล้ว +2

    Good music 💯, good interesting 💯, good talent 💯, biggest able 💯, Belle 9tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯. Bro unajua salute 🇹🇿🇹🇿💯.

  • @chudjawewa2645
    @chudjawewa2645 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma nimeidownload ipo audio and video lakini kila ninapopita TH-cam nikikutana nayo tu siwezi kuacha kuiplay maana hii for me ni best 2022_2023 na pia nategemea itadumu adi kufikia 2024 hii ni best rhumba wakubali wakatae hii kazi umefanya ndg yangu

  • @SelemanNassoro-lz5ib
    @SelemanNassoro-lz5ib 9 หลายเดือนก่อน

    Belle amezencuah apo ange sema "Mama Shika KONG@@ ngoma ingekuah kali. zaidi man

  • @Nuh_gayah
    @Nuh_gayah ปีที่แล้ว +5

    My favorite artist BELLE 9,❤️❤️❤️❤️❤️LET'S SHOW LOVE TO HIM

  • @kephatz2814
    @kephatz2814 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni noma bro still tunakukubali🔥🎼🎶

  • @bigirimanadaudi9797
    @bigirimanadaudi9797 ปีที่แล้ว +1

    Bongo wasani wanoimba ni watatu tu kuna rich mavoko, baraka the prince, belle 9 wengine ni fujo belle 9 ngoma kali sana

    • @candidoderosa
      @candidoderosa ปีที่แล้ว

      Kweli King K pia yuko poa kimzik

    • @djgatuzoblaisekelly3515
      @djgatuzoblaisekelly3515 ปีที่แล้ว

      Hhhh

    • @kingmtetezi6670
      @kingmtetezi6670 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu watu wanoimba ni wengi sana sema hujawafatilia tu kina Beka Ibrozama,Rama D,kiba nk

  • @InnocentPeter-o6u
    @InnocentPeter-o6u ปีที่แล้ว

    we kaka unajua sana keep going broo 🍁💪🏿

  • @thepurpleonlinetv8630
    @thepurpleonlinetv8630 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali sana ila umesuka kama mwanamke

  • @chriskanti
    @chriskanti ปีที่แล้ว

    Belle 9 mtu wangu kwanzia kitambo sana umetupea dawa .big up

  • @syliakusprimu8058
    @syliakusprimu8058 ปีที่แล้ว

    #Bonge la ngoma🔥🔥 the raeal bongo flavour 🙏

  • @kalosimraimond5227
    @kalosimraimond5227 ปีที่แล้ว

    Ngoma iko full kinoma noma baba Love is song

  • @dabomtanzania
    @dabomtanzania ปีที่แล้ว +1

    Mwanangu mwenyewe ❤💚💛🔥🔥

  • @bbooster06
    @bbooster06 ปีที่แล้ว

    Kudadekiii #belle9 ww ni NOMAA broooo hatariii.

  • @hassanirashidi1906
    @hassanirashidi1906 ปีที่แล้ว

    Iki kipaji kingine iki ni noma sana sjui kwa nn apewiair time yanii

  • @ramadee3039
    @ramadee3039 ปีที่แล้ว

    Congratulations, bonge la nyimbo

  • @AfricanTheory
    @AfricanTheory ปีที่แล้ว

    Wimbo tam. More love kutoka kenya

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire ปีที่แล้ว +14

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @BabaRikodi
    @BabaRikodi ปีที่แล้ว

    Yalipo nidodea nikaenda kwa Amina
    Nilopo kolea nikazama mazima
    Legendary song never get disappointed 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥@Belle9

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 ปีที่แล้ว

    Yes ana kazi nzuri sana. Lanini hizi ni ngoma pendwa sana miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2000...Sasa hivi ngoma zinazo chezwa sana ni zile za kujirusha na si kusikikiza. Mziki laini kwa sasa umekufa kabisa. Anatakiwa abadilike kama anataka kubaki kwenye game

  • @freddiemuller8144
    @freddiemuller8144 ปีที่แล้ว +3

    What a HiT 💥💥💥 Once a Legend, always a LeGeNd 🙌🙌🙌

  • @nujakaluhende9428
    @nujakaluhende9428 ปีที่แล้ว +1

    Hii ngoma afanye ft na Ali kiba. Kuna voice imekosekana

  • @mwaksipeace3874
    @mwaksipeace3874 ปีที่แล้ว

    umu umeonyeshaa mauwezoooo dingiliiii 🙌

  • @JayCanKe
    @JayCanKe ปีที่แล้ว

    My favorite, most talented yet most underrated Artiste From TZ, been your fan tangu jadi. Tangu siku za Sumu ya penzi.

  • @lemmynyamboko5335
    @lemmynyamboko5335 ปีที่แล้ว

    Ngoma Kali Sana belle 9 kaweza

  • @RamaBinda
    @RamaBinda ปีที่แล้ว

    Daah aisee hii ngoma Kali sana

  • @iddyharissmreta244
    @iddyharissmreta244 ปีที่แล้ว

    Umetisha mwanangu bonge la ngoma

  • @allychautundu6729
    @allychautundu6729 ปีที่แล้ว

    basi tyu yani mana unajua sana kaka sema mziki wa tanzania ushaharibiwa na wajing flani kwa maslahi yao

  • @Pathro_Cavosia
    @Pathro_Cavosia ปีที่แล้ว

    Haunifelishi Mwanangu 💯✔️

  • @frankshirima4029
    @frankshirima4029 7 หลายเดือนก่อน

    Lazima kuwe na mizik ambayo wanao jua mziki tunasikiliza wengine sikilizen hiyo makelel for those who love good music were here to support u bro❤

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 ปีที่แล้ว

    HIVI HII NGOMA ANGEIMBA #DIAMONDPLATINUM INGEKUWA WAP SAHV KAMA SI HUKO DUNIA
    JAMAN ACHENI KUMBANIA BELL9 BONGE LA SONG TENA
    THIS DESERVE TO BE SONG OF THE YEAR 🎶🎶🎶🎶😂😂😂😂🙏🙏🙏

  • @omidopatrick9029
    @omidopatrick9029 8 หลายเดือนก่อน

    watu wabaaaaaayaaa good song my legend

  • @RamazaniheradiHeradi-yq7sk
    @RamazaniheradiHeradi-yq7sk 10 หลายเดือนก่อน

    Mtoto uyu akonakipaji this children have talents

  • @empafricatv
    @empafricatv 2 หลายเดือนก่อน

    Anae jua anajua bwana

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 ปีที่แล้ว

    pamoja sana bele 9 nakukubali tangu kitambo

  • @akimdollarmusic6304
    @akimdollarmusic6304 ปีที่แล้ว

    It's your boy Akim dollar Again
    From Zambia
    Kaka we mutu mbaya nakukubali Kwa myaka Kazaa

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 ปีที่แล้ว +2

    This really kind of good music alive" big bang in town from moreeeee twn .....

  • @kenedhaule9978
    @kenedhaule9978 ปีที่แล้ว

    WAtuuu watu WAtuuu nomaaaaaaaaq saaaaaaaana ka producer Ako ni kananiiiiiiiiiii jaman

  • @BongaNaPeople
    @BongaNaPeople ปีที่แล้ว

    Kuna Huyu Jamaa kaimba kiitikio Mkali sana Asee.

  • @Swahili14
    @Swahili14 ปีที่แล้ว +5

    Belle9 is a true R&B virtuoso 👑💖
    Shame how he's underrated

  • @Mwamiwapili
    @Mwamiwapili ปีที่แล้ว +1

    Bellenine unajua 🙌

  • @masondathadeh7666
    @masondathadeh7666 ปีที่แล้ว

    Ngoma tamuuu na huyuu ndo belle 9

  • @richinda4799
    @richinda4799 ปีที่แล้ว

    Imekaa poa sana Belle9.

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 ปีที่แล้ว +6

    You deserve to be recognised Belle tisa!!

  • @jawabuselester3341
    @jawabuselester3341 ปีที่แล้ว

    Kali sana jamaa anajua mno

  • @tropmedia8376
    @tropmedia8376 ปีที่แล้ว +1

    Bro you sing so so so much God bless you your Lil talented 🙌❤️

  • @allykidundo4508
    @allykidundo4508 ปีที่แล้ว

    dah...hii ngoma ilivyo tamu mpaka natamani kulia

  • @norbertmwaifwani8875
    @norbertmwaifwani8875 ปีที่แล้ว +3

    The guys who finished with the hook..some powerful vocals as well

  • @stevehiraly9127
    @stevehiraly9127 ปีที่แล้ว

    Rhumba Kali sana hiii🔥🔥

  • @kephatz2814
    @kephatz2814 ปีที่แล้ว

    Aisee nimerudia mara 10 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mjumbewakristo8677
    @mjumbewakristo8677 ปีที่แล้ว

    belle9 unajua mpaka unakeraaaaaaa ❤️

  • @mohdhussein9749
    @mohdhussein9749 ปีที่แล้ว

    Saut ya enzii huyu fundi sanaaa

  • @alfredajab8463
    @alfredajab8463 ปีที่แล้ว

    Jamani hii ngoma kali... Love from Kenya....